Magufuli Part 2 mungu akupe uzima uje uwe rais wetu
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Wewe Asikali Mkubwa Akikosea Kaa Kimia Badae Atajua Kama Alikosea Mambo Yataisha Lakini Mdomo Mdomo Wa Majibizano Sio Vema Jifunzeni Kujua Ukubwa Wa Vyeo Na Ukubwa Wa Kuzaliwa Cheo Cha Uwaziri Kikubwa Kwenye Taifa Nawewe Kama Asikali Ujue Mipaka Yako Wacha Kubishana Na Mkubwa Wako Mbere Za Uma Subili Ukweli Unaujua Wewe Badae Fikisha Ukweli Sasa Unazani Yeye C Binadamu Yeye Ni Binadamu Anakosea Muda Mwingine Lakini Ukiwa Unaujua Ukweli Nyamaza Badae Fikisha Ukweli Wako Kwake Utaendelea Na Mambo Yako Vipi Wewe Asikali Ujui Nizamu Jifunze Kueka Mipaka Yako Na Kulinda Eshima Yako Na Ya Mwingine Pia
@bockerbocker8495 Жыл бұрын
Watu wamesahau majukumu yao ya kazi,wamebaki kupambana na mbao
@amanafi1288 Жыл бұрын
Sasa hii shida sampuri hii ni Nchi nzima. Huyoo OCD,DC,RPC,RC n.k wapo wapii na Watendaji waoo... Jamn... Afu ndio mnawapa maneno kina Tundu ya kuongea.
@mbwanahasan2971 Жыл бұрын
Yani mzee majaliwa hata kama sina mb huwaga nakopa Ili nikutafute
@alumonkisinda4574 Жыл бұрын
Fukuza huyo hana maadili ya utumishi huyo sura inaonekana kanyanyasa sana huyo sura yake anaonekana ni kibaka anaweza pita hata kuku
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
Hv ww unapata wapi madaraka ya kumwambia waziri mkuu ET SIO KWELI DAAA HV WW NI ASKALI KWELI JMN CZ KTK HIZI KAZI KUNA KITU KINA ITWA SUPPORT YOUR SEPIRIOR,,HATA KAMA KAKOSEA WW SEMA NDIO SIR BAADAE YANEISHA,,IMENIUMA XAN KUMUAMBIA WAZIRI WANGU MKUU ET SIO KWELIII,,,KUWA NA MAXIMUM DISCIPLINE BRO
@damaspmtz1018 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa, utakiwi kubisha kitu ambacho teyari kilisha chunguzwa
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Askari hapo amefeli,,,,
@erastomapunda1444 Жыл бұрын
Kwani yeyeni mungu?
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
@@erastomapunda1444 hata biblia imesema KUTIHI MAMRAKA YALIOPO DUNIA
@praygodmtui1407 Жыл бұрын
Waziri mkuu amemsamehe
@yasiniselemani2412 Жыл бұрын
Aya mkuu umegusa penyewe
@bahatijuma8233 Жыл бұрын
Waziri mkuu 2025 chukua form ya Urais
@severinimkini4116 Жыл бұрын
Wanaoratibu/ kupanga safari za Waziri Mkuu wampangie afike na Kata ya Pangani ya Kibaha mjini
@richardhosea8827 Жыл бұрын
Butwaaaaa kapigwa ganzi
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Wanaziuza hao wasikudanganye wezi nao hao
@ramadhanimkude5744 Жыл бұрын
Limemshuka tena inaonekana kibri aswaaa filisi huyo
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Hana nidhamu kabisa huyo afande
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Dhulumati sana hao ndiyo kazi yao fukuza kabisa
@evancetarimo1310 Жыл бұрын
Huyu imeisha iyo siku yakufa nyani
@tetemaboy8367 Жыл бұрын
😁😂😅😂 wilaya yetu hiii
@bahatijuma8233 Жыл бұрын
Hao ndio watumishi wetu, vijana wenye nia ya dhati na hizo kazi hawazipati wanapata vijana kama hao