Mahakama za Tanzania kupata haki mpaka Mungu akusimamie.Mpina naomba Mungu akusimamie Haki ishinde Dhuluma,, Nuru ikashinde Giza lililotanda katika Mahakama za Tanzania.
@HarunJonass5 күн бұрын
Shida katiba inawalinda sana vigogo.wala haitoi nafuu kwa wtz 😢😢
@festokemibala58325 күн бұрын
Tuazime kidogo mahakama za kenye zinafanyaje kuhusu suala la utoaji haki!