KILIMO CHA MIPAINA, (MISINDANO) MITI YA MBAO

  Рет қаралды 24,955

Kilimo Biashara

Kilimo Biashara

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@imaniisaya8377
@imaniisaya8377 2 жыл бұрын
hii miti Dodoma inafaa
@brunomombe2801
@brunomombe2801 5 жыл бұрын
tujuane wakulima Wa hii miti
@farymatanda6752
@farymatanda6752 4 жыл бұрын
Mambo kaka, unaweza nisaidia no yako?
@BitBroh
@BitBroh 4 жыл бұрын
Ni vyema tukifahamiana wakulima wa hii miti.. tujiunge kwenye hili group la whatsapp chat.whatsapp.com/IgZ4jHLEJCnHT04U6QyGRJ
@BitBroh
@BitBroh 4 жыл бұрын
hawa matanda jiunge group la whatsapp tufahamiane chat.whatsapp.com/IgZ4jHLEJCnHT04U6QyGRJ
@charkeskagama388
@charkeskagama388 4 жыл бұрын
Nitumie namba zako kk nikucheck
@billionstrillion350
@billionstrillion350 7 жыл бұрын
Hii miti inaweza kuota maeneo ya pwani mkuranga
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 7 жыл бұрын
inaota Lakini haikuwi kwa wakati. inadumaa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Watqfute wataalam.wa ardhi na mazaoyqke stahiki
@veniusstanslaus7521
@veniusstanslaus7521 3 жыл бұрын
Kwenye sehem maji yanayotuwama kwa kipindi cha miez 3au hii miti inastawi au
@richardndunguru9994
@richardndunguru9994 7 жыл бұрын
mbona mtaalamu asikiki vzr
@jonathankiula8123
@jonathankiula8123 5 жыл бұрын
A very lucrative and a must done business!
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 4 жыл бұрын
Katika eka (acre) moja inakuwa na miti mingapi
@maliyotebundala6756
@maliyotebundala6756 4 жыл бұрын
Nimeelewa na kwa muda mrefu Nina ndoto za kumiliki shamba LA miti
@richardndunguru9994
@richardndunguru9994 7 жыл бұрын
huyo mtalamu Wa miti ya mipaina asikiki kbsa
@kilimobiashara9361
@kilimobiashara9361 7 жыл бұрын
Tunafanya maboresho tunaandaa kipindi kipya kwa kushirikiana na wakala wa mbegu za miti Tanzania mtaalamu atakuepo na sauti pamoja na maudhui yatakua bora zaidi subscribe ili usipitwe,
@kilimobiashara9361
@kilimobiashara9361 6 жыл бұрын
Kuna kipindi kipya unaweza tazama tumeweka tayari
@ibrahimalexander4653
@ibrahimalexander4653 4 жыл бұрын
@@kilimobiashara9361 link yake please
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 2 жыл бұрын
Je mwanza au kagera unaweza ukapanda
@saidmohammed7758
@saidmohammed7758 6 жыл бұрын
Hiyo miti inaitwa "Mivinje" kwa kiswahili!!!
@BitBroh
@BitBroh 4 жыл бұрын
Hilo eneo lake lina ukubwa gani?
@Chiombola85
@Chiombola85 4 жыл бұрын
Shamba linauzwa sh.200m, hilo ni heka ngapi?
@atuganilemwakipesile4979
@atuganilemwakipesile4979 4 жыл бұрын
Hii miti mkoa wa tabora inafaa?
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Elfu yine 🙄🙄🙄🙄
@felixbeliummbembela93
@felixbeliummbembela93 5 жыл бұрын
Hii miti Singida itafaa?
@straitnews3441
@straitnews3441 6 жыл бұрын
Maeneo gani inaota miti hii kwa urahisi
@kilimobiashara9361
@kilimobiashara9361 6 жыл бұрын
njombe iringa na mbeya
@frankbubahe
@frankbubahe 2 жыл бұрын
Ngara vipi inakubali???
@veniusstanslaus7521
@veniusstanslaus7521 3 жыл бұрын
Nimeipenda elimu hi nauliza je sehemu zenye maji mengi Kama kwenye tinga tinga inaweza kustawi vizur au nipo kagera karagwe???
@emmanuelsimeo
@emmanuelsimeo Жыл бұрын
Hii miti inafaa kangera
@jonepomsonmshuti6830
@jonepomsonmshuti6830 22 күн бұрын
Mbona KAGERA hii miti NI mingi? Uko KAGERA ya nchi gani
@maverickcreativesolutions8285
@maverickcreativesolutions8285 4 жыл бұрын
Habari Nimevutiwa na elimu inayotolewa na hii channel. I hope itasaidia hasa kwenye upataji wa masoko hasa mimi ni mkulima wa Mipaina ila ninapata tabu kupata masoko kutokana na ulanguzi wa bei. Kama kuna mtu yuko interested tafadhali tuwasiliane kupitia mail address yangu. louikametta@gmail.com serious buyers only shamba lina zaidi ya miaka 10
@daudisanga472
@daudisanga472 4 жыл бұрын
Mambo vp ndugu. Sorry et mti mmoja wa mpaina ni sh ngap?
@khanifakassim8940
@khanifakassim8940 3 жыл бұрын
Hii miti pwani ya rufiji itweza kuota nauliza nataka kujuwa
@BitBroh
@BitBroh 4 жыл бұрын
Ni vyema tukifahamiana wakulima wa hii miti.. tujiunge kwenye hili group la whatsapp chat.whatsapp.com/IgZ4jHLEJCnHT04U6QyGRJ
@bulashimathias8368
@bulashimathias8368 3 жыл бұрын
0675128758
KILIMO KWA NYUMBA KITALU GREENHOUSE
30:37
Kilimo Biashara
Рет қаралды 22 М.
MASOKO NA USIMAMIZI WA BIASHARA YA MBAO
17:27
Daniel Masunzu
Рет қаралды 3,5 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 28 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
MITI YA MITIKI YAGEUKA HAZINA KWA WATAWA WA MILIMA YA USAMBARA
13:55
(UMTV) USAMBARA MOUNTAIN TV
Рет қаралды 3,1 М.
JIFUNZE KUHUSU FURSA YA BIASHARA YA MAGOGO NA MBAO MAFINGA, 0687786576.
19:48
UFANISI WA MBEGU ZA SEEDCO
24:40
HABARI MCHANGANYIKO
Рет қаралды 19 М.
"NILINUNUA MAGARI KWA MAVUNO YA KWANZA YA MPUNGA" SHUHUDA
39:38
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 2,7 М.
ANGALIA HII KABLA YA KUANZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MITI
30:10
Edmund Munyagi
Рет қаралды 14 М.
UFUGAJI WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
17:57
Amina Mollel
Рет қаралды 3,7 М.
UFUGAJI WA KUKU, MABORESHO UFUGAJI WA NGO'OMBE
29:43
Kilimo Biashara
Рет қаралды 28 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 28 МЛН