WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO MAZITO, AWAPA MASAA “NAPOSEMA SASA HIVI POPOTE PALE WALIPO WATAFUTE"

  Рет қаралды 41,291

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Jamaa linapiga kazi hili! Hiki kiumbe tukilinde sana! Mtu asije akamgusa! Ishalah uyu ni Raisi wetu ajaye baada ya Mama Samia! Atake asitake!
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Жыл бұрын
Ata Mimi natamani sana kumuona kwenye hiyo nafasi siku moja
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
MUNGU, tunamtaka huyu kuwa Raisi wetu 2025.
@amosjose3104
@amosjose3104 Жыл бұрын
Majaliwa nakuelewa sana, waziri mkuu wangu
@leonardleonard6164
@leonardleonard6164 Жыл бұрын
Huyu ndiye Raisi wetu 2025,piga kazi nakuelewa sana Majaliwa,Mungu atulinde tukutane 2025
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Anakua Rais 2025 kwa utaratibu upi nchi ipi
@rammykandra2354
@rammykandra2354 Жыл бұрын
Raisi wangu 2025❤❤❤
@allyzumo5832
@allyzumo5832 Жыл бұрын
Aaaamin na ww ALLAAH akupe afya njema na hekima spika mamaaetu mpole na mkarimu mchapakazi, inshaaALLAAH kheer
@jeconiamlonganile2443
@jeconiamlonganile2443 Жыл бұрын
Mbadala wa magu jembe lingine hili ccm
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Uyu huwezi mfananisha na Magu wewe! Uyu yuko level nyingine! Sifa yake ana uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi na anashaurika!
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Mungu akuhifadhi Waziri mkuu
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Жыл бұрын
Majaliwa ni Mh Rais 2025.
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Jamani CCM mpen urais uyu mwamba mama akimaliza
@alextemba6818
@alextemba6818 Жыл бұрын
P P
@alextemba6818
@alextemba6818 Жыл бұрын
P P
@alextemba6818
@alextemba6818 Жыл бұрын
P
@alextemba6818
@alextemba6818 Жыл бұрын
P
@jombilozoo
@jombilozoo Жыл бұрын
Well done Honorable Prime Minister
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
mashaAllah prm minister saut yak ina sera na busar nzr
@hassankhamis4117
@hassankhamis4117 Жыл бұрын
Natamani huyu mja mola amfanyie wepesi ifike siku awe rais wa Nchi.
@mrbabadtz9074
@mrbabadtz9074 Жыл бұрын
Yes Upo sawa ,watu wamelima ,wamepalilia ,wameweka mbolea eti wafukuzwe ghafla sio sahihi mh .Waziri upo sawa ufafanuzi wako nimeupenda sana
@rezicky
@rezicky Жыл бұрын
Majaaliwa kama majaaliwa Allah akulinde na hasadi
@BettySolomon-ud8ch
@BettySolomon-ud8ch Жыл бұрын
Nia nzuri sana ya waziri mkuu elimu kwa jamii na umhimu wake.
@kichaukatanzania4366
@kichaukatanzania4366 Жыл бұрын
Maelekezo ya Serikali ni mazuri sana. Serikali inayo dhamira ya kuwasaidia Wananchi.
@mch.deosinkala3120
@mch.deosinkala3120 Жыл бұрын
Ila watendaji ninwazembe hawana uchungu na wana nchi na Rais wetu
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Жыл бұрын
Namukubari sana Mh majaliwa
@JOSEPHSamson-wt4wy
@JOSEPHSamson-wt4wy Жыл бұрын
Majaliwa umejaliwa sana Were are expect next year vote for u.
@mudolyomanzil6502
@mudolyomanzil6502 Жыл бұрын
Huyu ndo anafaa kuwa rais
@mabulajoel1967
@mabulajoel1967 Жыл бұрын
Tumika kwa kuongozwa na Mungu pia kwa maendeleo na masilahi ya Taifa lako mheshimiwa.
@felistamwashibanda7764
@felistamwashibanda7764 Жыл бұрын
Jamani majaliwa Mungu akupe umri mrefu uendelee kututumikia
@munaahmed8499
@munaahmed8499 Жыл бұрын
Nakuombea dua sana mwaka 2025 Allaah akujaalie uwe Rais wetu kizazi cha Magufuli kilichobaki madarakani na unayechapa kazi bila kuangalia sura wala kabila ni wewe tu sasa kwa wale wenye akili timamu na wapenda amani tunakuombea umri insha Allaah Rais mtarajiwa
@barakalonare1422
@barakalonare1422 Жыл бұрын
Wanawake wanatupeleka mbio awa
@floramlowe7078
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Mmmh jamani kwahiyo hao waliofanya unyama huu mnawafanyaje kwas huo ni unyama mkubwa waliofanya
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 Жыл бұрын
Hili Bunge likiongwozwa na Dr Tulia Mungu Akutunze.
@kawawamaige2973
@kawawamaige2973 Жыл бұрын
Hongera kwa maamuzi ya busara chapakazi
@angelleonard7086
@angelleonard7086 Жыл бұрын
Uhakikaa we ndo rais wa Tanzania 2025💪💪💪💪
@RojasZebanga-o9t
@RojasZebanga-o9t Жыл бұрын
Mbona uvinza sisikii?
@paulhando6286
@paulhando6286 Жыл бұрын
Kweli baba huyu anachapa Nazi sana, lakini baadhi ya wasaidizi wake (mawaziri) naona wapo kwa maslahi yao. Kazi zinaenda kwa nguvu za majaliwa. Mama amchagulie mawaziri wenye uwezo na uzakendo. Majaliwa Mungu akulinde
@peemsafi6068
@peemsafi6068 Жыл бұрын
🇹🇿 tuache kutengeneza matukio ili tuonekane tunafanya kazi tuchape kazi kwa uzalendo wazili mkuu fanya kazi yako tunakuelewa sana wabambanaji
@mwasangwaleagriculturalact8510
@mwasangwaleagriculturalact8510 Жыл бұрын
Yupi katengeneza tukio?
@RojasZebanga-o9t
@RojasZebanga-o9t Жыл бұрын
Uvinza mbona kimya? Mbunge wa kigoma kusini anapaswa ajitathimini
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Жыл бұрын
Hii ndio serekali ya Mama Samia kila muhusika anafanya maamuzi yake sahihi anapoona jambo linamuhusu kulitatua bila kuogopa Amri jeshi Mkuu atanielewa? Hongera Rais Samia Suluhu Hassan. Umewacha mlango wazi kwa Wasaidizi wako kufanya kazi bila woga au uoga.
@rajaarajaarajaa7259
@rajaarajaarajaa7259 Жыл бұрын
Huyu ndo rais wang
@sebastianmathew8475
@sebastianmathew8475 Жыл бұрын
Shalom nawasalimu ktk jina la Bwana wetu Yesu. Kama Kuna kuharibika kwa nchi hii ni ktk kukosa umakini wa Hali ya ya uwajibikaji serikalini kulinda Mali asili vyanzo vya maji pamoja na wanyama na madini tukikosa umakini Tanzania tutakuwa maskini wa kutupwa. Umakini ukiwepo na uzalendo ukiwepo miaka kumi ijayo Taifa letu litakuwa Taifa lenye nguvu kiuchumi na kiutlii. Viongozi wetu mwogopeni Mungu Taifa liwe salama ushoga pingeni kabisa na wafundishwe mapema kujilinda na walawiti mashuleni.
@kibonajuhudi4214
@kibonajuhudi4214 Жыл бұрын
Huyu mwamba angepewa Nchi tuu
@branconotorious1164
@branconotorious1164 Жыл бұрын
mkuu wa mawazir mr kasik majaliwa nakuomba sana nnakula yako mm 2025 naomba ugombee urais wa Nchi hii
@husseintwaha1737
@husseintwaha1737 Жыл бұрын
Mnatengeneza matatizo then mnatumia ghalama kubwa namna hii
@mastaplan
@mastaplan Жыл бұрын
Kwanini kusiwe na Mkuu wa Serikali za Mitaa peke yake na msaidizi wake na iwe kwa kila kanda alafu hao wakuu wa kanda wawe wanawasirisha taarifa kwa wakuu wao au mkuu wao? TANZANIA
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Angesimama hivi wakati Wabunge wanapiga kelele ya matumizi mabaya /wizi wahela za seikali hasa kodi zetu angeeleweka .lakini wamekaa kimya kama hakuna kilichotokea.
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
Kwani hii tanapa ni nani
@RojasZebanga-o9t
@RojasZebanga-o9t Жыл бұрын
Kuna mgogoro mkubwa sana uvinza
@emmajoshua4858
@emmajoshua4858 Жыл бұрын
Ww nikiongoz ambae unathamin wanainchi wako ndio maana jpm alilioma hili na akakuteuwa ww kuwa kamanda mwenye nguvu yakupambana na adui vitan naweza sema majaliwa kasimu majaariwa ww ni kiongoz pendwa kabsa wataifa letuu la Tanzania na Africa kwaujumla ningekuwa nauwezo ningekutana nawewe na nikakupa angarau zawad ila mungu akubariki kwahiki ulichokisema naamin awo niwanainchi wenye maskio na akili wakitamka mema nizaid ya zawadi mungu pekeee asantee baba🙏🙏🙏
@emanuelsagenge2418
@emanuelsagenge2418 Жыл бұрын
👏👏👏
@jumaahagu4764
@jumaahagu4764 Жыл бұрын
Hafai kuwa Rais muongo Miongo hasa kitendo cha kuongopa msikitini kifo cha magufuli
@sadockkayinga6893
@sadockkayinga6893 Жыл бұрын
Sekta ya maliasili kupitia askali wake hawafuati Shelia sio hukotuu mfanye uchunguzi nchi nzima
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Nilijua unasema apewe uraia 2025
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 Жыл бұрын
Yas
@jumaahagu4764
@jumaahagu4764 Жыл бұрын
Kwa Rais hamna kitu kitendo cha kuongopa msikitini kifo cha Magufuli hafai kabisa
@ZahrasaidiSaidi-ux4ru
@ZahrasaidiSaidi-ux4ru Жыл бұрын
Baba piga kazi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
Majaliwa umepoteZa dira .
@jessemathew4696
@jessemathew4696 Жыл бұрын
Kwani mwanzoni ilikuwaje!? au nchi inauzwa taratibu...
@success-only
@success-only Жыл бұрын
Serikali inatengeneza matatizo yenyewe
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
tatizo hiyo serekali yenyewe ndio ya mwanzo kuvunja sheria wanazo zitunga .
@Mr.P382
@Mr.P382 Жыл бұрын
Huyo wa nyuma yako mwambie apunguze tozo na kodi
@samwelimarwa5267
@samwelimarwa5267 Жыл бұрын
Serikali yetu ni sikivu,Tarime vijijini ni wilaya mpya,ili ipate maendeleo la lazima serikali kuu iiwezeshe sana,ikizingatia miundombinu yake,mali ya asili ilipo iweze kuwainua kiuchumi,kisiasa eg mgodi wa nyamongo unaingize fedha nyingi sana,kilimo pia ;Tusipuuzwe kabisa hata kidogo.
@MohamediKassimu-d4c
@MohamediKassimu-d4c Жыл бұрын
Tumemridhia ccm mpeni urais
@sumaKaya-rd7ms
@sumaKaya-rd7ms Жыл бұрын
Tunaiman nawe unatufariji busara unazo ccm siku wakikusimamisha utapata kura zote za ndio
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 71 МЛН
КОГДА К БАТЕ ПРИШЕЛ ДРУГ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
My MEAN sister annoys me! 😡 Use this gadget #hack
00:24
JOON
Рет қаралды 4,7 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 74 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 200 М.
Sugu aanza mikutano, amtaka Dk Tulia wakutane 2025 jimboni
7:50
Mwananchi Digital
Рет қаралды 41 М.
WAZIRI MKUU atoa agizo kwa RPC  MARA tukio la Mwanaume aliyetekwa
9:22
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,1 М.
MEDANI ZA SIASA: KITI CHAMOTO NA TUNDU LISU - 03/11/2024
1:06:40
Star TV Habari
Рет қаралды 38 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 71 МЛН