Kilumbe Ng'enda amuwashia moto Mwigulu "Unaua BIASHARA, Hali sio nzuri, Watu wanaficha pesa"

  Рет қаралды 7,027

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo.
Ng’enda ameitaka wizara hiyo kuangalia tena sera zake za kifedha (kodi) ambapo amedai biashara Kariakoo imekufa kutokana na ubovu wa sera hizo.

Пікірлер: 5
@HeavyrainKuresoi-ke9df
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Mwigulu ana sera za kibabe,, hutaki uende Burundi,,,
@appolokelebuka2218
@appolokelebuka2218 Жыл бұрын
Awawe kabisa hana sifa kabisa hali mbaya kila kona
@masoudymichael
@masoudymichael Жыл бұрын
Hakuna usalama Mimi pia naona tozo nyingi lakini ukiweka Nyumbani hakuna tozo inaonyesha wananchi nao wanaakili Mana tumeambiwa tuende Burundi Burundi hatuendi ila hela hatutarusha mpesa tutamtuma bodaboda Kwa buku
@gasperswai6963
@gasperswai6963 Жыл бұрын
Wizara inatakiwa kufikiria kuongzeza tax base/ wigo wa kodi , wigo w a kodi unapojua mdogo tunafungua room ya tax evasion/ ukwepaji wa kodi maan serikali inakuwa na watu wale wale kila mwaka wanawatoza kodi, matokeo yake ni nini? Hao watu watatafuta njia za kukwepa kodi, lazima pia wizara ifikirie vyanzo vingine vya kodi .
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Huu ni uwongo 30/100. Tatizo ni pesa nyingi zinakwenda hazina sababu kila kitu unalipa kwa control number. Na huko kutoka ni shida.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 5 МЛН
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
MUUAJI WA VIKONGWE, WAZEE ANASWA TABORA, "alikua anatishia uhai wetu"
5:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,3 М.
How to Develop a Strategic Plan | Step by Step Guide You Can Follow
22:31