KIJANA AUAWA NA TEMBO ARUSHA KWA KUMSHIKA MKIA NA KUMPIGA PICHA ILI ASAMBAZE MTANDAONI

  Рет қаралды 154,016

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 421
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 жыл бұрын
Njia ziko nyingi Sana za kuufikia umauti sema tumefumbwa tu Rest in power Mr Mtaalam.
@kweka14l35
@kweka14l35 4 жыл бұрын
Hata Mtu yoyote ukimpiga picha bila ridhaa yake ni lazima akasirike. Pole kijana.
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 4 жыл бұрын
Kama na we umesikia minikaondoka mm nikamuacha njo na like hapa
@jumannewazir6716
@jumannewazir6716 2 жыл бұрын
Huyo mshikaji Hana jina mara msela kwanza huwezi kujielezea hutulii. Mbonea umejielezea vema
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 жыл бұрын
Labda mungu alikuwa kashapanga jaman pole wafiwa
@vicentchamtemo3016
@vicentchamtemo3016 4 жыл бұрын
Mnafeli wapi ayo tv?.tukio limetokea kijiji gan au kata...hamsemi...taarifa haijakaamilika vizuri
@vodacommpesashop9404
@vodacommpesashop9404 4 жыл бұрын
We jamaa mbishi utakanyagwa na wew kwa ujumbe siumekufikia?
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
@@vodacommpesashop9404 Na yeye anataka akashuhudie tembo anafananaje apige nae selfie
@captendunga1392
@captendunga1392 4 жыл бұрын
hayo uliyoyasikia yanakutosha maswala ya kijiji au kata wee ni ya nini? unataka ukamfufue keshakufa huyo.... ukitaka kuyajua hayo unayosema kaangalie taarifa ya habari ya saa 2 I.T.V
@ojasoojaso9479
@ojasoojaso9479 4 жыл бұрын
@@captendunga1392 wacha ujinga kwani wewe ndo Ayo TV. Unadhani wetu wote wanamuda wa kuangalia tv saa 2. Mshamba wa ma tv saa 2
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Mwenyekiti kashasema ni Wapi....
@godfreydickson4204
@godfreydickson4204 4 жыл бұрын
Kama Tembo haonekani, Harmonize akamatwe 😀
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 4 жыл бұрын
😱😱🤔
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣💃💃
@clevermngao7565
@clevermngao7565 4 жыл бұрын
😀😁😂
@zenashalifu3291
@zenashalifu3291 4 жыл бұрын
😅😅😅👍🙌🙌
@Xplossives
@Xplossives 4 жыл бұрын
Hehe
@meshackmassawa1686
@meshackmassawa1686 4 жыл бұрын
Ajali kazini,, pamoja na utaalam wote ,dah
@gabrielmushi2813
@gabrielmushi2813 4 жыл бұрын
Huyo Kifo Kilimuita Tu... Tembo Kila Day Tunawapiga Picha Sana Tu ... Ila Usiwashe Flash Wakati Unampiga Picha ...
@naslee1010
@naslee1010 4 жыл бұрын
itabidi #harmonize awajibishwe juu ya hili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allymngwaya1369
@allymngwaya1369 4 жыл бұрын
Tukio kama hili liliwahi tokea Same Kilimanjaro mwaka 2019 kuna jamaa alikuwa anampiga picha watu wakamuonya akawa hasikii. Akamuulia mbali. Naomba msithubutu kumchezea Tembo ni mnyama ambae hapendi dharau ukimdharau anakumaliza dakika tu.
@cosmasmdaki3101
@cosmasmdaki3101 4 жыл бұрын
Hatari tusizowee! Visivyozoeleka poleni kwa msiba.
@tomasokaniki5253
@tomasokaniki5253 4 жыл бұрын
WaTZ wengi hupenda kukimbilia iliko hatari kuliko kuikimbia hatari. Picha zinagharimu maisha ya wengi.
@helenamusa432
@helenamusa432 4 жыл бұрын
Innalillah wainailah RAJIUN Allah amrehem huyo kijana jmn watu wawe makin tembo siwakuchezea
@dr.msenyaelfas2541
@dr.msenyaelfas2541 4 жыл бұрын
Huyo kijana nadhani alivuta cha Arusha. Mtu mzima hawezi kuwa na ujasiri wa kumshika Tembo mkia. Apumzike salama
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Amrahamu.
@seremalatznaaustralia1462
@seremalatznaaustralia1462 4 жыл бұрын
Duh asante Millard, niko nje ila kwa tukio hili limetokea sehem natoka na nmeona ndugu jamaa na marafiki hadi baba angu mzazi😂😂. Polen sana kwa ndugu jamaa na marafiki wa kijana alifariki.
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Asa unatoa pole uku unacheka?
@seremalatznaaustralia1462
@seremalatznaaustralia1462 4 жыл бұрын
@@josephstephen2047 nmecheka kwa kuona ndugu na marafiki wakichungulia, sio kwa yaliyotokea
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
@@seremalatznaaustralia1462 Marafiki wakati wa shida wanakuacha peke yako
@seremalatznaaustralia1462
@seremalatznaaustralia1462 4 жыл бұрын
@@josephstephen2047 ni kwel
@restkalemile5274
@restkalemile5274 4 жыл бұрын
huyo jamaa wa milard ayo anakula nini mbona kanona hivyo....😀😀😀 😀😀😀
@franklineevarest3066
@franklineevarest3066 4 жыл бұрын
Mungu ailaze pema peponiii amennnnn
@mahamoudmohamed7987
@mahamoudmohamed7987 4 жыл бұрын
Pole kwa familiya yake
@barakamaulidy5921
@barakamaulidy5921 4 жыл бұрын
😂😂tembo hataki kuwekwa mtandaoni 😁tutumie smarthphone zetu vizur jaman
@washngtonmbedz9137
@washngtonmbedz9137 4 жыл бұрын
R ip god bless marehem
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 4 жыл бұрын
Huo utaratibu ulihitaji hao watu wa wanyamapori kuondoka wote kwenye eneo la tukio?
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 4 жыл бұрын
Huyo KONDE BOY sio wa mchezo jamani
@imakessy6446
@imakessy6446 4 жыл бұрын
Hatari sana kumshika tembo mkia
@jumataqwa3700
@jumataqwa3700 4 жыл бұрын
Ok Yuko sawa akauzie mbingun
@baruaninombo291
@baruaninombo291 4 жыл бұрын
Hiyo cm itakua ni mpya kanunua juz.unamxhika tembo matako mi ng'ombe enyewe namogopa huyo cyo akili sake jamani duu!
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 жыл бұрын
Habari hazijitoshelezi kila mtu anasema alimuacha je ukweli tembo alimuua au
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 4 жыл бұрын
Sijui like na comment hua wanazipeleka wapi ona sasa unakufa kizembe
@Focus_Mengi
@Focus_Mengi 4 жыл бұрын
Duh!
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 жыл бұрын
Marehem alkua anataka kupga tembo picha ya karibu sabab yeye ni mtaalam wa tembo na anatak auze.... sasa harmonize njoo utueleze
@rodasanga1312
@rodasanga1312 4 жыл бұрын
Eee mungu nimecheka kama mazuri tembo apendagi ujinga
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 4 жыл бұрын
innalillahi wainnaileyhi rajaouni. Kifo kikuita huezi kusikia lamtu
@hamzakija8790
@hamzakija8790 4 жыл бұрын
So sad 😭😭
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 жыл бұрын
Msipate tabu, tembo yupo konde gang saazi, nendeni kimya kimya mtampata.
@muungatv8268
@muungatv8268 4 жыл бұрын
Mwana kulitafuta kakutwa na konde boy like nyingi kwa king konde
@ramahaji9342
@ramahaji9342 4 жыл бұрын
Unaleta utan kwenye serious
@jrscommunications4494
@jrscommunications4494 4 жыл бұрын
Picha kwa sasa zimewafanya watu wengi wawe kama wajinga
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
WATAFITI WAMEBAINI MAZITO KUHUSU WATOTO MAPACHA 👇👇 kzbin.info/www/bejne/fIavgmCka5dgi6s
@danieldaniel5848
@danieldaniel5848 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/p4TOipmJrd-Hibs Chukua Fikira Hizi, Zitakusaidia Sana Maishani
@veronicakalogi1813
@veronicakalogi1813 4 жыл бұрын
Kweli yan
@humphreyalbano3349
@humphreyalbano3349 4 жыл бұрын
Kweli maana Aya kwenye zikitokea hatusaidii watu Bali tuna dili na picha ili tutupe mtandaon
@hassanmkungile6021
@hassanmkungile6021 4 жыл бұрын
Unampiga picha Jeshi bila ridhaa yake jaman😢😢😢😢
@roidabosscko5249
@roidabosscko5249 3 жыл бұрын
Kabisa
@qudratv9169
@qudratv9169 4 жыл бұрын
alimpiga picha alaf akakataa kumuonesha tembo akamaind🤣🤣🤣🤣
@japhrystar2597
@japhrystar2597 4 жыл бұрын
alitaka ampige dore nn au alitaka kumfanya nn mana dunia sahv wat wanapenda ngozi🚶🚶 tembo ana joto lkn
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 4 жыл бұрын
RIP kijana .....Ila vijana tutumike smartphone vzr
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 4 жыл бұрын
Kwakweli
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 4 жыл бұрын
@@lizzydiy4590 asingekuwa na cm angelitulia
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
@@denicegabriel6616 sure broo
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 4 жыл бұрын
Kifo hakikosagi sababu
@jalalybabilas4213
@jalalybabilas4213 4 жыл бұрын
Tumuombee hakujua, kikubwa tuache ujuaji wa kuchezea maisha uhai ni bora kuliko pesa
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 жыл бұрын
Unaanza je kumshika mkia.........amemchokoza mwenyewe..........
@hassanjunior4614
@hassanjunior4614 4 жыл бұрын
Sikio la kufa alisikiagi dawa kijana mungu amrehemu 🙏🙏
@lisahmvungi4596
@lisahmvungi4596 4 жыл бұрын
Rip
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Duuu kweli siku za kufa zikifika zimefika yaani hata wakukatazaje hauwezi kusikia.Yaani hata watu wakuambie hicho kitu ni hatari kinaua yaani wewe huwezi kujua kama kinaua.R.I.P
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 4 жыл бұрын
Huku ulaya angelaumiwa tembo maana huku mtu akifa hspl analaumiwa daktari akifa kwa ajali kama ni barabara inalaumiwa serekali kama ni chombo analaumiwa mtengenezaji
@elibarikieliatunawapatavzr7872
@elibarikieliatunawapatavzr7872 4 жыл бұрын
Machaliii WA AR mnajifanya wabishi kwa kila ki2
@sofiashaban6089
@sofiashaban6089 4 жыл бұрын
Mtaalamu wa Tembo..sasa kafariki R.I.P
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Mauti yana ita ki ajabu kweli. Kapiga mara ya Kwanza tembo ana mcheki tu. Karudi tena na watu wanamkataza lakini hasikii
@sampartick2235
@sampartick2235 4 жыл бұрын
Mwenyekiti n muoga balaaa
@stevenmbwamb9677
@stevenmbwamb9677 4 жыл бұрын
Chezea kifo wewe
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
Tembo hapendi ujinga wa kurushwa mtandaoni yaani binadam tunazidiwa na wanyama
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
@@ashaally6662 Umeonaee 🤣🤣Mwanakulitafta mwanakulipata
@ashaally6662
@ashaally6662 4 жыл бұрын
@@rahmaoman5122 😂😂😂😂kwa kwel kayatafuta mwemyew unaanzaj kimswaga tembo ona sasa
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 4 жыл бұрын
Mungu wangu ivi alikua anajitaka kweli
@yohanaikaya6218
@yohanaikaya6218 4 жыл бұрын
Poleni sana kwani kwenye mafunzo yake ya utaalam wa Tembo alipewa na kitambulisho ili tembo amtambue?
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 8 ай бұрын
Uyo kijana alizani tembo shangazi yake mpaka ashike mkia
@aishamalunkwi8316
@aishamalunkwi8316 4 жыл бұрын
Kifo kilimwita poleni wafiwa
@vanessamagezi6986
@vanessamagezi6986 4 жыл бұрын
Tumepewa taarifa mapema watu tuwe makini na tukae mbali na eneo alilokuwepo huyo tembo,sasa mtu unamfuata na kutaka kupiga nae picha.Jamani sijui tutabadilika lini sisi .
@matukiosafaris6508
@matukiosafaris6508 4 жыл бұрын
Kwani huyo tembo alikuwa ni sanamu si alikuwa anatembea wenye kosa ni askari waliondoka wote ilitakiwa wengine wabaki kuwazuia wananchi wasimsogelee je angewavamia watoto au kama mtu ni kichaa amsogelee si wote wangeuwawa na tembo
@jackilinekasendamila6270
@jackilinekasendamila6270 4 жыл бұрын
Duuh R.I.p😭😭😭😭
@yusufumajinge59
@yusufumajinge59 4 жыл бұрын
Sijui wafrica huwa tunatumia akili gan aisee!!! Sasa utamshikaje tembo mkia.
@mratowntz9649
@mratowntz9649 4 жыл бұрын
Huyo siyo Asiatic elephant mzee huyo ndo loxodonta Africana kaa mbali na wanyama wa Africa unaleta mambo ya tonny jaa Bangkok ile muvi broo r.I.p
@lobikokirisharie7860
@lobikokirisharie7860 4 жыл бұрын
Duuuh hatari
@umizandonga8867
@umizandonga8867 4 жыл бұрын
Watoto wa Arusha ni watoto wa mjini wanajua kuliko watanzania wengine, kwahivyo kukutwa na kisanga Kama hiki ni kawaida tu kwao sitoi hata Pole wallahi, akili nyingi mbele kiza
@baruaninombo291
@baruaninombo291 4 жыл бұрын
Mimwenyewe nkikuona unanipiga picha utanitambua utasema unapeleka wapi.Tembo cyo faraa
@gasperminja5100
@gasperminja5100 4 жыл бұрын
Huyo kijana alikuwa jasiri kweli kumshika tembo mkia sio mchezo
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 4 жыл бұрын
Ni ujinga wa hali ya juu ,musije mukamuuwa tembo bule,uelevu wake ndo ujinga wake
@juniorfredmbatia8285
@juniorfredmbatia8285 4 жыл бұрын
Mtaalamu Wa Tembo. Maajabu hayakomi. Rest In Peace
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 4 жыл бұрын
Harmonize akamatwe
@itongwamtebwa7255
@itongwamtebwa7255 4 жыл бұрын
Mwana kulitaka mwana kulipata 😁
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Huyu marehemu itakuwa alimshika tembo MATAKO tembo akaona sasa hii dharau too much....
@kweka14l35
@kweka14l35 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@emersianakimaro4447
@emersianakimaro4447 4 жыл бұрын
Ripota na wazungumzaji ni WAPUMBAVU. Watalii wanapiga picha na Tembo, semeni kwamba kamsogolea.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Yani Wanakuletea Taharifa Unawaita Wapumbavu?,Acha Ujinga.
@eliudijastini645
@eliudijastini645 4 жыл бұрын
Ndowatanzania tulivo ilapoleyake 😭😭😭😭🐘🐘🐘🐘🐘
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
Tembo hapend ujinga kabsa aliwaiga wazngu hiko ndio kimemkuta Sasa wazngu waachien na tembo wao wamabua RIP
@alexmussa2598
@alexmussa2598 4 жыл бұрын
UGOJWA WA 🅿🆔 Pelvic Inflammatory Disease Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- . Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe. DALILI ZA UGONJWA WA PID 1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa 2️⃣Kuwashwa sehemu za siri 3️⃣Uke kutoa harufu mbaya 4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu 5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana 6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa 7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi 8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi 9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa 🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula . . MADHARA YA PID •Ugumba •Kansa ya shingo ya kizazi •Mirija ya uzazi kuziba •Majeraha kwenye mirija ya uzazi. kwa msaada na tiba tucheki kwa no: 0744481111
@matridapetro6640
@matridapetro6640 4 жыл бұрын
Unashika matako ya mwenzio bila ridhaa yake aisee pole sana,,, R. I. P
@fisjaykitamuliko1183
@fisjaykitamuliko1183 4 жыл бұрын
😁😁
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
😃😃😃😃
@bintimohammed3233
@bintimohammed3233 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@aishasaid6749
@aishasaid6749 4 жыл бұрын
Subuhannallah
@farouqbanda8656
@farouqbanda8656 4 жыл бұрын
Mtanzania akitafuta kiki....
@queenmamu3221
@queenmamu3221 4 жыл бұрын
Marehemu alikua mtundu sana
@godfreymsafiri3380
@godfreymsafiri3380 4 жыл бұрын
May his soul rest in peace
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
WATAFITI WABAINI MAZITO KUHUSU WATOTO MAPACHA 👇👇 kzbin.info/www/bejne/fIavgmCka5dgi6s
@mamavero4004
@mamavero4004 4 жыл бұрын
Nyuki hakumbatiwi Mungu amsamehe dhambi zake zote Amina
@ashamjeja28
@ashamjeja28 4 жыл бұрын
Kweli kifo kimemuiitaa
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 4 жыл бұрын
Ivii vijana tunakwama wap lakin mambo yote ayoo pich tu jmn
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Asee sad✨
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 4 жыл бұрын
Iyo ndio mwana kuytafuta mwana kuyapata mnamuonea tu kimuua uyo tembo
@rashidyally8715
@rashidyally8715 4 жыл бұрын
Hayo matumizi mabaya ya smat phone tembo hapendi zarau mambo ya kumsambaza mitandaoni
@ibrahimthadeo3833
@ibrahimthadeo3833 4 жыл бұрын
itakua alimshika sehemu mbaya
@anoldnelson2049
@anoldnelson2049 4 жыл бұрын
Muaji hana kosa Sasa alijua huyo Ni ng'wombe au
@Kantec-k7h
@Kantec-k7h 4 жыл бұрын
Vijana wenzangu wa Arusha tatizo mboga za majani mnazokula
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 4 жыл бұрын
Innalilah wainnaillah rajiuun
@FOURGB
@FOURGB 4 жыл бұрын
*NEW HIPHOP MUSIC* *Artist : FOURGB FOURGB* *Song : NDOA YANGU* kzbin.info/www/bejne/iYrKn2OfjNKla5o *FOURGB FOURGB*| *ARUSHA HIPHOP SUPPORT*| *KIWANDA CHA MISTARI*| *REVO MUSIC* *FourGb_NDOA YANGU TUICHEKI SASA*
@moonaamli6835
@moonaamli6835 4 жыл бұрын
Daah kwakweli ni mtihani ivi tembo na ukubwa wake na ukali wake guu lake 1 tu akikukanyaga wewe tena ushakua chapati sasa iweje mpaka utake kumshika mkia umpige picha kwa nfano ? R.I . P
@ayoubsuleiman3675
@ayoubsuleiman3675 4 жыл бұрын
Ndo asha uza hivyo mtaalam wetu huyooo yn unaweza ukachekesha wakati nimsiba
@saidasimba9979
@saidasimba9979 4 жыл бұрын
Watu wameelewa vibaya yaan huyo kijana alikua anapiga picha na tembo pengine akiwa karibi au amemshika.. Ndivyo nivyoelewa
@ansilacastroy4504
@ansilacastroy4504 4 жыл бұрын
Chuga na matembo tena duh
@frankmnale1900
@frankmnale1900 4 жыл бұрын
Kifo hakikosagi sababu ......
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
WATAFITI WABAINI MAZITO KUHUSU WATOTO MAPACHA 👇👇 kzbin.info/www/bejne/fIavgmCka5dgi6s
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 4 жыл бұрын
Fact
@amosikabalata6381
@amosikabalata6381 4 жыл бұрын
Yaani picha za instagram zinatufanya tuone tembo kama mbuzi! DUUUU
@kasimadam2975
@kasimadam2975 4 жыл бұрын
hapana kucheza na konde boy
@sudymgeni701
@sudymgeni701 4 жыл бұрын
Imeisha picha pichani mwacheni kujifanya mnajua wanyama kwa vile mko arusha
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
Kifo kilikuwa kinamwiita
@keiyalaitayo7903
@keiyalaitayo7903 4 жыл бұрын
Ndo ivyo mauti ina nguvu
@liliambokile2473
@liliambokile2473 4 жыл бұрын
Kabisa
@isayajoseph14
@isayajoseph14 4 жыл бұрын
Sometimes Tuwe watu wa kutopenda Sana sifa Maana Jamaa alikuwa na lengo La kupata sifa mtandaoni. Na hii mitandao itatumaliza kama wahindi. Maana nao wamekufa Sana kisa selfie
@bhtstm949
@bhtstm949 4 жыл бұрын
Alikiba
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 жыл бұрын
Hizi picha za kupost Instagram,twitter,facebook,telegram au whatsapp status zimewafanya watu kuwa wajinga kabisa.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН