MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA

  Рет қаралды 106,487

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

Күн бұрын

MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

Пікірлер: 424
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 5 ай бұрын
Awa wajinga kwelikweli unaona watu wamepangwa na huyo anaonekana ni mteja kabisa 😂😂😂😂😂😂😂 dah! Na sadaka wanatoa wapumbavu kweli awa..
@MeshackNanyaro-xg8qg
@MeshackNanyaro-xg8qg 2 ай бұрын
Dah!! Kweli nyakati zilizotabiriwa kuwa nizamwisho hatimae zimefika yani watu wanakamatwa maskio laivu kabisa na shetani jaman watu wa Mungu ebu funguen macho muone mbele rudini miguuni mwa Mungu na msome maandiko vizuri mtambue kuwa muda umeisha
@mr_voiceeyounghustler149
@mr_voiceeyounghustler149 2 ай бұрын
Ukiwa mchungaji mm nakushauli jalibu kuwa nahekima Ndio Hilo Tu Kaka yangu maana kunawatu ukiwambia papo hapo nyumban kwao huko wanaweza wakuwana
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 8 ай бұрын
Mama Amina mwenyewe Kama akili zake hazipo sawa 🤣🤣🤣
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Napenda nikwambie wewee unaewasema watumishi wa Mungu vibaya , "eti Amejichubua na Watu wanamskliza" Wewee kma huna labkuongea kaa kimya acha wivu. acha ukichaa wa kuwasema Manabii wa Bwana. plese. Kiboko ya Wachawi ypo vizuri sana. ni HB. Ni Mtoto wa Mungu. kwa hiyo nyama kimya. usiungue bure. omba utatuliwe mattzo yako na sivingne
@angelamassawe225
@angelamassawe225 8 ай бұрын
Waongo na wajinga wanazidi jamani Mungu tusaidie.
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 8 ай бұрын
Drama
@dainessjoseph9296
@dainessjoseph9296 7 ай бұрын
Unawapeleka jehanam watu hao kwa uongo unaotengeneza.....Mungu aliye hai hatakuacha salama
@neemajafali4468
@neemajafali4468 6 ай бұрын
Kanisa la wakongo matapeli wote.Shuhuda zote za usiku zimerekodiwa ni COMEDY, hata zile za kanisani zimepangwa wanaigiza Dominick anafanya mazingaombwe tu,hakuna huduma yeyote ya kiroho. Amkeni watanzania.
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 4 ай бұрын
Amka mwenyewe,
@Producerkari_beat
@Producerkari_beat 7 ай бұрын
Nimesikia Kuna mama kaibiwa tulubai kanisani Kwa kiboko mpaka sasa ajalipwa ukizingatia kiboko wewe tunakuamini uyu mama inakuaje tulubai lake au habali ujaisikia 😢😢😢😢😢
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 4 ай бұрын
Kujichubua siyo issue. Sisi tunaangalia mambo ya ajabu. Huyu ni mkongo. Wakongo wengi wanajipenda sana wasafi. Siyo wanaume siyo wanawake ni culture ya wakongo. Muombèeni Awe kufanya kazi kusaidia watu.
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 4 ай бұрын
Bwana Yeau asifiwe Baba Nabii Kiboko ya Wachawi,nimenawa mikono kwenye maji,nasikitika niko Arusha sitaweza kuja Dar asubuhi,pia nakupigia simu sikupati baba yangu.Ndoa yangu inashida sana.Naomba unipe namba yako binafsi baba nikupigie private.
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 2 ай бұрын
Ndo maana tunachekwa na wazungu kila siku upumbavu tuu waafrika tubadirike hakuna mtumish hapo😅😅😅 mnapigwa pesa zenu ebu tuamken
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 7 ай бұрын
Ila na sisi ifike mahara tumtafute mungu wa kwel kuliko kutafuta miujiza hyu mchungaji mwenyewe amejichubua hvi na mijitu imekalisha makalio inamsikiliza kwel jaman hapana
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 5 ай бұрын
Igizo hao wote hapo wanaigiza mchungaji kajikoboa kama enock inonga
@kandilesteven7889
@kandilesteven7889 4 ай бұрын
Wanaigiza, hadi mtoto mdogo akiangalia anaona maigizo
@ThadeusShao-er5jq
@ThadeusShao-er5jq 4 ай бұрын
Mlichofanywa nyie mm sijui hii ni kweli
@JanethNathan
@JanethNathan 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@HappyMallya-mg1gr
@HappyMallya-mg1gr 3 ай бұрын
Hayajakupata dada acha kuongea mdm utakuponza ,ndo nyinyi wachawi mnatutesa pumbafu zetu amekuja kiboko yenu acha awaue hata kama anajivhubua muache ni sehemu ya kupenda ngozi yake na ni asili yao achana nae
@fatumaally8173
@fatumaally8173 7 ай бұрын
Hivi waislam ndio wenyematafkzo ya kuja hp au kashfa tu
@pendoufinyu1830
@pendoufinyu1830 5 ай бұрын
Naitwa Pendo nipo dodoma,naumwa mgongo nakiuno mda mrefu,tena namwanaume kanitelekezea watoto,naomba nitabilie,nakutafuta sikupati
@michaelmasalago8068
@michaelmasalago8068 5 ай бұрын
Walimwengu mnatakata nini ili mwamini anachosema kiboko ya wachawi? Mmmhhuuuu🚶
@ZainabujelemiaZainabujelemia
@ZainabujelemiaZainabujelemia 3 ай бұрын
Nabii nakuomb unifungue vifung nili vyo fungw kwanguv zagiz naomb zimludie mwenyew nafamieia yak
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 5 ай бұрын
Kiboko ya wachawi niombee nipate pesa kila siku wachawi wafe
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 6 ай бұрын
KUMBE NYIE WATU HUKO MNASHANGIA MACHAFUU..HAYO SIO YA KUCHEKAA.
@ElizaMolle
@ElizaMolle 6 ай бұрын
Atakubomowa wewe kiboko ya wachawi atabaki kuwabomowa nyiye wachawi maana nyiye wachawi ndiyo mnawo mchukiya kiboko wawachawi
@friminakiwale7017
@friminakiwale7017 2 ай бұрын
Baba naomba uniombee nifunguliwe kifungo cha madeni
@DativaMassawe-wk2nz
@DativaMassawe-wk2nz 3 ай бұрын
Naomba roho iliyotumwa kufuatilia na kuharibu maisha yangu iharibiwe na kurudi huko ilikotoka kwa jina la Yesu
@JamesJuliusSanze
@JamesJuliusSanze 5 ай бұрын
Nabii naomba nisaidie kwanin kila tukitaka kujenga nyumba kijijini mipango inavulugika?
@pendorobert3552
@pendorobert3552 2 ай бұрын
Yaan hili libaba kwa macho tu ni lishetani lkn mijitu inaenda mtakuja mchomwe moto kwa kukimbilia miujiza
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 2 ай бұрын
Ndonini kutembea na bordgard jukwaa zima
@IbrahimuSukari
@IbrahimuSukari 4 ай бұрын
Kwa majina naitwa ibrahimu baba mm nimekuwa sifanikiwa kwenye kila jambo nalofanya na mjomba aliniambia ananipa miezi sita nitakuwa nimepotea
@meryevance6744
@meryevance6744 5 ай бұрын
Nambii mbona km msela namsikiaga ndio huyu kweri dunia imevaa siketi
@petermarwa9092
@petermarwa9092 6 ай бұрын
Mbna uyu jamah Nikama wale wapiga ramli chonganishi kwann serikalin isiingilie kati swala hili jmn
@Commentsplus
@Commentsplus 5 ай бұрын
Mateja ukiwapa 5000/=tu Kazi inafanyika
@MishyBeka
@MishyBeka 2 ай бұрын
Msiwe mnaita baba...apaswae kuitwa baba ni MUNGU wa mbinguni yan nyie watu haya bn😢
@PaulChacha-t7i
@PaulChacha-t7i 2 ай бұрын
Pastor Habari ya sasa hivi naomba uniombie kwa sababu naona kama nmefungwa
@lomnyakijohn8672
@lomnyakijohn8672 3 ай бұрын
Nakutafutaga kwenye sim sikupati siku ukiiaikia sauti yngu matatizo y ng yatakuwa yamekwisha
@SuzaneKimaro
@SuzaneKimaro 4 ай бұрын
NABII KIBOKO WAWACHAWI nisaidie nauza gari haliuziki kabisa nauza nyumba haiuziki nk Arusha
@Halidmohamed-n1d
@Halidmohamed-n1d 3 ай бұрын
Gari ndogo au kubwa unayouza
@michaelmbeti5040
@michaelmbeti5040 3 ай бұрын
Nawengi wanao pinga ni wachawi je ? Kama uchawi upo waombezi hakunaa?
@SalimaBakari-f8v
@SalimaBakari-f8v 5 ай бұрын
Mi ninahitwa omary ninashida ya ada ya chuo naomba uniombee Dua
@othmanothman4849
@othmanothman4849 4 ай бұрын
Baba Mimi Othman Wazir nipo Zanzibar shida ni nguvu za kiume nana uchumi mdogo nilikuwa nnavua kazi imekataa nipo sinakazi
@HunguZambia
@HunguZambia Ай бұрын
Uchonganishi 😂😂😂😂tu hakuna maombi hapo
@violethgeorge
@violethgeorge 6 ай бұрын
Kwahyo hayo wanayo wafanya washezi mlitaka anyamaze tu wapumbavu wa akili mnamkataa nabii mbona kwa waganga mna enda mapaka nyie
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 7 ай бұрын
Staki kuhukum nisije hukumiwa ila hyu mchungaji kuna usanii anawafanyia watu na pia huna hekima jinsi ya kuongea
@JovitadomingosCosme
@JovitadomingosCosme 3 ай бұрын
Baba mm no jovita Dominick naomba mama yangu aache pombe
@Yahaya-o5m
@Yahaya-o5m 3 ай бұрын
Aitwa yahaya mkewangu alifaliki miaka2 je alikufa kwahalali au
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Hayo ndio watanzania wanapenda,wacha wateswe na wachawi na lana za aibu ,wewe utabakia kuwa nabii wa Bwana kiboko ya wachawi
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 2 ай бұрын
Watu washapewa hela waje kujibizana upuuzi
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 2 ай бұрын
KATIBA YETU YAFAA KUFANYIWA MABADIRIKO VITU KAMA HIVI HAVINA AFYA KWA KIZAZI HIKI HAKUNA DINI HUMU HUU NI KAMA MRADI WA KUUZA MBAO TU😂
@MARTHAMWANGI-e6n
@MARTHAMWANGI-e6n 6 ай бұрын
Niombee nitoke kwa madeni,niwe na amani,ni fanye biashara ya faida
@ZawadielMuhango
@ZawadielMuhango 4 ай бұрын
Nabii nmemalza chuo lkn Sina kazi naomba msaada wako
@FrancoiseNtimpirangeza
@FrancoiseNtimpirangeza 2 ай бұрын
HUYU MTUMISHI WA MUNGU ANASAIDIA SAWA WATU WAACHANE NA NDAMI KABISA
@mwapachukikombe2083
@mwapachukikombe2083 7 ай бұрын
Kufanya ivyo sh ngapi kwani ?😂😂
@Mkotokikito
@Mkotokikito 6 ай бұрын
Huyo jamaa bonge la taper nimefika kwake niliambiwa niache simu nje,nilipokutana nae niliambiwa nitoe 6M,hapo nje nimeshaacha kma 1K, hizi shida sio poa hta hao wanashangilia ni shida zimewapeleka, lakin huyo bba ni tapel na kajichubua kwel
@apolinarymsele
@apolinarymsele 6 ай бұрын
Anyone kana alafu mchochez serikali ipo wapi
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 7 ай бұрын
Acheni kuwafuata manabii wa uongo
@othmanothman4849
@othmanothman4849 4 ай бұрын
Mimi Othman nina matatizo nguvu za kiume na uchumi mdogo mno nami nipo Zanzibar
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 5 ай бұрын
Hawa wakongo na wanaigeria wamevamia nchi kinoma.
@njelenjetv
@njelenjetv 6 ай бұрын
Hekima ilikosekana.
@exaverymuhagama8795
@exaverymuhagama8795 6 ай бұрын
Pastor Dominic Kiboko Cha wachawi Nikumbuke na Mimi Naitwa EXAVERY MHAGAMA Uchumi wangu ufunguke
@MwanaharusiKodema
@MwanaharusiKodema 3 ай бұрын
Nabii naomba uniombee nina matatizo mengi
@MerisSospeter
@MerisSospeter 6 ай бұрын
Mume wangu ni mtumishi lakin Jana upako, anatamani kuwa kama wewe baba😊❤ 3:41
@giftially5874
@giftially5874 3 ай бұрын
Uyu mtumshi au nabii wauongo
@fridaminja7191
@fridaminja7191 3 ай бұрын
Sionag hata mwisho anamaliza vp, simwelewi na sina chajujifunza
@makandojoas6402
@makandojoas6402 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 7 ай бұрын
Huyu mshenzi mbona asichukuliwe hatua kwani mimba za watu zinawahusu wapi wanaume wengi kazi yetu ni kulea tu Bora azaliwe kwako!!!
@maksoudyasini4661
@maksoudyasini4661 6 ай бұрын
Tulia dawa ikuingie
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 2 ай бұрын
Kanisa iweni macho asomaye na afahamu
@AsheryMagimbi
@AsheryMagimbi 4 ай бұрын
Ninaomba unisaidie sina Aman leo
@RachelKapugi-pt6eb
@RachelKapugi-pt6eb 4 ай бұрын
Baba na mm namatatizo ya kutokupata ndoa
@FrancoiseNtimpirangeza
@FrancoiseNtimpirangeza 2 ай бұрын
Ondowa lahana baba
@SakinaMohamed-up6eo
@SakinaMohamed-up6eo 4 ай бұрын
Wachaw wafe tuu na bila miujiza kama hii wachawi walikua wanafupisha maisha ya watu tabir baba,anayeongea vibaya hayajampata
@HappyMallya-mg1gr
@HappyMallya-mg1gr 3 ай бұрын
Exactly
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 3 ай бұрын
😂😂😂hawa manabii wa siku hizi
@h.mau9989
@h.mau9989 6 ай бұрын
bwana yesu asifiwe basta
@SuzaneKimaro
@SuzaneKimaro 4 ай бұрын
NABII KIBOKO WAWACHAWI naomba unisaidie nauza gari haliuziki kabisa nauza nyumba haiuziki naomba msaada nabii. SUZANE
@SadickIssa-cw6kj
@SadickIssa-cw6kj 5 ай бұрын
Mimi. Naitwa sadick Jerome Niko wazo. Mivumon. Ninashida Kuna. Mtu namdai million. Tisa. Hataki. Kunilipa nisaidie pasta
@SumaAbduly
@SumaAbduly 2 ай бұрын
Mpuuzi
@ScolasticaJoseph-r8y
@ScolasticaJoseph-r8y 4 ай бұрын
Komboa familia yangu
@MisanaMachumu-qw1hr
@MisanaMachumu-qw1hr 7 ай бұрын
MAOMBI YA UPONYAJI: "Msaada wetu u ktk jina la Bwana,aliyeumba mbingu na nchi" nakusalimuktk jina la Bwana Yesu Kristo;maana tumeokolewa kwa neema ya msalaba kwa njia ya imani,ili sote tuvae ule uzima mpya usioweza kuharibika. Yesu Kristo akasema,Mimi ndimi ufufuo na uzima..mtu akiamini kwangu anao huo uzima wa milele. •Ndugu ktk Kristo,yawezekana umeokoka lakini bado kuna ugonjwa unakutesa..haujui utapona lini. •Yawezekana unasumbuliwa na magonjwa haya; •Ukimwi •Korona •Madonda ya tumbo,au kidole tumbo(Apendix) •Kansa ya ini,figo,tumbo au ya kizazi. •Malaria,tyfodi,U.T.I,kifua kikuu. •Ninakuombea ewe uliteswa na kufungwa kwa magonjwa,ukapone kwa jina la Yesu Kristo. Bwana Yesu akapasue kila uvimbe uliokutsa na kuponya jeraha zako,akuponye nafsi yako na tumbo la kuzimu,akuponye maradhi yote na kukuokoa kwa mamlaka ya Jina lake. Pokea kibali cha uponyaji. Pokea kuwa na afya njema. •Mpenzi naomba ufanikiwe na kuwa na afya ya roho na mwili kama vile nifanikiwa ktk jina la Yesu Kristo na damu yake ikanene uzima mpyaaaaaa Sema...AMEEEEEN! .Tuma ujumbe whatsap +255692754922 nikuombee pia hii ndio namba ya kutuma sadaka yako
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 ай бұрын
Disaster Disasters
@MerisSospeter
@MerisSospeter 6 ай бұрын
Mume wangu ni mtumishi lakin Jana upako, anatamani kuwa kama wewe baba😊❤ 3:41
@SalomeMkada-su4qg
@SalomeMkada-su4qg 4 ай бұрын
Baba mimi nina shida naomba nisaidie ninaota nalishwa vitu ndotoni na kuna vitu vime nikaba kooni sina ata rahaa naomba uni saidie vitoke baba nakuomba sana pia naomba nipate kazi baba niinuke kiuchumi
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 8 ай бұрын
Yesu mkono wako si mfupi ha usiweze kuokoa mao u yeti yametufarakanisha na uso wako Niokoe Mimi na uzao wa tumbo langu Amina
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 6 ай бұрын
Acha usenge wewe
@Commentsplus
@Commentsplus 5 ай бұрын
Bongo
@SophiaUnderson
@SophiaUnderson 5 ай бұрын
Hello
@StelaKomugisha-cb3zb
@StelaKomugisha-cb3zb 4 ай бұрын
Amina baba nisaidie nikomboe mm na familia yangu
@SalimaBakari-f8v
@SalimaBakari-f8v 5 ай бұрын
Nahitwa omary kutoka Kikuyu niombee Dua nipate ada ya chuo na mahitaji mengine muhimu nimesubuscribe na nimesherea sahivi
@CuteCute-n2v
@CuteCute-n2v 6 ай бұрын
Ivi mtu unapingana naanacho kifanya mtumishi kwel mapepo yanawa sumbuwa tulia kwenye dhehebu lako chefu😢
@BarikiElias-km2fk
@BarikiElias-km2fk 4 ай бұрын
Mtumishii Mimi naitwa elibarik Elias Niko Moshi Kilimanjaro ninaomba uniombee nifunguke kiuchumi
@amanibalama5251
@amanibalama5251 7 ай бұрын
Asante Mungu kwa kutuletea pastor dominic Mungu akupe maisha marefu-Amani
@pendoufinyu1830
@pendoufinyu1830 5 ай бұрын
Naitwa Pendo nipo dodoma,naumwa mgongo nakiuno mda mrefu,tena namwanaume kanitelekezea watoto,naomba nitabilie,nakutafuta sikupati
@violethgeorge
@violethgeorge 6 ай бұрын
Kwahyo unataka afiche maovu muache aweke mambo hazarani kwanin wafanye ushezi ingekuwa wewe ungekubali mnatukana matusi ovyo hamna hata hofu ya MUNGU kwani huyo ni mganga wakienyeji MUNGU mwenyewe kamuacha asaidie watu wewe ni nani wakutoa hukumu mpoteze maisha kama una jeuri sana ukione cha moto
@ElizaMolle
@ElizaMolle 6 ай бұрын
mnawo ongeya vibaya kuusu kiboko ndiyo wachawi ila kupigwa mtapigwa mpaka mtupe tunguri
@TumusifurudovikoNtakamurenga
@TumusifurudovikoNtakamurenga 5 ай бұрын
Nabi naamini utanisaidia mimininashida ninadeni kamaramirionitatu naniritakanikauzeshamba rangu.nikaripedenihiro niombeenikapatemuteja
@JulianaMashati-dt9js
@JulianaMashati-dt9js 7 ай бұрын
Sasa wewe mtumishi hapo unajenga au unaharibu sasa vipi kuhusu huyo Dada na familia ake kama ni kweli si umemvurugia kila kitu, itakuwa labda maigizo ila pia kama unaigiza tafuta maigizo mazuri hapo kanisani kuna watu wanaakili wanakuchunguza halafu watakuacha, ni ushauri tu.
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 4 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri. Mbona cm yako sio rahisi kukupata! Ninaswali langu cm yako bize. Nakupataje. Niko mkoani
@FarajaElisha-h9n
@FarajaElisha-h9n 7 ай бұрын
Ole wenu mnaojita wachungaji acha ushetani kuwapoteza watu wa MUNGU
@angelsaid7869
@angelsaid7869 8 ай бұрын
Sema ukweli baba siku zote msem kweli apendwi ila sisi tunakupenda bwana aimidiwe🙏
@GordonKakumwelaMwaipalu
@GordonKakumwelaMwaipalu 7 ай бұрын
Nabii Dominic Kiboko Ya Wachawi, Gordon Kakumwela Mwaipalu
@GordonKakumwelaMwaipalu
@GordonKakumwelaMwaipalu 7 ай бұрын
Nabii Dominic Kiboko Ya Wachawi, Gordon Kakumwela Mwaipalu
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 6 ай бұрын
WACHA kupoteza watu..hio ni ZINAA kubwa sanaa.DUA GANI HIZOO MNAZOZISOMAA
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 8 ай бұрын
Sikuamini unatembea na bodigadi wa nn kaka ww ni nabii istoshe hayo ni maigizo mungu akubomoe
@shubilabenjamin6597
@shubilabenjamin6597 8 ай бұрын
Kama ni maigizo na wewe fungua kanisa uigize
@EsterSamwi
@EsterSamwi 8 ай бұрын
Umeona ee
@margaritoraphael3805
@margaritoraphael3805 7 ай бұрын
Humwamini halafu unamwangalia au unmflow
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 7 ай бұрын
Walinzi wake km majambaz
@modestagobe8678
@modestagobe8678 7 ай бұрын
Hujui kazi ya bodigad au kusudu tu jamani
@Sakina-pr3ly
@Sakina-pr3ly 6 ай бұрын
Bwana asifiwe mtumishi naomba unitabilie naitwa Johnathan nko mbezi msakuzi
@Sakina-pr3ly
@Sakina-pr3ly 6 ай бұрын
Bwana asifiwe mtumishi naomba unitabilie naitwa Johnathan nko mbezi msakuzi
@SalahLuo
@SalahLuo 6 ай бұрын
MUNGU akulinde baba
@estertemba
@estertemba 6 ай бұрын
Mwizi huyo jamani nakwambia kabisa nimeingia oficen kwake kaniambia nitoe million 4 kuniona laki porch unaacha nje hakuna kuingia na kitu ee mungu tusaidie tunaibiwa
@GordonKakumwelaMwaipalu
@GordonKakumwelaMwaipalu 7 ай бұрын
Nabii Dominic Kiboko Ya Wachawi, Gordon Kakumwela Mwaipalu
@floridandayisaba
@floridandayisaba 4 ай бұрын
Habari yako mutumishi Namm naomba maombi nifunguriwe.nikama nimefungwa Kwasababu natafta spati mtoto Wangu mutundu sana naomba uniombee niko inchini.marecani mafanikio.sion
@PaulinaMombo
@PaulinaMombo 8 ай бұрын
Abii nisaidie nimedhulumiwa mahindi maroba 60 Nimehangaika sana Niko manyara uwezo wa kuja dar sina Nisaidie nabii
@ticia950
@ticia950 7 ай бұрын
Badala umuombe Mungu unamuomba binadamu mwenzio ila nyie😢
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 2 ай бұрын
Hahaa,,watu wanakataa baraka za Mungu
TAZAMA BINTI ALIEOLEWA KWENYE FAMILIA YA KICHAWI MZAZI WAKE ASEMA MAKUBWA
17:13
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 41 М.
MAMA MICHAEL ALIEKUWA AKILOGWA NA DADA YAKE MBELE YA MWANAE ATABIRIWA MAKUBWA
9:46
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 32 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,1 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 17 МЛН
NABII KIBOKO YA WACHAWI ATOA MSAADA GEREZA LA SEGEREA
4:46
JICHO LA HABARI
Рет қаралды 12 М.
UKWELI WAFICHUKA JAMAA AMFUMANIA NA SMS MKE WAKE KUMBE HANA KOSA NI NDUGU ZAKE
15:40
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 62 М.
HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA  AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA  PART-1
15:52
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 47 М.
KABIBI FRANI IVI KEMBAMBA KEMBAMBA ALIEMROGA AISHA UKWELI WAFICHUKA AISHA AMJUA MCHAWI WAKE
15:12
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 58 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН