No video

MPINA, "MAKAMBA AKAMATWE, AMEFANYA UBADHIRIFU MKUBWA, NI MPIGAJI/ AMEIHUJUMU SERIKALI"

  Рет қаралды 186,409

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 846
@jonasmbala1326
@jonasmbala1326 Ай бұрын
Huyu Mwamba sasa ninamwelewa sana ila watanzania wako bize na mpira wala so 😊mambo ya msingi kama haya
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Ай бұрын
Umeona Eee wamerogerezwa huko
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Ай бұрын
Na hapa watanzania ndipo walipotulogea. Tunaacha kufatilia mambo ya manufaa tunafatilia mambo yasiyoyamusingi
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 Ай бұрын
Vijana wengi wanawaza mpira nakubet na ukijaribu kuongelea mambo ya msingi wanakushangaa, unakuta kijana hamjui hata mkuu wake wa mkoa ila ukimuuliza akutajie kikosi Cha yanga, Simba atakufafanulia vzr mpaka unajiuliza au nae nikiongozi wa klabu nini😮😮
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
Huyu mwamba ni mnafiki sana.Wakati wa Magu lkulu iliiba trillioni 1 na nusu kwa ripoti ya CAG Proffessor Assad.Huyu mwamba alikaa kimyaa wala hakutoa ripoti kama hii kwa umma.
@ananiambalai4783
@ananiambalai4783 Ай бұрын
@@user-oh6pc7zd4s mnafiki tu anayoongea sio mabaya ila ni kwasababu hana chakula kama wenzie
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Ай бұрын
Asante Mungu naiona Roho ya Magufuli ndani ya mtu huyu.
@elifacestafordntilongwa603
@elifacestafordntilongwa603 Ай бұрын
Mungu akulinde mpina na mkono wa kuzimu Mungu akubariki wewe na uzao wa tumbo lako
@isayashayo4777
@isayashayo4777 Ай бұрын
Sio tumbo ni kiuno mwanaume habebi mimba bhana Ila hongera Kwa kuwa timu mpina
@user-cw7xy8jh2e
@user-cw7xy8jh2e Ай бұрын
Mungu akulinde na mabaya nikikuona unapigana namkumbuka Mangufuli Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi
@africaone4306
@africaone4306 Ай бұрын
Mpina ni mtu sana.. ukimsikiliza hana chuki binafsi bali uzalendo unamsukuma kifanya hivi. Mungu akulinde mhe. Mpina.
@phare_tz
@phare_tz Ай бұрын
Rais wa nchi ni kama huyu wanao mkubali like apa
@awadhally1052
@awadhally1052 Ай бұрын
Kwel
@GERALDAMCHONDE-yt5is
@GERALDAMCHONDE-yt5is Ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊​@@awadhally1052
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja Ай бұрын
Mpina akiwa raisi itakuwa bora
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
Magu aliiba trillioni 1 na nusu kwa mujibu wa ripoti ya CAG ASSAD huyu Mpina alibaki kimyaaa hakusema chochote wala kutaarifu umma kama anavyosema leo.Kuna nini nyuma ya pazia?
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 Ай бұрын
Tulia aongee Mpina. Siku zote tunafichwa haya nao wanatanua tu na kodi zetu.
@RevocatusSebastian-c8o
@RevocatusSebastian-c8o Ай бұрын
Wasukuma hatunaga kaz mbovu kama wewe ni msukuma nampenda maendeleo gonga like hapa kupinga ufisadi
@iddmsingapore5319
@iddmsingapore5319 Ай бұрын
Na yule kashuke ni kabila gani😂
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 Ай бұрын
Acha ukabila wewe ,yeye anamshambulia makamba wakati wizara inaongozwa na msukuma mwenzake kwanini asimwambie biteko aidai hizo pesa na kusimamia hiyo miradi? Huonni huo ni uhuni ni wa siasa
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Ай бұрын
Mm sio Msukuma ila Wasukuma oyeeeee
@shabannayopa5406
@shabannayopa5406 Ай бұрын
Uongoz wa misifa na kupenda kiki ndo style zenu
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Ай бұрын
Mm siwajui wasu KUMA
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Sema sema mpina mungu atakusaidia ❤
@Uhuru1234
@Uhuru1234 Ай бұрын
Mpina, mungu akupe maisha marefu, mzalendo pekee uliye baki katika bunge lile
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Ай бұрын
Hakuna cha mzalendo wote hao hatukuwachaguwa kwa kura zetu
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Ай бұрын
​@@isaliisu3408kuma kuma tu haiwezi badilika kua nyama 🤣🤣
@GaspercomedyTv
@GaspercomedyTv Ай бұрын
​@@isaliisu3408haukuwai kuwa na akili jinga wewe na familiar yako mpuuzi mkubwa
@rizikiminga3010
@rizikiminga3010 Ай бұрын
​@@isaliisu3408hata kama hatukumchagua lakin vitu anavyo ongea n vya maana sana tena sana
@mercyzakariah
@mercyzakariah Ай бұрын
Wewe nikiongozi pekee jasili, makamba NI jambazi.. NI mpigaji Sana arudishe pesa za WA tz
@OS-pf6op
@OS-pf6op Ай бұрын
Kipara kama kipara!
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Ай бұрын
​@@OS-pf6opkipara kama tako 🤣🤣
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Ай бұрын
Asante sana mpina mimi nimekuelewa
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Ай бұрын
Makamba ana lamba ASALI Mwigulu Nchemba Mwizi kihalisia.
@piusmaduka
@piusmaduka Ай бұрын
hongera mwamba, shida elimu za wabunge wenzio zinawahukumu hapo bungeni hawatakuelewa. tunapaswa sisi wananchi tukulinde sana mwamba jasiri fearless as kenyans
@japhethbaalinda1756
@japhethbaalinda1756 Ай бұрын
Anatakiwa kuwa Raisi wetu Tanzania naiona roho ya maghufuli ndani yake.
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Ай бұрын
KABISAAAAAAAAA
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 Ай бұрын
Naaaaaaaam
@ZabronHermanNgasa
@ZabronHermanNgasa Ай бұрын
Kweli
@richardc270
@richardc270 Ай бұрын
TRUE
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 Ай бұрын
B Ndio huyu anatufaa
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Ай бұрын
Ewe mwenyeeziMungu wape ulinzi wote wanaofichua maovu katika nchi yetu, na utubainishie wote wanaohujumu nchi yetu na kutusababishia maisha magumu sisi wananchi na familia zetu ilihali wao wanaishi maisha mazuri na familia zao, kwani ewe mwenyeeziMungu hushindwi na jambo lolote...💓😭😭😭.. in-shaallah...kwa uwezo wako haki itatawala katika nchi yetu..❤️❤️🙏
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Ай бұрын
Mama anafuga WEZI amkeni WaTanzania.
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Huyu mtoto wa makamba kweli ni fisadi sanaa yeye ndiye amefanya umeme upande bei kwa maslai yake hana uruma naw
@MajiiIfande
@MajiiIfande Ай бұрын
Hafai kuwa rais huyu
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 Ай бұрын
Ukimsikiliza Mheshimiwa Mpina vizur ni lazima mwisho utoe machozi dah kumbe pesa ni nyingi kiasi hicho
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w Ай бұрын
Umeeleweka Mr.Mpina,kweli una uchungu sana na unasema kweli.Ufisadi umezidi Tz
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 Ай бұрын
Mpina asikilizwe tafadhali 🤙
@kijadogan6711
@kijadogan6711 Ай бұрын
Wenye roho mbaya mwacheni mwana wa Mungu aseme.msimuue Mungu akusaidie.Amina.
@PenuelDaniel
@PenuelDaniel Ай бұрын
Huyu mzalendo wa kweli...huyu pia akiwa kiongozi mkubwa hawezi kununuliwa
@ananiambalai4783
@ananiambalai4783 Ай бұрын
alikuwa waziri hamna kitu kabisa
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
​@@ananiambalai4783tumjaribu ukiwa Waziri bado upo chini ya mwenye nguvu
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 Ай бұрын
Hakuwai kununuliwa tofauti na majungu kwa waliokuwa wanavunja Sheria kwa maslahi yao.
@ahmedhamis
@ahmedhamis Ай бұрын
Huyu ni kiongozi mzalendo 🎉🎉🎉🎉 HAKUNA MTU WA KUNIAMINISHA VINGINE...
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Ай бұрын
Siasa ndugu
@user-ku1wf2pw2w
@user-ku1wf2pw2w Ай бұрын
Jembe letu hilo tuliunge mkono
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 Ай бұрын
Naaaaaaaam
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 Ай бұрын
Wakumuunga mkono waTanzania wenyewe hawana mikono..
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw Ай бұрын
Usiseme jembe, jembe lina tundu kwa nyuma na haliwezi kufanya kazi hadi litiwe mpini.
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Sasa mhe mpina unaeleweka lazima Serikali itoe majibu juu ya tuhuma hizi haiwezekani mtu/ Kiongozi wa Serikali afanye wizi na Ufisadi huu harafu Serikali ikakaa kimya. Fedha zote zinazo tajwa na mhe Mpina ikumbukwe kuwa ni fedha za walipa Kodi wa Tanzania kwa hiyo wahusika lazima wachukuliwe hatua na kurejesha fedha hizo haraka iwezekanavyo. Tulikuwa tunashangaa kwanini mradi wa bwawa la Nyelele hauishi!, Pia mbona mradi wa reli ya SGR unasuasua kumbe fedha zinapigwa!. Tunaomba taarifa ya mhe.Mpina ifanyiwe kazi.
@drp3721
@drp3721 Ай бұрын
Yafanyiwe kazi ukweli ujulikane, ukimya utaendelea kuleta Mashaka.
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Ай бұрын
Hajibiwi chochote ni kama redio inaongea na hakuna msikilizaji
@Uhuru1234
@Uhuru1234 Ай бұрын
Mzalendo pekee bungeni, mungu akuzidishie baraka zaidi mpina
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
MZALENDO NI HUYU?WAKATI WA MAGU CAG ALITOA RIPOTI KUWA IKULU YA MAGU ILIIBA TRILIONI TRILIONI MOJA NA NUSU HUYU MPINA ALIKUWA BUNGENI NA WAZIRI ALIKINI ALIBAKI KIMYA HAKULASNI WALA KUARIFU WATU KAMA ANAVYOFSNYA SASA.NINI KIKO NYUMA YA PAZIA?
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
@@user-oh6pc7zd4s Acha uongo....CAG mwenyewe aliulizwa ziliibiwaje hakuweza kufafanua!!! Mwacheni mwamba apumzike kwa amani😔😔
@IbrahimShomari-sw4ii
@IbrahimShomari-sw4ii Ай бұрын
Nimeumia Sana uyu jamaa kumsimamishe bungeni kwa kosa LA kutetea maslahi ya inchi yetu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Muda utaongea
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Ndiyò uje hakuna bunģe mpaka spikàa
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Ай бұрын
SPEAKER wa MCHONGO Hawezi.
@IbrahimShomari-sw4ii
@IbrahimShomari-sw4ii Ай бұрын
@@user-su6xu7ks7m IPO siku hata magufuli alitokea bila kutarajia natuliona juhudizake na wote tukakubali kazi zake
@girwawehhary6605
@girwawehhary6605 Ай бұрын
Hao ndo ccm
@Kwarasi
@Kwarasi Ай бұрын
Mambo kama haya yanapotokea watanzania tunatakiwa tuandamane kupinga huu ufisadi, watanzinia tunaumizwa sana lakini sisi ni kama kuku wa kisasa ama kondoo ama mkundu unaosubili kutoa mavi inaniuma sana tunaibiwa halafu tunasubili Mungu asaidie wakati tuna mikono na miguu na mdomo tukavitumia kuondoa mafisadi halafu mweshimiwa luhanga mpina anatuonyesha njia tunjifanya vipofu masikini sisi wa saoga mavi yakuku.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Ni kweli bro,hebu itisha maandamano na utangulie mbele tukufuate
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Ай бұрын
Kitaka kumjua mjinga mfuatilie maongezi yake Silaha ya mjinga na mpumbavu ni kujihami na matusi. Hivi huyu mjinga anaweza kumshawishi nani aanda mane.?
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
ULIPATA HASIRA KAMA HII WAKATI MAGU ALIPOIBA TRILLIONI MOJA NA NUSI IKULU?HAYA YALISEMWA NA CAG PROFESSOR ASSAD.JEE WATU WALIVYOKUWA WAKITEKWA NA KUUWAWA KILA SIKU .WSKIPIGWA RISASI NA KUCHUKULIWA MALI ZAO KEA NGUVU.
@GaspercomedyTv
@GaspercomedyTv Ай бұрын
​@@user-oh6pc7zd4s Acha ujinga
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 Ай бұрын
​@@walidmgonja3644Mawazo yako mfuu
@filbertfaustine7357
@filbertfaustine7357 Ай бұрын
Kama umeangalia na kusikiliza mwanzo hadi mwisho kama mimi nakuumia na 🇹🇿 yetu gonga like.
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 Ай бұрын
Wanaoibiwa ni Watanganyika, MUNGU aingilie kati Tanganyika iliyopokwa irudi.
@amermakeny5505
@amermakeny5505 Ай бұрын
Mungu akulinde uingiapo na utokapo.
@ngimbakuyi3250
@ngimbakuyi3250 Ай бұрын
Mpina ni kiongozi shupavu hatetei chama anatetea madilah ya nchi yake love you mpina Big up p💪💪💪
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Mungu akubariki sana Mpina. Wanatetea wameisha pewa chao hata kama Tanganyika ina zidi kuwa masikini yeye January Makamba na familia zao watakuwa hawana shida. Shida ni watanganyika ndiyo wanateseka.
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
Wakati wa Magu akiwa Rais lkulu ilipigwa trillioni moja na nusu kwa mujibu wa ripoti ya CAG Professor Asad.Huyu mtetezi alibaki kimya,na wala hakutoa ripoti kama hii kwa vyombo vya habari.
@RabihuHussein
@RabihuHussein Ай бұрын
Huyu anafaa kurudi mjengoni 2025. hongereni sana wananchi wa jimboni kwake.
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Kura yangu nampa
@antonioigneous6653
@antonioigneous6653 Ай бұрын
Naomba Jimbo lako likupe tena nafasi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Thanks to God to see you Jembe Mpina. If you were not in the house wouldn't know these. But this GOVERNMENT is there for Arabs.
@petersamwelm7279
@petersamwelm7279 Ай бұрын
Mpina Mpina Mpina Watanzania tunakusikia na tunakuona
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 Ай бұрын
Unafaa kuwa Rais na ccm wajifunze kuwa wakweli viongozi wa ccm wale bendera gusta upepo tunawaambia nini ni goigoi kizazi hiki sio Cha kudanganya Kwa hiyo minaiba ela ili mkahonge uchaguzi mkijuwa ninyi wananchi tunawachukia , mpira na mungu ww ccm anayejitambua
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Si kwa cmm hii, watamuona adui
@mamaz2907
@mamaz2907 Ай бұрын
The only man standing😊
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 Ай бұрын
Duh kwa maneno haya ingekua ni Kenya zamaaan hao wanaotajwa hapo wameshaachia viti muda mrefu
@user-wl3sv2xn9e
@user-wl3sv2xn9e Ай бұрын
Yes na kufilisiwa juu
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Ай бұрын
JANUARY MAKAMBA HANA UCHUNGU NA TANZANIA NA WANANCHI MWIZI KAMA WEZI WENGINE
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Ай бұрын
Tenabola panyaload anamuathiri mmtu mmja kuliko huyojamaa na ahlizake wanateketeza taifa lasasa nalijalo
@rizikimtei1635
@rizikimtei1635 Ай бұрын
Dah...hii ni . Zaidi ya Uchungu
@user-ng9bn3jj3x
@user-ng9bn3jj3x Ай бұрын
Kiukweli ccm ni wez sana yaan hawanaga haya wanakula sana
@EnockChingula-gw1po
@EnockChingula-gw1po Ай бұрын
Tumekuelewa mpina
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Huyu anastahili kua aidha waziri mkuu Kwa makonda au Mpina awe Rais makonda waziri mkuu
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 Ай бұрын
A moja nakuomba
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Ай бұрын
Huyu msukuma ni kichwa kweli.... Ila raiisi mwenye elimu ya unga unga , QT sort, hawezi akampenda kipanga huyu!! Mpina you are hero, bro!!
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
Hakika umesema point bro Yaani nchi hii Raisi ni kilaza kuliko anaowatawala
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
HIVI UNAIJUA CV YA MAMA SAMIA AU WAROPOKA UPUMBAVU TU?! TULETEE CV YA MAMA YAKO TUIONE!!
@AwardHakimu
@AwardHakimu Ай бұрын
Mtu akisoma qt anakua kilaza una huakika brother
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
@@rayisadesigns2646 Wewe mavi ya kuku wewe Mjinga mkubwa fala hujasoma shule wewe kibwengo wewe
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 Ай бұрын
​@@rayisadesigns2646wewe unaeijua umefanya nn wewe jizi kubwa unaemtetea raisi na huu ujinga wenu, Mungu anawasubiri
@jamesnyaulingo673
@jamesnyaulingo673 Ай бұрын
Mpina hongera
@shabanikigogo2444
@shabanikigogo2444 Ай бұрын
Waambie Mpina.. Hayo majitu ni majizi sana.. Hata huyo mwenye kiti kikubwa pale kwenye jumba la sanaa anaonekana alikua na kibali cha sukari.. ndo maana alikutoa mbio...
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 Ай бұрын
Wajinga sana
@customerservicetanesco2773
@customerservicetanesco2773 Ай бұрын
Sioni maiki ya tbc, clouds, itv , startv , ayo tv 😢😢😢😢😢😢😢😢kwel mtu anatoa madini hivi halafu 😢😢😢😢😢😢
@boaziamos1224
@boaziamos1224 Ай бұрын
Hakunaga habar za maana huko
@user-tu6jn9ln3o
@user-tu6jn9ln3o Ай бұрын
Chawa hao hawawezi weka mic hapo
@allyfutto8763
@allyfutto8763 Ай бұрын
Kiongozi kama hawa wapo wachache na wanapigwa vita sana
@Mkrist
@Mkrist Ай бұрын
RIP Magufuli. Angekuwepo, pangechimbika kwa hawa wezi.
@filbertfaustine7357
@filbertfaustine7357 Ай бұрын
Wangezipitishia wapi kwanza😂, sema basi tu GEN TZ ISIMAME TU
@petermboje5839
@petermboje5839 28 күн бұрын
Wasingekuwepo hawa wezi
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Ай бұрын
Chuma sasa kimerudi kivingine🎉🎉🎉 asante sana #Mpina
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 Ай бұрын
Mungu akutunze xn mpina
@user-hf4mv5gu3f
@user-hf4mv5gu3f Ай бұрын
Jeshi lipo!naliamini chukueni nchi tuachane na ubabaishaji wa wanasiasa wa tz hii.ovyo sana..
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 Ай бұрын
Sana
@optatusduqangw1071
@optatusduqangw1071 Ай бұрын
kabisa
@girwawehhary6605
@girwawehhary6605 Ай бұрын
Siku jeshi likijitambua tutatoka hapa tulipo
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Ай бұрын
Mm kama general wa jeshi hatuko tayari kuchafua nchi kwa stain iyo
@user-pc8ym8lk7o
@user-pc8ym8lk7o Ай бұрын
Uyu jamaa ni zaidi ya mzalendo
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s Ай бұрын
HUyu si Mzalendo,kwa maana Mzalendo huwa hana makengeza jana haona leo anaona.Tujadili.Wakati wa Magu akiwa Rais CAG Professor Assad aliona hela imeibwa ikulu na Magu trillioni 1 na nusu huyu Mpina alikuwa. Ni waziri na Mbunge hakusema lolote wala kuchukizwa, wala hakutoa ripoti kama hii kwa jamiii alibaki kimyaaaaaaa.
@isayasimwinga2854
@isayasimwinga2854 Ай бұрын
Wewe ulikuwa wapi😂😂😂​@@user-oh6pc7zd4s
@masuzahMkumbo-vs6ng
@masuzahMkumbo-vs6ng Ай бұрын
Nakushuru kwani nimepata elimu kubwa sana toka kwako, ubarikiwe na Mungu .
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Ай бұрын
Elimu gani ulopata ndugu na mm pengine naweza kujifunza kwako na kwake
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n Ай бұрын
Sipika wa Bunge Upooooo msikie magufuri Mpya Uyooo Yani mwaka huu kazi mnayo uyu Anafaa kuwa Rais Wa Nchi Hii Mtamia Ccm Mapema SANA
@FestoLalata
@FestoLalata Ай бұрын
Mungu akubarikiwe,ingawa mhe Mpina hizo pesa hazitumii peke yake.
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Mwabukusi akiwa Rais na mpina akiwa makamu na Bitoke akawa waziri mkuu na makonda akawa waziri wa mipango nchi lazima inyooke
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 Ай бұрын
Nadhani alimanisha Makamu Waziri Mkuu Dotto Biteko
@isayasimwinga2854
@isayasimwinga2854 Ай бұрын
😂😂😂
@kevinmary7129
@kevinmary7129 Ай бұрын
Makamba, Nchimbi, Nape, bashe, lizone, ngereja, msonga, mwigulu hawa ni mashetan wa Taifa
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v Ай бұрын
Ndauli
@user-fb6dh6sz2g
@user-fb6dh6sz2g Ай бұрын
Umenena👌✔️
@user-nt3mb3pr6m
@user-nt3mb3pr6m Ай бұрын
Wauliwe ubwa Hawa huyo makamba barabara ya kwao Ni aibu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
@@user-nt3mb3pr6m barabara ipi? mtaani anapokaa?
@AdelaMtena-yn1zm
@AdelaMtena-yn1zm Ай бұрын
Mpina na kuna mmoja namsikilizaga ndugu mwabukusi kweli wako vizuri na mh mmoja mimi nimemsahau
@OmarMihulu
@OmarMihulu Ай бұрын
Mwenyez mungu Fanya rehema zako tupate mzalendo huyu awe kiongozi wajuu alinyanyue taifa hili
@simonjackson7068
@simonjackson7068 Ай бұрын
Badilishen katiba Mambo yanyoke zalau ziishe😮
@ClaveryMwasomola-lh5ev
@ClaveryMwasomola-lh5ev Ай бұрын
I'm appreciate this guy.na mungu ambariki sana kwakuwa jasiri
@ramadhaniomar4774
@ramadhaniomar4774 Ай бұрын
Mungu akulinde na aendelee kukupa ujasiri huo
@RashidLupatu-bg8dr
@RashidLupatu-bg8dr Ай бұрын
Ilitakiwa iwe wawe 3 huyu Mwigulu wanamuogopa sana nilishaamia Burundi 🇧🇮 kama alivyoagiza mwigulu bakini ufisadi wenu bora Kenya 🇰🇪 wamefanya maamuzi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Watanzania tumeshakuwa na roho ya ajabu,tena m b aya .Tusi muue😢😢Mwacheni atusaidie Mwenye nia mbaya,alaaniwe😢. Ubarikiwe Mpina❤
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Mpina ndo mbunge peke yake mzalendo msema kweli Mungu akulinde
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Unfortunately he is alone 😢
@taamimlussigi7811
@taamimlussigi7811 Ай бұрын
Hongera MH kwa kueleza mambo tuliyokuwa ha2yajui
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 Ай бұрын
SHIKAMOO mpina Vijana hawa ndio Moyo wa Tz Mungu mpe ulinzi mlinzi huyu wa Tangany😅❤❤ikaaaaaa
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
Hawa walopiga hizo hela spika badilisheni sheria wanyongwe mpaka kufa bila hivyo tutakuja kumbuka maneno ya ndugai nchi itapigwa mnada hii
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
hivi kwanza mtu unaanzaje hata kuchukua Tshs 5000 kwenda kula chips na ni hela umetoa ndani ya mfuko wa wizara? ile kuchukua tuu mkono wangu ungetetema haraka sana. ningekimbia chooni kutuliza pumzi
@elizabethmwakatobe6207
@elizabethmwakatobe6207 Ай бұрын
Mama Rais wetu haya yote yafanyiwe kazi Tunakuamini sana KOMAA MAMA WASIKUCHZEEEeee
@saultulumbura9620
@saultulumbura9620 Ай бұрын
Tunakuelewa sana babaa❤
@Dominaevance
@Dominaevance Ай бұрын
Yako Mambo yanashangaza Sana katika Taifa hili, Sijajua shida ni Mifumo ya Maamuzi iliyopo au shida ni Viongozi wetu, Unaendaje kumtoa Bungeni Mbunge kama huyu? Very Smart Uzalendo usio tiliwa shaka hata kidogo katika hili la kupambana na wizi na Ufisadi ss kama Taifa Tunayosafari ndefu, ukiachilia Mbali Mchango Wa Mheshimiwa Mpina huyu angetakiwa awe Moja ya Wasaidizi WA Rais kwenye serikali yake
@medlucas5686
@medlucas5686 Ай бұрын
Huyu mwamba sijui kama mimi uelewaji wangu mdogo au VP mbona naona anaongea vitu muhimu sana katika nch
@Ambwene
@Ambwene Ай бұрын
Yaani mpaka anatutia uchungu
@elevenmeela8713
@elevenmeela8713 Ай бұрын
Sasa mtu huyu inakuwaje kusimamishwa bungeni vipindi hivyo vyote ni kweli nimekubali msema kweli hakubaliki msema uongo ndiyo wanao onekana ni wazuri
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
ni kweli..lakini alivoanza kujieleza kutoa ushahidi kwa wanhabari watanzania wengi walimtukana..walimuongea vibaya sana
@Globalpeace123
@Globalpeace123 Ай бұрын
Tatizo ni wananchi tumewaachia hawa viongozi wezi waendelee kutuibia Inabidi tuwaangilie maofisini na tuwatimue waachie ngazi na tuwapeleke mbele ya sheria Jamani watanzania tuamke tuache kulalamika tu pembeni Tunahaki ya kutetea nchi yetu kwa hali na mali It is time to wake up Tunga ne kWa pamoja kuwaondoa hawa mawaziri majambazi wote
@romanmwaisela
@romanmwaisela Ай бұрын
Raia wa tz wengi hawana elimu ya uraia hivyo wako tayari kupoteza haki Yao Kwa hongo.
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 Ай бұрын
Political giant and wisdom..MPINA JESHI LA MTU MMOJA
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 Ай бұрын
Mpina is on FIRE !!! Waziri wa Fedha anajiita Doctor of Economy !!
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Ай бұрын
@@mahadhikawia3610 , kasura ka Mwigulu kamekaa kama MarvinGay
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 Ай бұрын
😂😂
@scotttineja4246
@scotttineja4246 Ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Mpina kuweka wazi namna fedha nyingi za uma zinavyoliwa na watu wachache. Kuweka wazi haya lazima utapigwa vita sana, nakuomba usichoke na wa Tanzania tuko pamoja na wewe
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Kweli bongo tunachezewa na tunachezeka kweli hili Bwawa limeotea mbawa sehemu gani tena?
@SamuelWerema-s9y
@SamuelWerema-s9y Ай бұрын
Hii nchi tuwape wasukuma tu , wanaweza
@user-hd3ks3cj6w
@user-hd3ks3cj6w Ай бұрын
Wabunge wengine wanajambia vitu vya bunge tuu hamna kitu "
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 Ай бұрын
Asee safar hii jembe kama hili likitinga ikulu tutalilinda kwa gharama yeyote mungu akubarik mkuu wetu
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Ай бұрын
Mh rais uko wapi, upuuzi wote huo unafanyika😭😭😭😭😭😭😭😭
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
WENYEWE WAMEKAZANA KUTUTUMIA TRA WATUFILISI.😢HUKU JUU HELA ZINALIWA😢
@irenekalinga323
@irenekalinga323 Ай бұрын
Nakuombea siku moja upate uraisi
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Ай бұрын
Ndani ya CCM hii hii na mfumo huhu!!!? Kamwe hawawezi kumpa nafasi hiyo.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Watu kama hawa, hawapati urais. Mafisadi wameiteka serikali.
@BenjaminMapalala
@BenjaminMapalala Ай бұрын
Sema brother
@salumjoka6286
@salumjoka6286 Ай бұрын
Iko siku huyu mama atakuja kumuelewa mpina.
@festootieno6647
@festootieno6647 Ай бұрын
İnauma sana Mpina na kuelewa Sana Jembe
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r Ай бұрын
Mwenyenzi Mungu azidi kukupa nguvu na uweza!🫶💪🤝
@user-yt8db6et9q
@user-yt8db6et9q Ай бұрын
Usifadhaike mzalendo wa kweli kwa wale wakuchukiao kwani hao ndo wale wachukiwao na Mungu
@herie16m
@herie16m Ай бұрын
Thanks for defending us...
@jayzeem14
@jayzeem14 Ай бұрын
Point
@benedictorwamuhuru6376
@benedictorwamuhuru6376 Ай бұрын
God bless you.
@user-yo7sj8fs4h
@user-yo7sj8fs4h Ай бұрын
Roho ya Magufuli bado inaishi ijapokua wanajitahidi kukandamiza
@DevotaIjumba
@DevotaIjumba Ай бұрын
Mama Rais wetu Mama Samia tunaomba umsikilize MPINA
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Ай бұрын
Magufuli alimfukuza Januari Samia amkamrudisha maana hana uchungu na Tanganyika
@SanulaMustafa
@SanulaMustafa Ай бұрын
Asante sana baba umetutoa gizan mfupa ulio mshinda gisi mbwa atauwezaje makamba Alisha shindikana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
maskini ya Mungu, waliopewa kura na maskini waende wakatusimamie wanatuangusha..tunaangalia kwa mioyo iliojaa simanzi..kesho wametuahidi wanarudi tena kutuomba watusimamie
@janetymatola6639
@janetymatola6639 Ай бұрын
Safi sana yaani tunskuombea uje kuwa Rais mwema dua na maombi tunakuombea
@AdelaMtena-yn1zm
@AdelaMtena-yn1zm Ай бұрын
Kweli inaumiza Sana watu Wana mitadi kibao shauri za hela za walalahoi wenhine hata kununua mlo wa siku Ni ngumu kwanini watanzania wenzetu hao viongozi hamna huruma kwetu na ndio inasababisha watoto wanatekwa watu wanauawa mpona big up
@simonjackson7068
@simonjackson7068 Ай бұрын
Mpina asikilizwe Kwa umakini Sana poiti zakutosha mwagalazi Tema cheche kunawabunge wanalala2 hawana hoja za mana
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 17 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 110 М.