KIJANA MZALENDO AWAVAA WABUNGE CCM "KUMPELEKA MPINA NEC NIKUVUNJA KATIBA YAO WALIFAA WAFUKUZWE"

  Рет қаралды 49,390

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

25 күн бұрын

KIJANA MZALENDO AWAVAA WABUNGE CCM "KUMPELEKA MPINA NEC NIKUVUNJA KATIBA YAO WALIFAA WAFUKUZWE"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 199
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 22 күн бұрын
Kijana upo vizuri.Mpina. Atetewe .Tupo pamoja. kulitetea Taifa.
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 18 күн бұрын
Msukuma ni mnafiki kama wale wabunge wanafiki wengine
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 5 күн бұрын
Sema baba, nchi hii tumekuwa watumwa, watawala hawana mpango wa kugusa maisha ya mwananchi wa kawaida, mfanyakazi wa uma, sana labda kutoza ushuru na kubuni utitiri wa kodi...Mungu tunusuru...😭😭😭😭😭😭
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 22 күн бұрын
Kiufupi wtz Bado hatuna akili Bado hatujawa pamoja katika mambo yanayotuhusu
@Hagai-oh4ti
@Hagai-oh4ti 3 күн бұрын
up sahihi Mama Yetu kazungukwa namajizi Mmm Mungu Amtienguvu naulinzi
@mtakamatv
@mtakamatv 22 күн бұрын
Wabunge wetu wanaendaga bungeni na hoja za mama samia sio wananchi,ndio maana wanaokaa upande wa wananchi wanakuwa waasi.
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 22 күн бұрын
Jamani kwa swala hili la sukari mm acha niwe mmbaguzi,naomba bashe akae pembeni,tuhangaike kwanza na uraia wake(msomali).Tusitumie muda mwingi kubishana na raia wa nchi hii.
@HildegardMasawe
@HildegardMasawe 21 күн бұрын
Utafika mbali nimekuelewa ngosha wangu,
@user-br1dn8bc3u
@user-br1dn8bc3u 20 күн бұрын
​@@HildegardMasawe C wanasema Mnyarwanda 😢😮
@annambele789
@annambele789 12 күн бұрын
Watanzania tubadilike ili tutafute haki zetu kwa kuweka umoja wa pamoja.
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 5 күн бұрын
​@@user-br1dn8bc3uhuyo ni msomali asilimia 💯 siongei Vibaya ila wasomali ni wa binafsi inje ndani
@selemsigala4771
@selemsigala4771 22 күн бұрын
Msukuma na uyo muuzakahawa wa zamani ni wanafiki wakubwa. Mpina tunakuombea wewe ni mzalendo wa kweli unae simamia haki na misingi ya chama chetu.
@EmmanuelMollel-du6lh
@EmmanuelMollel-du6lh 19 күн бұрын
Ndugu zangu tulisimamia nchi kwa nguvu zetu zote pamoja na chama mpaka Leo bila kujali tofauti zetu.Hebu fuateni maadili tulioachiwa na waa sisi waliotutangulia.Chama ni chetu na tunahaki ya kudai nyendo ya wanaotuongoza.
@Ambwene
@Ambwene 17 күн бұрын
Huyo Rais Mwenyewe yupoyupo tuu hajui chochote hata hajui nini maana ya uongozi
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 20 күн бұрын
Spika aitishe mkutano wa waandishi wa habari ajibu hoja muhimu kwasasa. Amechukua hatua kwa mbunge ameacha tuhuma nzito na kuzifunika.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 22 күн бұрын
Tunapenda vijana kama hawa. Tobowa kijana watekaji watakuteka.wao nikuteka . Ccm hawawezi kusema chochote. Sana sana kusifia watu.waliandaliwa kunogesha,
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 22 күн бұрын
Msukuma na Lusinde wamedilika sana hawajielewi Mpina upo sahihi
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 22 күн бұрын
Ivi kweli Mpina anakosa gani ?
@willykomba8376
@willykomba8376 21 күн бұрын
Shule hamna
@FridayMwassa
@FridayMwassa 18 күн бұрын
​@@willykomba8376Siyo kweli,shule siyo kipimo cha kuondoa ujinga
@monicamwita7865
@monicamwita7865 17 күн бұрын
Tuwapuuze Mungu Atashughulika nao
@alfagindo7814
@alfagindo7814 3 күн бұрын
Nchii yangu Tz ni nchii pekee ambayo viongozi Wana haki ya kufanya wanacho jisikia Wana haki ya kuvunja Sheria walizo ziweka wenyewe, wanafuja Mali za Nchi na hawachu kuliwi Sheria, ndio maana kila mwana siasa anataka kuwa kilanja akikosa huku anatimkia kule kwa masilahi ya tumbo lake na familia yake
@ConnieJohn-ts9rp
@ConnieJohn-ts9rp 2 күн бұрын
Jamani ndugu zangu tumuombee Sana Mpina wetu pia tuungane kwa maombi nchi hii tunaumia saaana kwa Sasa Bungeni hawajui kutatua shida za wananchi kazi yao Ni umeupiga mwingi 🙄 tuawasubili 2025
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 22 күн бұрын
Hiyo ilikua enzi hizo ccm ilikua zamani hivi ni waporaji siyo viongozi tena
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 22 күн бұрын
Tena bila Makonda CCM watu waliichoka kama wakati wa Kikwete. Shida hakuna chama kingine cha maana. Kotę wamejaa mafisadi. Katiba ibadilishwe watu wawe huru kushiriki kwenye siasa bila ya vyama
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 21 күн бұрын
Mpina alikuwa mtu wa jpm na ndiyo maana kuna makundi ndani ya ccm hawamtaki Luhanga mpina same kwa bashiru, polepole na wengine wengi
@FridayMwassa
@FridayMwassa 18 күн бұрын
Hata Tulia alikuwa wa JPM tatizo la mpina siyo mnafiki anaipenda Tanganyika yake kuliko hao wengine
@SelemaniIkombe-y8q
@SelemaniIkombe-y8q 21 күн бұрын
Professor Assad alishawahi kusema hili bunge ni dhaifu
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 19 күн бұрын
Bila utaifa na si uchama bunge dhaifu litasitawi
@dida_official
@dida_official 20 күн бұрын
Wasukuma. Mkisona Sheria mnasumbua sana
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 18 күн бұрын
Si mlikuwa hamumuelewi hayati JPM sasa ndio muone
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 21 күн бұрын
Mbunge Msukuma na huyo mwenzake wanakosa confidence kujipambanua. Hoja zao inaonyesha wazi kabisa wao wanafuata upepo ili wawe kwenye kundi mamuluki na ili wapate huruma za kundi mamuluki. Ningependa kumshauri Mbunge Msukuma na yule mwenzake ni Bora na ikawa busara zaidi kwao mambo kama hayo ya kucheza na haki ya kura za watanzania ni Bora wawe wanapiga kimya ili wawaache wenye kupiga dili na maslahi yao binafsi wapambane na matokeo na laana ya haki za watanzania.
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 21 күн бұрын
Inasemekana wakenya wanajitambua na kujua kutetea haki zao eti kwa sababu wamefanikiwa kielimu tofauti na sisi watanzania wengi ambao sio wasomi! Kwa hoja kama hizo hutudumaza sana hazipaswi kutufanya kuridhika na kusubiri lini tuwe na idadi kubwa ya wasomi au wakina Mpina wengi kutufundisha kujitetea katika nchi yetu bali kuna wakati tuyatambue majira na nyakati. Tuwe na maamuzi ya kutenda na kusema kama nyeusi ni nyeusi kama ni nyeupe. Kwa kweli kama tutasubiri taifa lijae wasomi wengi basi majira na nyakati havitatusubiri.
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 19 күн бұрын
Nchi yetu sisi hatupendi kuambiwa ukweli na shangilia mambo ya hovyo ndo maana mmi nashangaa watanzania tume
@danielkanso
@danielkanso 10 күн бұрын
Mpina ndiyo mbunge wengine mama kapiga mwingi , ipite ipite yaani ni kama wamezakiwa na wanyama sometime watu wanatekwa bunge kimya haya sasa tuseme bunge linajua mambo yanayo endelea na kukaa kumya siyo hatuna bunge linalotenda kazi tuna bunge picha na wachumia tumbo tu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 23 күн бұрын
Musukuma na Lusinde walijuwa waterezi wa haki. Kwa hili kuna mawili. Pengine kwa elimu yawo ndogo hawakuelewa. Ama kwa woga wa kutengwa, wanejiunga na wapigaji. Unampelekaje mbunge NEC mutetezi wa mali za umma unamwacha mpigaji. Kweli CCM kuna kazi.
@kadasoemmanuel
@kadasoemmanuel 22 күн бұрын
0
@piusmaduka
@piusmaduka 22 күн бұрын
hapa Kwa ka msukuma ni elimu ndogo, katiba mpya kigezo elimu iwe kuanzia 4m4 na awe anajua vizuri English maana hapa msukuma alimwona bashe binge la msomi bila kutafakari malezo anayotoa Kwa vile tu bashe alikuwa akichanganya na English
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 22 күн бұрын
@@piusmaduka ukisema kuwa mbunge wa Tanzania lazima ujuwe English. Huo utakuwa uonevu. English kutakuwa hakuna wabunge. Kujuwa kiingereza sio usomi. Ni kuelewa sheria na haki za nchi. Karibu wabunge wote hawajui kiingereza, sio Mąkosa yawo ni lugha hatuitumii. Kenya kiingereza ni lugha ya taifa. Wakaona wakubali Kiswahili pia kutumika. Kuna woga fulani kwa sasa. Kuna kundi limeiteka nchi. Hawa hawaguswi hata wakikosea. Rais amekuwa kama Mungu wa pili. Bungeni kwanza wanamuomba Mungu kisha Rais Samia. Maajabu haya. Tunaelekea pabaya. Tunazidi kupumbaa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 22 күн бұрын
​@@Mima-cl2imumeongea vema sana,hongera sana.
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 21 күн бұрын
Hili Dili siyo la mtu mmoja,hii sukari +msamaha wa Kodi Ni mabilioni ya pesa,hata viwanda vya ndani vikifa wao wameshachukua Chao,hovyo kabisa!
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 20 күн бұрын
Yani spika ametuonyesha kuwa hoja za mpina zipo sawa ispokuwa Mpina amemkosea Spika kwa kuongea na waandishi. 😂😂😂😂
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 13 күн бұрын
Walitaka wafanye siri kama bandari ?
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 11 күн бұрын
Mimi binafsi naona spika katukosea watanzania kwa kutaka kutuficha kile alichotuambia mpina. Mpina ni mzalendo wa kweli.
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 21 күн бұрын
Nchi hii sijui tutafunguka lini tujifinze hata Kwa majilani Kenya tulipende nchi yetu anaye chezea nchi yetu awe adaui wetu
@JOSEPHMwakibinga
@JOSEPHMwakibinga 2 күн бұрын
Uko vizuri
@MukameMachel
@MukameMachel 15 күн бұрын
SAWA kabisa, viongozi wetu wanalelewa na wizi kutoka kitovuni
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 13 күн бұрын
Izo ni janja miongoni mwa mbinu za ccm hakuna kitu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 20 күн бұрын
Huku lake zone bwana ccm ifanye kazi ya ziada Kuna Siri kubwa mno wanawaficha tu kina msukuma wajanja,lkn mpina ni muwazi musukuma hataki mpina anaharaka ,
@asteriashios1852
@asteriashios1852 13 күн бұрын
Msukuma kw wa ovyo ck hizi elimu yake kweli ni ya chini msukuma anatetea mambo ya hovyo bungeni kaathirika kisaikologia hana point tena anatetea ufusadi
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c 20 күн бұрын
Msukuma hua ni mnafki mm hua simuelewi mule hua amekaa kama zekomed ,na Wala haendan na ubunge, yaan hata kipind Cha magu alijifnya yupo vzr ,alafu Leo hii awam nyngne anakua kinyume na mwanzo ,ni mnafki mno ,aende tu afanye uigizaji wa zekomed Wala humo bungen hapamfai, maana amekaa kwa mfumo wakichawa
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 22 күн бұрын
Bora mnyang,anywe ng,ombe ikiwezekana mpaka wamalizwe wote ili muendelee kuikumbatia CCM huko kanda ya ziwa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
MPINA ni mbunge anaejielewa kati ya wabunge wa ccm.
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 19 күн бұрын
Hapana bwan umeongea vizuri lakina viongozi wa makanisa wanaokopa wanambiwa watakuwa wameingilia serikali kumbuka sakata la bandari
@user-ox9cu9hx2r
@user-ox9cu9hx2r 19 күн бұрын
Wote mnaopayuka hamna kazi mpina nani hakuna m wananchi anaetetewa na mpina msituhusishe tupo na bashe msituletee udimi wenu tumawajua waliostahiri kuwa na uchungu na nchi hii wametulia kimya bashe tccia bagamoyo tumain Lao kwako na bodi fanya kazi
@user-bd1jv7oi3j
@user-bd1jv7oi3j 18 күн бұрын
Siku hizi hakuna mtu mnafki kama msukuma zama Hali kuwa mtu safi ila Sasa alishakewa sifa
@user-uy5nx1bj5r
@user-uy5nx1bj5r 19 күн бұрын
Mmmh lile Sukuma gang tuliambiwa naanza kuwaona watu wake kwa sisi tulio soma "cuba'
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 21 күн бұрын
Natamani kumfahamu Kidata. Tupo Vidata wenzie wengi sana
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 22 күн бұрын
Sasa ivi wachungaji wanaogopa kuwaambia watu dhambi zao ndiomana hawahawa viongozi wasio waadilifu wanapeleka michango ya pesa wayoiba kwenye nyumba ya mungu na kuwafichia siri
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 18 күн бұрын
Hapo tuna spika hatuna wabunge kwanza haua ndio madhala ya kuwapa nchi wanawake sasa vilio kila kona taifa liko hoi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 22 күн бұрын
Kupata kura kwa wasukuma ni kazi wamrudishe tu Mpina huyu Msukuma na yule Mgogo kazi yao kubwa ni uchawa tu Nsukuma kwenye Bandari alikuwa mnafiki vilevile hana lolite
@ramadhanikapona4317
@ramadhanikapona4317 19 күн бұрын
Tatizo la mpina alitangaza kwenye vyombo vya habari wakati suala lilikua linafanyiwa maamuzi.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 22 күн бұрын
Mimi ni ccm tokea mwaka 1972.nilichukuliwa. ukonga magereza. Tuwe pamoja baya tukemee tusiwachiye wapinzani
@chazy7ya216
@chazy7ya216 22 күн бұрын
Itafika mwishotuu
@paull8659
@paull8659 22 күн бұрын
Tupilia mbali CCM.
@GabrielMwakasege-sx9wv
@GabrielMwakasege-sx9wv 20 күн бұрын
Katiba
@onesphorymgedzi995
@onesphorymgedzi995 20 күн бұрын
Kaka kuporwa mifugo nikushauri tu wananchi waache kuingaza mifugo kwenye maaeneo yaliyo hifadhiawa vinginevyo tunatwngeza jangwa wenyewe na hatutakuwa na wakumlaumu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 21 күн бұрын
Kwenye uvuvi umeongea kweli.....uvuvi haramu umemaliza samaki.....wakati wa Mpina na JPM UVUVI HAULUWA NA HASARA....WAVUVI HALALI TULIPATA FAIDA KUBWA SANA....LEO...mmmhmm. ..... Wengi wamepaki boti zao...
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh 21 күн бұрын
Ndivyo ilivyo m ccm ivyo unavyo ongea kamacho miccm inakutolea macho
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 22 күн бұрын
Mbona unasema wale walosema amekosea tu, Sema na walosema Hakukosea kama wapo.> kama hawapo basi ni wabunge chawa tu!
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 18 күн бұрын
Hapa tuachane na vyama havitusaidii tuungane kama wakenya kudai haki zetu
@abdulsalaamkahttan1037
@abdulsalaamkahttan1037 19 күн бұрын
hilo ndilo tatizo la kua na bunge la chama kimoja.😢
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Kwamba ccm wana wanachama milioni 34. Huyo ni Amos makala ila hii nchi
@GabrielMwakasege-sx9wv
@GabrielMwakasege-sx9wv 20 күн бұрын
Upo vizuri
@MichaelNkungu-on1ub
@MichaelNkungu-on1ub 16 күн бұрын
Mpina hajakosea chochote watanzania wanawaona kwa jicho la kuzumu
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 21 күн бұрын
atari sana tz waziri asiekuwa raiya wa nchi usika lakini anawakimbiza mpaka basi, dah hii kari tz!.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 19 күн бұрын
Sio kweli, mwaka 1961, watu wote, wakuwemo ndani siku tarehe Tanganyika ilipo pata UHURU walihesabika kuwa ni raia. Tuwe tunarejea nyaraka na hotuba za viongozi wa nyakati hizo. Kizazi hiki hakijui historia hii. Bahati mbaya na kundi la vijana kwenye vyama vyetu ukiwasikiliza hawajui historia yetu. Ingawa tayari Mabega juu maana wao ni watawala wetu wa baadaye.
@user-wg3yu5uy4w
@user-wg3yu5uy4w 2 күн бұрын
Mpppppin ☑️☑️☑️☑️☑️
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 22 күн бұрын
Tutakutana 2025 tumechoka!
@noelyhaule5695
@noelyhaule5695 19 күн бұрын
Kabisa kaka
@AdelinaAloys
@AdelinaAloys 21 күн бұрын
Ndg yangu bunge letu limeingiliwa na wachawi haiwezekani watu tulio wachagua wafanye comedian kwa Watanzania.
@user-mh5mx1kn8j
@user-mh5mx1kn8j 20 күн бұрын
Mpina mbona alipima Zamani Kwa rula hukuongea wakati akiwa mifugo acha makasiriko wewe mbona Kama unapiga kampeni mapema Acho roho mbaya wewe huyo Umar mtetea ana Aya ya kwake
@MrKhatibu
@MrKhatibu 22 күн бұрын
Hii tabia ya kuongea kwa sauti kubwa ni kuonesha msisitizo au ni hasira
@monicamwita7865
@monicamwita7865 22 күн бұрын
Msisitizo
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 21 күн бұрын
.Musimulaum musukuma Tunalaumu WASUKUMA WALIOKOSA WASOMI WA KUPELEKA BUNGENI WAKANGUKIA DARASA LA SABA. WAILIMUONEA SANA.)
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 19 күн бұрын
Kule korogwe, wananchi walichangia wasomi,baadae wakaona wasomi hawasadii, wakaona wachague mwezao mganga mpiga ramli. Mfumo wenye njaa ya kutengeneza unaweza kumleta kiongozi wa aina yoyote. Raia tukifikia kuwachambua wasaka uongozi kama tunavyochambua wachezaji wa mpira, hao wabunge vilaza hawezi kuchaguliwa.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 22 күн бұрын
Nyerere alisema tuwashughulikie je tunawashughulikia sasa? Speaker anatushangaza sana kwa kweli hatuna bunge sisi bali tuna gereza la kuhukumu wanainchi. Sisi wanainchi tumefanya nini? Tunatakiwa kuenda mpaka bungeni kupika kelele kwa ajili ya Mbunge wetu Mpina.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 22 күн бұрын
Hata akienda mahamani hamuna mahaka Wala bunge ya mdee na wenzake yameisha yeye anajua aludi nyumbani kama amekata uchawa basi na ubunge kwisha
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 21 күн бұрын
Huyo mama samia hana mpango, hata yule kijana kichoma moto picha ya rais samia ni sawa sawa tuuu samia hakuchaguliwa awe president so it wa just luck baada ya rais wa kweli kufariki
@mkadammkadam
@mkadammkadam 20 күн бұрын
Mfumo wetu wa uchaguzi mgombea Urais anakuwa na mwenza hivyo ni kusema kuwa unachagua watu wawili yaani mgombea urais na mwenzi wake ambaye atakuwa Makamo wake wa Rais
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 22 күн бұрын
Hakuna haki hapa tanzania wafanyakazi sekta binafisi hawapati mikopo kisa mikataba ya mwaka mmoja
@user-so8fm4jm3v
@user-so8fm4jm3v 22 күн бұрын
Viongozi wa dini wengi ni na hawa.
@Ambwene
@Ambwene 17 күн бұрын
Hatuna viongozi tanzania 🇹🇿
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 18 күн бұрын
Wabunge wte waliomsema vibaya mpina ni wanafiki na hawajielewi
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 21 күн бұрын
Yaan mnasema tu ukabila haufai lkn huko mbeleni mm naona utafaa tu
@VictorZimba-kg3xr
@VictorZimba-kg3xr 14 күн бұрын
Spika hapo umefeli sana
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s 19 күн бұрын
Eti jimbo lipo serias kumuweka mtu darasa la saba msukuma ,lusinde mptupishe bhana not u're Time now
@user-sj4vo9cg2c
@user-sj4vo9cg2c 19 күн бұрын
Mpina hawezi kuungwa mkono na wabunge kwani hahongeki
@user-by7pz4sx1s
@user-by7pz4sx1s 16 күн бұрын
Wasukuma wameanza kuchangamka😂😂😂😂😂😂
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 21 күн бұрын
Wakatoliki hatujasema chochote hadi sasa! Mimi nivumilie hadi lini?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Viongozi wa dini wanaaminiwa na masikini tu nchi hii
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 22 күн бұрын
Mbunge msukuma ni mnafiki sana, Hajitambui kabisa,
@monicamwita7865
@monicamwita7865 22 күн бұрын
Msukuma shida sana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Chawa
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 20 күн бұрын
Tumwombee msikuma aache unafiki na maneno mengi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Ila msukuma na tabasamu. Uchawa unawapunguzia heshima
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 19 күн бұрын
Hakuna aliye juu ya Sheria
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 15 күн бұрын
Bashe ni msomali na wasomali Wana roho mbaya majizi na matapeli
@zahrayusuf5985
@zahrayusuf5985 5 күн бұрын
Wewe yako nzuri?
@zahrayusuf5985
@zahrayusuf5985 5 күн бұрын
Walimuibia babako
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 18 күн бұрын
Mambo yatabadilika mapema kuliko wanavyodhani
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 21 күн бұрын
Musukuma nilikuwa na muona wa maana kumbe zero kabisa [rushwa hupofusha]
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 9 күн бұрын
Wafugaji ni washenzi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Ukiona mbwa juu ya mti.
@kingibandajembe2247
@kingibandajembe2247 21 күн бұрын
Bunge la mchongo tz wachumiya tumbo
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 21 күн бұрын
Nalo neno kijana
@user-ze1zz5zy9o
@user-ze1zz5zy9o 18 күн бұрын
katika watu wajinga nihiri jamaa nsona chamaana hapo nitai na shati sijawsi ona sukuma jinga kama hiri tumbo ra shiporo musukuma hapa
@AdelinaAloys
@AdelinaAloys 21 күн бұрын
Bashe nyuma yake kuna asiyesemwa MUNGU wa Tz
@MalijasJRCharles-vl2rq
@MalijasJRCharles-vl2rq 20 күн бұрын
Of coz
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 21 күн бұрын
Hatuna wabunge nchi hii
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 21 күн бұрын
Viongozi kweli hatuna na hii serikali ni upuuzi mtupu
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 22 күн бұрын
Hakuna atakaye fungwa wala kufukuzwa kazi wakiwajibishwa mimi nitaomba uraiya kwenda DRC nisiwepo.
@GodfreyKiyeyeu
@GodfreyKiyeyeu 14 күн бұрын
Mpina nakupa kura yangu
@user-pk9yr4go8p
@user-pk9yr4go8p 22 күн бұрын
Ccmupigenikazi mbakatuse hizonikelelezaumbu
@januarysila1569
@januarysila1569 22 күн бұрын
dar jamani
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 18 күн бұрын
Watumishi feki wapo sana
@ChristerKoku
@ChristerKoku 22 күн бұрын
Kwa jumla wabunge wa CCM hawasomi kitu chochote wao nikiangalia upepo unaelekea wapi ni ushabiki wa kijinga hawaombewi mwongozo wala taarifa.lugha zao za kijinga na majigambo.wabunhe wanadai kudharauliwa hivi eakijitathimini wanastajili kuheshimiwa?
@ShebbyMageta
@ShebbyMageta 21 күн бұрын
Msukuma tatizo shule nasikia hajasoma
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 18 күн бұрын
Wabunge tulio nao ni feki kabisa hatuwachagua
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 20 күн бұрын
Je biblia na kurani ni ya viongozi wa dini tu? ???
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 22 күн бұрын
Jamani hili bunge mnalijuwa ni la imla hawakuchaguliwa waliteuliwa na Magu. Hawajui lolote ni machawa sio watetezi.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 20 күн бұрын
Mpina ndio mbunge namba moja katika kutumikia wajibu wa kibunge kwa sasa. Hata iweje ataendelea kuwa bungeni hata akifukuzwa CCM.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН