Mpina Atuma Ujumbe Mzito Kwa Wabunge Kupitia Rais Samia Sakata la Kesi Yake

  Рет қаралды 2,902

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@petrosukums2510
@petrosukums2510 4 күн бұрын
Mungu akupe ujasiri mheshimiwa
@yamesulle2057
@yamesulle2057 3 күн бұрын
Mungu akumpekinga
@NicodemusNkiami
@NicodemusNkiami 5 күн бұрын
Tutakupa nchi 2030 mpina unanyesha uzalendo mkubwa sana. Ila niaibu ya hii ya taifa kufanya biashara ya hivi
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 4 күн бұрын
Thanks a Lot Bro Mpina, We pray for you 🙏 mpaka wafe na mamlaka zinazowakumbatia kama mtu mwenye mamlaka ya mwisho analalamika that’s means we are not safe from the Top 😭😭😭😭😭 Hakuna mtu wa kukompromize kwa hili kaka ✊✊✊✊ pambania uhuru kaka na Mungu akulinde nyakati zote na ubaya wote wanaupanga basi upanga ulao ukawale wao na washiriki wao woteeeeee Wafeeeeeee tu kwani nini mbona tumezika watu wa maana kabisaaa na wao waendeeeee na watajizika waooooo.... Hayooooooooo Kimbiza Mpina 😆😆😆✊✊✊✊
@JosephLymo-j8x
@JosephLymo-j8x 4 күн бұрын
Ndio mupina wewe ndio Nyerere wakwanza umetokea au niseme nimagufuli ameredi kupitia kwako mheshimiwa mpima mungu akutie nguvu
@PatsonMbugh
@PatsonMbugh 4 күн бұрын
Mpn nakupeda mm hodali wwe jasili unaipeda nhi yak
@josephvenus3259
@josephvenus3259 5 күн бұрын
TUSEMEE BABA MAANA WENGINE WAKO BIZE NA MITOKO YA RAISI 🤝🤝 NCHI NI YETU SOTE HII
@elvisikimaro1178
@elvisikimaro1178 3 күн бұрын
Wabunge wa CCM hawo akiwepo Bache Na mwigulu.nchemba Mungu yupo SS watanzainia tuteseke Mungu mpina akusaidie
@HamisLeo
@HamisLeo 5 күн бұрын
Ushauri wangu mpina rudi nyumbani tu maana mahakama yetu imefungwa mikono.mpaka hapo umeshinda kesi
@dawsonkaaya4210
@dawsonkaaya4210 18 сағат бұрын
Mh Mpima kama kweli unalopenda chama na una uchungu na nchi hii waseme wote walio ujumu edha za mikopo ya MH Dr Samia na hasira uliyo nayo unaogopa kutaja miradi mikubwa ya wapigaji trilioni za Mama CCM oyee.
@EdiphonceNdibarema
@EdiphonceNdibarema 5 күн бұрын
Sasa Kama mtu anayejierewa Kama MPINA anafanyiwa hivi je mm mtoto wa mkulima asiejua hata mahakama wanakaaje situtakua tunabruza kinyesi chooni ila kwakwer munguu yupo kweri
@charleskilala3678
@charleskilala3678 5 күн бұрын
Yaani hela zinaliwa bure bure!!! Mambo gani haya mpina? Tukiwa wapi? Vyombo vinafanya nini? Daaaa! Hela ngumu hiv afu inaliwa burebure?
@adamlikati3364
@adamlikati3364 5 күн бұрын
Nazani ile hoja ya mgombea binafsi 2025 ingeaanza kutumika
@SifaMfinanga
@SifaMfinanga 5 күн бұрын
Waziri Mpina.....
@adamlikati3364
@adamlikati3364 5 күн бұрын
Dah kumbe Wazalendo bado wapo aisee
@simonsadala2386
@simonsadala2386 5 күн бұрын
Mjomba mjombaaaa nchi ngumu sanaaa hiii enzi zimeshabadilika
@allymusira2153
@allymusira2153 5 күн бұрын
Hao wenye viwanda si walipewa mbona hawakuagiza na sukari ikapanda bei mpaka sh 10,000 na ulikaa kimyaa
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 5 күн бұрын
Mpina.njoo.chadema.ccm.wezi.
@ExaudLupenza-qu1xu
@ExaudLupenza-qu1xu 3 күн бұрын
Lazima ushilikiane na makundi mengone
@edwardlukumay2698
@edwardlukumay2698 5 күн бұрын
Bosi wangu nchi hii ni ya Wachache Kenya tu ndo Kuna haki Tanzania mtoto mwizi baba mwizi mama mwizi nani atapona?
@elvisikimaro1178
@elvisikimaro1178 3 күн бұрын
Tuko Na wewe mpina tunkuombea
@allymusira2153
@allymusira2153 5 күн бұрын
Upuuzi mtupu
@NicodemusNkiami
@NicodemusNkiami 5 күн бұрын
Tutakupa nchi 2030 mpina unanyesha uzalendo mkubwa sana. Ila niaibu ya hii ya taifa kufanya biashara ya hivi
Energy Sector Expert Dissects ‘Irregularities’ In Nigeria’s Power Sector
44:40
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 26 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 39 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 43 МЛН
Ujumbe Mzito wa Familia ya Mzee Ali Kibao kwa Rais Samia
6:29
WAKILI TV
Рет қаралды 2,1 М.
Nigeria Partners With IFC To Boost Currency
28:58
TVC News Nigeria
Рет қаралды 307
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 26 МЛН