Awa watu wajinsia mmoja ndio wanaleta majanga ya mafuriko😢😢😢
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci8 ай бұрын
Kweli kabisa wafe tuu ikiwezekana waishe kabisa hawana faida kwa taifa letu
@salomewandya72578 ай бұрын
Kabisaa
@billgussy60998 ай бұрын
Huna akili kabisa
@JacquelineMacha-y3n8 ай бұрын
@@BarakaGabrielMwampamba-kj8ciakili kisude
@SophiaKamgunda9 ай бұрын
Hiyo hela bado mnayo
@Japhary-sx3je9 ай бұрын
Polisi ongeleni sana yani dhahili awa wameuwa lakini mahakama msije mkawavunja nguvu polisi
@mazulacelestine30389 ай бұрын
Kumbe wote walikuwa wako kwenye njia ya shetani tu, Mungu wanusuru watu wako, maana watu wa Mungu wanapotea kwa kukosa maarifa,hosea 4;6
@alphoncewilliam43259 ай бұрын
Mwenye kuua ni mungu tuu
@estakapufi75829 ай бұрын
Hii laana kubwa sasa wewe mwamke unatumika na mwanamke mwenzio ulishindwa kutumia ujanja ukatoroka kisha ukamshtaki ka anakutishia uhai, aya umemuuwa bado uko kifunguni umeruka mkojo umekanyaga mavi maisha ni yale yale uliuoyakataa ndio umerudi kuishi kifungoni.
@JUSTNEMITOMINGI9 ай бұрын
Milembe milembe mh
@gracekagoma32319 ай бұрын
Wasagaji wote wakome😮
@DolphinMaokola9 ай бұрын
Kwani alikua anawasaga kwa kuwashikia panga? Si walikua wanakubali wenyewe kuendekeza njaa nako ni kubaya.
@Faustinapre9 ай бұрын
Duh😮
@RoseRose-hi5sl4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Onlyforfun1992tube9 ай бұрын
Aisee izo kesi duh ni shida
@edisonmaliva17199 ай бұрын
Daifaty ulitoa uhai wa mumeo milembe hukujua Kama serikali ina mkono mrefu?
@salomewandya72578 ай бұрын
😂😂😂
@ZUWENADELLOW4 ай бұрын
😂😂😂
@christopherjoseph99819 ай бұрын
Kwenye kesi hizi polisi huwa hawakosei
@selemankishema57808 ай бұрын
Huyu milembe ndio saana alistahiki saana kupata adhabu hiyo hao watu msiwafunge wala kuwanyonga muwapitie zawadi kwani walifanya kazi iliyowashinda police
@martinamahenge44769 ай бұрын
Yan hao wauwaji waminyweee tu mbupu hawawezi kuua kwa unyama ule hata kama alikosea nn ila yale mauaji ni unyama unyama
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
Sasa hapo uyo mganga kwanini asione Giza mbele akamjuza MILEMBE mi ndo mana siamini waganga
@faithjonathan38454 ай бұрын
Malipo ya dhambi ni mauti. Milembe kushiriki mapenzi ya jinsia moja ndiyo kulimletea kifo, lakini pia aliyefanya nae hayo mambo ameishia kuhukumiwa kifo.. Wote wamepata walichostahili
@LinahMgweno4 ай бұрын
Ndio hivo Yani ukisha Zoe kusagana utaki kuacha na ukiwa nampenzi hutaman kumuacha mnaweza kuuwana
@MonicaAgapitiBruno4 ай бұрын
Kwani wakidagana inakuaje hapo wanapata raha au mi sielewi Dunia hii mara wanaume kwa wanaume wanafanyana mara wanawake daaa
@LinahMgweno4 ай бұрын
@@MonicaAgapitiBruno wewe acha tuu mi mwenyewe sijui niliona video tuu njo ibox nikutumie
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
Unauwa mtu bila sababu kama alikutesa ungetoa taarifa kwani mbona aliweza kupanga watu wamuuwe hiyo ilio muuwa aina akili million mbili unauwa ,,kwanza kama sio tamaa unawezaje kuolewa na mwanamke mwenzio ujinga tuu alijuwa akimuuwa watazulumu Mali zake mana alikaa nae akajua vitu vyake hakuna mjinga awekeze ndugu wasijue mtafungwa Hadi mkitoka muulize hapa niwapi
@ukhutfatumah11548 ай бұрын
Ivi hawa wanaochukua sheria mkononi awajui kama serikal ina mkono mrefu sana daaaa mtian sana allah atujalie mwisho mwisho mwema Inshallah
@salumjumaruhaga25138 ай бұрын
Polisi Malipo yenu kwa M,mungu😊
@lusajomwakalinga58139 ай бұрын
Simu zinarekodiwa lazima wahukumiwe
@salomewandya72578 ай бұрын
Duh kwahiyo Milembe alikuwa anamuonea Daifaty wivu🙄🙄🙄🙄
@godlema61049 ай бұрын
Ishi na watu hilausiwaamini watu
@Aziz-p6s8 ай бұрын
Alishakufa na tabia zake mbaya hajawahi kutubu kwa mola wake kaharibu mabinti wengi sana hapo geita laanatullah milembe
@franktangeki93428 ай бұрын
achilia mbali sijui mahusiano ya jinsia Aisee mimi Muuaji anaetoa roho ya mtu huyo ni adui kabisa hafai kukaa tena kwenye jamii
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
Sana mtu anae uwa hafai
@MonicaAgapitiBruno4 ай бұрын
Siku nilichinja kuku jamani niliogopa damu nikamwacha kuku shingo aukukatika niliogopa damu Sasa kumuua mtu sijui kwa panga au kisu mmmh labda kawekewa sumu😢😢😢
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
Kwakweli daifaty alichi mfanyia milembe kitu kibaya sana ,,kasahau misada yote
@زيتونتنزانيا9 ай бұрын
Saşa siangeondoka tuu hadi umuuwe həə şiə wanwake hat uoga hatuna
@MerinaMgunda-oj5ch4 ай бұрын
Mshahara wa dhambi ni mauti walioua wamepata adhabu yao pia milembe kapata adhabu yake bila hata kutubu ni kweli alikuwa na pesa nyingi lakini alikuwa akitongoza mpaka ukubal mwenywe mm nakumbuka kuna mtu alimtongoza live huyo dada alimtukana milembe hakurudia kabisa pia alikuwa ni mtu hajifichi tabia yake ya usagaji ila ni akili yako mwenywe ukimjibu hakurudii tena pia alikuwa anaangalia urahisi ukwap anapita
@JacquilineNoah8 ай бұрын
😂😂😂😂😂nmecheka jaman dayfat kwann lakin na utam ukapewa
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
😂 yani ange mshitaki tu sio kuuwa huyo alikuwa na tamaa yapesa alijuwa akimuuwa atamuibia
@josephmkinga95099 ай бұрын
huyo inamana alikua akisaga wenzie mungu haziakiwi mpumbavu zake motoni huyo kama hajatupu
@AziziMapunda-vt4nv7 ай бұрын
Mushala wazambi no mauti
@MYME-u5d9 ай бұрын
Hawa wasagaji ndio sabb ya majanga meng hap dunian ww mwanamke unafanyaje mapenz na mwanamke mwenzako kam so laan ni nn?
@farhannahkulishwaburekunam53609 ай бұрын
Bora aliuliwa angezidi kueneza usagaji
@NM-yl2uw9 ай бұрын
so ndo umeisha badala ya kuus
@wozanawewoz9799 ай бұрын
Lakini wezi wakubwa serikalini hauwashutumu kuku wee
@AminaLibisa8 ай бұрын
Kwani mkewe alimaliza heda😢😢
@aclassservices22459 ай бұрын
Marehemu alikuwa msagaji. kinyume na maadili na utamaduni wa watanzania. atavuna alichopanda. mtuhumiwa alikuwa ana haki ya kujilinda. maana hawa watu wanawivu kuliko wanaume.
@melanialeonard40319 ай бұрын
Ni hatari sana
@jonasnyanga81679 ай бұрын
Ndio mumuue?
@martinamahenge44769 ай бұрын
Aliwah kukusaga !?
@petertemba90489 ай бұрын
Alikusagia wap😂😂
@MiriamAbdallah9 ай бұрын
@@martinamahenge4476hujasoma maelezo au inakuripuka , wasagaji wanauwana wenyewe kwa wenyewe na bado hasira ya MUNGU iwashukie😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaweza sema wauliwe wasagaji wote alafu ukakuta na ndugu zako wamo au hata watoto, kila nafsi itaonja mauti unafurahia msiba wa mwenzako kama watu wote unaowapenda wataishi milele
@samirazuberi1868 ай бұрын
Mi hawa watu hasa wakifa nafsi yangu haiyumii kwakweli... Nawachukia sana watu wanaitwa wasagaji mashoga kwakweli hawa watu siwapendi 😢
@User92.invisible8 ай бұрын
Cesilia macheni kaigizwa mkenge tu,yeye ni mganga wa kienyeji wauaji walienda kwake baada ya mauaji kuoshwa ndo wakadakwa.
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
Haha Sasa huyo mganga asione Giza mbele ya milembe akamstua waganga ndo mana Siwa amin
@User92.invisible8 ай бұрын
@@LinahLinahmgweno ni wale waganga matapeli yeye ilimradi umetoa Hela atajifanya kujua kila kitu.
@adammjomba58149 ай бұрын
Sasa huo uhuru alioutaka kuondoka kwa mumewe uko wapi? Ndio ameukosa ZAIDI . Halafu nchi y TZ watu wana njaa ya kufa mtu yani kuua mtu ni Tsh ML 1, 6 ( one ML point 6 ) wamegawana sijui bei gani? Watu 5 ,yani unachuma dhambi za bure , yote hiyo vijana hawataki kazi wanataka shortcut walewe pombe wavute bangi za bure ,wapate wanawake walale ktk ma loge . ( hata kama Milembe ana makosa sio mauji yale ,wange achana kwa wema tu
@kingtheswaggerdon4 ай бұрын
Dahh sasa mimi si hata kwa Laki wananiuwa sh.ngapi 😢. What are you Worth?
@RamadhanAthuman-d4c8 ай бұрын
Mie wasagaji wote hua natamani wafe wote
@irenemunuo94854 ай бұрын
Fanya maombi wanaeza kufa wote ila omba asiwemo mpendwa wako hata mmoja msiba usikie kwa jirani
@teddymutani8568 ай бұрын
Safari na Deifati sasa mkaoane huko jera wauaji wakubwa nyie
@LinahLinahmgweno8 ай бұрын
Hilo nalo mama kubwa miaka 54 unaenda uwa mlitumwa msagwe njaa zenu Zina wasumbua hata mkiachiwa huru mtateseka sana wajinga sana bint mdogo unapanga mauwaji duu mababa mazima mnauwa duu huo mkoa ndo mana hauishi kupigwa na radi vijana waleta maendeleo mna wauwa