KIFO CHA MTOTO GRAYSON MAPYA YAIBUKA, CHIEF GODLOVE ALIA KWA UCHUNGU SANA, NI BABA YAKE ?

  Рет қаралды 26,523

BORAMEDIA

BORAMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@AwbaFamili-j1g
@AwbaFamili-j1g Ай бұрын
Poleni sana
@maulidimpili698
@maulidimpili698 Ай бұрын
Watu wenye utajir wa shetani mwisho wao huwa mbaya tu kuna mamb meng yatatokea sasaiv atavuma sana ila siri itafichuka tu tuache kufuata mkumbo kuhus pesa za majin sio nzur
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 Ай бұрын
Lakini ukiongea hifo watu wanakukemea ila ndio ukweli shetani hakuashi Hulu shetani Hana Cha mbule huyu jamaa siku sio nyingi alitamba sana na mihera Sasa yamemfika
@PaulinaNyanzalashija
@PaulinaNyanzalashija Ай бұрын
Pole chief
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 Ай бұрын
Drama hizo chief uache, huoneshi kulia Bali una act kulia., Kuna maswali mengi juu ya kifo Cha huyo mtoto. Ila mungu anakusudi juu ya hili.
@allysimu6856
@allysimu6856 Ай бұрын
Mmhh mbonakama nauona ukweli
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Ай бұрын
Kaka chief Godlove na mama na baba wa mtoto poleni sana Mungu awape nguvu acheni chuki watanzania mwacheni kaka God love amlilie mwanae wa hiyari alimpenda sana dah
@naplousemukunzi10
@naplousemukunzi10 Ай бұрын
Machungu ya ukweri hawaliliyi mitandaoni
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
Serkali iingilie kati Uyo Godlove wasimchekee kabisa ayo Matukio nikafara kabisa wenye akili uwezi kutuzingua
@mchinatz9335
@mchinatz9335 Ай бұрын
Umasikini usikufanye uchukie matajiri pumbavu ww
@mchinatz9335
@mchinatz9335 Ай бұрын
Ww unae uthibitisho gani kua godlove anahusika katika hilo
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
@mchinatz9335 ,,maneno yake siku Zote za kutoa kafara ndio yananipa uthibitisho na wasiwasi ata kwa wengine atakuja kujionyesha kama anaupendo sana kumbe anajuwa kesho yake analishia wadudu wake .
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l Ай бұрын
​@@geofreymilinga2965nakama ni kafara vp serikali itamtia hatiani wakati ni mambo ya kiimani aswa zakishirikina zaid so kwa serikali haiwezi kumtia hatiani kivyovyote labda ww kama unao saidia polisi
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b Ай бұрын
Mashetani huchukua kitu ukipendacho zaidi
@NeemaNjera-ho6ln
@NeemaNjera-ho6ln Ай бұрын
Hivi.hii.serekali.ya.tanzania.kwa.nini.hawachukui.sheria.za.hawa.wauwaji.wakamatwe.halafu.wanyongwe.kabisa.
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 26 күн бұрын
Sioni kama kilio kinatoka ndani
@ArlindosilvestreAlisse-n7l
@ArlindosilvestreAlisse-n7l Ай бұрын
Wakimpiga uyo chief good love ni lazima atasema ukwely yeye ndo alieusika na kifo cha mtoto
@maulidimpili698
@maulidimpili698 Ай бұрын
Unaleta usanii Kwenye maisha ya watu hayo ndio malipo ya shetani hapo ni bado wataondoka watu weng na shetani hawez kuwa na malipo mema
@AllyMazinge-k6x
@AllyMazinge-k6x Ай бұрын
Mungu atawaumbua wo mnaotafuta shot way naona mbuzi hawaitajiki sasa mungu anajua na ataonyesha nguvu yak
@arya-star53
@arya-star53 Ай бұрын
Duuuuuuuuuh utandawazi jamani had natamani tungerud maisha yetu ya nyuma tu kabla ya ukoloni upumbavu upumbavu tu tunatekwa na maisha ya watu kila kukicha
@rahjah5882
@rahjah5882 Ай бұрын
Huyu jamaa sio mstarabu kabisa
@abdulmsuya8542
@abdulmsuya8542 Ай бұрын
#JICHO la 3😢😢😢😢😢😢jeshi la police lipo kazini
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Jicho la. 3.
@AmosiTimoteo
@AmosiTimoteo Ай бұрын
Daaa chief,
@EasterleonardShirima
@EasterleonardShirima Ай бұрын
Silaelewa au unaelewa kinachoendelea alafu kwanini usikae na mwanao kwako
@NapatNapat-x6i
@NapatNapat-x6i Ай бұрын
Kwa wamenzika Bila uchungu I WA polisi 😊
@stellamokiwa2025
@stellamokiwa2025 Ай бұрын
Maskini mtoto hakuwa kwenye mikono salama,alikuwa mikonon mwa shetani
@RabeccaAdam
@RabeccaAdam Ай бұрын
Watanzania watanzania hamkosi chakusema punguzen maneno ya kutunga dah
@hassanhawa9954
@hassanhawa9954 Ай бұрын
Kuwa na subira kazi ya Mungu hayitolewi makosa.na malipo ni ya Mungu.the killer will have no peace
@franciscojohn5751
@franciscojohn5751 Ай бұрын
Ila baba wa mtoto inatakiwa ataftwe kwani ninaamini hawa dada zetu wanawakashifu watu walio zaa nao ko anaweza kuja kulipa kisasi
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 Ай бұрын
Mmetoa kafara mnatudanganya we uwe tajiri mtoto apande bodaboda 😮 wakati una magari ya kifahari
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
@@kobajumakuziwa9976 ,,,huo mchezo ulipangwa kabisa serkali ikisema ivalie njuga kwa kumkamata Uyo mama na kumpa kisago Cha kueleweka atataja tu alyemshawishi, iliwahi kutokea kwetu mzee alibanwa mbaka alitaja kuwa Padre ndio aliemwomba mtoto ili azindikie Bwawa la Samaki, wananchi na polisi walishrkiana walikamata wazee wote wachawi wale wakubwa akiwemo na yule mzee mwenye mtoto, walipigwa kipigo awakutaja mwisho wakawabana koldan kira Mmoja alisema tulitumwa na baba yake baba yake kasema padre, sababu yule padre alikuwa na pesa nyingi kesi aikuenda kokote lakin kusema walisema , Uyo mama angebanwa kwa kichapo angesema tu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Ай бұрын
unaacha kila kitu, mda wa kuchinja mbuzi umeisha mzee who is next
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 Ай бұрын
@@kaaakwakutuliaa5179 ,,, Ninavyojuwa mm utajiri wa majini hapo Godlove tumwesabie siku tu akitoboa miaka Tano tu basi atakuwa mwamba sana, ameaza Kuvuna mwakajana Tusubir kama atatoboa mitano
@Johnlukwajankinda-m3w
@Johnlukwajankinda-m3w Ай бұрын
Turudi kwa kanumba. Pia tuongee na mchungaji Katekela.
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Ай бұрын
Makosa ya mama mzazi , kulikuwa na haja gani ya kwenda kwenye starehe?? Huyu mama anatakiwa apewe adhabu kali sana..
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Ай бұрын
God son nimtoto wako nd mana kipaimraa unaitwa kanisa wakati wa ndoa lazima uwepo
@RahmaPelembela
@RahmaPelembela Ай бұрын
Pole sana
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
Godlove huenda ana wanawake waliokuwa wapenzi,huenda wameona wivu kwa huyo mtoto na kuhisi mahusiano kati ya yeye na Mama wa mtoto.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Jaamani hapa nilikuwa sijasikiliza.mmmmh mtoto umpe simmu ya macho matatu halafu mbili mmmmh haya kumeanza.kuchangamka RIP Graysoni😢
@BufuAlfredo-wm7gy
@BufuAlfredo-wm7gy Ай бұрын
Hizohera munatunza mutazilipa uchungu huwo lakini gutawa mwanao kafala loho ngumu kabisa
@shukururamadhan6721
@shukururamadhan6721 Ай бұрын
wanafanana na uyu mutoto
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 Ай бұрын
Inatia uchungu sana tuombe jeshi la polisi lifanye kazi yake.
@Lughason
@Lughason Ай бұрын
Huyu jamaa ni pepo la kuzim kabsaa na maneno yake ya shombo!
@OchangFadiga-r2u
@OchangFadiga-r2u Ай бұрын
Iko dunia
@cumataima-tm2ky
@cumataima-tm2ky Ай бұрын
Dunia mengi mmmh Madkini ya mungu
@AlbertoEmmanuel-z2i
@AlbertoEmmanuel-z2i Ай бұрын
Kafara kamtoa huyo iri akamirishe utajiri wake
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t Ай бұрын
Duh!bro unajua huyo mtoto ulipompeleka 😂tuliosoma urusi tupombele zaidi kifikla uwezi unadharau watu kupitia huyo mtoto mkabaki salama,wahenga walishasema ukimuona mtu analia sana msibani jua huyo anajua kinachoendelea,ndiomana atakubeba jeneza mnabeba kidogo na kuzika pia mnazika chepe mbili tatu unamuachia mwenzio.
@stellamokiwa2025
@stellamokiwa2025 Ай бұрын
😅😅😅😅😅hl
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf Ай бұрын
ety urusi dah😅,, Ee mungu mpokee malaika 😢sisi hatujui nn kimempata mpaka kupelekea umauti wake😢ila waliofanya hicho kitendo hawataishi Kwa amani dunian mpaka huko mbinguni
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 Ай бұрын
​@@PhyinaElias-mu4wfkilicho mkuta, huyu jamaa ana kifahamu huskii anacho kiongea ati simu ya macho matano,kweli unalingia vya ndunia na kuwadhalilicha wengine hifo?
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Ай бұрын
😂😂😂😂😂jmn
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila Ай бұрын
Waongo Hawa yeye na mkewe wanajua picha.....ivi moto unampa bodaboda....bodaboda anampan rafiki wa mama wa moto......moto asubuhi kauwawa....mama hayupo nyumbani anakula Bata mpaka kunakuçha.....,ivi kweli.inamaana hapo nyumbani hawana hata dadawakazi
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 Ай бұрын
Hela zako mbona hazijazuia kifo acha upumbavu
@Nduwayosiliaki
@Nduwayosiliaki Ай бұрын
amemutoa kafara
@OrafMathias
@OrafMathias Ай бұрын
Nimda wakutoa kafala
@Iddibakari-t3r
@Iddibakari-t3r 29 күн бұрын
Acha kujiliza wewe usanii huo
@pendoyese4452
@pendoyese4452 Ай бұрын
Wamemuonea mtoto wetu wivu daa binadam bwana mafanikio yako usiyatangaze kwa watu
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН