No video

Kila mwanaume ana idadi hii ya wanawake Part 1 - Masoud Kipanya

  Рет қаралды 22,438

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Katika hii Episode,Msanii mashuhuri Afrika Mashariki,Masoud Kipanya anampitisha Aisha katika namna jicho la mwanaume linavyoitazama ndoa

Пікірлер: 53
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 ай бұрын
Mashallah mada mrembo unaaibu unasifa za mke inaonesha❤❤❤❤❤
@nuruathumani-vm7rp
@nuruathumani-vm7rp 7 ай бұрын
Dada mtangazaji mrembo sana mashallah
@mwarongoMwarongo-ej2jk
@mwarongoMwarongo-ej2jk 7 ай бұрын
Mashaa allaah nimekuelewa sana masod ulitakiwa uwe shekh
@feelathome_products1562
@feelathome_products1562 7 ай бұрын
Mpiga picha uwe unamuonyeaha anaeonge na si mtangazaji, unawatia watu kwenye fitna.
@khamisomary7428
@khamisomary7428 Ай бұрын
Kwenye fitna unajitia ww bhn 😂 umalaya tu😂😂😂
@amanitarimo2026
@amanitarimo2026 7 ай бұрын
Ni kweli Masoud. Epuka sana wale watu wenye nyenyenye mingi. Utawasikia " I'm always real, ... You know what I'm saying...? You get me... Err....? Wazungu mwitu fulani hivi. Kimbia hapo ni jala.
@aishaomar2287
@aishaomar2287 7 ай бұрын
😂😂😂 ati jala 🙌 🙌
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 7 ай бұрын
Darsa zuri sana. KP.
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 7 ай бұрын
Masoud umeongea vizuri na umedadavua haswaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd 7 ай бұрын
Allah atuongoze katika kheri inshaAllah, umejitahidi Ndugu Masoud.
@HifadhAli
@HifadhAli 2 ай бұрын
Masoud vitabu vyadini vipo vinatuma miongozo yandoa
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 7 ай бұрын
Nimezipenda Tathmini zako Ndugu masoud
@ChikuRashid-yg3jp
@ChikuRashid-yg3jp 2 ай бұрын
Ndoa ni ahadi ya mke na Mume kwa mwenyezi Mungu
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo 7 ай бұрын
Dah mtangazaji anaaibu haiba ya kike napendaga sana kitu kama hio🎉
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 7 ай бұрын
Mash'Allah tathmini ya mzungumzaji si mbaya
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 7 ай бұрын
Daah ndoa zengine zimevunjika ndani ya miezi miwili tu 😮
@hawa6052
@hawa6052 7 ай бұрын
Elimu nzuri
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 6 ай бұрын
Upo sawa
@saidikasata884
@saidikasata884 7 ай бұрын
muuliza maswali ana aibu masha Allah
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 7 ай бұрын
Hajaolewa bado
@user-kp7gj9xq4b
@user-kp7gj9xq4b 6 ай бұрын
Hakuna shule ya kua mme wala mke au baba bora wala mama bora shule yetu ni baba na mama au wakubwa wetu walio tuzunguka
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 7 ай бұрын
Naam, swadaktana. Na kwa kuongeze, NDOA ni kubadilishana watoto, mwanaume anaenda kua mtoto wa kwa familia ya mke na mwanamke anaenda kuwa mtoto wa familia ya mume. Nayo ni ahsan kubwa inayo paswa kudumishwa. ( sheikh soud).
@user-uz8cr6qr6j
@user-uz8cr6qr6j 6 ай бұрын
Aya imeanza kwa kusema oeni katika wanawake mnaowapenda imeanza navwawili. Watatu au wanne lakini haikuanza na kuja chini hiiyo siyo SAHIHI. Surat An Nisaa Aya ya tatu.
@DawsonKiwia-qt6zf
@DawsonKiwia-qt6zf 7 ай бұрын
Hongera sana
@neemaibrahim4900
@neemaibrahim4900 7 ай бұрын
Masha Allah
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 7 ай бұрын
Mashallah Mashallah
@maryamadam5622
@maryamadam5622 7 ай бұрын
Topic muhimu sana kuongelewa. Mafunnzo ya maana sana. Dada angelijitahidi kuongea Kiswahili. Sio kila mtu anafahamu Kiingereza.
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
Ameongea kingereza kwani?
@user-bb2fr9ti5k
@user-bb2fr9ti5k 7 ай бұрын
Mm sjasikia kingereza mbna?
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p 7 ай бұрын
Swahihuni masoud
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 7 ай бұрын
Masudi naomba niowe mm nakupenda sanaa😢
@piusgadau6328
@piusgadau6328 7 ай бұрын
Njoo kwangu mi Sina hata mmoja
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 7 ай бұрын
@@piusgadau6328 wewe misinanjaaa nataka akili ya masudi basi ningetaka yoyote ningeshaolewa wanaume wanaboa sana wakijua mwanamky anakipato basi wanakibizana bilakua makini unaliwa pesazote kisha unaacwa
@piusgadau6328
@piusgadau6328 7 ай бұрын
@@user-nn7uf1mr7x pls hata Mimi hujanijua tuuu huenda nikakufaa naiamini tuu sio kijana mdogo Nina zaidi ya 30
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
😂😂😂
@imranhussein55
@imranhussein55 7 ай бұрын
Kashajaza nafasi, anawake wanne
@cheka480
@cheka480 7 ай бұрын
Mashallah @kalamutz mmeweza Allah awabariki tunasuburi part 2
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
Akubariki nawe
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
Part 2 tayari mbona
@cheka480
@cheka480 7 ай бұрын
@@kalamuMedia napatataje mbona sijaona
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 ай бұрын
Mazungumzo mazuri ila kingereza wekeni pembeni
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
kuna watu wanatamani tuweke Kiswahili pembeni ujue?
@missiontown001
@missiontown001 7 ай бұрын
Fact🎉🎉
@assaasharif963
@assaasharif963 6 ай бұрын
Lazima kutolewe na mahari.Bila mahari haiswihi ndoa
@jumannejackson759
@jumannejackson759 2 ай бұрын
Unamhoji mtu anatoa maelezo humuoneshi yeye, unamuonesha mtangazaji wenu. Duuh
@kondoatown8765
@kondoatown8765 6 ай бұрын
Masoud eh !! Mwenzako sasa hivi mm nina miaka 27 na bado sijaoa vipi ? Huyo mtangazaji tukafanye jambo muufinye
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 7 ай бұрын
Mimi sikubali mke mwenzako wala mchepuko
@mokatunzi376
@mokatunzi376 7 ай бұрын
al nisaa 129
@user-xj6oj5rl1w
@user-xj6oj5rl1w 7 ай бұрын
Pt 2 lini
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
Tayari
@jameskilasa759
@jameskilasa759 7 ай бұрын
Mpiga picha mbona hatuoneshi mtu anaeulizwa anakuonyesha ww dada tu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 7 ай бұрын
Kaka masoud huyo dada nokuhoji a amuweke?
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 195 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 16 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
Mkasi - S01E03 Masoud Kipanya
25:38
MkasiTV
Рет қаралды 113 М.
ALAMA ZA KUPENDWA NA ALLAH || SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI ||
3:58
ABUUKHUBAYY
Рет қаралды 5 М.
Kisa cha Mke wa Ustadh na dereva boda - Sheikh Othman Michael
27:21
Umepewa mali, mume una myima, utaanguka tu!
18:33
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 20 М.