Nani anangalia hi nyimbo 15/03/2019 gonga like yako hapa kama unangalia hu wimbo
@furahamwaisemba65323 жыл бұрын
Kiukweli wasanii wa zamani walikuwa wabunifu sana kiukweli style ya kali P hakuna mpaka sasa, Mr nice, Mack dizzo, O ten, Soggy, East coast team, TMK, Majitu, Sugu, Mike T, Park line jman na wengine wengi 2021 tumekumbuka sana mziki wenu na tunawapenda sana...
Kama unaangilia ngoma hii 2020 gonga like kwauzuri said
@BGHaule2 жыл бұрын
Mimi naiangalia leo 2022
@mcfrancis6022 Жыл бұрын
kama unacheki ngoma hii 2023 gonga likeee🔥🔥🔥🔥
@straightkonect16135 жыл бұрын
Kali Popote tungo zilikua uniq mzazy mziki kama huu haupati enzy hizi na hakuna producer ka Majani
@georgeporgie9304 жыл бұрын
da yan kuna mda hadi nahis kutoa chozi nikikumbuka enzi za hii nyimbo nko na ishi kwa mtu ful mateso et leo nko kwangu da haya maisha ni karata in short old is gold kal p rud kwenye game jaman hakuna aliye ziba pengo lako
@meckkayya87665 жыл бұрын
November 2019 mzazi bado naimind hii ngoma
@simonnembomadola75123 жыл бұрын
Jamaa kawa swala tano sasa.
@travelahmbowe4375 жыл бұрын
Hivi kwa nin vitu vizuri tz haviendelezwi maaskini wabongo saivi eti wanaimba kwangwaru n tetema nyimbo ambazo hazin ujumb wwte kiukwel big up kal p tunaomba interview yako ata you tube
@sirizamwili3 жыл бұрын
Kamrudia Allah kwa sasa
@tonnyjob39825 жыл бұрын
nani anaielewa hii ngoma mpaka 2019
@simbasalumu53947 жыл бұрын
Nakukubali sana Kali popote punguani, unatisha sana, Saluti kwako
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR6 жыл бұрын
nani anaangalia wimbo huu 5/4/2018 hahahahahaaa
@venancemango98486 жыл бұрын
Armani Dior me
@abdulmtitu74786 жыл бұрын
Armani Dior bado 2naangalia xn,I wxh kpatkane kpnd kzma cha nymbo hz,zna2kumbuxha mbl xn
@salumsaid84046 жыл бұрын
salumu kipande nimekumbuka kipind nipo dalasa la tano 2001
@abibumlotwa27226 жыл бұрын
20-9-2028
@erickhaule86806 жыл бұрын
28/10/2018
@paulpama77034 жыл бұрын
Tunaoangalia 2020 Tujuane kwenye like💥
@richardadriano33644 жыл бұрын
tuko pamoja
@kbmhd7 жыл бұрын
anafanana na bashite
@gayanestory43576 жыл бұрын
Daaaah imekaa vibaya
@michaelsylvestre84755 жыл бұрын
Kweli kama bashite .
@hazaaahmadhazaa27704 жыл бұрын
MICHAEL SYLVESTRE na sasa inamuhusu kabisa
@jumaahemed70725 жыл бұрын
Nani anangalia wimbo huu mwaka huu 02/7/2019 like hapa kitambo sana
@El_dicto Жыл бұрын
2023 still a bang
@gilbertmsangi59695 жыл бұрын
Huyu jamaa nasikia saivi ni sheikh yuko kitanda kibeberu
@nelsonnevlin29193 жыл бұрын
Nimekuja kuicheki tena hii nyimbo baada ya Sabaya kula nyundo dooooh..imekaa vibaya
@alexjeremia76866 жыл бұрын
imekaa vibaya kweli maana natamani mziki wa sasa usiitwe big G uitwe muziki kama wa zamani 2018🔥
@yohanabundala91625 жыл бұрын
Ivi kweli Kali P umepotelea wapi!? Ukweli cjui kinachoendelea kuhusu kali P, bado upo kweli kaka, tumemiss nyimbo zako,
@sirizamwili3 жыл бұрын
Kashika dini kwasasa na muziki kaacha.
@SharifRajab-th9sm9 ай бұрын
Hivi sasa Kali P amekuwa Sheikh aliwacha mambo ya miziki, Allah amjaalie mwisho mema
@HussenUllangq5 ай бұрын
Kwaiyo uyu nishee kwasasa na uko wp kwa sasa 4:27 4:27
@salimumohammedsalimu17202 жыл бұрын
Mungu akuongoze sheikh kali p
@shabanlezzah922 жыл бұрын
Yupo wap uyu jamaa
@ramadhanjuma6104 ай бұрын
Amina Amina
@josephnguruwe72886 жыл бұрын
kwa wakati huu(2019) cdhan km angeruhusiwa kuuimba wimbo huu! Big up uliuimba kwa wakti muafka!
@januarypeter66637 жыл бұрын
jamaan enzi hizo raha sana mziki ulikuo una mvuta
@stephenbarnaba50616 жыл бұрын
January Peter Saanaaaaaaa
@tomplexbrigedier22826 жыл бұрын
Tofauti na sasa
@asserymmary26965 жыл бұрын
Bongo records...ts was Perfect those days ....
@rogersdavis30586 жыл бұрын
my uncle nakumbuka hii nyimbo bibi kabla yang ambae ww mama yako mzazi alikwambia unaimba imba imekaa vibaya kwa mimi mama ako nmekaa vizuri ndo chanzo cha kuach kbx na kuanza kurudi ktk dini yako
@stevemelodiaz75746 жыл бұрын
Rogers Davis yuko wap kwa sasa?
@rogersdavis30585 жыл бұрын
Yupo Arusha aliacha kuimba
@travelahmbowe4375 жыл бұрын
Tunaomba acc yake ya ista plz
@rogersdavis30585 жыл бұрын
@@travelahmbowe437 Hana Account
@mpamilamihayo7266 Жыл бұрын
Kitunda ndo makazi Yake au yuko kwa Ajili ya kusambaza Dini
@magrethelia10855 жыл бұрын
Huyu Jamaa Alimuoa Teacher alinifundishaga History secondary, Ameshika Dini hatari sala tano
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Uwiiiii 😆😆😆
@sirizamwili3 жыл бұрын
Sahihi kabisa..
@saidiuchebe52032 жыл бұрын
Uyu jamaa amechaguliwa na Allah kwaajili ya kutumikia dini tukufu ya kiislam yaan mm mwenyew namuonea wivu sanaa jinsi anavyoishi maisha ya dini
@shabanlezzah922 жыл бұрын
@@saidiuchebe5203 yupo wap saiz
@saidiuchebe52032 жыл бұрын
@@shabanlezzah92 uyu ni amiri wetu wa kitunda Halka ya beach Pemba yupo kibeberu apa
@josephmarigi63746 ай бұрын
Still listening 🎧 this dude 2024 Na Imetulia ijakaa Vibaya Kali P Alikua 🔥🔥🔥Enzi izo💪
@killarmancity75994 жыл бұрын
03/07/2020 bado nangalia kama na wewe unaangalia kama mm mpaka leo hii gonga like twende sawa na kali za Bongo enzi hizoooo😎😎😎😎
@stephenbarnaba50616 жыл бұрын
Hii ngoma inanikumbusha mbali std seven rest in peace teacher wangu wa hesabu alikuwa muhuni sana ukipata chini ya kumi kwa kumi badala ya kuandika mbaya sana anakuandikia Imekaa vibaya ukipata kumi kwa kumi badala akuandikie vizuri au vizuri sana anaandika Imekaa vizuri heheheeeeeee
@giftlugome95386 жыл бұрын
Stephen Barnaba 😂😂😂
@daniikirunda71136 жыл бұрын
Hahahaa
@geraldsanga48795 жыл бұрын
haaaaaaa haaaaaaa!
@kesslymm34125 жыл бұрын
Huyu ni amir now anaitwa amir hussein kaacha mziki kawa muhubir wa dini
@emmanuel_cs6 жыл бұрын
7-10-2018 nlkua sjui uyu jamaa anaitwa nani. Safi sana Kali p
@kesslymm34125 жыл бұрын
Anaitwa amir husseni now kaacha mziki
@maulidsaid94484 жыл бұрын
@@kesslymm3412 hivi Kwasasa yupo wapi huyu jamaa🤔🤔
@sirizamwili3 жыл бұрын
@@maulidsaid9448 Kwa sasa yupo kwake kitunda ana Shule ya kufundisha watoto na ni swala 5.
@modrikedward17793 жыл бұрын
W 2021 kama Umelud Tena Tujuwane Wahenga Wezangu..
@clementbabuu48113 жыл бұрын
Tupo
@kassimsalehe46125 жыл бұрын
Imebaki story songs za zamani walikua wanajua kuimba Sana sio ivi sasa
@magangakayola41754 жыл бұрын
Wasanii wa zamani walikuwa creativity sna yaan kila mmoja alikuwa na testa yake.
@adilibright88795 жыл бұрын
Like kama uko hapa October 2019
@emilyhyera6457 Жыл бұрын
Hii beat p Funk alimpendelea jamaa,,beat kali kinomaa
@DotoRamadhani-k1x2 ай бұрын
Dadek ngoma zetu aisee mbali sn duly sema tukuchangie uachie video ya nyambiz alafu ndani awepo posh
@festoignas41466 жыл бұрын
p funk unatisha baba naona vijana walikuwa wakal hatar
@godlovemrosso87155 жыл бұрын
hii ndio miziki ilokuwa na jumbe moja kwa moja kwa kweli ilivutia sana kwa sasa mm nilishasahau kama kuna wanamuziki Tz bora nisikilize gospel tuu
@rahmurajabu64505 жыл бұрын
Ebwana ngoma kali sana nimependa staili ya kuchana
@IamNjugush3 жыл бұрын
hii mwaka bado ijatulia imekaa vibaya sijui nirudi 2020 😢😢😢😢
@mtokambali23204 жыл бұрын
UBUNIFU ndio ilokua nguzo kuu katika Muziki wa Bongo Flava...
@jasonwatz74572 жыл бұрын
so sad wazazi wa bongo fleva wameacha ubunifu wana copy. hawataki kuumiza kichwa
@emmachuichui27997 жыл бұрын
Daah kitambo sana hii Kal P tumemc komedy rudi mzigoni
@ayubukassim7995 Жыл бұрын
Kali P i watch this Song in july 2023
@BarakaMwamweziАй бұрын
Mi naingalia leo 30 11 2024
@velejilyomhongole66983 жыл бұрын
28 Apr 2021 Naangalia hii Ngoma like Twende pamoja
@eliasmjelu47943 жыл бұрын
tupo pa1
@vincegelas4 жыл бұрын
Tujuane tunaoangalia hii ngoma 2020 na hii corona. Cjui turudi kijijin maana mjini hapafai hapajatulia
@Kareem-u8oАй бұрын
Mahadhi ya nyimbo hii inanifurahisha kwa kweli 11/11/2024
@kingshaat11014 жыл бұрын
Dah Kali P alikuwa bonge la story teller asee!
@victoriakasiani94106 жыл бұрын
Dunia rudi kidogo nyuma...
@emmanuelnicholaus67446 жыл бұрын
hahaaaa ndo haiwezekani mami lao
@zakatumbuka88562 жыл бұрын
2022 bado imekaa vibaya🙌🔥🔥
@jimmiequan696 Жыл бұрын
Ostadh kali p🔥
@jafaripaje53665 жыл бұрын
It reminds my hard time in Dar es salaam.
@showfive44133 жыл бұрын
Unajua mi ndo naiona kwa mara ya kwanza hii nyimbo 😀😀😀
@makorabomakorabo57256 жыл бұрын
Imekaa vibaya hta ingetoka mwaka huu ingekua ya moto✅✅✅
@asiakibonge46995 жыл бұрын
Imekaaa vibiya kipindi hicho charii nikitumwa barafu napita kuchaza mpaka linakua maji aiseeee miaka inaenda
@officialK-looh3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ramadhanseif45646 жыл бұрын
Long time kinyamaaaaaa dah imenikumbusha mbali xna
@wigofleva614211 ай бұрын
2024 still a bang
@johnlori20504 жыл бұрын
2020 still a Bang 🔥
@rasdarkvanbraize Жыл бұрын
🎉old is Gold 2023🔥
@normanleo22686 жыл бұрын
2018 September and I am here listening to this classic
@tmarleypaul90526 жыл бұрын
kali to the p hatari sana tym ileeeee
@emamuharamain45525 жыл бұрын
Kipindi hiki kulikua hakina kuibiana beat...lakin right now 2019 mmmhhh...
@loveness1017 жыл бұрын
Nilijua uncle bashite .. hihihi
@ibrahimmatola15293 жыл бұрын
Still 2021 tunacheki ngoma za wahenga majani ni mkatili sana beat kali haijawahi tokea
@johnmbugani65324 жыл бұрын
Kweli hii imekaa vibaya hata leo hii
@tgeofrey7 жыл бұрын
One of The best
@ginithandavid19845 жыл бұрын
Tumaini Temu
@idrisaabel84173 жыл бұрын
🔥🔥2021 still listening beautiful 🎶
@kiutuuzima44114 жыл бұрын
17.07.2020 Kama Umecheki mwaka huu Konga Like twende sawaa
@martinemanuel97828 жыл бұрын
haha nimekumbuka mbal asee hii ngoma mpaka kesho kutwaa ina uhai
@jeroenmwaisupule4125 жыл бұрын
14/04/2019 imekaa vibaya🙌🙌
@immanuhu32345 жыл бұрын
Dah kama kawacha Muziki kawa ustazi Allah amnusuru sana na naomba nambazake pls jmn
@qaboossaid22596 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali
@jacksonmtungilehe78632 жыл бұрын
2022 still
@saidsalehe40756 жыл бұрын
Aiseee huyu jamaa ni nomaaaa
@arcardbessa8105 Жыл бұрын
2023 am here!
@praygodkweka28845 жыл бұрын
Nan tupo naye tunaangalia hii ngoma?? 9/2019
@osumrope20963 жыл бұрын
2021 bado naishi nalo hili goma 🙌
@omaryeba18623 жыл бұрын
daaah kama unaangalia hii ngoma 02/06/2021 gonga like ...
@jerrykaye11395 жыл бұрын
Huu haan master 😁😁🔥 2019.......9019 ?
@geofreykapangala796 жыл бұрын
mfundi Kitunda )jamaa alikuwa anatisha sana
@peteroronge76679 жыл бұрын
huu wimbo naupenda sana jamaa alikua anaimba comedy tu
@AllyMnumba5 ай бұрын
Musituone makolo ndg zetu
@fidebaraka44516 жыл бұрын
daaa aliimba kikwetuuu mpaka raahaaa
@zephaniajosia1077 Жыл бұрын
Rip kali popote. Ulitishaa sanaa
@ilovejesus93034 жыл бұрын
2020 from USA👌👌👌👌
@nereah99725 жыл бұрын
Na hujatulia kweli akilili zako unazijua mwenyewe
@kaundasutikaunda77694 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@hassanmpwepwe38263 жыл бұрын
Nipo umu 2021 enzi ze2 izo
@edwardlucas43154 жыл бұрын
Hii nyimboo inanikumbusha kipindi Cha turera
@imbatokamoyoni22095 жыл бұрын
Halafu mnawaita kina hamorapa ndio wasanii maaanina wallah
@thecounter11224 жыл бұрын
Leo meamka na vibe la hii ngoma 2020 #corona
@japhethkipkurgat7993 жыл бұрын
2021 listening to this ubunifu
@mashashpastory74672 жыл бұрын
April 2022 still 🔥🔥
@lowkeybongo2 жыл бұрын
2022 🔥🔥🔥
@innoswila9655 Жыл бұрын
🤣🤣 still watching this! 2023
@mohamedmakambajeki23296 жыл бұрын
Bonge LA nyimbo hili
@othmanmsofe49093 жыл бұрын
Huuu....! Haaaa....! Mastaaa 2021 january
@mariamartn22985 жыл бұрын
uyuuu Kali p ataakirudi leo still konkiikwenye game