Nimetoa machozi nilivyosikia hii video baba mungu akulinde uishi miaka mingi uendelee kutusaidia masikini kama sisi
@hajimnzava19722 жыл бұрын
Nabii mkuu ,wapeni watu vitu nanyi mtapewa kipimo chakujazwa nakusukwa sukwa hongera nabii
@lovecaretv62842 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu azidi kukuinua na kukubariki ktk huduma hii, yaani nimeguswa,,upendo husitiri wingi wa dhambi,,Mungu anisaidie nipate kuja na mume angu ututamkie jamani ungekuwa Dar es salaam
@francinesoniacicura73252 жыл бұрын
Hoooo MUNGU mukubwa kweli tena anakupa watoto waziri kweli 🥰🥰🥰🥰
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Amina baba tunashukuru dum kuwa bora
@danfordmahumi2322 жыл бұрын
Wewe ndiwe Kristo wa Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@owemanziolivier42662 жыл бұрын
Glory be to God Man of God! Mtumishi wa Mungu kweli kweli wa kujaa upendo na nguvu za me Bwana Yesu.
@tatianamnyiamba64162 жыл бұрын
Kaka Mungu akasimame na familia yako.una watoto wazuri mnoo.Yesu awatunze na kuwalinda
@revenantyfoya9112 жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@anntosh1955 Жыл бұрын
Baba Mimi sini watoto me from 🇰🇪
@peterkitulanya81252 жыл бұрын
Mungu hakika hufanya jambo jipya dunian kutupa tumaini njema Tanzania kutupa Nabii mkuu km huyu Jo Devid.
@yelemiakametakameta37012 жыл бұрын
Mungu akubaliki mutumishi wa kee
@coolzeddy_official92162 жыл бұрын
Ubarikiwe sn Baba Geordavie
@eunicemuigai53842 жыл бұрын
Waoo l like it man of God be blessed 🇰🇪
@mariamelia39062 жыл бұрын
mungu akuinui baba angu
@habibajohn89672 жыл бұрын
Huruma sanaaa
@latifakhamis71322 жыл бұрын
Ww ni mchungaji wabkipekee sana mwenye huruma da sijawahi kuona mchungaji kama ww ubarikiwe sana
@salomenchimbi68512 жыл бұрын
Hapo ndio uwa nakukubali sana NABII yani Mungu akuzidishe sana sana sana
@laurencemassawe91002 жыл бұрын
Da Mungu akakuinùe sana brather
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
BWANA YESU KRISTO AKUBARIKI SANA BABA TUNGEPATA WATUMISHI DUNIANI WA AYINA HII KWAKWERI WATUMISHI TUNAO HUBIRI INJIRI ZA KUZUNGUKA VIJIJINI TUSINGE TESEKA
@samwelmollel6022 жыл бұрын
Tunashukuru baba Sana sana dumu zaidi
@mckingu40042 жыл бұрын
Grace uko wap jmn
@lovecaretv62842 жыл бұрын
Naomba nionane na mtumishi Mimi pamoja na mume wangu,,
@alicenalulwe842 жыл бұрын
Amen may I get help too from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@phillimonmapesa98062 жыл бұрын
Kweli wewe ni mtu wa Mungu
@scolasticaadam74032 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi mtumishi mpo sehemu gani
@paulolawasare20422 жыл бұрын
Kisongo,, Arusha
@briaynalleni46082 жыл бұрын
Mzee nashida Sana yanii Dahhh natamanii at kukuona ilinieleze shida zangu nabiii naomba at kukuona au namba zangu,
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
HUYU NABII ANANIBARIKI SANA AMETEMBEA KWENYE KANISA RAKWANZA NA NDIO MAANA ANAINURIWA HUYU USITUSAHAU KWENYE MAOMBI BABA UNAPO OMBA TUTAMKIE NASISI BARAKA MIMI NAITWA AMIRI NIMEOKOKA TOKA UISRAM NIRIKUWA SHEIKHE SASA NAMHUBIRI YESU KWAGARAMA ZOTE VIJIJINI NA MIJINI SEMINA ZA NDANI NA MIKUTANO YA INJE TUOMBEE BABA
@juliethsarwatt43462 жыл бұрын
Inagusa sn baba Mungu akuweke milele
@phillimonmapesa98062 жыл бұрын
Nabii mkuu ubarikiwe
@salim02tv242 жыл бұрын
Ongeraaa
@restypeter11412 жыл бұрын
Jmn baba Mungu akuwekee jmn😭😭😭😭
@dainessukosi Жыл бұрын
🙏🙏
@habibajohn89672 жыл бұрын
Jamniiiii
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
MAANA TUNGEPEWA SAPOTI NYINGI SANA INJIRI IMEKUWA NGUM WATUMISHI TUNASHAUKU YA KUTUMIKA RAKINI UNAPO ENDA KANISANI KWA MTUMISHI ARIYE INURIWA UNAMKUTA ANAKUZIHAKI ANAKUONA KAMA KICHA TUU
@jacklineernest3155 Жыл бұрын
God 🥹🥹❤️🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@irenechris54182 жыл бұрын
😭😭 Amen
@elinajoram47382 жыл бұрын
Jamani baba yuko wapi
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
kama namjua huyu kijana😂.hongera
@joshualaizer63792 жыл бұрын
Mungu atupe Nini Tena mungu akubariki baba yangu
@salmampinga49952 жыл бұрын
Zaidi ya Nabii Mkuu hakuna, Tunashukuru sana kwa Zawadi hii.
@godifreyrogati59642 жыл бұрын
Jaman namba ya nabii naipataje
@browrinah93572 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah 🔥🔥🔥🔥🔥
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
IRA HUYU MTUMISHI ATAINUWA WATU WENGI SANA HONGERA KWA ROHO YAKO NZURI BABA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANA UZIDI KUTUSAPOTI WATUMISHI TUNAO HUBIRI INJIRI YA KUZUNGUKA
@josephatphat99882 жыл бұрын
Baba Mimi naitwa Denis jofrey nikibega wa s/kuu naomba unisaidie sh. Laki tano nataka kununua piki piki mana nmebeba mizigo miaka 2 nimefanikiwa kpata million 1 ko nataka ninunue pik pik ya million 1 na laki 3 alaf laki 2 nijiunge kwenye kijiwe chakfanyia kaz naomba unisaidie nabii wa bwana
@janethngowi10582 жыл бұрын
Ni wachache wa dizaini yako!
@خالدالبلوشي-غ6خ2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ZainabuJuma-yx4zv Жыл бұрын
Baba mtumishi nimeyasikia mafundixho yako yameniingia akilini baba mtumishi nilikuwa naomba Ela ya mtaji nilikuwa na mme kanitelekeza Sina maisha baba Nina watoto mwawili
@neemaruben54272 жыл бұрын
Mpk nalia jmn jmn
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Nabii wapekee dunianini
@hopejohnson73522 жыл бұрын
Baba naomba umuombee mdgo angu apate Kaz ni msomi lakin hajapata Kaz anaitwa sirivano
@raymondsanga41082 жыл бұрын
Amuombee vip Sasa jamani
@MteuleMabuku2 жыл бұрын
Sikuizi injili ya Kwenda mbinguni na Ubaya wa Jehanamu,Unyakuo na Ujio wa Mpinga Kristo, Haipatikani kabisa ktk asimilia kubwa ya makanisa, labda ni kanisani kwetu tu, Vipi kanisani kwenu ndugu yangu msafiri wa kwenda mbinguni?
@chalessabaya29382 жыл бұрын
Mtakatifu au mtumishi wa Mungu kumsaidia mtu pia kwani ni kosa jamn embu tuacheni unafk bana Mungu hapend
@jamesraphaelmdima47292 жыл бұрын
Kweli kabisa,na watu wengi hawajui kwamba tunaisi nyakati za mwisho,tunapaswa tutafute ufalme wa Mungu wala sio vitu.
@jamesraphaelmdima47292 жыл бұрын
Nahoyo mengine mtaongezewa/tutaongezewa!
@MteuleMabuku2 жыл бұрын
Charles elewa nilichokiandika..na swali nililouliza.. Vipi kanisani kwenu Semina au masomo ya Unyakuo,ujio wa mpinga kristo,na Ubaya wa Jehanum.,Je mnafundishwa au kuhubiriwa ? Mara ya mwisho ilikuwa lini? Karibu
@chalessabaya29382 жыл бұрын
@@MteuleMabuku sis hatunaga mwisho kila sku tunahubiriwa mafanikio unyakuo na vinginevyo ikiwemo utakaso
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
JAMANI WATANZANIA TUMUOMBEEE HUYU NABII SANA MAANA MIMI NIMHUBIRI WA NJIRI NAZUNGUKA SANA TANZANIA KUHUBIIRI NAKUTANA NAWATUMISHI WENGI RAKINI SIJAONA MTUMISHI MWENYE ROHO YA UPENDO KAMA HUYU NIRISOMAGA TUU KWENYE BBRIA YAKWAMBA MKANISA RAKWANZA HAPAKUWAGA NA MHITAJI WOTE WARIKUWA VITU SHIRIKA
@salummaleg15902 жыл бұрын
God bless you p
@melotkawaya42722 жыл бұрын
Salamu baba mungu akulinde vema
@mwajemwafula57772 жыл бұрын
Mambo ya sakoni yapo hivyo pale sterio Tmk wapo kama huyo lakini
@silivesattesha48372 жыл бұрын
Namfaham huyo jamaa msije mkasaema manabii wanatengeneza watu
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
UKIWA KUTUOMBEA MKEWANGU YEYE NIMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJIRI ANAITWA MERRY N MWAMBENE NIMPAMBANAJI SANA HUYU BINTI NIHAZINA KUBWA KWA BWANA NIMEPEWA NA MUNGU NAMSHUKURU MUNGU TUOMBEE TUNAHITAJI KUHUBIRI SANA TENA TUNAHITAJI KUHUBIRI TUKIWA NA VYOMBO VYETU VYAKUHUBIRIA OMBEA HII HUDUMA BABA
@amiriforjesus86892 жыл бұрын
JAMANI WATANZANIA TUMUOMBEEE HUYU NABII SANA MAANA MIMI NIMHUBIRI WA NJIRI NAZUNGUKA SANA TANZANIA KUHUBIIRI NAKUTANA NAWATUMISHI WENGI RAKINI SIJAONA MTUMISHI MWENYE ROHO YA UPENDO KAMA HUYU NIRISOMAGA TUU KWENYE BBRIA YAKWAMBA MKANISA RAKWANZA HAPAKUWAGA NA MHITAJI WOTE WARIKUWA VITU SHIRIKA