KIJANA ADAIWA KUUAWA POLISI WAKIHUSISHWA, BABA AFUNGUKA 'ALIPIGWA SANA' UTUMBO ULIJIKUNJA

  Рет қаралды 26,200

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@binsherbal6089
@binsherbal6089 Ай бұрын
Mwandishi waambie hao Wazazi tukutane tarehe 23/9. Ni lazima tuungane kukomesha Ushenzi huu. Mambo haya hayakubaliki.
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Ай бұрын
Samia must gooo
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary Ай бұрын
Mtihani sana poleni sana Familia kwakweli hatupo salama
@MSHUA1985
@MSHUA1985 Ай бұрын
Kwa unyanyasaji huu maandamano ni lazima tufanye
@Dafetty
@Dafetty Ай бұрын
Kabisa
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Mwisho WA maisha ya mtu arie wahi kuwa polisi haujawahi kuwa mwisho mwema katika maisha yake yote
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Ай бұрын
Mungu ndiye hakimu, Jeshi la polisi limeoza
@zuhurahamisi1639
@zuhurahamisi1639 Ай бұрын
RIP Magu
@ordafabian5172
@ordafabian5172 Ай бұрын
Magu aliwafundisha haya wanayoyafanya
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu Ай бұрын
Wabongo hawanaga umoja hasa masikini ,hawajui kuwa wakiamua na wakiwa na umoja hakuna wa kuwazuia
@MeshackMorice-p7b
@MeshackMorice-p7b Ай бұрын
Duuuh!! Inauma baba alikuwa askari plisi na amestafu na hakuwa na nauli ya kumfikisha kule polis ikambidi aombe kwa Dada yake. Kweli inauma mungu turehemu
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
Poleni sana
@DottoPeter-h2w
@DottoPeter-h2w Ай бұрын
Jamani hiiserikali yetu mungu mjoo upesi tuna kwisha kuna watu wame pewa mamlaka.wanijifanyia wanavyo taka njoo Mungu wangu mateso haya mpakalini😂
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Polisi polisi polisi ni nyie tu dah
@BhuzoheraBhuzohera-w5i
@BhuzoheraBhuzohera-w5i Ай бұрын
Daah mdg wangu tuliongea siku si nyingi tuka panga mpango wa maisha lkn wamekunyanganya uhai mungu akupumzishe
@MylaJoel-h2p
@MylaJoel-h2p Ай бұрын
Samia must go
@AliAli-m5k9l
@AliAli-m5k9l Ай бұрын
Kwa kweli mama samia ihi ali tuna kuachia wewe na Mungu muumba wa viumbe wote watoto wetu wana potea wakati mahaka zipo na bila kidhibiti inshalar tuna kuachia allar
@LuganoMwakalinga-p3k
@LuganoMwakalinga-p3k Ай бұрын
Dah Mungu wangu wa mbingu na nchi ona mateso haya ona BWANA msiba huu ninakuomba utukomeshee mateso haya yasiinuke mara ya pili na kuomba Mungu mwenye mamlaka kwa wote wenye mwili utuhurumie katika taifa letu la Tanzania.
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh Ай бұрын
Tumekua wepesi sana wa kuondoa uhai wa wengine, hii roho ya kinyama namna hii sisi watanzania tumeipata wapi jamani😢. Yatupasa tumrudie Mungu kuna sehemu tumekosea. Kila mtu kwa imani yake ajichinguze na kuomba toba kwa Mungu. Inasikitisha sana kila taarifa 5 zinazotoka moja lazima ihusishe mauaji, Mungu turehemu.
@BethaDominick
@BethaDominick Ай бұрын
Nyie polisi !!!mungu anawaona
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 Ай бұрын
Daaah mungu hivi huyu mama anafanya nn kwani mbona toka awepo mambo mengi mauaji
@LameckMbele
@LameckMbele Ай бұрын
poleni Mungu tusaidie
@ShangeMbogo
@ShangeMbogo Ай бұрын
Pole sana Mzee
@Asha-yn4bu
@Asha-yn4bu Ай бұрын
Subhanallah 😢😢😢😢poleni sana.
@valentineevarist
@valentineevarist Ай бұрын
Daah aisee😢nchi hii tabu
@PembaOnline
@PembaOnline Ай бұрын
Aisee! Ukweli ni kwamba mauaji yapo na yanafanywa na wenye mamlaka
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Ila watu wamekosa hofu ya mungu na wenyewe ipo siku yao.
@BarakaMwasapi
@BarakaMwasapi 20 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 inauma Sana daah namjua mwanangu tumeishi nyangasa daaah polic polic tunashukulu kwa yote
@FatumaAli-y3y
@FatumaAli-y3y Ай бұрын
JAMANI, JAMANI, JAMANI kwa nn watu wanachukua hatua mikononi tena walinda usalama JAMANI kuna MUNGU mnaitoa nafsi ya mtu hivi hivi hata kama kakosa si kuna sheria hizi sheria za nn zimewekwa dah💔
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie Ай бұрын
Jamani jamani polisi ndo mmefikia hapo kuua raia wanaowalipa mishahara na virushwa huko barabarani sasa mkitumaliza nani atawalipa huto tumishahara?Sasa hiyo dhana ya kutulinda raia na Mali zetu tena imegeuka baadala ya ni kipigo mpaka kufa daa poa Mungu anawaona malipo ni hapa hapa duniani
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa Ай бұрын
OK kumbe ulikuwa police
@AzizaMohhamed
@AzizaMohhamed Ай бұрын
😢😢😢inaumizaaa kiukwerii,,sijuii mpakaa lini yataishaa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
MTOTO mzuri kama huyu,umekuza anauwawa kirahisi TU Hivi?!😢😢😢 uwiiii
@JehhusRaoul
@JehhusRaoul Ай бұрын
Na nyie raia muache kwenda kulalamila police mkiibiwa
@khamiskhamis2131
@khamiskhamis2131 Ай бұрын
Siku zaid ya 10 bdo upelelezi unaendelea tyu mtu anafia mikononi hlf awo mgambo munawafaham hlf munacheka nao kweli uwoga umekithiri wallah siku zote izo
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Wanafiki madhalim wakubwa polisi yenu na Viongozi wenu na sio kuwa hawahajui wanayajuwa vizuri na Allah atawalipia wote wadhulumiwa
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 Ай бұрын
Jamani police police police police 😂😂😂😂 people they crying for you David Misime, we need your speech about this statement
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c Ай бұрын
Yaani Tz duh hatari kubwa. Jeshi la polisi linatumia nguvu kubwa kuwahujumu raia lakini viongozi wanakaa kimya hawasemi kitu sababu ndio ngao zao.
@SikituKabwa-g6d
@SikituKabwa-g6d Ай бұрын
dah jamani maskini ya munguu pole yake lkn haki ifuatweee
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
POLE SANA MKUBWA POLISI ALIKUZUIA KUMUANA NDIO MUUAJI NA KUJUA MAUAJI 😢😢😢
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Ай бұрын
Mbaya Zaidi Polisi Wanapewa Mafunzo Lakini Cha Ajabu Wakimshika Mtuumiwa Wanamfunga Pingu Alafu Ndo Wanampiga Sasa Unawaza Mafunzo Waliofunzwa Ya Kazi Gani Kumpiga Mtuumiwa Akiwa Na Pingu Asikari Uonevu Lini Utaisha
@geofreywadeya9972
@geofreywadeya9972 Ай бұрын
Jeshi la polisi ni kama halina usimamizi. Rais Samia inatakiwa alisafishe sana jeshi hili kwa kuweka baadhi ya viongozi wake kando maana ni kama wameshindwa kumsaidia
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Ай бұрын
Kila mtu anapokea deal la mtu nje anapewa pesa . Anafanya anavyofanya anaua na hamna mtu wa kumfanya kitu.
@valentineevarist
@valentineevarist Ай бұрын
15:13 daah ama jibu kwa dharau askari wetu bwana😢
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
naona kulikua na bifu ya ujirani. Waliomkamata na yy. Sheria inasemaje ukimkamata hatakiwi mdhamana ? SIO jasusi. KIPIGOJE nihalali? Sasa mazishije? Paka kaua panya anakutupia mlangoni?? Kwani kijana alikua na Vurugu huko cello hadi ashushiwe kipigo cha kivita 😊
@JackKanyigo
@JackKanyigo Ай бұрын
Naomba JWTZ waingilie kati..tutaisha
@masala8099
@masala8099 Ай бұрын
ccm haitufai kwisha hawana jipya watatumaliza
@IbrahimIbrahim-bq2tf
@IbrahimIbrahim-bq2tf Ай бұрын
So sad daaah
@FocusmachumuMwizarubi
@FocusmachumuMwizarubi Ай бұрын
Nchi hii inahitaji historia mpya ya ukombozi
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA Ай бұрын
Ni huzuni sana kuuawa kwa binadamu bila sababu ya msingi Lakin mapolisi mnadhani mpo salama . Sasa tazameni mwezenu anavyolalamika kwenye mitandao. Ndio maana tunasema hata nyie mapolisi hampo salama. Leo mtoto wa polisi kauawa na polisi analalamika. Lakin mkiwa kwenye nafasi mnaona hii sio shida yenu.
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 Ай бұрын
Eti tuwaamini daah mtihani
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Daah kuisha hatutoisha bali tunaumia na moyoyo yetu 8nav7ja damu
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu Ай бұрын
Malipo nihapahapa Duniani nawewe ulikuwa hivohivo, acha uonje maumivu
@mzeke-r9h
@mzeke-r9h Ай бұрын
Aibu kwa taifa .
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Ай бұрын
Hao wameyavagaa kwa huyo mzee
@LuluAquai
@LuluAquai Ай бұрын
Hakuna kitakachobadilisha mchezo,kufatilia jambo pia kunahitaji uchumi,kama mm likitokea jambo la dhulma kama hili sitohangainga kokote kwasababu najua hata nikihangaika kutafuta haki sitofanikiwa na badala yake ntalia na Mwenyezi Mungu usiku wa manane na nnaapa miezi mitatu haipiti maombi yangu yataitika.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u Ай бұрын
Sasa mpaka hapo mnaimba ccm si muachane nao na kuikataa mimi si mwanasiasa lakin yamezindi ndugu zangu hakuna mbinu shida ni kwamba hakuna sheria haki ila wanataka amani kweli.
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Polisi naomba msikilize kauli ya huyu afande mwenzenu mstaafu, mkumbuke na nyinyi mtastaafu mtatendewa haya haya inamaana mkistaafu mtakuwa hamna maana katika hii nchi kama ambavyo mstaafu huyu anavyodharauliwa.Tena mzingatie hata maisha yenu yatakuwa duni mpaka muombe nauli kwa ndugu zenu inamaana kazi yenu sio kitu baada ya kustaafu. Tendeni mema kazi huisha ila maisha hayaishi mtalipa kwa matendo yenu hapa hapa Duniani
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 Ай бұрын
Kweli kabisa kila unalofanya ukumbuke dunia si chochote na kila kiumbe kitarejea kwa mola wake.rabana nijalie mwisho mwema amin
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
@@sheilalolila2233 Amen
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 Ай бұрын
Matukio hayo ya kupiga wahalifu ili wakubali makosa ni kawaida kwa polisi na sijui sheria hiyo wanaitoa wapi?
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 Ай бұрын
Tanzania ni moja tu
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Nyie polisi wa kiafriti huko Tanzania mnalaana looo phooo
@RashidMchenya
@RashidMchenya Ай бұрын
Porisi hawa hatuwamini tena
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 Ай бұрын
Tukiambiwa tuandamane kupinga ukatili huu, mnanyanyua midomo eti tunataka AMANI. Je amani ndio hii au ujinga wetu? Polis wanatumia uoga/ujinga wetu kutuua. Siku nasi tutakapochoka na kuua familia za mapolis kwa visasi, tutaheshimiana.
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Hiyo Tanzania imeingoliwa na pepo la mauaji toba ingilia kati ee Mungu hatuelewi
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje Ай бұрын
Mchwi akila watoto wawatu upo siku na wakwake wataliwa nadhan wazee wa kyuba msha niherewa Sasa.
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n Ай бұрын
Uyo master mpumbavu sana
@DottoPeter-h2w
@DottoPeter-h2w Ай бұрын
Kwani masta simkateni kichwa
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Jamani albadiri ifanyike
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
so sad
@نوفل-س5ر
@نوفل-س5ر Ай бұрын
Polisi wajiangalie Kuna Leo na kesho ,Leo unavaa gwanda kesho unalivua ,je tukufanyeni nn??
@SamiriHassan-dp9kn
@SamiriHassan-dp9kn Ай бұрын
Wewe kumbe ulikuaaskari
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Ай бұрын
Jamani Mungu ni muaminifu alietenda hili tukio ajitafakari maana ni laana kwake na kizazi chake dhambi ya mauaji uwa inarithi ameingia hatiani na kuangamiza familia yake
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt Ай бұрын
Polish wafaa kuhukumiwa hii ni hasara kubwa kwa familiya iliyo mpoteza mtot wao sababu ni Polish. Kweli Polish, hawajuibkazi zao.
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Ай бұрын
Dah hii ndio nchi yetu mbona kaka zetu na watoto wa kiume hawako salama
@DottoMagesa
@DottoMagesa Ай бұрын
Police hawafai
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Ай бұрын
Alafu nyie vinyago eti mnakaa Mnaropoka eti maandamano marufuku Kwahali hii Wauwaji wakubwa nyie
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Mauaji yanazidi mtakosa lika baadae
@LilyMwalugaja
@LilyMwalugaja Ай бұрын
Ila. Polisi. Ni kazi ya laana
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Ай бұрын
Hili jeshi halisashiki kwa matukio haya
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Ай бұрын
Washazoea kufanya maovu mbele ya raia.
@DouglasMkude
@DouglasMkude Ай бұрын
Sasa hivyi watu wasiojulikana tunawajua sasa hao ni Askari, na mm mkuje mniteke maana hii nchi imepoteza dira
@SDM2024-z4s
@SDM2024-z4s Ай бұрын
ukitekwa uanze kupiga kelele za kuomba huruma sio
@B23-i8p
@B23-i8p Ай бұрын
Ndo muone tuna shida kwa polisi wetu
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 Ай бұрын
Imagine atendewa hivi mstafu wa jeshi la polisi!
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 Ай бұрын
Waje wastafu wengi wa polisi 😂
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Ай бұрын
Watanzania maelfu na maelfu wanauliwa kwa ukatili watoto wa kiume wanaisha polisi wana uwa watu innocent wengi na hamna mtu anayesema chochote nchi imeoza hii tunalia sisi watanzania ni watu wakatili sana jamani jamani nchi inaenda wapi hii jamani my God my God ni nini huki jamani
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Mimi nalia na albadiri
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Ай бұрын
Jifunze sasa Hayo maumiv unayoyapitia ndio yale yale maumivu waliokua wanayapitia wazaz wenzio wakati unawateka watt wa wenzio Hivyo bas police wte na watu wenu wanaowatuma mlaaniwe na mna motowenu maalum kesho
@RastaSuma
@RastaSuma Ай бұрын
Arusha walikamata na wakampiga na kumfungia lockup ndungu yetu siku 6 hadi mguu ukaoza
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Police ndio magaidi wakubwa
@SDM2024-z4s
@SDM2024-z4s Ай бұрын
Dunia hamna kazi ambazo ni ngumu kama za service provisional amabzo zina direct interaction na raia, so kwa kawaida ni ngumu sana raia kupenda aina yoyote ya idara za law enforcers na pia idara zinakosea pia wakati mwingine lkn kwa Tanzania raia hawalipendi jeshi la polisi lkn mngejua umuhimu wao kwenu bac hata hizo changamoto zao mngekuwa unazisiti... Thanks
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Ай бұрын
Ona hii mbuzi nayo
@albertkamala6843
@albertkamala6843 Ай бұрын
Ni balaa! Haki ya kuishi kukatizwa kikatili..pasipo uwajibikaji!
@valentineevarist
@valentineevarist Ай бұрын
Afadhali mtu akuloge ila asi kupeleke polisi
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 Ай бұрын
Askari waliohusika wawajibishwe.
@masala8099
@masala8099 Ай бұрын
nchi imeshajaa usenge
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 Ай бұрын
Police police police nawaita mala tatu mnapo elekea sipo
@DottoMagesa
@DottoMagesa Ай бұрын
Police hawa kwakweli duuh
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Ай бұрын
Polisi wanaamua tuu kuua kupiga. Na hakuna cha kufanya. Kungekuwa na katiba ya kulipa fidia. Mzeee akadai fidia😊
@AllyMadenge-u6o
@AllyMadenge-u6o Ай бұрын
Mtoto wa Polisi Mstaafu kauwawa na Polisi hiyo inaitwa Mbwa Kala Mbwa au sisi vijana wa zamani tunasema Ngoma droo
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Alafu utasikia chadema wanauwa siyo polisi kumanyoko polis nyie nyieeee
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Serikali inafaa ishtakiwe kimataifa kuhusu mzpolisi kutesa na kuuwa wananchi.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Hii nyingine tena
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Ай бұрын
Nguvu kazi ya taifa nivijana sasa mkiwa mnawapunguza kwanamna hii taifa letu mtalifikisha pabaya.kama mtu ni mualifu fwateni talatibu mfikisheni mahakamani sasa tukienda kwanamna hii mahakama zitakiwa namana gani
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 Ай бұрын
Mnawaona wapo nahuku wamewaulia mtu wenu au naww kipindi ukiwa polisi uliwauwa watu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
😭😭😭
@HonestMchau
@HonestMchau Ай бұрын
Bundi mwaka huu yupo na polis
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani Ай бұрын
Hao police ndio majambazi kabisa. hapo walitaka kumuibia huyo kijana na huo ndio kweli.kwa sababu ni police hawatafanyiwa chochote.maana wao kuuwa kwao ni kawaida tuu
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc Ай бұрын
😢
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 63 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 277 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 144 МЛН
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 11 МЛН
GIGY MONEY THE REALITY - EPISODE 01
25:40
ZamaradiTV
Рет қаралды 7 М.
MZEE WASIRA AONGEA MAZITO MAANDAMANO YA CHADEMA, MBOWE ANA..
26:33
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 313 М.
Inside Israel's Unknown Plan in Africa
13:10
GZT
Рет қаралды 68 М.
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 63 МЛН