KIJANA MZALENDO Afunguka Mazito "TUMEJIPANGA KUMCHANGIA MPINA VIKAO 15 ALIVYOONDOLEWA BUNGENI"

  Рет қаралды 45,729

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 200
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 3 ай бұрын
Mpina anafaa sana Tanzania ni Roho wa Mungu aliyezaliwa aheshimiwe Kwa Ujasiri wake.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Mpina ni mzalendo sana yuko tayari kwa lo lote. Na wewe mwandishi ni mchaw tu. Huko duniani si ajabu walitoa cho chote kwa sababu kweli watanganyika wanateseka sana. Hatuna wabunge zaidi ya Mpina
@Uhuru1234
@Uhuru1234 3 ай бұрын
Weka utaratibu tufanye contribution hata kidogo,ili mpina aendelee kuishi bila stress
@makerenyarugezi
@makerenyarugezi 3 ай бұрын
Mimi nafikiri hapa ni Tulia kukosa uzalendo, ukitaka kuona mambo ni ovyo angalia bajeti ya muungano na ya Zanzibar hapo utagundua kitu,kama uelewi nitafute nikueleweshe,,,
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Tunamzungumzia Mpina ndiye tunayemjua.Hawo wengine ni wabunge wa Samia wala hawana shida na matatizo ya wanainchi au lasilimali ya Tanganyika.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 ай бұрын
Mpina ndiye tunamkubari sisi kwani ameonyesha uzalendo wa hali ya juu.
@josephkadeghe4720
@josephkadeghe4720 3 ай бұрын
Speaker anaweza kuwa Rais wa Mabunge si kwasababu ya umahili wake, ni kwasababu wazungu wanataka kutuibia mali zetu zaidi.
@AlanMbilinyi
@AlanMbilinyi 3 ай бұрын
MPINA NI MZALENDO HALISI BUNGE LA SASA SI CHOCHOTE LIPO KWA AJILI YA KULINDA WEZI TU ANAYE WAKOSOA KAMA MPINA WANAMWONA WA HOVYO KUMBE WA HOVYO NI NI WAO TU MSEMA KWELI SIKU ZOTE HAPENDWI.
@SarahSwale
@SarahSwale 3 ай бұрын
Mmmmh 😊😊😊😊😮😮😮
@josephgermanosanga9265
@josephgermanosanga9265 3 ай бұрын
Josephkadeghe unaweza kuwa 100% correct in a sense that hawahitaji mtu ambaye anaweza challenge wizi. Wazungu kimsingi africa ndio shamba lao la bibi . Tunatakiwa kizazi cha sasa tufikiri nje ya box , loans and grants are key weapons to africa from western nations, wanatupa ili kusoften power na wao ndio njia kuu kuweka mambo yao kilaini
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 3 ай бұрын
22:24 hapo ni point kabisa
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
Point kabisa MaKiti moto ni mabaya sana.
@HamisLeo
@HamisLeo 3 ай бұрын
Naungana kumchangia mpina, ufanyike kampeni umma wote ujue kwamba ambao hawaungan na bunge na spika wachange
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 ай бұрын
Mwandishi wa ovyo kabisa, issue za kanda ya ziwa, kanda ya mashariki, kanda ya magharibi nk yanatoka wapi?
@Teddy-z4i
@Teddy-z4i 3 ай бұрын
Nami ntamchangia mpinaaaaaaaaa
@josephkidima-nc3di
@josephkidima-nc3di 3 ай бұрын
Hongera Sana kijana Nkindikwa unatelimisha vizuri Sisi watanzania kudai haki zetu❤
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 3 ай бұрын
Uko sawa kaka
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
Kweli kabisa mpina ndiyo Mwamba wengine vichuguu 😅😅😅😅Safi sana kijana 💪💪💪💪 vichuguu mpooo 😅😅😅 🤸🤸🤸🤸 mpina km magufuli mpina km Makonda wengine vichuguu
@amaniamani6391
@amaniamani6391 2 ай бұрын
*Mpina safi100%Hamia chadema*
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 ай бұрын
Huyu spika sio! Mtakuja kuona huko baadae.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 ай бұрын
Uko sahihi sana, mbunge pekee wa watanzania ni Mpina pekee wengine wapo Kwa ajili ya matumbo Yao.
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 3 ай бұрын
Mwanadamu anaweza kumchagua mtu HATA kama hafai ila Mungu huchagua anayefaa maana anijua Hadi mioyo ya waovu sijawahi msikia spika wa bungu aongee lolote kuhusiana na vitu mbalimbali kupanda Bei bati ciment nk lakini kuchaguliwa mbunge wa bunge la.
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 3 ай бұрын
Bahati mbaya mtangazaji umeegemea upande fulani tofauti na hitaji la kutoegemea upande wowote hivyo unafanya mahojiano hayo yapungue ladha.
@SubiranTimo
@SubiranTimo 3 ай бұрын
Mwanangu hongera hakika wapo tz mmesoma kwelikweli ww ni hazina tz
@macleanuronu2899
@macleanuronu2899 3 ай бұрын
Hongera kijana mzalendo japo umekutana na mwandishi chawa lakini umeeleweka sana
@marcmathewmuyala1937
@marcmathewmuyala1937 2 ай бұрын
𝙇𝙐𝙃𝘼𝙂𝘼 𝙉𝙄𝙆𝙊 𝙋𝘼𝙈𝙊𝙅𝘼 𝙉𝘼 𝙒𝙀𝙒𝙀. 𝘼𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙖 𝙈𝙗𝙚𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙢𝙗𝙚𝙮𝙖
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Mpina juuuuuuu
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 3 ай бұрын
Mwandishi hujitambui. Mimi hungeendelea kunihoji.
@FortinathaMvikule-cm1im
@FortinathaMvikule-cm1im 3 ай бұрын
Umeeleweka Sana Baba
@marcmathewmuyala1937
@marcmathewmuyala1937 2 ай бұрын
𝙈𝙥𝙞𝙣𝙖 𝙣𝙙𝙞𝙮𝙤 𝘼𝙎𝙄𝙇𝙄 𝙔𝘼 𝙐𝙎𝙐𝙆𝙐𝙈𝘼, 𝙖𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙖𝙠𝙞𝙣𝙖 𝙅𝙊𝙎𝙀𝙋𝙃 𝙈𝙎𝙐𝙆𝙐𝙈𝘼 𝙝𝙖𝙤 𝙣𝙞 𝙈𝘼𝘾𝙃𝘼𝙒𝘼 𝙬𝙖 𝘾𝘾𝙈 𝙏𝙐
@StephenMwanzalima
@StephenMwanzalima 3 ай бұрын
Huyo muandishi Hana ueledi kwenye kuuliza Maswali ya kisiasa au ni muoga anaogopa kuuliza maswali kwa faida ya watazamaji
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 ай бұрын
Mwandishi sijamuelewa mbona kama 😢😢😢
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 3 ай бұрын
Mmmhhh ngoma ni nzito. Tanzania tumwogope Mungu. Tuombe huruma ya Mungu pekee.
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Mwaka 2017 ilipopitishwa sheria kwamba mikataba inayohusu raslimali ya nchi ipitishwe na Bunge ulikuwa wakati wa Mwaminfu Magufuri ambaye hakutaka kujitajirisha Wabunge wetu mwaka 2017 walipiga makofi kupitisha sheria ya ulinzi wa raslimali za Nchi leo tena wanageuka wanasariti kile walichokipitisha 2017 huu Ni udhaifu mkubwa Sana wa Bunge linaloitwa la awamu ya sita japo tunajua Ni Bunge lililochaguliwa awamu ya tano
@josephinepancrasy3194
@josephinepancrasy3194 3 ай бұрын
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 3 ай бұрын
Yuko wapi polepole humfrey?
@MashakaKalamba
@MashakaKalamba 3 ай бұрын
Sijasomea uandishi wa habari, lakini ninaona kasoro KUBWA kwako mwandishi.
@sandaymgunyi6268
@sandaymgunyi6268 3 ай бұрын
sawa
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 3 ай бұрын
Nahisi tukiendelea hivi GEN - Q itaanza Tanzania
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti 3 ай бұрын
Ikitokea Mpina kuchangiwa, hata mimi nijulishwe nitachangia kwa change kidogo!
@FestusJchunya-hc3hv
@FestusJchunya-hc3hv 3 ай бұрын
kifupi tulia sijawahi kumuelewa!! tangu alipoingia kwenye siasa!!
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 ай бұрын
Mimi ni chadema lakini naungana na Mpina . Ni mtu anayewakilisha wananchi.
@johnmawewebusobe7138
@johnmawewebusobe7138 3 ай бұрын
Tunaomba namba tuanze kumchangia
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Speaker wa kucheka na kufurahisha wageni na kuumiza wanainchi ili wasipate nafasi. Angekuwa ni mtanganyika angekiona cha moto.Kwa kweli hapa hatuna Speaker bali ni Speaker wa wageni wanaotoka Inchi za Inje ndiyo sababu aliongwa tu.
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y 3 ай бұрын
Good
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 2 ай бұрын
Mwandishi usihoji sana huyo msemaji Yuko vizuri,Huyo msemaji ndio wanaotakiwa kuongoza nchi.yuko vizuri..mwandishi wewe mwenyewe ni waoga.hamko huru kutangaza maovu ya viongozi.Angalia madereva wa tanzania wanalia na mikataba lakini makampuni ni yao
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 3 ай бұрын
Huyo siyo spika wa bunge, ni spika ya redio
@raykas9976
@raykas9976 3 ай бұрын
Kuwa spika wa mabunge Duniani ata msukuma anaweza kuwa. Huko kuna utaratibu miongozo ilishawekwa , lkn kwetu utaratibu uliopo ni wa kukilinda chama Tamara.
@IsayaKivambilo
@IsayaKivambilo 3 ай бұрын
Kwa anae ijua siasa hapa waheshimiwa wawili spika Kwa nafas yake yupo sahihi na mpina yupo sahihi Ila Hana sapota
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 3 ай бұрын
MWANDISHI NI MBOBEVU WA MAJADILIANO. MAANA KUTOKANA NA MASWALI ALIYOULIZA NDIYO MSEMAJI AMEPATA KUELEZA MAENEO MBALIMBALI.
@mvunge7108
@mvunge7108 3 ай бұрын
Kweli kabisa Tulia hovyo mno, walitizama vigezo gani?
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 3 ай бұрын
Kwanini mumeongeza tozo kwenye bili za Tanesco maisha kwa sasa.magumu na munaongezea tena ugumu. Wabunge hamutendi haki kutotetea hali za watu munaowawakilisha
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 ай бұрын
Amesema mambo mawili, kujitambua na kujithamini. Na si ukabila kujipigania. Ni uzalendo. Mwondoeni Samia hana uchungu nanyi sababu anafaidi Zanzibar kwao na sasa anauza Tanganyika. Wanaccm Watanganyika, machawa wa CCM , wabinafsi wafaidi wachache waunga mkono wa Samia wote wasiokuelewa ni mazuzu kama ulivyowaita bila kumung’unya.
@charlessheks7166
@charlessheks7166 2 ай бұрын
Hata mimi nikotayar kumchangia mpina..
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 3 ай бұрын
Hatuna spika, kwakweli
@danielkanso
@danielkanso 3 ай бұрын
Mpina ni mbunge kweli kweli kuhusu haki huyo jamaa hana lakupoteza spika ameingia chaka
@kambalakafuko7695
@kambalakafuko7695 3 ай бұрын
Weka namba tuanze mchango
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Dunia ipi imemchagua?wazungu wanafiki mno,humpa cheo mtu hata fala,ilimradi alinde maslahi yao tu,huyo watampa kila aina ya sifa na tuzo"huyu wazungu wanajua yeye na serikali nzima wanalinda maslahi yao,ko lazima wampe hivyo vyeo,ila kiuhalisia pale hayupo mtu,
@JosephKembe-ee6bd
@JosephKembe-ee6bd 3 ай бұрын
Kwakweli mpina ni mbunge anatakiwa kuwa mpinzani ili wananchi fufatirie binge kama awali
@mosesmaduhutv7985
@mosesmaduhutv7985 3 ай бұрын
Tukipata wasukuma kama huyu 8 tu mbona banachimbika
@estachengula3902
@estachengula3902 21 күн бұрын
Bunge hatutaki kuliangalia wote lwasababu wanaangalia mambo Yao wenyewe halina mvuto kwa watanzamaji hamna kitu
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 2 ай бұрын
HUYO MWANAHALISI TV WA MIDIA MWAMBIENI ARUDI AU AENDE TENA AKAJIFUZE KUHUSU UWANAHABARI ANAULIZA MASWALI YA UPUZI
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 ай бұрын
Alishinda u spika wa wabunge duniani kwa sababu wabunge wa mataifa makubwa hawajagombea kwa sababu wameona ni upuuzi aliowashinda ni spika wa Ethiopia na malawi
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 3 ай бұрын
Hili suala la Sukari toka nje ni uhujumu uchumi. Ingekuwa nchi zenye watu wanaojielewa hawa mafisadi wa CCM wangewajibishwa tena haraka tu. Inashangaza wanafanya mambo ya kuua viwanda na Raisi anazunguka duniani kukopa 😂😂😂
@AzizihFarijala
@AzizihFarijala 3 ай бұрын
Izalendo siyo kutetea makosa kila.mtu ni mzalendo mpina alikosea pale kuzungumza nje ya bunge kama alivyoagizwa.
@MalandoJilala
@MalandoJilala 3 ай бұрын
Waacheni tu sheria wanatunga wenyewe halafu wakiukaji ni wao pia, halafu hii tanzania viongoz hawatak kuambiwa ukwel, tukutane 2025
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 3 ай бұрын
Tunataka mpina awe raisi wa nchi hii ya Tanganyika.
@sifunimelkizedeck882
@sifunimelkizedeck882 3 ай бұрын
Kwa yeyote mwenye mapenzi mema na hili taifa tuko tayari kumchangia mweshimiwa Mpina
@2003hintay
@2003hintay 3 ай бұрын
Hapo ni kujitangaza lakini hakuna kitu hapo wachangie wajiorodheshe mawakili lakini utashuhudia watakapoachwa utashangaa, waliungana akina mwambukusi walivochemka. Hakuna kitu hapo ni kutafuta umaarufu tu
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 3 ай бұрын
Na wewe mtangazaji uliza vitu vya pointi, tusije hasira zote tutazihamishia kwako, angalia sana hayo maswali yako, usiyaegemeza saaana kwenye uchawa, watu tumevurugwa
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial 3 ай бұрын
Wabunge tunawajua wanaotutetea wengi wapo Kwa ajiri ya maslahi Yao.
@sainatv2688
@sainatv2688 3 ай бұрын
Mimi waga nawaza hawa viongozi tunawapa sisi kazi kwa kutuomba kura lakini wakishapewa uongozi wanakuwa juu yutu wakisikia unahoji kitu hata mwenyekiti wakitongoji anaweza kukupiga makofi badala sisi ndo ikibidi akizingua kiongozi tumchape hata viboko maana sisi ndo mabosi wake
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Sipka.asijihusishe.na.mambo.madogo.yy.ana.cheo.kikubwa.awe.makini.namuomba.awe.makini.anakili.lakini.sikuliwe.mihemuko.yaccm.yake.alinde.hadhi.cheo.chake.amshukru.mungu.mengine.ayaache
@DaudiLengai-ym5fx
@DaudiLengai-ym5fx 3 ай бұрын
Nipo tayari kumchangia Mpina kadri ya uwezo wangu
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 3 ай бұрын
Unajuaje kama hao mabeberu wamemzadia kwa sababu anakuulizia bunge kuhoji serikali na wao wanapata faida ya kuiba rasilimali zetu.
@Niika870
@Niika870 3 ай бұрын
Yaani Basi tu, tunaumia sana raia wa kawaida, Dawa zilizo expered zinauzwa kweny maduka ya madawa, unanua mseto hupon maralia kumbe zilisha expere , zimejaaa, Hospital za uma hazina madawa kabisa, Ajira hakuna vijana wanazagaaa tu
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 3 ай бұрын
Dunia kumuona sio shida wala sisi sio wa Dunia sisi watanzania,na Duniani wanapendwa wanawauzia vipande vya nchi yetu
@musamhaya5319
@musamhaya5319 3 ай бұрын
Boss kwa mbuge msukuma ni mnafiki kabisa,anahongwa hela kwenda kuuza bandari zetu----huyo msukuma ni fisadi,jizi na anahongeka sana kuihujumu nchi na wananchi.
@AlexIbrahim-m2j
@AlexIbrahim-m2j 2 ай бұрын
Spika kupata nafasi ya uongozi wa mabunge ni njama Za majambazi na wezi wa maliasili Za nchi yetu kumpa offer kuwakubalia kuitafuna nchi yetu kupitia bunge la CCM ambalo haliwasaidii watanzania wanyonge
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 3 ай бұрын
Yaani, watanzania tuna ushabiki Sana na Mambo ambayo hatuyajui,, wengi tunafuata mikumbo tu, inakuwaje mwenzio anatoa mawazo yake,then unatukana au unamtukana mtu huyo
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 ай бұрын
Tunafanyaje? Sasa
@FatumaHizza
@FatumaHizza 3 ай бұрын
Atume nomb
@FatumaHizza
@FatumaHizza 3 ай бұрын
Kibaraka wawazungu
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Huyu.msemaji.anaongea.vizuri.wazungu.wanaleta.vitu.vivyo.haribika.kweli.kabisa.wazungu.wabinafsi.waulizeni.wanakaa.ulaya.waongozi.wote.wakija.kuchekac..
@FatumaHizza
@FatumaHizza 3 ай бұрын
Tunamchangia mzarendo mpina
@Uhuru1234
@Uhuru1234 3 ай бұрын
Mpina na mtetezi wa wa Tanzania, wengine wanajijua wenyewe wanacho kifanya
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Watanzania tunajua fika kwamba serikali ya ccm awamu ya 5 ilimuweka huyu Spika kwa maslahi mapana ya Waheshimiwa sana wa nchi na sio kwa faida yetu wananchi. Mambo aliyokwisha pitisha kwa nguvu kinyume kabisa na maana ya chombo hiki ni mengi akishirikiana na wingi wa wabunge wa ccm tunaowapa ridhaa,ama kupora uchaguzi nk
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 3 ай бұрын
awamu ya tano alikuwa ndugai huyu gender ndo ilimbeba.akawa naibu Uliona Ndugai alikataa kupitisha tozo wakamuengua
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
@elibarikimolle awamu ya 5 alikuwa Ndugai. Huyo tulia kawekwa na Samia
@Jumacharlesmadale2958
@Jumacharlesmadale2958 3 ай бұрын
Awamu ya tano alikuwa Job ndugai
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
Mimi kufaa kwa Spika Tulia nakupima kwa kulalamiwa kwake. Binaadam kaumbwa mlalamishi! Bunge ni sehemu 2, Wabunge na Rais, Rais ni 51% ya Bunge anachokitaka ndio kitakuwa unamlaumu vipi Mhe. Spika. Bunge kwa ujumla ni dhaifu ni kundi tu la Mafisadi waliorasimishwa Kikatiba sio udhaifu wa Spika. Yupo makini na nusu Dr. Tulia.
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 2 ай бұрын
Mpina mzalendo
@chaleteubadi4530
@chaleteubadi4530 3 ай бұрын
Dunia wamemchagua wazipendi nchi za Africa ndo maana wamechagua sipka asiye faa
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba 3 ай бұрын
mtoe namba haraka ya kuchangia tumchangie mwamba wa magufuli wako wawili2 mpina na makonda japo makonda ni muoga kidogo
@karimmveyange280
@karimmveyange280 3 ай бұрын
FANYENI CHAP. TUNAELEKEA GIZA NENE MNOOO
@HonorataMafala
@HonorataMafala 3 ай бұрын
Zungumzieni tena vifaa. Vya ujenzi
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 3 ай бұрын
Mpina ndio mwamba
@shabaniathumani1789
@shabaniathumani1789 3 ай бұрын
Kuchaguliwa kwake ni kiini macho ili tijue tuna spika imara lakini ndio tunauzwa hongera ya kuwakingia kifua mabeberu kutupora mali wakaona wampe zawad ya cheo
@jesaminzo
@jesaminzo 3 ай бұрын
Nami pia huwa najiuliza, hao wabunge duniani wanatumia vigezo gani? Au weusi wake ulimbeba? Kumbuka sujasena, "uafrika"
@issamustapha7700
@issamustapha7700 3 ай бұрын
Haina sauti
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 3 ай бұрын
Mpina ndo kiongozi
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 3 ай бұрын
Mwizi tu huyo imetoka hiyo labda ahame chama ww fala tu mbona juzi mapato yameongezeka
@melkiorndemera6474
@melkiorndemera6474 3 ай бұрын
Ata Mimi pia
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 3 ай бұрын
Alitumia nguvu za giza, vinginevyo asingechaguliwa, kifupi aliwapumbaza wajumbe, mpaka sasa wanajuta kumchagua, lakini imeshatokea hawana jinsi, maana hata wao wanashangaa walimchaguaje
@FatumaHizza
@FatumaHizza 3 ай бұрын
Usngee
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 ай бұрын
Watanzania karibia wote wanapenda uzalendo tunaona yote yanayoendelea hivyo mpina ni mzalendo sana tunaempenda mpina kuliko wabunge wote maana Yuko sawa alivyosema juu ya bashe na mwigulu kwanza mwigulu hatumtaki kabisa sijui kafanya Nini rais
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Wao wakikchagua wanaona anawafs mbona hawachagui viongozi WA Bukinafaso akili ndogo utaeelewa hao ni wezi
@dostovan5142
@dostovan5142 3 ай бұрын
Tz chama kwanza nchi baadae
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 ай бұрын
Muansishi unaonekana unamuuliza maswali unayopaswa kumuuliza spika usimtoe kwenye mstari
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Viongozi wa Tanzania wanawaonea wananchi kwa upole wawo. Wanafanya wanavyotaka bila wasi wasi kwa kujuwa kuwa hatuelewi na wala hatujuwi haki zetu.
@SanziNzige
@SanziNzige 3 ай бұрын
Watanzania sijui tuna Nini jamani.hivi mzungu kabiss na akiri take atupe uspika wa mabunge duniani sisi! na sisi tukubali tu.eee.hawa wazungu wanatupiga upofu ili wazoe Mali ZETU kila kitu wanakijua sio WAJINGA hao mpaka tuwazidi akiri usomi na watupe uspika wa mabunge duniani.siamini HATA kido hicho kitu na kinanifanya nicheke TU.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 749 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН