Kifo cha Karume 07.04.2019

  Рет қаралды 118,726

Channel ten

Channel ten

Күн бұрын

Miaka 47 tangu kuuawa Sheikh Abeid Aman Karume

Пікірлер: 96
@zynabmanyandeshi7143
@zynabmanyandeshi7143 3 жыл бұрын
Mama kaeleza vzr.... nimejifunza pia na kujua mengi.. R I P mzee KARUME
@fatumakadute7959
@fatumakadute7959 4 жыл бұрын
I love Zanzibar very sad indeed 🇰🇪
@ibrahimmhongole415
@ibrahimmhongole415 4 жыл бұрын
History nzuri Sana nimeipenda kiukweli mengi nimeyajua
@suleimanbakar6097
@suleimanbakar6097 5 жыл бұрын
Nchi imetekwa na wakoloni vichogo imekwisha,imebaki mifupa lakini mwenyewe hatujijui eti ndugu zetu wa damu!!nashangaa sana
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 3 жыл бұрын
Umesema vzr sana kaka na mm sielew
@akidashekue163
@akidashekue163 5 жыл бұрын
Alicho kosea Mzee Karume ni kusema mungano ni kama koti waweza vua wakati wowote.
@suleimanbakar3429
@suleimanbakar3429 3 жыл бұрын
Kwani hapa duniani kafa karume tu?Kila siku kifo Cha karume karume kwa jema gani aliyotufanyia ?lbda kututia kwenye utumwa wa tanganyika Allah amuweke motoni daima
@LumolaSteven
@LumolaSteven 5 жыл бұрын
Aisee huyu ndio wajina lake na Fatma Shangazi. Wamefanana sana mpka sauti
@alistairelias536
@alistairelias536 5 жыл бұрын
Nilitaka kucomment hivyo hivyo... Fatma shangazi ni copy ya bibiake kabisa
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Ай бұрын
Karume lazim ilikua alipe uwovu mzito alofanyia wazanzibari na kesho yaumil qiyam cha moto atakiona !
@tecnof1232
@tecnof1232 4 жыл бұрын
Ni vyema kukumbushana, lkn haya ya kuuwana yanatisha, na wako wengi wamepotea, au Kuuwawa, Mola ndie ajuwae
@suleimanbakar6097
@suleimanbakar6097 5 жыл бұрын
Nchi umewaachia wababe na wabaguzi wa ranging hakuna malengo tena ni ubabe uhuni maonevu ubaguzi ushenzi na uhasidi ndicho kilchobaki.tunakutakia Allah nawe akuweke unakostahili
@abamotv532
@abamotv532 5 жыл бұрын
I love u zanzibar
@bwerumaster6691
@bwerumaster6691 5 жыл бұрын
Anaongea kama mjukuu wake Fatma Karume (shangazi)
@naybakari3490
@naybakari3490 5 жыл бұрын
MUNGU ampunguzie adhabu ya kaburi mzee karume
@salujuma6873
@salujuma6873 4 жыл бұрын
Hahahahaha kwani ana azabu
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 5 жыл бұрын
Imeniuma🇰🇪
@asilclub
@asilclub 5 жыл бұрын
كارومي اليكوا جمبازي مويزي كوبكواى ريساسي ني كيدوجوا سانا MUNGU AMLANY
@hamudmuhammed536
@hamudmuhammed536 5 жыл бұрын
بورتوريكو. we mshenzi usizanie watu hawajui ulichokoandika wattu wasomi wacha ubazirifu naujinga karume hakua jambazi mjinga ww
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 жыл бұрын
Mwenyezi ailaze roho yake pahala pema.
@arancaraba293
@arancaraba293 4 жыл бұрын
Maskini mungu ye nae dah
@wlkmwlkm2900
@wlkmwlkm2900 5 жыл бұрын
Nawapenda sana wana Zanzibar. Ningejuana Na huyu Mama ningeenda kumtembelea .I'm from Kenya
@khamissjuma2369
@khamissjuma2369 5 жыл бұрын
Njo sk 1 utembee
@omartamim278
@omartamim278 4 жыл бұрын
Tunakupenda pia nawe
@ahmedelalawi6143
@ahmedelalawi6143 4 жыл бұрын
Kuuwawa kwa karume ilikuja furaha kwa sisi waoman . Ndio kifutia machozi yetu. Karume na okello walitoa amri warabu wauliwe wote. Kwa bahati nzuri alhamdulillah wote hawa watu wawili karume na okello walipatwa na mwisho mbaya . Karume kapigwa risasi na okello aliuliwa kifo kibaya mno. Hanga kauliwa kifo kibaya. Fanya mchezo na kutoa damu za waislamu wasio na hatia. Baada ya kuuwawa hawa watu ilitufuta machozi sisi warabu tuliotendewa unyama. Na ndoo maana sisi waoman hatujasubutu tena kulipiza kisasi kwasbb na wao allah aliwapa mwisho mbaya. Kwaheri zanzibar sisi tupo oman tunakula maisha matamu. Nchi yetu inanukia uzuri . Uchumi wetu upo juu sanaaa. Leo nikikohoa baba qaboos ananifutia madeni yangu katugaiya nyumba magari kazi week mbil job ,week mbil tunakula maisha,
@mds4809
@mds4809 4 жыл бұрын
@amriamraan2612
@amriamraan2612 2 жыл бұрын
Eti waarabu😂 sema mtumwa unaefilika oman
@emmanuelwilliam1664
@emmanuelwilliam1664 4 жыл бұрын
Wema hawana maisha, pole bibi yetu
@anawa4326
@anawa4326 4 жыл бұрын
Pole sanaaa mama
@onyaman7336
@onyaman7336 5 жыл бұрын
Mama unatupa story ya zamani Kwa mda huu huku ukiwa una zeeka vizuri utazani kama ni juzi tu ,r i p karume
@arancaraba293
@arancaraba293 4 жыл бұрын
Maskini 😢😢
@thobiasmosha60
@thobiasmosha60 5 жыл бұрын
Mungu amrehemu mzee karume. Ukoliko baba. Wewe ulikuwa mkobozi wawanyonge
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 5 жыл бұрын
Mjinga alie uwa watu na alifanya zina na wake za watu aliteketeza uislam
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Inaumasana
@salahkassim9729
@salahkassim9729 5 жыл бұрын
waliamua kumuua kwa maslahi yao na kuicha znz isiendelee kiuchumi bali izidi kudidia inufaikie tanganyika .. znz ni nzuri na yenye mandhar ya kuvutia hata kama wametufinya ila bado ina hadhi yake na ubora wake hawataki kuona znz iko kama eaurope ya africa mashariki...
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 5 жыл бұрын
Watu 39 wamethumb down nashindwa kuelewa nadhan sio wapenzi wa history.
@gsmtzinfogsm8601
@gsmtzinfogsm8601 5 жыл бұрын
Mungu amrehemu hata wenyewe kwa wenyewe kwa uchu wa madaraka
@salujuma6873
@salujuma6873 4 жыл бұрын
Masikini Uhuru wa Zanzibar ulidumu muda mfupi sana mkoloni wanyamwezi wakaitawala mpaka leo
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 жыл бұрын
Aaamen Tutajuana Siku ya kiama Kwa mwenyez Yarab kuwa Nan Arikusababishia kifo chako
@laylahmohamedi9245
@laylahmohamedi9245 5 жыл бұрын
Inauma san
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 4 жыл бұрын
Pole mama
@ahmedmussa8231
@ahmedmussa8231 5 жыл бұрын
Na huo ndo ulikua mwisho wa Uhuru wa Zanzibar mkoloni Tanganyika anatutawala mpaka kesho
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 жыл бұрын
kabisa kaka yang
@learningkiswahili5daysstre367
@learningkiswahili5daysstre367 4 жыл бұрын
Wanzanzibar kila jambo lakurahumu ni tanganyika, ivi Tanzania nini manayake
@sabrinasab3963
@sabrinasab3963 5 жыл бұрын
izo ndo habar tunazotaka kusikiliza za babayetu sio za mastaa kukaa uchi mitandaoni
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 5 жыл бұрын
Umeona yaani
@chocolatepudding3545
@chocolatepudding3545 5 жыл бұрын
Ongeaaa ukimaliza huyu jamaa yakoo alikifanya nini kwa wa Zanzibar???? Kamajibu alikuta pesa ziko wapii ni yeye aliesema baada ya mauwaji ya wasio na hatiya kulikuwa na pesa za kutosha naombajibu bb wewe ukimaliza kuropoka maana naona nasikia alifanya la maana kama lipii
@jumamuhammed7421
@jumamuhammed7421 5 жыл бұрын
Inasikitisha sana mpaka leo Zanzibar ipo katika mateso walio wachache ndio wanaofaidika, na ukweli wanaujua ila walio wengi wanaumia.. Mungu atalipa kwa yote.
@denistarange5580
@denistarange5580 5 жыл бұрын
Basi wewe unae jua ukwel tuambie sio utegemee kusemewa na wengineo
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
He neno zito
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 5 жыл бұрын
daaah aisee
@wasafiwasafi5957
@wasafiwasafi5957 5 жыл бұрын
Aaah!!!!!
@raymondkaswaga5055
@raymondkaswaga5055 4 жыл бұрын
Mama anajua maana ya interview utapenda
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 5 жыл бұрын
Unadandanya Uhongo mtupu Humudi hajaanza kupija Risasi hovyo kama unavodanganya, na ata huyo Police alompija Humudi alikua Nje na alimpija Humudi kwa mgongoni
@fugameza6011
@fugameza6011 4 жыл бұрын
Huyu babu nakumbuka siku ya J5 alikoswa kuangukiwa na mnazi kumbe ndiyo ilikuwa kafara mbona hatowi kwenye hizo story zenu za nanii wapi alikoswa na mnazi nitafute nikupe vitu
@fugameza6011
@fugameza6011 4 жыл бұрын
Hamna huzuni wala nini yeye si alimuamini juliasi nini sasa
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 3 жыл бұрын
Aisee unaroho ngum ww
@fugameza6011
@fugameza6011 3 жыл бұрын
@@kasalimareju6052 kwani nani master mpango ya mapinduzi 1964 na kuuwawa kwa huyo mpumbav Karume si alishikiana na julias kupanga mauwaji faida akavuna na yeye kwani unadhani na hili la makufuli lime isha hivi hivi kilaini nitafute baada ya miezi kadhaa hata mwaka
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 3 жыл бұрын
@@fugameza6011 em naomba namba ako mkuu ujue uku duniani.kuna.wakat unawexa ropoka.kama nilivyo ropoka apo akua unaroho ngum
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 3 жыл бұрын
@@fugameza6011 ila sijakuelewa vzr kuusu la mafuguli au karume kushilikiana na juliasi kuusu mauaji ni yapi?
@fugameza6011
@fugameza6011 3 жыл бұрын
@@kasalimareju6052 January 12/ juwa kuchoma 1964 + yanayo endeleya kule Tanzania hususan Zanzibar malipo yapo tena live
@menejameneja.1272
@menejameneja.1272 5 жыл бұрын
Kama yule bibi wa titanic anavyosimulia
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Aliye mtngezea mauti ni Nani swali sisi kma wazanzibar tunaomba kujua
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 5 жыл бұрын
Ndo humjuwi kweli, 2x2=? 1x1-1=jkn+muungano = Mkoloni mweusi,km hufahamu nenda chuo kikuu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Inaskitisha mama anavyoelezea kwakweli
@allymmasa4535
@allymmasa4535 5 жыл бұрын
Hatari
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 5 жыл бұрын
RIP mzee wetu
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Kwa nini aliuliwa? Ni nini sababu yake mbona hatuelewi kila mmoja asema lake
@TeamKRX
@TeamKRX 5 жыл бұрын
Nipe sim yako nikueleze kilichomfika andika nikuelezee
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
@@TeamKRX unaweza kuundika story yake kwenye comments sio lazima simu
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
Njama za nyerere izo
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
@@fatmahamad2156 subhana Allah
@edwardmwendamkono9787
@edwardmwendamkono9787 5 жыл бұрын
@@fatmahamad2156 kumbe
@kherigezza4525
@kherigezza4525 5 жыл бұрын
mungu amuweke mahali pema peponi,kazi aliyoifanya na JOHN haitasahaurika
@s.a.subarusparepartssongea818
@s.a.subarusparepartssongea818 5 жыл бұрын
kheri gezza waliwo panga mauwaji wataishi milele? Mungu atufichulie maadui ndani ya muungano na wapenda madaraka wenye uchu na kujali maslahi yao kuliko jamii Mungu tuondoshee Muungano huu wenye maslah kwa wabara peke yao Amin
@mwassyazeez26
@mwassyazeez26 5 жыл бұрын
Daah,pole bi fatma,msiba wako wa maisha had vile utaondoka dunian Allah karim amuweke mahali pema mzee karume😥😥😥
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Amiin
@H-moneybags
@H-moneybags 5 жыл бұрын
Hio yote ni baadaya karume alipotaka kumtaarifu nyerere kuwa mwisho wa muungano umefika wazanzibar wataka kujitawala wenyewe kabla kutoa kauli nyerere kamuua karume haraka sana sababu kama sio hivyo Zanzibar ingekuwa the islamic republic of zanzibar jambo ambalo waingereza walitakaa lisitokee wakamuamuru wewe nyerere kama wataka uhuru kamuue karume usiache zanzibar kuwa nchi ya waislamu
@sisterhala3916
@sisterhala3916 5 жыл бұрын
unawakika achen kuzush yashapit hayo
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 жыл бұрын
Uzushi mwingine hauna maana kabisa hovyo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
mhmh inasikitisha sana inararua moyo sio siri
@mangofish9079
@mangofish9079 5 жыл бұрын
Mungu amsamehe mzee karume ila na yeye alitawala kwa mkono wa chuma na alihusika na upoteaji wa roho nyingi sana miongoni mwao ni hao wanaotajwa kuwa wanamapinduzi wenzake.
@triopd999
@triopd999 5 жыл бұрын
Huyu Karume alikuwa Hitler wa Zanzibar wile aliwauwa watu wengi sana na kupora Mali yao. Tunaomba Allah ampe adhabu kali.
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 5 жыл бұрын
Hivi unajua unalolisema au bando la 500 ndo linakupa jeuri kamuua nani?!!, selikali tunajua lakufanya wewe utatoa ushahidi wa walio uliwa na muheshimiwa asante
@davidarabian5004
@davidarabian5004 5 жыл бұрын
Karume alichezea mwarabu kumuua baba ya kijana wa kiarabu na waarabu wanaume sio mashoga kama watu wa bara.
@learningkiswahili5daysstre367
@learningkiswahili5daysstre367 4 жыл бұрын
warabu wanaume mme simamia utumwa mkatesa vibibi na vibabu mkauza watu kama tende arafu warabu wanaume kwangu mimi ni mashetani wakubwa mmeleta Uislam kujiosha mazambi yenu lakini wenye akili wanajua warabu nimashetani wabaguzi wa rangi
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 жыл бұрын
@@learningkiswahili5daysstre367 sana tena mwaarabu sio mtu ni mnyama mshenzi ndio kama walivyo wapemba wamerithi ushenzi wa mwaarabu noma
Mfahamu Aliyemuua KARUME/Alitumwa /Serikali ya Zanzibar
10:55
BONGO LEO
Рет қаралды 15 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 48 МЛН
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili
31:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1,9 МЛН
MBAAZI zawaingizia Wakulima Tunduru bilioni 1.6
2:50
tunduru_dc
Рет қаралды 544
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
Charlie Chaplin's Modern Times Full Movie
1:27:18
Zeskyy_ Productions
Рет қаралды 344 М.
Mbunge wa Kwimba awekeza zaidi ya bilioni moja kwenye kuku
5:49
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 122 М.
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,7 МЛН