Ni kweli kabisa kifo ni mlango kati ya Dunia na mbingu
@rosemary_gospelАй бұрын
Kweli tusiogope YESU yupo hongera sana Mtumishi
@hamzahkanuni4830Ай бұрын
Huyo dada anaemdai marehemu, kama anahitaji alipwe au umesamehe. Anatakiwa aende kw ndugu zake awaeleze
@norahmike7643Ай бұрын
Ajabu ni kwamba waandishi wetu hawapo proffesional kabisaaa, mambo binafsi yanahojiwa vipi ktk msiba???? Abdul kawajibu kwa HEKIMA sanaaa🤙
@AshaJuma-dz6hqАй бұрын
Wanakera sana
@sweetlisiousАй бұрын
mwanaume mchonganishi anaonekana tu, anaongea mambo meeeeengi mpaka aibu. OVYOO
@KhadijaMasoud-m6uАй бұрын
Ss kaongeya kipi kibaya Cha kuchonganisha
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Watu kwakuiga mambo eti wanasheherekea. Kifo baada ya majonzi. Inalillahi wainailahi rajuun
@RandB_ChannelАй бұрын
Jamani tuache kundanganyana mbinguni niyawale walio tengeneza sio unaka dunia I uko unafanya vitu vyahajabu hajabu eti mbingu utayiona. Diva haikalagi kimya subirini mabomu ju atajibu hakuna chenye kinakuwaga kidogo kwake
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
We kweli shehena. Kwanini utaje deni la marehem apo kwenye midia. Mbona anaemdai ajatangaxa kwenye midia
@swabahasaidi8590Ай бұрын
Huyu Abdul hiyo Hilo Deni Diva ungezungumaza watu wake sio kutia kwenye Mtandao lakini Wewe na Diva mushazoe Mchafu yenu mitandaoni
@CelinaMillingaАй бұрын
Waandishi na nyie mpo msibani halafu mnazungumzia maisha ya ndoa za watu hivi ni sawa??
@joesplatnumzАй бұрын
Kifo ni gate pass ya kwenda kua na muumba wetu
@user-to6up4hg2wАй бұрын
Well spoken
@CelinaMillingaАй бұрын
Waandishi na nyie mpo msibani halafu mnazungumzia maisha ya ndoa za watu
@wadhhasuleiman2621Ай бұрын
Unatoa siri za madeni ya watu walokopana kwa siri dah sheikh gani huyu
@omariputto3315Ай бұрын
Mmh kasheshe yan
@angeladegens7139Ай бұрын
Sipendi anavyoifanya midomo yake mala Ajilambe lips Mara atoe Ulimi nnjeee Khaaaaa🤔🤮
@McT-m1mАй бұрын
Muwe mnaacha naneno ya kejeli mtu anaulizwa lazima ajibu kana alivoulizwa
@aminakhamis508Ай бұрын
Si hapo unasema aliekuwa mke kwa maana sasa si mkeo tena
@amidabukuruАй бұрын
Ukitoa tu msamah inaswihi nuwia tu ku sameh basi inaswihi
@hamzahkanuni4830Ай бұрын
Aende kwa ndugu zake akawaambie kuwa amesamehe au adai
@aminasaid4174Ай бұрын
Silazima muhimu ni niya yke tu dear
@AminaMkumba-u3zАй бұрын
Kwanza Hadija alikuwa na ndo Tano Sasa baba mtoto ni yupi
@MkundeLugulaАй бұрын
Shemela kaongea wa taifa😂😂
@Mina.15Ай бұрын
Huyu na momo wote zero
@aliabdulrahman1202Ай бұрын
Marehemu ataka Dua hataki harusi ama kupatana kwenu
@aminakhamis508Ай бұрын
Sheikh ubwabwa au sheikh gani!
@KhadijaMasoud-m6uАй бұрын
Ht ww umept umaarufu kwaajili ya dida ulikuwa sio maarufu cn
@SabihaibrahimRajabuАй бұрын
Eti usherehekee mana umefurahi kufa kwake😂 sherehe haileti picha nzuri
@Pasca_f1kАй бұрын
Kifo ni sherehe yako ya mwisho,kuzaliwa tutasherekea ,ukiolewa au kuoa tutakusherekea na piah ukifa tushasherekea, japo inaumiza ila hatuna budi kusema kazi ya Mungu haina makosa,
@SabihaibrahimRajabuАй бұрын
@@Pasca_f1k kifo ni majonzi na huzuni sio sherehe
@WardaSaleheАй бұрын
Mwanaume anajilamba mdomo uyu kama dume la mbwa analamba kundu😅😅
@AmanaHusseinАй бұрын
Ndunguu si heri unyamaze to kuliko kucomment nonsense ukinyamaza utaitwa mjinga au😏
@TausiMokiwaАй бұрын
Kujilambalamba mdomo nayo iyo imekaa kaka 😂😂😂
@mfungonishauri4234Ай бұрын
Aende wasafi akalipwe
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
Kasha sema kasamehe 😮
@SabihaibrahimRajabuАй бұрын
Deli akaseme tu alipwe halafu azisamehe au amtolee sadaka
@FatmaHassan-t4qАй бұрын
Deni la hivyo km unataka kumswamehe marehemu.. inatakiwa ulipwe zile pesa zako unazomdai marehemu na familia yake..Kisha ndio uzirejeshe Kwa wafiwa Kwa lengo la kumswamehe marehemu. Yaani ni lazima uzishike Kwa lengo la kulipwa Kwanza.
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
Hata ukisema nimesamehe pia ina swihi 🙌🏿
@zuhuranasoro8923Ай бұрын
@@ruqaiamohammed345 nimependa ulivyomfahamisha
@zuhuranasoro8923Ай бұрын
Hata ukisema umemsamehe inakubaliwa
@raykomba-um2osАй бұрын
Huo mlolongo wote hauna maana,Ukisha weka nia kwnye jambo bac limefanyika tayar.