KIKWETE ASHANGAZWA, MAAMUZI YA HAYATI MAGUFULI MRADI WA MWL. NYERERE "NIMEJENGA ILA SIO KUBWA HIVI"

  Рет қаралды 395,228

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 300
@patricklembeli8523
@patricklembeli8523 3 жыл бұрын
Kweli ukifa unasifiwa ila da ,😭😭😭😭😭😭 nalia na mengi lala lala magufuli mungu akulinde , JPM ❤️💥💎💎💎💎💎
@faustinekulwa2596
@faustinekulwa2596 3 жыл бұрын
😢😢😢
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 3 жыл бұрын
Uwiiii lala salama dr.j.p.m.... umetangulia tuu ...
@pamelatimoth635
@pamelatimoth635 3 жыл бұрын
Kwakweli 😭😭
@jenipherkyando4822
@jenipherkyando4822 3 жыл бұрын
Sasa !!!!!! Ee mungu
@mwinyihamisidee5813
@mwinyihamisidee5813 3 жыл бұрын
Endelea kulia tu
@dorisselembo1225
@dorisselembo1225 3 жыл бұрын
Rest in peace Magufuli forever tutakuumbuka BABA wa Tanzania 🇹🇿💔
@harriettatu7155
@harriettatu7155 3 жыл бұрын
Magufuli alikua simba mungu amrehemu apumzike kwa Amani
@andrewemmanuel9585
@andrewemmanuel9585 3 жыл бұрын
SUPER, JPM Bado unaishi ndani ya mioyo yetu R.I.P Jemedali wa Africa
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 3 жыл бұрын
Wako sio yetu
@danielyohana7271
@danielyohana7271 3 жыл бұрын
Kunamajitu majinga daima hata ulifanyie nini litakua likinyonga tuuu nashukulu sana na sikutegemea kikwete angeguna kwa ujasili wa kazi zamwenzake alizo jitutumua kwajili ya faifa ya taif lake na sikwa faida ya tumbo lake.... R I P magufuli daima tutakukumbuka.
@stevenkaboku2208
@stevenkaboku2208 3 жыл бұрын
@@danielyohana7271 wapigaj ao wala wasikusumbua jpm atabaki kuwa raisi bora tanzania alifanya mengi kwa mdaa mchache
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
@@renathaapollo3124 Wewe ni mmoja ya waliokuwa na vyeti feki
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Moyo wako sio yetu.
@simonpeter5300
@simonpeter5300 3 жыл бұрын
Legacy kubwa kwa taifa ametuachia hayati magufuli...REST IN POWER MAGUFULI
@maryaloyce3828
@maryaloyce3828 3 жыл бұрын
😭😭😭😭umeenda mpema sn tulikua bado tunakuhitaji sana,umelala baba nenda baba.RIP
@samuerypaulo5711
@samuerypaulo5711 3 жыл бұрын
JPM simba wa afrika pumzika baba🙏🙏
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@samuerypaulo5711 ni kweli maana ukihesabu watu aliowapoteza kusikojulikana na vifo vya wasio na hatia na kuuwa democracy ni simba wa afrika ambae anaangaziwa moto wa milele huko aliko
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@milomohamed7201 Hao waliopotea walijiingiza wenyewe kwenye mkondo kupotea,waliokuwa na mipango mibovu dhidi ya Magufuli,walipojua wanatafutwa wengine wakapote,wale walijifanya wanataka kuleta vurugu kwenye dola wakazidiwa,wakauwawa,Sasa ndugu na marafiku wa hao ndio wanamchafua Magufuli,wakiwemo vyeti feki,mafisadi na watumishi hewa,mi nasema Magufuli anawekwa na Mungu mahala pema,wewe unayemuombea motoni utaenda wewe,huku ukimshangaa Yeye akiongoza malaika.
@kennedy1278
@kennedy1278 Жыл бұрын
@@milomohamed7201 mwana Kuma mamae wee, msee ngerema mavii 🤔😴☹️🙄
@neemajulius1256
@neemajulius1256 3 жыл бұрын
Angekuwepo Tanzania tungefika mbali Sana kwa maono aliyokuwanayo Dadi Magufuli lala salama
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Kuwa na mtazamo chanya wa maisha... "Usililie ulichokipoteza, pigania ulichonacho. Usililie kilichokufa, pigania kilicho hai. Usililie yule aliyekuacha, pigania aliyeko na wewe. Usililie jana yako, pigania juhudi zako za sasa. Usililie mateso yako, pigania furahi yako... "
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 ujumbe mzuri sana
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 ni kweli maisha lazima yaendelee, kuendelea kuwaza kilichoondoka ni kuzidi kujidhoofisha, kimsingi haita saidia
@restitutamassawe5828
@restitutamassawe5828 3 жыл бұрын
LALA SALAMA JPM BORA JK UMEMKUMBUKA UNAJUA UMUHIMU WAKE
@modestamachimba4131
@modestamachimba4131 3 жыл бұрын
Sana
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 жыл бұрын
Umefanya mengi kwa mda mfupi umevipiga vita imani umeilinda RIP JPM
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 3 жыл бұрын
Amina
@christinanonde9056
@christinanonde9056 3 жыл бұрын
Hakika
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@christinanonde9056 na udikteta nao mmeusahau sio?
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@milomohamed7201 Udikteta ulikuwa ni lazima kwa sababu ujinga,ubishi,ugalalizi,ufisadi,uhujumu ulikuwa umezidi bila huruma,Sasa watu waliokuwa na tabia hizo ndio mnasema Magufuli alikuwa dikteta,hachafuliki kamwe hatamfanyeje.
@strong8534
@strong8534 3 жыл бұрын
Magufuli, u were the Lion 🦁 in the jungle. You went too early. The memories are still the same
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 3 жыл бұрын
Hadi leo bado nafsi tangu haijaipokea kifo Cha Magufuli
@rahima2226
@rahima2226 3 жыл бұрын
Magufuli baba tutakukumbhuka daima baba umetenda mema katika taifa lako la tz mungu akuweke mahali pema Amena 🙏🙏🙏🙏
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Yote ni mapenzi ya Mungu ... Kila kitu chini ya jua kina mwisho... Hayati alizitimiza kazi zake hapa duniani... Lakini je, tutaomboleza milele ? Kila kizazi kina jukumu lake la kihistoria... Lazima tutazame mbele...
@mambachagulaga7234
@mambachagulaga7234 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 kumbu kumbu tu.
@chrizantuspantaleo6928
@chrizantuspantaleo6928 3 жыл бұрын
R.I.P MAGUFULI
@edinanchimbi702
@edinanchimbi702 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 hata Yesu alikufa miaka elfu mbili iliyopita kwa sababu ya ukombozi aliotupatia ikifika wakati wa kuomboleza tunaomboleza wakati wa kufurahi tunafurahi kwa sababu maalimu
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 subiri wakifa wazazi wako ndio uwasahau ,tuache sisi vichwa panzi tuwakumbuke Markham wetu
@amismuhitira507
@amismuhitira507 3 жыл бұрын
Burundii 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 😭😭🇧🇮😭 mungu amujaalie mze wetuu JPM
@williamsville3493
@williamsville3493 3 жыл бұрын
Asante ndugu yetu kutoka Burundi
@pauloqaymo8925
@pauloqaymo8925 3 жыл бұрын
Ahsante
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 жыл бұрын
Ahsante sana,Bado tunamlilia JPM
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Asante
@marthanyoni3634
@marthanyoni3634 3 жыл бұрын
Lala salama Magu wetu, daima tutakukumbuka, nimepita Dodoma juzi kumependeza Sana! Nikalia Sana jinsi ulivyoiibadilisha Tanzania kwa muda mfupi Sana! hakika Ni NGUMU Sana kumchafua Magu sababu MATENDO yake yanaishi RIP JPM 😭😭🙏
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Nani kamchafua?
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
Dodoma yetu imeamka kwakasi Sana sisi dodoma tumepata mageuz yakiuchumi kupitia magufuli tunachoomba niserekal ikite mizizi Dodoma
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 wewe na shangazi yako
@deniwisdomsanga6561
@deniwisdomsanga6561 3 жыл бұрын
The man was Mohamed Ali, Michael Schumacher, Michael Jordan, Michael Jackson, Martin Luther King of Africa. VIVA Magufuli VIVA!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Continue the list with Zinedine Zidane, Christiano Ronaldo, David Beckham, Whitney Houston,... without forgetting yourself! Oh my God, heroes wa kizazi hiki ni balaa !!! 😂😂😂 🤭🤭🤭
@muhala410
@muhala410 3 жыл бұрын
JMP kiigizo kizuri Africa tutakukumbuka daima Mzee wetu
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Mnafiki
@zenaabdallah3797
@zenaabdallah3797 3 жыл бұрын
@@omanabcd9249 PEKE YAKO NDIO MNAFIKI
@farzanakhani2043
@farzanakhani2043 3 жыл бұрын
@@omanabcd9249 huna adabu kafunzwe
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@farzanakhani2043 wewe una adabu ipi hiyo ya kutoa sifa kwa dikteta?
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
Inatakiwa tumpe sifa zake JPM, safi 🙏🏼
@AB-ym2pu
@AB-ym2pu 3 жыл бұрын
The individual like JPM never die, they live in others mind forever! Ofcourse, he gonna be remembered for good things he did to this country.
@hillarymuliro3135
@hillarymuliro3135 3 жыл бұрын
The best president of all times Jpm we still love u
@kharashbabar7393
@kharashbabar7393 3 жыл бұрын
good...good...
@kharashbabar7393
@kharashbabar7393 3 жыл бұрын
Rais aliebora ktk...nchi...hiii...alikua...nimagu...tu...nasidhanii...kama...atatokea...kama ..yeye...mm..niseme...R.I.P...Jpm
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 жыл бұрын
Tujifunze kupitia hayo tuliyoyaona tenda wema uendezako utalipwa na mung
@hillarymuliro3135
@hillarymuliro3135 3 жыл бұрын
Saa zingine siamini kwamba haupo tena
@hillarymuliro3135
@hillarymuliro3135 3 жыл бұрын
Saa zingine siamini kwamba haupo tena
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 3 жыл бұрын
Tanzania kupata raisi kama Magufuli hadi myaka 100. RIP our economic and mental freedom fighter. Respect from Congo🇨🇩✊🏾
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Why all these years ? Tz is a great country with a great people... Nous sommes un peuple patriotic, un peuple des héros... Nous sommes là ! Thank you, brother ! One Love Africa !
@stevenkaboku2208
@stevenkaboku2208 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 jc we may have the good people but out of those good pple there might be no patriot but all are stomatic in nature jpm had that love for the republic of tanzania during his regime upto the last day
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Kwa hiyo, kulikuwa na mzalendo mmoja tu Nchi nzima? Watz tusijishushie chini kwa namna hii! We are better than that! Tatizo, hatujui thamani yetu, hatujui heshima yetu! Tupo imara kama Taifa, jamaani!!! Na viongozi wetu sasa wanahakikisha kwamba wanaendelea pale mwenzao alipoishia... Mungu ibariki Tz...
@christinanonde9056
@christinanonde9056 3 жыл бұрын
Nihakika
@thelatestvideos6266
@thelatestvideos6266 3 жыл бұрын
lakn haaikutuchukua miaka io kumpata so why miaka 100 mze baba,,Nafkir soon anakuja mwngne maana tayar ameaminisha wazalendo kama yeye kwamba inawezekana
@jayzeem14
@jayzeem14 3 жыл бұрын
Asante sana Mheshimiwa umefafanua vizuri sana.
@lawabidingcitizen3427
@lawabidingcitizen3427 3 жыл бұрын
Magufuli, mTanzania wa kweli, pumzika kwa amani Mzee!
@blessedgirl7383
@blessedgirl7383 3 жыл бұрын
Wamenikumbusha machunguu...aiseeee JPM tunaumiaa sanaaaa
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 3 жыл бұрын
Basi lihaa
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Mimi ninapoona miradi inaendelea vizuri, nafarijika... And I say "ASANTE" kwa wale waliotekeleza... Mama, piga kazi...
@samuelmanunu1543
@samuelmanunu1543 3 жыл бұрын
Acha tu jpm jaman
@elliottrahema
@elliottrahema 3 жыл бұрын
Mungu yupo na hajalala tutaomba. Day and night malipo ni hapa hapa duniani rest in peace jpm
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Ww sio cc
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 3 жыл бұрын
RIP dk John pombe magufuli!!!!!!!!!
@dianamkita6571
@dianamkita6571 3 жыл бұрын
Ahsante Mh.JK kwa kumsifia Hayati JPM.. RIP JPM,, RIP Eng.Mfugale...
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 жыл бұрын
Mnafiki tu, umsifu mtu ambae hayupo jmn
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
@@elishakayagwa9371 Unataka afanye nini ili usimwite mnafiki? Hongera JKT, wewe ni gentleman... Love is everything...
@richardedwinn1291
@richardedwinn1291 3 жыл бұрын
Anajikosha 🌚
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 wewe lala broo
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Mfugale katutoka? Lini
@sethstiven3393
@sethstiven3393 3 жыл бұрын
JPM,,,, walimpinga ooo mazingira nn JPM akasema najenga
@WINGLINEmediaONTUBE
@WINGLINEmediaONTUBE 3 жыл бұрын
Thanks, MR Kikwete to appreciate the work of late JPM. Hakika nikwambie Raisi Mstaafu Mheshimiwa Kikwete ukitaka Watanzania wazidi kukukubali embu tunaomba ushauri mema ya kuendeleza MIRADI MKAKATI na Refreshments of other projects is awesome but let those investments be beneficial to Tanzanians without waterly-contracts. God bless you indeed and stay strong for good advice of our country.#patriotism in Africa
@angelmelvin2467
@angelmelvin2467 3 жыл бұрын
Nikisoma hizi comet machoz yananitoka mungu akuweke mahara pema peponi rais wetu mtetez wa wanyonge daima afrika itakukumbuka
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 3 жыл бұрын
Yaani watu wa watu na Vichwa havidumu 😭😭😭😭 RIP JPM . Your missed Baba. Bd Tanzania ilikua inakuhitaji sanaa ila Mungu amekupenda zaidi. Vita umeipiga Vema na Imani uliiilinda Baba daima ulimtanguliza Mungu mbele kila wkt. Hakika mbegu ya Imani uliyoipanda Tanzania na Duniani tunaiyona.
@anuarymadili6341
@anuarymadili6341 3 жыл бұрын
Jpm R.I.P you did what's everyone wants to see but nothing we can do against God decision 🙏
@adelaidashayo5464
@adelaidashayo5464 3 жыл бұрын
RIP Magufuli mzalendo wa kweli
@bongobongo1755
@bongobongo1755 3 жыл бұрын
Kweli jembe kutoka chato halikuwa mchezo alama zake izo
@monicalushola443
@monicalushola443 3 жыл бұрын
Kumbe kweli yuko madarakn
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
@@monicalushola443 mbona mwinyi kaenda
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Malooma Almnsj . Kaenda si awamini mpka wakayaone aliyokuwa akifanya mwenzao kwa vitendo, Sio polojo tu na maneno mengi yenye Corruption ndani yake.Michosho sanaaa
@bongobongo1755
@bongobongo1755 3 жыл бұрын
@@monicalushola443 wewe unafikili Sanaa zote hizo nani analeta, wakati wa magu #komesha unemwona
@rehemamlowe5104
@rehemamlowe5104 3 жыл бұрын
Siku zote ulikuwa wapi,umejiachia,kusifia miladi ya wenzako
@susanekuyi2988
@susanekuyi2988 3 жыл бұрын
Thank dady RIP baba magufuri.
@neemaisrael688
@neemaisrael688 3 жыл бұрын
R I P baba JPM Bado tunakupenda.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Lazima ushangae tu.RIP Mh Magufuli 💔🇹🇿😭
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Kwa kweli maana kikwete kazi yake ilikuwa kucheza mzki na kusafiri nje
@farzanakhani2043
@farzanakhani2043 3 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 mbona mkapa hamsemi alishindwa kutengeneza kwao kajenga Africa kusini bonge la jumba tarifa unayo au unaongea tu
@gebborecords
@gebborecords 3 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 Daaah ,
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
@@farzanakhani2043 Ukijuwa ww inatosha
@yusuphmkumba97
@yusuphmkumba97 3 жыл бұрын
Shauri yenu, kama Kikwete hakufanya chochote sawa.....hongereni na jembe lenu!
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
The legend of Tanzania JPM utatuishi katika mioyoo yetuu umeacha alamaa kubwaa
@chaomadedo
@chaomadedo 3 жыл бұрын
Thnk u Jakaya Kikwete. May God bless u much sir. Helping out the gov't with different projects embarked during the previous tenures n at the same time whatever mama is requesting of u. U r a real servant. We honor n pray for u. Bless u always
@minormine4417
@minormine4417 3 жыл бұрын
Amen! Kina Kikwete ndio waanzilishi💪🏻
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
@@minormine4417 waanzilishi WA Nini miaka 10 Hakuna lolote, JPM Alikuwa jembe
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
@@minormine4417 Kikwete hakuanzisha huo mradi was Nyerere,amesema Yeye alijenga madogo ya pangani na Kihansi,Hilo kubwa alianzisha ujenzi Magufuli.
@ludigoludigo3010
@ludigoludigo3010 3 жыл бұрын
Kama malipo yapo basi mungu naamlipe Kila mtu kwa stahiki yake
@abdulhamidjabu6530
@abdulhamidjabu6530 3 жыл бұрын
Mtu km huyu hulipw duniani
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
@@abdulhamidjabu6530 kabisaaa, mungu hana khiana. Ila ili ulipwe akhera inabidi ufate maelekezo ya Allah
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 kwa upande wa mwenda zake magu ni moto tu muuwaji mkubwa yule
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
@@milomohamed7201 taratibu tumuachie Allah ahukumu.
@lovembwana4908
@lovembwana4908 3 жыл бұрын
Thank you for the information Thanks to the former President Jakaya Kikwete
@braystuskibassa3077
@braystuskibassa3077 3 жыл бұрын
🙏🙆👏😭R.I.P DOCTOR JOHN POMBE MAGUFURI
@venaslutandula7152
@venaslutandula7152 3 жыл бұрын
Umetka arama zitabaki jpm
@asajilemwamundela1220
@asajilemwamundela1220 3 жыл бұрын
Asante sana Mheshimiwa Rais mstaafu Kikwete uzuri wako wewe ni msema kweli na yote uliyofanya mema hayaonwi but si wote wasioona Mungu akubariki, mapungufu yakawaida kwa binadamu be blessed
@gehazmakoga1018
@gehazmakoga1018 3 жыл бұрын
1.Think 2.Think again 3.Think deep 4.Think deeply 5.As you think as it is.
@perfectkadewele312
@perfectkadewele312 3 жыл бұрын
Hahahaaa
@michaelstephen3743
@michaelstephen3743 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@godlovekagoma8339
@godlovekagoma8339 3 жыл бұрын
U damn genius man lmao
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 3 жыл бұрын
Usijisumbue kuwaza sana utakufa wew enjoy tu maisha
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 3 жыл бұрын
THINK BIG
@ndamarevocatus4918
@ndamarevocatus4918 3 жыл бұрын
Asantee Mh Rais msitaafu kazi ya kujenga nchi ni ya watanzania wote pambana maneno ya ubaguzi,uchochezi na mengine ya kututoa kwenye reli yapuuze. Baba tabasamu tu
@hemedykawambwa4137
@hemedykawambwa4137 3 жыл бұрын
RIP MAGUFULI
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 3 жыл бұрын
Uongozi unao acha ALAMA ktk TAIFA na vizaz vijavyo "R.I.P TINGA TINGA letu"
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Mpaka sasa ameshakufa ila bado wanaona hiyana, magufuli alikuwa kiongozi yani kama sio Kumuuwa mpaka Sasa mambo yasingeenda hvi, tuliochiwa yote mifisadi yachumia matumbo yao tu mfuuuuee
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Tangu mwanzo, Nchi yetu imebarikiwa kuwa na viongozi wa maana, na hasa Nyerere, Baba wa Taifa... Asante Mungu kwa upendeleo...
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@pamelatimoth635
@pamelatimoth635 3 жыл бұрын
Wale wanaojitahidi kumsema vibaya mmmmh, aya nyie, mkumbuke hakuna mkamilifu. RIP baba imani uliilinda.
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
Katika viongozi waliopendwa na kusifiwa na wananchi wakiwa bado wapo Madarakani ni Hayati John Pombe Magufuli Magufuli, alipata sifa akiwa Yupo madarakani na anaendelea kupata sifa akiwa hayupo. Asante Mungu kwaajili yake. Tunaomba utuinulie Rais mwingine aliye kama John Pombe Magufuli
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Thumma amiiin yarabi tujalie dua zetu na zipokee miiin
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 3 жыл бұрын
kwa kweli alibidi asifiwe apendwe, maana kazi yake tangu tupate uhuru awakuweza kufanya, lakini Magu alijitoa kwa hali na mali kwa muda mfupi tu lakini mambo aliyo fanya mpaka unashanga, kwa kweli tumeumia wengi sana kwa kifo chake cha ghafla, kilichobakia ni kumuombea tu mzee wetu huko alikotangulia 🙏
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Kabisa kaka nawakaona hiiana wa kamuuwa ila mungu hatowacha salama inshalah r l p magufuli hakika utakumbukwa kwawaliojuwa uwepo wako Enzi ya uhai amana 😭
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
insha allah yaraby🙏
@mchungajisecilia8029
@mchungajisecilia8029 3 жыл бұрын
Malaika wa maremu hafi,,,bado Yuko hai anaishi,,,tunamkumbuka Sana, hizi ni alama alizo tuachia, Asante kikwete kwa ushiriano mungu akubariki
@emmamtusi9868
@emmamtusi9868 3 жыл бұрын
Mimi sina la kusema rip jpm
@mussayasini4130
@mussayasini4130 3 жыл бұрын
Asante mzee kikwete kwa ushauri na kuiona kazi ya hayati John P. Tumekumiss baba yetu mungu akuppe kauli thabit huko uliko
@salminmumba6184
@salminmumba6184 3 жыл бұрын
DAAAAH MIM KULIA TU , , MAGU SIO MZAZI WANGU BAS TU NLIMPENDA SANAAA , , HAMNA KAMA YEYE , , RAIS ALITUFAAAA SANA YULE .
@kuruthummwakaje364
@kuruthummwakaje364 3 жыл бұрын
Aliesikia umeme bwelele. Agonge like hapo......
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 3 жыл бұрын
Hongera Kikwete kwakuwa honest. Nimekupenda
@ruthumeyabolt5277
@ruthumeyabolt5277 3 жыл бұрын
R.I.P JPM
@eliashagai7920
@eliashagai7920 3 жыл бұрын
Safi Sana mzee Jakaya,umetutoa mbali ,Mama piga kazi
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Asante sana mzee kikwete kwa maneno yako ya hekima na busara
@khadijaabdul5029
@khadijaabdul5029 3 жыл бұрын
Dah JPM tuta kukumbuk daima 😭
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 3 жыл бұрын
Uta
@hildantandu5909
@hildantandu5909 3 жыл бұрын
@@renathaapollo3124 roho mbaya acha.
@mamahaiwawa9490
@mamahaiwawa9490 3 жыл бұрын
Mmepiga vitaa mwisho mmeanza kumkubali wenyewe japo wengine mdomon mnaongea mengine moyon mengine hapa kazi tu💪💪💪💪
@aramuissaya2528
@aramuissaya2528 3 жыл бұрын
ndiyo maana huwa tunawaambia kuziondoa fikra za magufuri katika mioyo yetu sikazi rahisi hata kidogo kama munavyo fikiri
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Kwel kabisa
@yusufuhatibu9895
@yusufuhatibu9895 3 жыл бұрын
You speak very simple but proffessionally
@jukemasalu635
@jukemasalu635 3 жыл бұрын
Kiukweli, Magu alikuwa kipenzi cha watu wengi. Jamhuri ya Twitter na wapiga madili walimchukia sana. Tulienjoy uongozi wako na ukisia mkuu wa nchi, wewe ulifiti sana. Rip Magu
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 жыл бұрын
Tena saana,ndo maana walifrahia kifo chake,watu walijumwagia bia.ila Mungu yupo.
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@florakweyunga4490 nyie sukuma gang kweli. Lipi zuri ambalo kalitenda huyo muuwaji wa karne mahufuli? Acheni kuisimanga maiti bana yule ana phd ya mauwaji fankulo
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 жыл бұрын
Hongera Mhe JKT kwa kuutembelea mradi huu, na kutambua mchango mkubwa wake Marehemu katika ujenzi wa Taifa hili... Asante Rais Samia kwa kuendeleza mazuri tuliyoachiwa... Kazi iendelee:-)
@shabanimbenu2163
@shabanimbenu2163 3 жыл бұрын
Umeongea points nzuri sn mstaafu Jk🙏
@patricklembeli8523
@patricklembeli8523 3 жыл бұрын
Asante jk kwaufafanuzi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇼🇹🇼🇹🇻🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇳🇺🇳🇹🇷🇹🇯🇹🇯🇹🇰🇹🇰🇹🇯🇹🇭🇹🇬🇹🇴🇹🇷🇹🇹🇹🇰🇹🇱🇹🇿🇹🇼🇹🇿🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳🇹🇳
@zenaabdallah3797
@zenaabdallah3797 3 жыл бұрын
ALAMA ZA JPM NI NYINGI NAZA MDA MFUPI MUNGU AMLIPE JPM RAIC WA KUIGWA KTK AFRIKA.PUMZIKA KWA AMANI
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 3 жыл бұрын
Uwiiii namwachia mungu alama yako haitafutika mi,lele
@lusungumbilinyi7980
@lusungumbilinyi7980 3 жыл бұрын
Nikweri tutamkumbuka bab
@hassancharo1496
@hassancharo1496 3 жыл бұрын
NAZA KIKWETE ZAONEKANA AMA
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
Kuigwa kwa udikteta??
@zenaabdallah3797
@zenaabdallah3797 3 жыл бұрын
@@milomohamed7201 WW NDIO DICTETA HATA UKIFA UMEKUFA HUNA ALAMA LABDA MKE NA WATT HAONI WAKO HAWATUHUSU HATA JPM KATUACHIA VINGI VYA KUIGWA AFRICA ACHA ROHO MBAYA ZA KICDM
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Ulitakiwa umsifie na alivyotoa na mikataba ya ovyo,du! Nakupongeza Sana kwa kujitokeza kwa bidii kuliko kipindi cha nyuma,hongera saaaaaaaa
@joasitz9559
@joasitz9559 3 жыл бұрын
Asante JK, mengine tunamuachia Mungu tu.
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Sana Mungu mkubwa yote kheri
@mustafajumajuma2226
@mustafajumajuma2226 3 жыл бұрын
Safi sana Dr Jakaya Kikwete upo vizuri ktk kuongea
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 3 жыл бұрын
Mtamu elewa tu magu jinsi alivyo kuwa anamaanisha nchi iwe.
@paschalsechambo6718
@paschalsechambo6718 3 жыл бұрын
hongera JPM, Mungu akulaze mahala pema peponi
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Hivi huwa wanapitia hizi comments waone yule mwamba jpm anavyoendelea kukubalika?
@nagagwanagagwa9591
@nagagwanagagwa9591 3 жыл бұрын
Aisee sidhani Kama watanzania wanapitia hizi comments... Magu hakuna atakaekuja kufanana naye
@pst.mathewnestory4201
@pst.mathewnestory4201 3 жыл бұрын
Mhhh wanapitia jamani
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Tunapitia hakika😭😭😭😭nimejikuta nalia
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 3 жыл бұрын
@@makulaikuku6909 mh unalia nn
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Mabeberu wanaona mambwa haya ,huoni wapo wanaoumia eti jitu linasemaje kamfufuwe haha kamfufuwe ndio mujuwe mtu akishakufa wanasema hana tahamni tena ila kwetu sisi wazalendo magufuli bado ana thamani kubwa sana kwetu na kashakufa ,mtunutapokufa kama umefanya mazur hakika kukumbukwa ni wajibu sio hilo linyani kikwete liko hai lakini kama limekufa halipendwi wala nini mbuzi hyo anataka aismchafuwe tz kwa tamaa zake baba kasahamliza muda wakutwala nchi muda lakini bado yumo yani huyu baba kuja kuachana na siasa mpaka afukiwe ndio tinajuwa sas akapumzika kha ukoo huna shurani huo ,umwambie kucheka cheka tu kama laana ya wafu mbuzi kabisa huyu ,baba lifisadi linataka liharibu tz yetu kwa tamaa za kuuza dawa za kulevya mfuuuuu chefu
@nicklassshaypanga8794
@nicklassshaypanga8794 3 жыл бұрын
Daima tutakukubumbuka na tunazidiii kukiombea shujaaa wetuu wa african mungu akupunzishe katika pepo la milele rest in peace baba yetu magufulii
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 3 жыл бұрын
Jpm 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ndeankaminde7271
@ndeankaminde7271 3 жыл бұрын
Nashukur mungu 🙏🙏 poleen wataharam
@Usxznt
@Usxznt 3 жыл бұрын
Mungu akupe Pumziko la amani Shujaa wa Africa JPM.
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 жыл бұрын
Hivi ww shule ulienda na kusoma history ya bara la Africa magufuli unamwita shujaa wa africa kaifanyia nn Africa, kwa musahada kwame nkuluma,mwl nyerere ndo utajua wameifanyia nn Africa magufuli n.k ni mashujaa wa mataifa yao
@allpotentials8420
@allpotentials8420 3 жыл бұрын
@@ramadhanchenga4606 mataifa yao ambayo hayapo africa yapo bara la Antarctica 😂😂😂😃. Tumekuelewa mwana historia.
@stevenkaboku2208
@stevenkaboku2208 3 жыл бұрын
@@ramadhanchenga4606 kawaulize wasomi wanao mpa rank ya ushuja na pia ushuja wa afrika unatokana na jitihad ya kiongozi kwa bara lake la afrika uzalendo wake pia na kufata destuli za afrika kwenye uongozi wake
@stevenkaboku2208
@stevenkaboku2208 3 жыл бұрын
jpm ni shuja wa africa kwa kaleni yetu mwana mapinduzi wa uchumi wa independent african development economy
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 жыл бұрын
Yaani,kizur kweli hakidumu.
@amedeusmodestikimey9888
@amedeusmodestikimey9888 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@annajohn2488
@annajohn2488 3 жыл бұрын
Lala salama baba magufuli lala salama tunakupenda sana magufuli
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Tunakukumbuka
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 жыл бұрын
hongera mh. kufuatilia miradi yetu
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
ni vigumu sana kumsahau jembe letu Magu.r.i.p.dady kwa ujasiri mkubwa uliokua nao katika kuanzisha miradi kama hii
@mathewndunguru6340
@mathewndunguru6340 3 жыл бұрын
Mzee wa mipango safii sana rais mstaafu Jk kikwete
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Pumzika kwa.AmaJpm.
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Mungu amsamehe Rais wetu magufuli
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 3 жыл бұрын
Apokelewe kwa stahiki yake! Kusema ukweli tuliondokewa na kiongozi muhimu mwenye maono makubwa sana. Kama tungelipata viongozi wenye uthubutu wa hivo tungekuwa mbali mno. Asante msaafu kwa kumsifia, maana ukweli haujifichi
@ferej8822
@ferej8822 2 жыл бұрын
KAZI nzuri na njema sana
@benjaminabisemba5331
@benjaminabisemba5331 3 жыл бұрын
Rip mzee wetu Magufuli 😭😭😭🇹🇿❤️
@hrhedwardscyniamakaranga3194
@hrhedwardscyniamakaranga3194 3 жыл бұрын
Nilimisi sauti ya Mh. Raisi mstaafu Kikwete. Huchoki kumsikiliza. Hongera baba
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani, daima tutakuenzi 😭
@emanhokilinda326
@emanhokilinda326 3 жыл бұрын
Kizuri hakidumu Ila kazi ya JPM ni kubwa na anaishi mioyoni mwa wa tz wengi!ALLAH akupunguzie dhambi zako Amen
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 3 жыл бұрын
Magufuli is a hero💪
@christinanonde9056
@christinanonde9056 3 жыл бұрын
Mungu unalijuwa hili
@ezekielmugeta2427
@ezekielmugeta2427 3 жыл бұрын
Dah kwel kufa usifiwe nammic jpm wangu dah😓😓😓😓😓😓😓
@neemapeter4944
@neemapeter4944 3 жыл бұрын
Ishi ulaumiwe
@venelandakundi63
@venelandakundi63 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee kikwete kwa kutambua Kazi magufuli aliyofanya
@keburegesurura1042
@keburegesurura1042 3 жыл бұрын
JPM tutakukumbuka kwa kutuachia mradi mkubwa.
@elizabethkimbi3336
@elizabethkimbi3336 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana kwa hotuba yako nzuri haswa kwa kumkumbuka mzee wetu hayati Maghufuli ingawaje watu wanakupima vibaya
@alikiba960
@alikiba960 3 жыл бұрын
R I P Jpm Allah akupunguzie adhab yakabri
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda Muheshimiwa Raisi wetu Mtaafu. Mungu alikujua ,anakujua na anaendelea kukujua. SIi wewe tu na viongozi wote Wa nchi yetu nzuri Tanzania.
@nestor384
@nestor384 3 жыл бұрын
RIP Late Dr. John Magufuli undisputed pan african socio-economic activist💔
@anuaryally6177
@anuaryally6177 3 жыл бұрын
Asante mstafu muheshimiwa kwa mawazo yako
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 3 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@shabirchomoco4771
@shabirchomoco4771 3 жыл бұрын
Maneno mazuri sana za mweshimiwa rais kikwete
@hakizimanajean7702
@hakizimanajean7702 3 жыл бұрын
Walikuwa wakimpinga JPM na kumsema vibaya maneno yao yatawahukumu daima. Rest In Power CHUMA!
@pascarmwatosya6815
@pascarmwatosya6815 3 жыл бұрын
Hapo ndipo tutamkumbuka JPM,Alale mahara pema huko aliko,Mama yetu Pongezi Sana na kazi iendelee
@marydaniel1121
@marydaniel1121 3 жыл бұрын
Asante magufuli kutufungua macho na akili kwamba WATANZANIA NI MATAJIRI kweli wewe ulikuwa MWANAMWEMA KWA NCHI YAKO
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
NDIO MATAJIRI SASA LIPENI ALIZOKOPA.
@ashajaba3060
@ashajaba3060 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 tutalipa kwani tatizo liko wapi ?
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
JPM still Roll model for Africa 🙏🙏👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana hayati Maguful, Rest In peace Mh John Pombe Maguful 🙏 Daima tutakukumbuka Rais Wetu 😭🙏
@sunriser5761
@sunriser5761 3 жыл бұрын
Great Jpm.Mkiwa wanafiki hatutakaa tuwaelewe maaana serkali ya sasa unafiki mtupu
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 9 МЛН
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 670 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН