MACHALII wa ARUSHA WAANDAMANA BAADA ya KIFO cha DANGOTE HUO MDOMO SASA USIPIME -"HATUKUWAHI KUOGOPA"

  Рет қаралды 153,534

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 282
@globaltv_online
@globaltv_online 9 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@JamesSaiigurai
@JamesSaiigurai 3 ай бұрын
Tarifa
@JamesSaiigurai
@JamesSaiigurai 3 ай бұрын
Edwajrd
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 9 ай бұрын
Ila arusha imagine hawa vijana jamani daaah ndio nguvu ya kesho subhannallah
@gracejulius6913
@gracejulius6913 9 ай бұрын
😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo ndio nimechoka staman at kuendelea angalia ndii uchaf gan jmn...
@JamesSaiigurai
@JamesSaiigurai 3 ай бұрын
Arusha
@chepkirui-vn1bu
@chepkirui-vn1bu 9 ай бұрын
Nyie mmengoja afe ndio mnaandamana zii😏basi nyie ni waoga tuu
@BEDORESI
@BEDORESI 9 ай бұрын
Jamani arusha mpaka watoto wamepinda nilifikaga nilichoka mwenyewe kwanza lafudhi yao hapana kwa kweli😂😂
@simbayangu5239
@simbayangu5239 9 ай бұрын
Kbs
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 9 ай бұрын
Emwenyezi Mungu tujalie vizazi vyema
@kajsun5918
@kajsun5918 9 ай бұрын
Zaidi ya comedy yaaan machalii wapo vizuri
@DaudiMilamo-um8jl
@DaudiMilamo-um8jl 9 ай бұрын
Haaaàaa watoto Hawa wamenifurahisha sana
@sunaybrajabu238
@sunaybrajabu238 9 ай бұрын
Asante mungu nimemuamisha mwanangu Arusha, sijapenda style ya huyu mtoto kabisa
@Olaiserriomunyak1059
@Olaiserriomunyak1059 9 ай бұрын
😂😂
@SephaniaMasatu-hq5ze
@SephaniaMasatu-hq5ze 9 ай бұрын
Arusha mbona kila kijana yupo bwii mtoto drs la 3 nae yupo vibaya
@sunaybrajabu238
@sunaybrajabu238 9 ай бұрын
Wanajiendekeza tu hamna cha bangi wala nin
@kingcole60
@kingcole60 9 ай бұрын
Hicho ndo mnachokiweza kuvaa manguo makubwa na mikwara, katoto kadogo kamewajambisha sahivi mnajifanya kuandamana
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 9 ай бұрын
Kumbe maandamano yanaruhusiwa nchi hi! Maandamano ya wapinga wizi hakuna Polisi Wala mabomu ya machozi....!
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 9 ай бұрын
Arusha nomaaa👌
@Mumewangu
@Mumewangu 9 ай бұрын
Alipokuwa hai mlikuwa mnamkimbia lakin baada ya kufariki ndio mnajitoa na kuandamana
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🥲
@kelvinngenzi8578
@kelvinngenzi8578 9 ай бұрын
😊😊😊😊
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 9 ай бұрын
Yaani najikuta nacheka tu hichi kitoto masikini😂😂 allah atuongoze ishallah
@user-oy9me4qm4f
@user-oy9me4qm4f 9 ай бұрын
Akika ni mpumbavu kwellli hasssa ni mshenzi mkatilii kinoma yaani ....heri amekufa😊
@nyerere1259
@nyerere1259 9 ай бұрын
POLISI KAMATENI MTANDAO WA DANGOTE USIKUTE NDO HAO WANAWACHEZEA AKILI ILI MSAHAU
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 9 ай бұрын
nikweli kabsa 😢
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 9 ай бұрын
Hee,mmepataje kibali cha maandamano machalii.nimewaaminia.sio kazi rahisi kwa nci yetu kufanya.maandamàno
@Faydhat
@Faydhat 9 ай бұрын
Mungu atunusuru ya allha
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 9 ай бұрын
Mungu turehemu na kizazi chetu
@tato8979
@tato8979 9 ай бұрын
Nahuyo mtoto nibangi tupu mungu tulindie watoto wetu 😢😢😢
@D.P.O
@D.P.O 9 ай бұрын
😂😂😂
@saidimgina8299
@saidimgina8299 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 9 ай бұрын
Kwanini unasema hivyo? Ni ujasiri tu na uchuga uliomjaa
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 9 ай бұрын
​@@Ndu-wa.uroony2Yani nashangaa mijitu yamikoa mingine ikiona wtu wachuga wanaongea Ivo wanaonaga kila anaongea Ivo anakula bangi sio kwel nimadhingira namazoea yakuongea Ivo sio kila mtu akiongea Ivo anakula ganja Bora unemwambia
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 9 ай бұрын
😢😢😢
@user-qm3pi7vx9u
@user-qm3pi7vx9u 9 ай бұрын
Sukuma ndani wote
@hawaomary96
@hawaomary96 9 ай бұрын
Huyu mwenye miwani nimesoma nae ni kichaa toka shule😂😂😂😂
@frankJohn-rx4si
@frankJohn-rx4si 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 havuti bangi kweli huyo
@hawaomary96
@hawaomary96 9 ай бұрын
@@frankJohn-rx4si anavutaga toka shule huyo🤣🤣🤣🙌
@josephlokai4013
@josephlokai4013 9 ай бұрын
😂😂hii accent ndo mbona c kiswahili cha kawaida....asking from Kenya
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 9 ай бұрын
Anaonekana tu 😂😂😂😂😂
@corneliomassawe
@corneliomassawe 9 ай бұрын
Wee we
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 9 ай бұрын
Hamna lolote dangote aliwashinda
@masudiamani4501
@masudiamani4501 9 ай бұрын
😂😂😂 raiv saiz vinaongea baraha
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 9 ай бұрын
@@masudiamani4501 hawana lolote Dangote kaacha alama wao kazi kuvuta Bangi leo Dogo kafa wanajifanya wanamuongelea nayule sio muarusha Dogo mrangi 🤣
@julitaakinyi-nz9de
@julitaakinyi-nz9de 8 ай бұрын
Mpigwe charumbe...mikunduni aisee
@nancykimaro8319
@nancykimaro8319 9 ай бұрын
Arusha ni nchi nyingine sio tz hiii🤣🤣🤣🤣
@annapeter-wb6iv
@annapeter-wb6iv 9 ай бұрын
Hiyo imekaaje walipata kibali au kwakua kunamabango ya kusifu na kuabudu?
@candy9969
@candy9969 9 ай бұрын
Yani Arusha siami mkoa wangu😂😂😂😂
@ElifAthanas-or1dt
@ElifAthanas-or1dt 9 ай бұрын
It's true Arusha it's another country uwiii
@vitusjumah
@vitusjumah 9 ай бұрын
Waandishi wa habari wanajaribu kizazi kwa kutoa airtime kama hizi
@user-hy6ks1io5u
@user-hy6ks1io5u 9 ай бұрын
WANAAANDAMANA UKU DANGOTE,,,,,,UYO APO NYUMA HUYOOO
@nurupatrick6657
@nurupatrick6657 9 ай бұрын
🤣 leo juma mosi jomba mbona unajichomoa battery
@johnmahu5060
@johnmahu5060 9 ай бұрын
Hpo tu mmevuta bangi alf mnasema et arusha bila bangi inawezekan unga limited wote siwaamin mnazaliwa ktk bangi e Mungu rehem hi jamii
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 9 ай бұрын
Dangote ni Tonya, Leo tena mbona mwanzo hatukuwaona jamani ?
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 9 ай бұрын
Mkoa wa hovyo sna huo watu wanajifanya wahuni alafu wanasumbuliwa na vitoto
@saay4273
@saay4273 9 ай бұрын
Yani hivyo viatu tu ni bangiiii toshaa😂😂😂😂😂
@DanyMrDavid-js1kl
@DanyMrDavid-js1kl 9 ай бұрын
Et wauni Kuna uhuni gani apo wapumbavu nyinyi waoga sana wat was arusha
@fr.edgarngowiosa6599
@fr.edgarngowiosa6599 9 ай бұрын
Mfanye hivyo kuidai Katiba Mpya, ndiyo hatma ya maisha yenu
@TheKashmill
@TheKashmill 4 ай бұрын
4:07 hujamaaa anaitwa nani
@neeskpop
@neeskpop 9 ай бұрын
Wakati wa uhai wake, hatukuyaona hayo mabango.DANGOTE, alikuwa kiboko yenu sasa ndo mmejifanya washindi, 😂😂😂 Hapo kati yenu, kuna wa Dangote wakingali hai.
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 9 ай бұрын
Hahaha make nimecheka
@neeskpop
@neeskpop 9 ай бұрын
@@sabrinasabrina8395 Kwa sasa ndo kila mtu, amejitokeza na pendekezo lake. Wafaransa wanasema eti, (à l'absaence du chat, le souri dance !) Inamaanisha kuwa ; paka kaondoka, panya kacheza .
@corneliomassawe
@corneliomassawe 9 ай бұрын
Chugaaa hometown
@NameNyika
@NameNyika 3 ай бұрын
Wadudu oyeeee
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 9 ай бұрын
Wenyewe mbana mnaonekanawezi mtoto mdogo mdomö mweusi kwa bangi Arusha nishida tuuu😢😢
@Olaiserriomunyak1059
@Olaiserriomunyak1059 9 ай бұрын
Arusha bila bangi inawezekana😂😂😂
@dicksondidas8154
@dicksondidas8154 9 ай бұрын
Mngekula mnaandama kwa mambo ya msingi km hivii mfanyavyo ingeleta unafuu angalau lakn sio kwa maswala ambayo hayana msingi wowote km hili ambalo limeshapita..hii ni aibu mnaleta
@emanuelsamaytu9437
@emanuelsamaytu9437 9 ай бұрын
Dahhh
@Mumewangu
@Mumewangu 9 ай бұрын
Amefariki ndio mnaongea Dangote alikuwa kiboko yenu
@naturelle1097
@naturelle1097 9 ай бұрын
😂
@KhalidHashim-fs6in
@KhalidHashim-fs6in 3 ай бұрын
Watu wa chuga ni fisi kinoma yani bora wamasai kidogo ila wote kunguru
@aliyrashid4320
@aliyrashid4320 9 ай бұрын
yaan wanajikuta wahuni kumbe watoto wazur tuuu
@josephlokai4013
@josephlokai4013 9 ай бұрын
Hii ni lugha gani...ama ni sheng ya Tz???
@barakamnai4184
@barakamnai4184 9 ай бұрын
Waandishi wa habari nanyi mmekuwa kama vichaa ivi hamuoni watu wa kuoji mpaka mnaoji awa vichaa?
@issasalim4635
@issasalim4635 9 ай бұрын
Ushamba umewazidi
@user-hm4hk5hi1c
@user-hm4hk5hi1c 9 ай бұрын
Jamani uyo mwenye miwani icho nikipara au amenyoa🤔
@newzon5300
@newzon5300 9 ай бұрын
KIZAZII CHA OVYOO KUWA KUTOKEA INCHII HIII😂😂
@danielshekiyao706
@danielshekiyao706 9 ай бұрын
Waoga aooo
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 9 ай бұрын
Mwandishi bana eti nchi yaarusha hamtaki shida
@dorahpeter6542
@dorahpeter6542 9 ай бұрын
Vijana wa Arusha mbona wamepinda
@tuliafugutilo923
@tuliafugutilo923 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 au wafuasi wa dangote Hawa wanahofia kukamatwa,, daah Arusha, serikal ichukulie taswira ya hili andamano kuisoma Arusha na ifanye jambo kwakwel
@Dantaata
@Dantaata 9 ай бұрын
hiki kitoto cha darasa la tatu ni kadangote kabisa
@hsjshs2894
@hsjshs2894 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sirilaswai6206
@sirilaswai6206 8 ай бұрын
Sijui wazz wake wako wapi jmn
@IsackMsafi-vf6ls
@IsackMsafi-vf6ls 4 ай бұрын
Jaman uyo dangote naye vp?
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 9 ай бұрын
Machalii hamna kitu mbele ya valangati la washenzi Kama Dangote,Mashujaa wako huku Majita na Serengeti ambako washenzi Kama huyo Dangote angefuatwa mpaka maskani kwake na moto wake ungekuwa fundisho kwa weshenzi wengine.
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 9 ай бұрын
Fala! Kwani Dangote aliuawa na watu wa Tarime?
@estermnunke9485
@estermnunke9485 9 ай бұрын
Mbona wange ghecha mapema tu
@BigBrother-rg1ui
@BigBrother-rg1ui 9 ай бұрын
Sheeer dangote enyewe kuna sehemu aezi fika uko republic of sarna Compton SEKEI Uko baba uezi pima nimaukunga mbajo
@michaelnhonya5572
@michaelnhonya5572 9 ай бұрын
Hawa ndio wenyewe kule Arusha.
@user-ru7dt1ik7m
@user-ru7dt1ik7m 9 ай бұрын
Iimeendaaaa
@NeemaFelix-di1vk
@NeemaFelix-di1vk 4 ай бұрын
Mkovizuri
@jamesshao
@jamesshao 9 ай бұрын
pk
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w 9 ай бұрын
Hivi Dangote ni JINA halisi la huyo Muuaji au ni la kujipachika kuhusiana na jina la Tajiri bilionia wa Nigeria? Kama ni hivyo huyo muuaji aitwe kwa jina lake halisi la Ally kuepuka kuchafua majina ya watu maarufu.
@Allyhujjat
@Allyhujjat 9 ай бұрын
Kweli kabisa wanamchafua dangote tajiri na wahawa wavute bange wakojoe wakalale
@zakariaalamnyack
@zakariaalamnyack 8 ай бұрын
kweli mpo siriasi😢😢😢
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 9 ай бұрын
Wapelekwe jeshi
@KhalidHashim-fs6in
@KhalidHashim-fs6in 3 ай бұрын
Wapelekwe jeshi hao wapuuzi au wapelekwe jeshi wakaondoe mihadarati
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 9 ай бұрын
Huu ni ujinga mtupu tuu mnafundisha watoto kuvuta bangi tuu afu mnajikuta wajanja kumbe ni hamnazo yan
@Simplebudgetcooking
@Simplebudgetcooking 9 ай бұрын
Kweli kabisa, huwezi amini hii Habari iko broadcasted.
@rashidsaid1092
@rashidsaid1092 5 ай бұрын
Sasa hayo madudu hayo kuvaa ndo ujanja ... nyinyi watu wa ajabu sana
@user-bo5im1is7w
@user-bo5im1is7w 9 ай бұрын
Aiwezekani
@lorencosimon2510
@lorencosimon2510 9 ай бұрын
Mjomba unajichomoa Betri
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 ай бұрын
Kamanda uko wapi watu wanaandamana
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff 9 ай бұрын
nn kazi ya hao wahuni istoshe hao wadogo wanaharibiwa tabia bangi tupu niliona km Arusha kuna vijana wanaojielew kumbe ni bangi
@hawahussein137
@hawahussein137 9 ай бұрын
Dangote alivyokuwa hai aliwalaza ndanu saa 12 jioni leo kafa ndiyo mnajitokeza mlikuwa wapi na hayo maandamano
@ErickyTz-ku7dt
@ErickyTz-ku7dt 9 ай бұрын
Mara paaah dangote anatokea ukutee walimuua mengine machalii wanapitea
@dppd4219
@dppd4219 9 ай бұрын
Hawa wanaizalilisha tz
@FreddyElengabo-kn3ks
@FreddyElengabo-kn3ks 9 ай бұрын
Arusha ni nchi ingine haisee
@sadickshabankiloya4622
@sadickshabankiloya4622 9 ай бұрын
Nchi ya arusha kweli huko arusha
@marysawe9356
@marysawe9356 9 ай бұрын
Hamna mzima hpo
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 9 ай бұрын
Hapana jaman
@habyhabib7538
@habyhabib7538 9 ай бұрын
Ratiba msiba
@hallin9561
@hallin9561 9 ай бұрын
😂😂hao wenyewe wote wezi,
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 9 ай бұрын
We jamaa mbona unajizima betri😂😂😂, leo njumamosi…………. Dangote mwenyewe Ntonyaa
@user-kj1xk6bx6n
@user-kj1xk6bx6n 7 ай бұрын
mtendaji ni tapeli aondoke atauwawa kweli .
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 9 ай бұрын
Huyo mtt bangi
@veraisaria
@veraisaria 9 ай бұрын
Hii ni shida nyingine zaidi ya dangote😂😂 mama atusaidie tu kuokoa watoto wetu nnini hii?
@Nadia-fg8yr
@Nadia-fg8yr 9 ай бұрын
😂😂😂 Ee, Mungu aturehemie matumbo yetu ya uzazi Dah!!
@user-gp3le3vr1v
@user-gp3le3vr1v 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Umemgusa paraaaa😂😂😂😂
@sadickshabankiloya4622
@sadickshabankiloya4622 9 ай бұрын
Leo juma mosi anajichomoa better
@KingSillah-gx5nv
@KingSillah-gx5nv 8 ай бұрын
Nyie watanzania wapumbazu sana, mnaita huu upuzi eti maandamano, Kuja Kenya ujue maandamano ni nini nkt!
@davidlinus6940
@davidlinus6940 9 ай бұрын
Magenge haya cku moja yatatafuta bunduki ziliko
@ShabaniMuhamed
@ShabaniMuhamed 9 ай бұрын
MadukA
@estermnunke9485
@estermnunke9485 9 ай бұрын
Mnaendekeza ujinga mavadhi gani hayo
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Vijana Arusha ebu jirekebisheni
@nongeally2375
@nongeally2375 9 ай бұрын
Hahahaaa. Huku kwetu AR. SHATI NI LA DRAFT BHANA, MKIYAPATA TULETEENI.
@davidsalikoki6319
@davidsalikoki6319 9 ай бұрын
Hiii inamadhara sana kwa kizazi kijacho psychologically we should stop this asee
@user-jr6he6rl6s
@user-jr6he6rl6s 9 ай бұрын
Wahuni wote mnaokula mandazi mmezingua Wahuni wanakula machaparax na maugali😅😅 Chugaaaaaaaaa
@joe_was_here.
@joe_was_here. 9 ай бұрын
Arusha ya ovyo
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 9 ай бұрын
Hawana akili hawa bangi zimekolea😂😂
@panadomadola3064
@panadomadola3064 9 ай бұрын
Eti nikienda huko jehanam nitatafuta dangote hahahahaaa hawa ndiyo arachuga bana,ka!!
@captenndunga6745
@captenndunga6745 9 ай бұрын
ARUSHA bila mpepe inawezeka wakati mapusha mko nao humo humo kwenye maandamano nao wanaitikia inawezekana.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 ай бұрын
Bangi tu
@user-qv6ou3nu5s
@user-qv6ou3nu5s 9 ай бұрын
Kuna Tanzania na Kuna arusha😂😅
@Nadia-fg8yr
@Nadia-fg8yr 9 ай бұрын
😂😂😂,, uwiiiiiiii,!!Arusha ipo nchi gani 😂😂😂
@KhalidHashim-fs6in
@KhalidHashim-fs6in 3 ай бұрын
Waoga tu watu wa chuga
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia
13:34
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20