HUYU INAONEKANA SHAMBA SIO LAKE YAANI ANAKUA KAMA ANABAHATISHA.
@rayisadesigns26462 жыл бұрын
kwa kusini kumiliki shamba kama hiilo ni kitu cha kawaida tu
@partnersah88022 жыл бұрын
Kweli ni ndogo hiyo hela million 2 kwa msimu mmoja then unasubilia miezi kumi tena kupata million 2.
@kakaaignas36752 жыл бұрын
Ndogo sana
@superangeltv46152 жыл бұрын
good
@c759232 жыл бұрын
Huyu mtangazaji bwn nna matatizo nae sana toka enzi za tukio la Hamza kuua askari kwenye interview anamuuliza askari hii ni mara ya ngapi unakutana na tukio kama hili!! Kama hapa uliza maswali technical eka kumi unavuna tani ngapi au kilo ngapi, eka kumi gharama za kuandaa shamba mpaka kuvuna kiasi gani, nini changamoto kwenye soko la korosho, kangomba, madalali yani mengi ya msingi hayaulizwi, sauti nzuri ya utangazaji ila duuh! (Samahani lkn)
@miltonmachage24622 жыл бұрын
Sio samahan bali umemchana cz wanaingua xanaa
@c759232 жыл бұрын
@@miltonmachage2462 ok poa kiroho safi lkn
@nasriabdi90462 жыл бұрын
safi sana hana maswali technical maana ili hata sie tusiwe na maswali yoyote yeye anatakiwa aukuze na najibu tupate
@issahemed11572 жыл бұрын
Huyo sio mmakonde, Na anachokiongea hakina nguvu sanaaa
@kalengashoppingcenter11082 жыл бұрын
Ni mmakonde sema weled wa kujieleza hana
@fatmamamlo78822 жыл бұрын
Akazane kuongea sauti yake ndogo sana
@rikekikonyo22652 жыл бұрын
Shamba lina thamani ya mil 60 linakupa faida ya mil 2 how come??
@baserbob68992 жыл бұрын
bado shamba changa likakomaa linauwezo wakutoa mbaka M20 kwa mwaka
@mohamedkitemwe356910 ай бұрын
Good
@ismailchibonda50052 жыл бұрын
Mnamaliza mb zetu bwana.
@diolindanativo72682 жыл бұрын
Watoto wa Naliendele nuksi sana hao wachawi sana hao ogopa.
@Mpakauseme2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@muujr29722 жыл бұрын
Misukule kwao nikawaida sana
@neemanyove91303 ай бұрын
😂😂😂😂😂jmn
@rojahman99712 жыл бұрын
Hamn kitu hpo
@didimhutila89852 жыл бұрын
Kwa hiyo hiyo mikorosho inamiaka minne tuu?
@abdallahmakombo38662 жыл бұрын
Ameinunua
@haniffa90242 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bJK6iIGniLB-p5o DAWA YA KUMSHIKA MPENZI KIGANJANI
@kakaaignas36752 жыл бұрын
Iko wap
@partnersah88022 жыл бұрын
Mtwara Kuchele
@oscarsabin35612 жыл бұрын
Hapo ayo umeyumba hekali kumi hilo sio shamba kashamba ni mkulima mdogo Sana watu Wana hadi hekali 80
@partnersah88022 жыл бұрын
Kumbe watu nikajua wewe ndo unazo hizo hekari ningekuja kuomba kazi
@godlovemrosso59732 жыл бұрын
Hilo shamba alinunua na korosho zake kumbe ? nilidhani kaotesha mwenyewe na kuikuza mpaka kufikia hapo
@c759232 жыл бұрын
Korosho ni kama kahawa au minazi inachukua miaka kukua mpaka kuvuna; na mti ukikomaa unakaa hata miaka 20
@tugabiz42862 жыл бұрын
@@c75923 sasahivi kuna Mbegu za kisasa chap kwa haraka
@fikirishaban81672 жыл бұрын
Mhh
@joshuamwihambi58562 жыл бұрын
Watu wana ekari 50 korosho milardayo bwana
@athumanfuko1992 жыл бұрын
si wao,dogo darasa la saba anajielewa huyu
@shaphyally78382 жыл бұрын
Wanazingua namfahamu sanaa tu
@shaphyally78382 жыл бұрын
Wanazingua namfahamu sanaa tu
@dicktv87622 жыл бұрын
Uchizi tu akuna chamaana apa
@neemanyove91303 ай бұрын
😅😅😅
@haniffa90242 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bJK6iIGniLB-p5o DAWA YA KUMSHIKA MPENZI KIGANJANI