Рет қаралды 291
Hali ya uchumi kwa wakulima wa mazao ya matunda na mbogamboga wanaofanya shughuli za kilimo kwenye milima ya Uluguru mkoani Morogoro, inatajwa kuimarika baada ya wakulima hao kuachana na kilimo cha mazoea na kuanza kulima kilimo cha kisasa kwa kuweka matuta katika mashamba yao ambayo sehemu kubwa ni yako milimani.