Yaaani mimi upenda nabii for free, yaaani hana araka, pole pole kama yesu kristo.... I really love sana🙏🙏
@enizetv51963 жыл бұрын
DADA NIMEKUPENDA SANA SANA UMEKUWA MKWELI HONGERA SANA
@sweetylyimo34623 жыл бұрын
du baba wewe unahuruma ya kupitiliza,mungu akuzidishie miaka mingi yente her duniani
@sweetylyimo34623 жыл бұрын
wewe ni baba wa UKWELI ,ona ulivyomsaidia huyu binti ,Nabii Geordavie,Nabii Mkuu Nakuombe Mungu akupe maisha marefu,kwani hata mimi bila wewe nisingefika hapa nilipo,nakupenda wewe baba wewe 🙏🙏
@glaury9938 Жыл бұрын
Baba bana daaaa eti ujajibu swali nakupenda bure mungu akutunze hadi nije tanzania nikuone baba mpendwa nabii mkuu
@fadhilimgonja99892 жыл бұрын
Hongera nabiii Mkuuu natamaniii nije
@godfreymwamaso24243 жыл бұрын
Amen napokea kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya kutooa kutojenga kutofanikiwa napokea kibali changu nyota yangu Amen
@josephitangishaka960 Жыл бұрын
Mungu ni mwema kabisa. NABII MKUU GEORDAVIE BABA YANGU. Afuu uyu mwanamke ni mukweri kabisa Baba.
@davidkainonge8153 Жыл бұрын
Utukufu Kwa mungu
@annandunguru69663 жыл бұрын
Naomba nami nitamkie kufunguliwa Baba naitwa Anna Ndunguru nimekupenda Sana Baba navyoona unawafungua watu nafrahi hadi nalia nataman sana nikuone cjui nifanye nn
@atieno49412 жыл бұрын
Good work
@atanacylaves4263 жыл бұрын
In the name of jesus frm oman
@abdulrahmanpaskalina76273 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Nabii wa Mungu!!!
@mercyshepherds72063 жыл бұрын
Baba Naomba unisaidie watoto wangu wanaishi maisha yasiyompendeza Mungu. Ninaomba Mungu wako anisaidie
@eunicedaniel39943 жыл бұрын
Navunja mahusiano yote niliyo fanya na wanaume ameen
@janethkinabo34862 жыл бұрын
Napokea kufunguliwa baba
@aryanamendes87003 жыл бұрын
Daaaa shidaaa
@abdulrahmanpaskalina76273 жыл бұрын
Pole sana!🤔
@doreenlyimo41423 жыл бұрын
Napokea kwa Jina la Yesu
@lilliankathure98123 жыл бұрын
Mungu wambinguni akubariki
@Estherm3093 жыл бұрын
Ubarikiwe nabii
@vestinedusabe42853 жыл бұрын
Natamaani nikutane nawewe nabii nakupenda from Rwanda
@uwangabechantal7203 жыл бұрын
Sha wimvugiribintu mbanifuza kuzahura nawe arko sinzi pe inzira nabinyuzamo uyumukozi wimana ntasazwe pe
@fadhilimgonja99892 жыл бұрын
Nabiiiii natajee mawasilianoo
@catherinemukami41902 жыл бұрын
Amen Amen
@eunicedaniel39943 жыл бұрын
Napokea kufunguliwa kupitia madhabahu ya ngurumo kwa jina la yesu
@abdulrahmanhunde88403 жыл бұрын
That's my dady wa madhabahu itowayo 🔥🔥na NGURUMO
@sophiamfikwa73403 жыл бұрын
I like this prayer 🥰🤲
@jackngota90143 жыл бұрын
Naeza mfikia vipi,kwatu kenya
@bonifacebeatrice80773 жыл бұрын
Naomba Baba unitamkie na mm maana yatosha. 🙌
@solonyamwita7773 жыл бұрын
Naomba mnisaidie no zauyo nabii namm nifunguliwe napia mnielekeze anapo patikana Ili namm aweze kunisaidia
@mercyshepherds72063 жыл бұрын
We Mungu nami ninayachukua Haya matamko kwa ajili ya mwanangu Masha
@magrethkimaro51403 жыл бұрын
Amen
@rosekungu57313 жыл бұрын
Niwapi..nabii..unapatikana
@magrethkimaro51403 жыл бұрын
Arusha
@jelidahkeruxhi23313 жыл бұрын
pastor please I need maombi
@solonyamwita7773 жыл бұрын
Jmn mnapatikana wap?
@rogathmassawe74803 жыл бұрын
❤❤❤
@sophiamfikwa73403 жыл бұрын
Nami natamani siku moja nifike katika kanisa hili
@mathsmeme-tv65763 жыл бұрын
🔥🔥
@fatufatu57543 жыл бұрын
Jmn nahitaji msaada kutoka kwa na biii naomba namba za cm
@imanaljabry74632 жыл бұрын
Nina omba unitowe katika giza
@solonyamwita7773 жыл бұрын
Jmn naomba mnielekeze anapo patikana uyo nabii Ili niweze kuja hapo kanisan Ili namm anifungulie mnisaidie namba zake jmn
@cynthiakanini63433 жыл бұрын
Nabii niombeee
@petermsechu1519 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 Wanaume Sie Sio Watu Wazuri Kabisa Daah yani Vijamaa Vinagonga tu Vinaacha ilimbidi Atafute Mzee Huwenda Akatumia nae daah Nando inavya Kuwaga Mkitulingiaga Sana Badaee Mkija Kubuma Basi Wazee Wenu Wanajisevia Mizigo Poleni Sana
Naitwa Lydia.Niko Kenya Nabii Mkuu. Nataka kukuona, sijui nitafikaaje huko. Niombee ili Mungu aniwezeshe kufika huko Arusha. Sijawahi toka inje ya nchi yangu Kenya
@elvinakahindibaya57993 жыл бұрын
Jaman nataman n fike hapo madhabahun baba
@jescajulius24383 жыл бұрын
Baba naitw jesca Paulo naomba nitamkie kuhus famlia yangu kuna ugomvi mara kwa mara hatuelewan lkn sku zngine hali inakuw kawaida naomba nisaidie pia hakun ktu tunakifany kiendelee mwanaume anafany kaz hela haionekan
Nabii wa Bwana naomba namii unisaidie Kama huyo Dada Baba tusaidie yatosha.
@youngboss67453 жыл бұрын
Naomba nikutane nawe nabii mkuu niko Kenya
@faustinbonzengasenga18493 жыл бұрын
baba mungu akubariki sana mimi niko Congo
@faustinbonzengasenga18493 жыл бұрын
namuomba mungu anisaidiye siku moja nikutane na wewe
@ritalissu11233 жыл бұрын
Baaba na mm nitafika
@sophiamfikwa73403 жыл бұрын
Dada kanitoa machozi 😢😢
@babyneytemu5253 жыл бұрын
ratiba ya ibada naomba
@nyuprayerline84433 жыл бұрын
Ibada kuu ni jpili kuanzia saa sita mchana
@wakembetajaphary60062 жыл бұрын
@@nyuprayerline8443 wap jmn huko
@lylyjaydia37143 жыл бұрын
Natamani kufik Apo ila ayiwezekani
@faridaaloyce76723 жыл бұрын
Natamani nikuone...jamani
@elizaenesti80253 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe na mm naomba unifungue kwajina la yesu,
@jelidahkeruxhi23313 жыл бұрын
naitaiji kuongea n ww
@charlesjoseph68473 жыл бұрын
Kwanni hizo Siri usimueleze MUNGU aliyesirini muumba mbingu na nchi. yote kwake yanawezekana
@sekellantondolo4233 жыл бұрын
wewe kwa akili yako unafikiri hajawahi kumueleza Mungu? au unafikiri watu hawajielewi???
@abdulrahmanhunde88403 жыл бұрын
INASIKITISHA,Kwa hivyo uyo mungu atashuka mwenyewe kutoka mbinguni amfungue na ampe hela ya kwenda moshi na kurudi mtwara Huyu ni NABII MKUU KINYWA CHA MUNGU.
@nyuprayerline84433 жыл бұрын
@@abdulrahmanhunde8840 safi sana
@josephinewema94083 жыл бұрын
Wakati MUNGU alitaka kuogea na sauli akuogea naye direct alitumia samweli..jibu unalo sasa?
@saimoniisack54463 жыл бұрын
Amen
@bonifacebeatrice80773 жыл бұрын
Amina
@karenjacob51753 жыл бұрын
Ameen kwa imani na mimi naponywa
@eunicekakitya78013 жыл бұрын
Naomba kujua vile naweza kuona Nambii , Tanzania wapi