KIKAO NA KIKEKE - ZUHURA YUNUS NA LOCKDOWN

  Рет қаралды 87,431

Salim Kikeke

Salim Kikeke

4 жыл бұрын

Пікірлер: 175
@SitiKhamis-tj8qy
@SitiKhamis-tj8qy Ай бұрын
Amazing 😍 majournalist wang I love from my heart ❤️ I believe one day yes like zuhura yunus 😍
@allykindamba9800
@allykindamba9800 4 жыл бұрын
MA SHA ALLAH Nimependa Hapo kwenye kusoma Qur'an ALLAH afanye wepes ktk hilo
@mohamedwarsame2354
@mohamedwarsame2354 4 жыл бұрын
Anasoma Quran na pia anasema anacheza mziki badala kufanya istighfaar
@safiaothman1098
@safiaothman1098 2 жыл бұрын
AAMIIN
@kareemnduma2278
@kareemnduma2278 4 жыл бұрын
Mashaa Allah umepndeza na mnaendana sana nyie watu❤❤❤❤♥♥♥♥💖💘💘💘💘💘💘💘💘❤❤❤❤💋💋💋💋💋
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 4 жыл бұрын
Daaah wallah Raaahaa mapenzi Mubashara
@abdulkaole2011
@abdulkaole2011 4 жыл бұрын
My 2 favourite news anchors. Kale kasauti ka Zuhra akitaja “twira”. But Maa Sha Allah I love them, habari zetu zinatiririka fresh .
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Nawapendaga ,mkiongea Ni Kama hamjui kiingereza, dah!!! Kiswahili kimenyooka hakuna michanganyo.Hongereni saaaaaana.
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah zuhura yuunuss
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Jamani nawapenda nyie,hamjui tu walaah ❤ from swiss
@migwa100
@migwa100 4 жыл бұрын
mash_Allah nimependa conversation yenu nawasikia vizuri sana kutoka U.S. Da Zuhura kama hakuna mtu let me know nije huko London lol.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Mashallah, nawapenda sana nyie watu 😄❤️
@juliusmangombela4396
@juliusmangombela4396 4 жыл бұрын
Hongereniii sanaaa, mko vzr u make my day!!!
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Mashallah zuhura ila ingependeza sana mkawa mke na mume mmependezan sn
@hajivuai3454
@hajivuai3454 4 жыл бұрын
Wahida kwani huyu Zuhura hana mume kweli?
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 4 жыл бұрын
TItizo Salam yuko na mke Kwakweli Salim na zuhra ni tim zuri sanaa MashaAllaah
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
@@hajivuai3454 hana mume na hajawahi kuolewa na ktk interview zake kasema bado sana
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
@@zulfahhussein505 na mkewe kikeke ni mzungu ndo kabisa hawezi kua pa1
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Mathna
@winfredcanaan582
@winfredcanaan582 4 жыл бұрын
Safi sana mpo vizuri ndugu zangu
@hemednassour4763
@hemednassour4763 4 жыл бұрын
KAKA SALUM fanya usfanye nusra kwa DA ZUHURA tule biriani
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
ana mke na mkewe mzungu hawezi
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mariammussa2540
@mariammussa2540 4 жыл бұрын
@@@zuleikhakhamis3303 Dini siyaruhusu uo uzungu kwio
@mamusmama2882
@mamusmama2882 4 жыл бұрын
Iv Mke Mzungu Hua hawana mathna? ??
@abdulnaseerabdulhakeem9302
@abdulnaseerabdulhakeem9302 Жыл бұрын
@@mamusmama2882 ni kosa kisheria kwenye hizo nchi kuwa na mke zaidi ya mmoja
@juhudiacademy2170
@juhudiacademy2170 4 жыл бұрын
"Eti mpaka mm nikaulizwa kwann sijafanya chocho." Salim Kikeke
@chidboy5903
@chidboy5903 4 жыл бұрын
Salimu kikeke A! wachekesha kwel ww mmh lakn poa tukopa1 sana yan nimekumiss sanatu
@tumainielishangwe8653
@tumainielishangwe8653 4 жыл бұрын
Nawakubali Sana salim an zuhura mwambie zuhra napenda Sana anavyocheka we nawe kwa vituko uko vizuri kila siku atacheka aspokuskia uyo Hana rahaaa
@abdallahali3924
@abdallahali3924 4 жыл бұрын
Nimefurahi kukuona anti Zuhra bt ngoma usicheze ni haramu kwetu waislamu
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 жыл бұрын
Manshallah tabarakallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 da Zuhura nimpenda cheko kama mimi manshallah 😂😂😂😂😂😂😂
@sleyumomar3637
@sleyumomar3637 4 жыл бұрын
Salum unakwama wpi chukua mzigo huo kila siku unapiga domo tuu Au unaogopa
@mshumbusideogratias9567
@mshumbusideogratias9567 4 жыл бұрын
Kikeke sema ukweliii unakapenda sana haka kadada
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😂😂😂 jmn sijui kwanini hawakupandiana jmn. Ila Mungu akakuwaga na mipango yake
@deogratiusdaud3577
@deogratiusdaud3577 4 жыл бұрын
Nyie watu Nawapendaaaaaaaaa Dah! Kikeke najuwa umeowa Ila dini inaruhusu chukuwa jiko Hilo kka
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
mzungu mkewe hawezi
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 4 жыл бұрын
Wajina na mr kikeke owaneni itapendeza zaidi
@zumamarande3242
@zumamarande3242 4 жыл бұрын
Mmependeza sanaaa nimewapenda chapeni kazi Achaneni na watu wanao wabeza hawajui uandishi nini piga kaziiii
@hakizimanasaidi4976
@hakizimanasaidi4976 4 жыл бұрын
Asww vip ndugu zangu. Hakia mung Munatuchekesha sn kwakweli 😀😀
@majirakusagajnr4449
@majirakusagajnr4449 4 жыл бұрын
Mpo vizuri lkini sasa mpo kama MAKUADI, hakika kwa sasa bro KIKEKE nikikuona nahisi kichefuchefu kwa jinsi unavyoandika taarifa kanjanja za nchi yetu Tanzania. Go east, Go west, home is the best brother!!
@saidjuma9782
@saidjuma9782 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Ama kweli Ujinga ni Donda la Kichwa alonalo Halioni... Pumbav wee 😂😂
@Hassanmofty
@Hassanmofty 4 жыл бұрын
Nawapenda jaman mungu awawekee sana
@farhiyachina6308
@farhiyachina6308 4 жыл бұрын
mashaAllah
@omaryshabani4704
@omaryshabani4704 4 жыл бұрын
Ni zaidi ya urafiki
@kharounngavason8012
@kharounngavason8012 2 жыл бұрын
SALUM Nnahuzuni sana ZUHRA nntapataje Naomba hata nimsalimie kwanamba BBC ctomwona ntamwona wap
@othmanal-nabhany9243
@othmanal-nabhany9243 4 жыл бұрын
Salim vipi ww unafanya ibada unasoma Quran?? Jitahid kama nduguyako hapo Dadaa Zuhra
@davidmrisho7588
@davidmrisho7588 4 жыл бұрын
Interview safiiiiiii nawapata vizur
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Masha Allah hadi raha
@kimweritz6364
@kimweritz6364 2 жыл бұрын
Our Great Journalist in Tanzania
@noonoom9016
@noonoom9016 4 жыл бұрын
Kwa raha zenu wenyewe...... 👌
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 2 жыл бұрын
Hawa ndugu zetu Wana chemistry na wanatuwakilisha vyema
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 жыл бұрын
Nice...
@yusuphathuman9240
@yusuphathuman9240 4 жыл бұрын
Nawakubali wandugu zangu
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 4 жыл бұрын
Wallah ninawapenda buree ila Zuh nilijua unakatoto kakike,, Mimi nilianza kupenda kutazama habari za BBC kwasababu yako na baadae nikamuelewa kikeke na wengine
@mrj5322
@mrj5322 4 жыл бұрын
That's Fantastic,, Zuhra na Salim,,
@kungwabaruani4559
@kungwabaruani4559 3 жыл бұрын
from karen nairobi here following you thank you for joining us
@christinelema5895
@christinelema5895 4 жыл бұрын
😍😍😍
@zeanamuhsin9005
@zeanamuhsin9005 4 жыл бұрын
Zuhra kama khalti yng
@twayibmood7319
@twayibmood7319 4 жыл бұрын
Salim muowe uyo mtoto wa kizanzibar anakupenda sana Na ww zuhura umri uwo upo single haiwezekani unafanya amali gani ww na unakaribia kuzeeka tena matamanio yako unayapeleka wapi
@zubedaseif2950
@zubedaseif2950 4 жыл бұрын
Salim kikeke ameoa mke wa kizungu na ni mtangazaji mwenzake hapo hapo BBC unawajua wazungu kwa sheria hakuna mkato. Kwa hivyo haiwezekani.
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Hhhhhh eti anapeleka wapi
@capronsuri4061
@capronsuri4061 4 жыл бұрын
Salim you telling her ready
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 4 жыл бұрын
KIKEKE, huku ZUHURA safi sana
@QueenLady45-hh5dh
@QueenLady45-hh5dh Ай бұрын
❤❤❤❤❤kaka naomba namba yako kuna kitu nahitaji msaada wako tafadhali
@kharounngavason8012
@kharounngavason8012 2 жыл бұрын
Maashallah najikumbusha dahhh
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 жыл бұрын
Nyie Watu ❤️💑🥰🥰😍😍😍
@jamessiame4174
@jamessiame4174 4 жыл бұрын
Nawapata vizuri apa Lusaka zambia
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Maasha Allah Bi Zuhura Yunus.❤❤❤
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 3 жыл бұрын
Ilikuwa show ya hatari sana Ilipendeza
@isayaloliti9308
@isayaloliti9308 4 жыл бұрын
Salim nawapata nikiwa Norway hiyo naelewa vizuri ndoo maisha yetu pia hapa Norway. Nawapongeza kwa kazi izuri sana BBC na poleni sana kwa hili janga la Corona.
@mutaremwabusoni7287
@mutaremwabusoni7287 4 жыл бұрын
Zuhura yunus Ni ninamupenda sana Tena sana kwakweri Naomba niongena.kwasimu nitafura.mungu anisaidie Mimi Naishi.rwanda nimezariwa Tanzania ina itwa Mutaremwa
@jafethpeter5706
@jafethpeter5706 4 жыл бұрын
Kweli
@Omanomanoman-zw5un
@Omanomanoman-zw5un 4 жыл бұрын
We Kaka unajua unajukumu km hukuuowa huyu dada km nae atakutaka
@somandamwenyemvutotz8495
@somandamwenyemvutotz8495 2 жыл бұрын
Mambo nimoto mko vizuri
@chunanachu2529
@chunanachu2529 4 жыл бұрын
Raha sana kuwangalia hawa watu mnapendeza kuwa mke na mume na mke
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 жыл бұрын
Unatakiwa usome Kila siku sio ramadhani tu. Jitahidi mamangu
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 4 жыл бұрын
Itakua anasoma sema kwa Ramadhan ndio anajitahid kumaliza msahaf wote
@fatmamagingi8696
@fatmamagingi8696 4 жыл бұрын
Yes truth
@alhabibnachoaly3018
@alhabibnachoaly3018 4 жыл бұрын
Vchwa vwili hapa zuhra pale Salim aisee inapendeza sana
@sullypandu185
@sullypandu185 4 жыл бұрын
Da Zuu inakuaje apo tena kusoma Qur ani na kucheza mziki duh apo sio dada
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 3 жыл бұрын
Kasema kabla ya ramadhan
@ibrahimaboker9086
@ibrahimaboker9086 4 жыл бұрын
Salim kama zuhura hana mtu basi mi niko tayari tufanye sunnah ya mtume wetu MUHAMMAD Pbuh. Mi ni mzaliwa wa pangani
@emmanuelzao
@emmanuelzao 4 жыл бұрын
Bro mligongana mbezi beach?😀
@jinaali4370
@jinaali4370 4 жыл бұрын
Mashaallah! Tanzania inatisha popote, mko vyema wapendwa!
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 жыл бұрын
Pia Wacha kusikiliza music ni haramu
@kareemnduma2278
@kareemnduma2278 4 жыл бұрын
Mashaa Allah mwenyezi mungu akupeni afya njema na umri mrefu pia ❤♥💘😗😘😙💋❤💘♥❤♥
@saidmsuya8276
@saidmsuya8276 4 жыл бұрын
Nic
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha mmenichekesha nyinyi
@ibrahmizambwa5193
@ibrahmizambwa5193 4 жыл бұрын
Kikeke unawahojigi kina samata, wanyama obua na wengine.. Strikers... Em na we maliza bas kwa huyu, mbona mtamu sana!
@gidiyonibucumi1360
@gidiyonibucumi1360 4 жыл бұрын
Hello
@aminaally242
@aminaally242 4 жыл бұрын
Kiswahi kimefika sehem pake
@kinogekimbeho3781
@kinogekimbeho3781 4 жыл бұрын
Pumu mbona ugonjwa mdogo sana njoo ntakutibu bure
@nasramasimba3532
@nasramasimba3532 4 жыл бұрын
Kinoge Kimbeho unatibuje
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Acha mihemko utakufa
@joemaabdarha9795
@joemaabdarha9795 4 жыл бұрын
MNAPENDEZANA SANA MIMI NILIJUA MTU NA MKE WAKE. OWANENI ITAKUWA POA SANA
@kennedyjohn6788
@kennedyjohn6788 4 жыл бұрын
Ebu tuambieni ukweli mligongana vip maana mnaendana kwelikweli kwaiyo semeni ukweli mbona mnatufumbafumba
@sheddykayanda4369
@sheddykayanda4369 4 жыл бұрын
😀😁😂😂😃corona bhanA nooomaa
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
Kumbe mnakujaga Tanzania Kwanini mnaibebesha Tanzania zigo la corona corona corona kila siku. Hao Wazungu mnao watumikia ona wanavyo waua watu kama kuku! Mlaaniwe katika Jina la Yesu. Ameni!
@rahmaabdillahi2795
@rahmaabdillahi2795 4 жыл бұрын
heee.....laana tena?
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
@@rahmaabdillahi2795 we unaonaje? Kama Tanzania ungekuwa nchi yako unaona inachafuliwa....tazama uone habari bbc swahili, utadhani corona ilianzia Tanzania. Hao Wazungu wenye corona, tena wanaua watu hadhalani, bbc hamuwasemi. Laana juu yao katika Jina la Yesu! Tunaipenda Tanzania na Raisi wetu! Watuache!
@aswamsumohd5863
@aswamsumohd5863 4 жыл бұрын
Unapomuombezea laana mwenzko na akawa hastahiki ile laana bc unalaaniwa ww kuwa makini
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
@@aswamsumohd5863 usinifundishe hayo mambo, hauijui misimamo yangu. Najua fika nilichokiandika! Tanzania sio nchi ya kichafuliwa musimu huu, elewa hilo!
@aswamsumohd5863
@aswamsumohd5863 4 жыл бұрын
@@linkreuben5804 pamoja na ivo tumia hekima na busara na sio kulaani wenzko
@nassabtransportation7024
@nassabtransportation7024 4 жыл бұрын
As,alyekum Mimi namtafuta nimpose kwao wapi namba zake zipi
@hassanmsham9722
@hassanmsham9722 4 жыл бұрын
Alishasema "Single but not available" mm mwenyewe nilikuwa namtaka lkn ndio ivyo
@nassabtransportation7024
@nassabtransportation7024 4 жыл бұрын
tumia mbisi za baharini nalimau pumu zina kwisha au ulizia kariako maduka yakienyeji nataka Dawa yapumu mbisi zabarini watakupatia siku tatu bai bai inakwisha pumu
@zarcokundy1668
@zarcokundy1668 4 жыл бұрын
we kikeke
@shadowmedia7644
@shadowmedia7644 4 жыл бұрын
Kupata zaid vitu bora twmbelelea channel yetu shadow official TV
@magerechales9018
@magerechales9018 2 жыл бұрын
Mkagonganaa?
@saidjuma9782
@saidjuma9782 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH 😇😇😇
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 2 жыл бұрын
Kikeke kumbe ushanidanga zihura ???du mkagonganaana
@denismsuya9335
@denismsuya9335 4 жыл бұрын
Mligongana broo!??
@jumannesalafy1434
@jumannesalafy1434 4 жыл бұрын
I like you all
@gidiyonibucumi1360
@gidiyonibucumi1360 4 жыл бұрын
Hi
@nehemiambembela442
@nehemiambembela442 4 жыл бұрын
Waoooooooooo nice sanaaaa
@mahsharhassan.5295
@mahsharhassan.5295 4 жыл бұрын
Salim nina mazungumzo nawe
@harounali9057
@harounali9057 4 жыл бұрын
Masudi Chukuwa mzingo huo weka ndani nafasi unayo ya kutosha tu.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@capronsuri4061
@capronsuri4061 4 жыл бұрын
Salim
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
owaneni tu nyie mtazidi kupendeza
@hamisimkulupalile9461
@hamisimkulupalile9461 4 жыл бұрын
Zuhura
@zahranmimibahamasnawimbled6546
@zahranmimibahamasnawimbled6546 4 жыл бұрын
SIO ZUHURA ZAHRA AU ZUHRA
@mariammussa2540
@mariammussa2540 4 жыл бұрын
@@@zahranmimibahamasnawimbled6546ZUHURA
@twayibmood7319
@twayibmood7319 4 жыл бұрын
H
@hasnuuomar8080
@hasnuuomar8080 4 жыл бұрын
Mshll zukhr vs salim
@mamunote3507
@mamunote3507 2 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Tabaraka Rahman Mungu awabarikie sana Ameen
@salum6334
@salum6334 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@miracleslike3775
@miracleslike3775 4 жыл бұрын
wataalam
@iddysaleh6050
@iddysaleh6050 4 жыл бұрын
Kaka silim nahitaj mazungumzo na ww
@hamisimkulupalile9461
@hamisimkulupalile9461 4 жыл бұрын
Zuhura
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 4 жыл бұрын
Nyie washenz tu munatomika na wazungu.
@mishiwamunyu7063
@mishiwamunyu7063 4 жыл бұрын
you are very stupid and arrogant mshahara wao wa mwezi ni wako wa mwaka nkt
@rahmaabdillahi2795
@rahmaabdillahi2795 4 жыл бұрын
kuna ambao wakohuku na wanafanya unyapara zaidi yao.....
@samiralaakif8271
@samiralaakif8271 4 жыл бұрын
Hemed jiheshimu uheshimiwe. Sio sawa kuwatukana wanaotafuta rizki zao popote hiyo ni hasada.
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
jealous never win ndo mn umeandika hivi ila jiheshim sisi wenzako tupo ulaya tunalipwa kwa kila lisaa 1 wee ngojea mshahara mpk mwisho wa mwezi ata cjui km unafanya kazi na cc wa ulaya kila wiki hela inaingia benk isitoshe saiv mishahara iko kiwango cha juu pia hatuendi kazini na tunalipwa
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Saaaana tu yaani ni wasenge sana,they are used by biased BBC!they are fools! You may think they are not Tanzanians,wanavyoreport abt TZ.Naishi UK pia,wamekufa hapa kama kuku na lockdown Yao!ila ikifika kuhusu Tz,utafikiri wamekufa millions!be patriotic fools
@ramadhanisamata7485
@ramadhanisamata7485 4 жыл бұрын
Zuhura,kuhusu Pumu. Niruhusu nikupe Dawa up one kabisa Inshaallah!! Kama utapenda!
@ELLYSTVONLINE
@ELLYSTVONLINE 4 жыл бұрын
Naomba nitafute whatsapp +919512244726
@juliusmangombela4396
@juliusmangombela4396 4 жыл бұрын
Dada Zuhura, unaongea vzr pia tumia neno asthma na sio pumu
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
Pumu Kiswahili. Asthma Kiingereza. Kwanini atumie neno la Kiingereza wakati lipo la Kiswahili?
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 жыл бұрын
Saasa akisema.pumu.kakosea wapi wacheni ushamba huo
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Atumie Asthma? Mswahili kindakindaki , anaeishi maisha yake kwa KISWAHILI antumie neno la kizungu. Wazungu wenyewe hawa wanaotuuwa kila siku? Mental slavery.
@b9media144
@b9media144 4 жыл бұрын
Itakuwa mnakulana sana nyie, sio bure😂😂
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 188 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,4 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 87 МЛН
Salama Na Zuhura Ep 13 | DADAKE Part 1
28:06
YahStoneTown
Рет қаралды 341 М.
Vituko vya salimu kikeke akiwa studio bbcswahili uingereza
18:26
MIXtv online
Рет қаралды 186 М.
Mkasi | S13E12 with Salim Kikeke Extended Version.
27:52
MkasiTV
Рет қаралды 142 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 188 МЛН