JIFUNZE KUHUSU FURSA YA BIASHARA YA MAGOGO NA MBAO MAFINGA, 0687786576.

  Рет қаралды 3,874

Anna Claire Shija

Anna Claire Shija

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@kelvinmwashambwa1693
@kelvinmwashambwa1693 4 ай бұрын
Asante kwa kutupa mawazo na mwangaza kwenye biashara ya mbao
@annaclaireshija
@annaclaireshija 4 ай бұрын
Asante kushukuru
@luckiestmeckson2222
@luckiestmeckson2222 Жыл бұрын
Okay ahsante sana hongera dada unapambana san kiukweli
@annaclaireshija
@annaclaireshija Жыл бұрын
Asante sana, ubarikiwe.
@DicksonJosephat-u1o
@DicksonJosephat-u1o 2 ай бұрын
Nashukuru kwa fursa naomba kuelewa je napoenda.kujumua mzigo wa mbao bei yake ikoje ni mahesabu ya kila ubao na kama ni hvo bei yake ikoje ya kujumlia kwa kila aina ya ubao
@JoseMlay
@JoseMlay 6 ай бұрын
congratulations kwa kazi nzuri sister..naweza kupata mawasiliano kwa maelezo zaidi asante
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Asante sana. 0687786576.
@elizabethpilla1472
@elizabethpilla1472 Жыл бұрын
Naipenda sana hii biashara
@annaclaireshija
@annaclaireshija Жыл бұрын
Safi sana dear. Mapambano yaendelee ✅
@yussufrnyeupe513
@yussufrnyeupe513 Ай бұрын
Hajaeleza bei jmn
@annaclaireshija
@annaclaireshija Ай бұрын
@@yussufrnyeupe513 bei ya nini mpendwa?
@Jessiefrank872
@Jessiefrank872 Жыл бұрын
Asante
@annaclaireshija
@annaclaireshija 11 ай бұрын
karibu dear.
@HassanMilanzi-qt7vu
@HassanMilanzi-qt7vu 6 ай бұрын
Naipenda
@annaclaireshija
@annaclaireshija 6 ай бұрын
Safi 👏🏾👏🏾
@gladnessmhapa1372
@gladnessmhapa1372 7 ай бұрын
Naipenda sana na ninasomea sayansi ya misitu
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Safi sana dear 👍🏾
@chackszephaniah592
@chackszephaniah592 3 ай бұрын
Dada naomba namba huyo kijana mwenzangu
@IbrahimAdam-yl8fs
@IbrahimAdam-yl8fs 3 ай бұрын
Asant
@annaclaireshija
@annaclaireshija 3 ай бұрын
@@IbrahimAdam-yl8fs karibu
@GeorgeNdilivalle
@GeorgeNdilivalle 5 ай бұрын
Ndauli be anna
@annaclaireshija
@annaclaireshija 5 ай бұрын
😂😂😂 Mimi sio muhehe 😂
@RichnetNyongole
@RichnetNyongole 7 ай бұрын
Mimi nafanya biashara hii pia
@annaclaireshija
@annaclaireshija 7 ай бұрын
Safi sana.
@happyyohana9881
@happyyohana9881 11 ай бұрын
Napenda sana hii biasha lakin sijue mtaji wake ni pesa ngapi
@annaclaireshija
@annaclaireshija 11 ай бұрын
Inategemea unataka kufanya kwa njia gani ila mbao kama mbao wataalamu nilipongea nao hapo wanasema milioni 10 na kuendelea.
@RichnetNyongole
@RichnetNyongole 7 ай бұрын
Hata milion 3 zinatosha kuanza
@zaitunimkwizu6792
@zaitunimkwizu6792 10 ай бұрын
Nataka nianze hiyo biashara
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
Safi sana dear 👍🏾 anza usisite.
@JumaKutemile
@JumaKutemile 4 ай бұрын
Mbao zipo hata semi kumi
@amanihosea8587
@amanihosea8587 3 ай бұрын
Namba yako mkuu
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 10 ай бұрын
Naweza pata Namba Ya huyo kaka pls
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
Namba yake ni +255 784 585 977
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 10 ай бұрын
@@annaclaireshija nashukuru sana
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
@@DosianaLulakuze-bv7fg Karibu sana. Haya unitumie soda sasa kwa Airtel money namba 0687786576, soda ninayotumia inauzwa elfu 10 🤣🤣🤣 asante nitafurahi.
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 10 ай бұрын
@@annaclaireshija 🤣🤣🤣usijali mambo mazuri hayati haraka Utakunywa zaidi ya soda
@annaclaireshija
@annaclaireshija 10 ай бұрын
@@DosianaLulakuze-bv7fg haya bwana, asante 👍🏾👍🏾
ANGALIA HII KABLA YA KUANZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MITI
30:10
Edmund Munyagi
Рет қаралды 14 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
KILIMO CHA MIPAINA, (MISINDANO) MITI YA MBAO
28:24
Kilimo Biashara
Рет қаралды 24 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 65 М.
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН