Ifahamu historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  Рет қаралды 12,626

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

3 жыл бұрын

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa dola la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Пікірлер: 44
@shukulupaschal7882
@shukulupaschal7882 2 жыл бұрын
Genius prf kabudi
@abelgadison5969
@abelgadison5969 3 жыл бұрын
Nakuelewa vizuri sana waziri makini
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 3 жыл бұрын
The Perfect Kabudi on his best👌
@yahyamaabad9837
@yahyamaabad9837 3 жыл бұрын
Muongo ww mwatunyonya tu wazanzibar
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
Kama wa hiari mbona wazanzibari wakitaka kuvunja hamukubali ,
@edithmakwakwa9489
@edithmakwakwa9489 3 жыл бұрын
Barikiwa waziri Mh.pro.Kabudi nakuelewaga sana
@wakwetu2444
@wakwetu2444 2 жыл бұрын
Wewe kabudi unasema nini wewe ni mtesaji mkubwa wa wazanzibari. Na udini. Sio ulisema kuwa haiwezekani kuwa pekee kwa sababu italeta magaidi. Zanzibar ni wastaarabu hatuna magaidi.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Ana udini upi wakati ni muislam mwenzio huyu😂😂😂
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Wazanzibari hawataki waulize wenyewe kwa nguvu haifai kila nchi peke yako NA tutafika tu hata miyaka elfu moja
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 4 ай бұрын
Ndioooooo
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
LINGEKUWA MUUNGANO KWELI ZANZIBAR INGEFUTWA ..MBONA ZANZIBAR BADO IPO?
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 4 ай бұрын
Huyu anapiga kelele t kaburi
@omarrashid1249
@omarrashid1249 3 жыл бұрын
anauliza aeelezee kuhusu Zanzibar au wakati yuko kwenye kongamano la mungano huyu jammaa kadanfaya
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 3 жыл бұрын
Hivi huyu Waziri anafahamu kua hao warabu anao wataja hawakua na mamlaka Zanzibar? Zanzibar ilikua imetawaliwa na Waengereza miaka mingi hao wafalme hawakua namamlaka yoyote bali muingereza ndie aliekua akichagua nani awe mfalme yaani nikama vile hivi sasa Zanzibar wazanzibari hawana maamuzi yakuchagua nani awe kiongozi wao bali wanachaguliwa dodoma nani awe kiongozi wa Zanzibar. Hivyo ushauri wangu kwahuyu waziri asipotoshe watu ukweli uko wazi saizi Someni mtaona nakujua kua Sultani hakua namamlaka nahio ilianza kutokea baada tuu yakufa Sayyid Said ndipo Muingereza alipopata upenyo wakuingia nakuanza kuitawala Zanzibar na Omani
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
Huyo waziri wenu Tanganyika anakupotezeni kwa kutokana hajui kitu sawa?alikua aje kutuuliza sisi wenyewe Wazanzibar wenye visiwa sawa¿nahata wewe hujui kitu brittish hajaitawala Zanzibar sawa¿alitaka kuitawala watu wakapigana ndio iliyoweka recode the shorttest wear in the world wala waoman hawajaitawala sawa¿tuulize sisi wenyewe ndio tutakupa histry ya visiwa vyetu sawa¿hitoria ya Zanzibar tunaijua Wazanzibar wenyewe tuu sawa¿thanks
@org5233
@org5233 3 жыл бұрын
Mnaongea kuhusu nn nyinyi Mbn mi ni mzanzibar shekhe na nauelewa vzr Pr.kabudi
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 3 жыл бұрын
Duu wewe acha kuropoka . soma historia usifate chuki zisizo na mpango
@dorcasshayo5155
@dorcasshayo5155 3 жыл бұрын
@@solomonadams6337 mbona unaandika kishoga wewe🤦🏾‍♂️
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 4 ай бұрын
Hajui yeye hajui musimlaumu Sana anatumika t kuzima vugu vugu muhimu na kama hawaamini emu kesho waitishe kura ya maoni wasimamie ICC watuulize tunautaka au hatutaki hawatafanya na hawatafanya daima
@redmondbaby1710
@redmondbaby1710 Жыл бұрын
Mnapapatua tuungane usivunjike mtakufa nja vichogo nyinyi
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
SASA MBONA TANGANYIKA IMECHIFICHA KWENYE MUUNGANO?
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Kabudi kama kabudi nakukubali Mzalendo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 3 жыл бұрын
Kabudi unajua Sana we noma
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
oya msitiletee Uhanisi nyinyi machogo Watanganyika Zanzibar ni Zanzibar haina muungano wa aina yoyote ile na Watan'ganyika sawa?nyinyi m'na akili kwanza hebu itizameni nchi yeni na Wingi wa watu wenu halafu ndio mkatafute nchi mlazimishe muungano nayo sawa¿lakini sio Zanzibar sisi hatutaki Muun'gano na m'mbwa yoyote yule sawa?thanks
@wairanyahonorable200
@wairanyahonorable200 3 жыл бұрын
We ni fox kama fox wengine
@cosmasmpwage2576
@cosmasmpwage2576 3 жыл бұрын
..wewe ndio hutaki ila sio wazanzibar
@mulhatramadhan9425
@mulhatramadhan9425 3 жыл бұрын
Wazanzibar woote hawautaki muungano, mkubali mkatae ni hivyo ila tu wanalazimisha watanganyik kwa maslah yao wenyewe.
@wairanyahonorable200
@wairanyahonorable200 3 жыл бұрын
@@mulhatramadhan9425 mbwa wewe
@mulhatramadhan9425
@mulhatramadhan9425 3 жыл бұрын
@@wairanyahonorable200 😃😃 hukua na la kusema zaid ya kuniita mm mbwa, umetisha kinoma yaan😅😅😅
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 3 жыл бұрын
Sultan na waziri mkuu wa Zenj waliuza ardhi hahaaa
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
Waliuza ardhi kwa nani¿na ardhi ya visiwa vyote tunayo wenyewe wazanzibar na ndio hata ukaona Mtanzania au Mtanganyika hatumruhusu kumiliki ardhi katika visiwa vyetu 52...!
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 жыл бұрын
Nashangaa mnaruhusiwa kumiliki ardhi bara.. wengi wetu wabara hatuutaki huo muungano ! Tunawabembeleza wazanzibari sana for nothing! hatuna tunachokipata huko. Tunajitoa sana na bado mwaringa wakati haman kitu. wengi hatuoni manufaa ya muungano period!
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 3 жыл бұрын
Hii ndio kazi inayokufaa kabudi kwasababu unaakili nyingi ulitakiwa kutoa materials vyuoni!! huku kwenye siasa wanakuchanganya sana Pf.
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
BUMBAVU WEWE BWANA KABUDI BABUZETU HAWAKUTUELEZA HAYO KUHUSU Zanziba UMEPOTOSHA SANA LIJINGA HILI LITU ,BABU YANGU WA 4 ALISIMULIA KWAKUANDIKA NAMAANDISHI WEWE NA NYERERE WALAFI WAKUBWA .
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 11 ай бұрын
@zuzadomikano3765 Mbona kama akili yako imechanganyikiwa ndugu, si wakupeleke Milembe utibiwe aisee?
@abubakarkassim4161
@abubakarkassim4161 3 ай бұрын
Huu si muungano wa hiyari ndio maana ukitembelea bunge lascotland unakuta mwalimunyerere alikaa Scotland mwaka moja na nusu kuusoma muungano wa Scotland na England na ukisoma kitabu kwaheri ukoloni na kwaheri uhuru unakuta kwamba muunga haukuwa wa hiari
@feintmwashikumbulu8097
@feintmwashikumbulu8097 3 жыл бұрын
Muungano wa Americans si wa hiari ndio maana kwenye katiba yao anaye hoji kuhusu muungano anashitakiwa na hukumu yake ni kunyongwa
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 2 ай бұрын
Sio kweli states kibdo zimejitowa
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 50 МЛН
IFAHAMU HISTORIA  YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
9:17
TBConline
Рет қаралды 4,6 М.
HUKUMU YA KESI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YATOLEWA
3:38
IJUE HISTORIA YA TANGANYIKA KABLA YAKUPATA UHURU
11:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 36 М.
Prof. Palamagamba Kabudi Amwaga Madini Bungeni
41:02
Global TV Online
Рет қаралды 108 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН