MBUNGE ACHARUKA ASEMA KAMA HAMNA MAJIBU BUNGE LISIENDELEE "FEDHA ZINAPIGWA HAZINA"

  Рет қаралды 12,708

Millard Ayo

Millard Ayo

8 ай бұрын

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Kilumbe Shabani Ng'enda akichangia taarifa tatu za kamati za kudumu za bunge za Kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)na kamati ya kudumu ya bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha ulioishia tarehe 30 Juni, 2022.

Пікірлер: 31
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 8 ай бұрын
Nchi yetu Bado inawatu wa kutusemea ,Mungu awabariki wabunge wa sampuri hii!!!
@user-es6gz5nc8s
@user-es6gz5nc8s 8 ай бұрын
Du Inakela sana;; wasomi wanaibiwa duu!!!
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 8 ай бұрын
Mkishajadili ndiyo imepitea hiyo no any action will be taken
@givensmsuya6535
@givensmsuya6535 8 ай бұрын
Duuh kipara kinang'aa pongezi kwa mnyoaji aisee😄😄
@ms123ru
@ms123ru 8 ай бұрын
Hhhhhhhahh ilaa ww jamaaa😅😅😅😅
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 8 ай бұрын
@@ms123ru 😂😂😂 marioo is typing
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 8 ай бұрын
Kama mpo serious muingie mtaani muandamane na wananchi kuwashinikiza waliokula fedha wakamatwe,kama haifai ,spika awajibike Kwa haya na Kam hawajibiki pigeni kura
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 8 ай бұрын
Mefika wenyewe angalau Kila mara mnapongeza
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 8 ай бұрын
Uko sawa gharika sisi wananchi tunaiaandaa gharika 2025
@majaliwaadammnaga3223
@majaliwaadammnaga3223 8 ай бұрын
Mmeshindwa kupitisha sheria bc acheni mwenye kisu ale
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 8 ай бұрын
Inasikitisha wafanya biashara na wajasiriamali wanavyobanwa na halmashauri na TRA wanapokwepa mapato lkn wizara ya fedha, TAMISEMI NA HALIMASHAURI wanafanana kodi za wananchi 😢😢😢😢😢
@user-pf5gg5gk6i
@user-pf5gg5gk6i 8 ай бұрын
Huo mtandao ni wanajuwa kilakitu..hupni yupo na mama kumzuga ila wizi huu hana kinga, ila anasapoti kubwa..hakamatiki n watu wake
@stanleymanya438
@stanleymanya438 8 ай бұрын
Mpaakamthemeeeeee!!!!😂😂😂😂😂 Chama cha majambazi
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 8 ай бұрын
wale wanaowaibia watanzania na kuwazulumu waendee tu ila wafahamu kulikuwa na waizi kama wao sasa hivi wapo ktk makaburi na wanalipwa kwa kile walichokifanya duniani.
@gangmore9091
@gangmore9091 8 ай бұрын
Wenyewe kwa Wenyewe 😂😂😂 dhulma haileti maendeleo
@abrahamagapith4664
@abrahamagapith4664 8 ай бұрын
Point
@joojombi2341
@joojombi2341 8 ай бұрын
Toa ushahidi bac wa hayo Wawajike then
@erickegidius6625
@erickegidius6625 8 ай бұрын
Aise
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 8 ай бұрын
Maokoto ya vikao je ndomana makofi machache mzee ipo siku isio na jina itafika
@inocentkaiza7962
@inocentkaiza7962 8 ай бұрын
Kwaupande wangu naona hata nafis ya CAG nimiongon mwa vyeo vinavyotia nchi hasara maana kila mwaka anatoa taarifa ya upotefu wa fedha ila mijib hayapatikan naanatumia pesa nyingi kukagua hiyo miadi
@ismailissa3996
@ismailissa3996 8 ай бұрын
Ccm mumeshindwa kuendesha hii wengi wenu ni wapiga dili t
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 8 ай бұрын
Sarakasi za ccm kuwalaghai wananchi
@user-xi6le4lg9b
@user-xi6le4lg9b 8 ай бұрын
Inasikitisha Sana washukiwa kama mliteuliwa na Serikali ,na mko mstari wa mbele kukitetea chama tawala,,huku kumbe mnamaslahi yenu,,,na sifa nyinginyingiiii kwa Mama🤭🤭😒
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 8 ай бұрын
Vitabu vitakatifu vinasema jinsi alivyo kuhani na watu wake ndivyo walivyo
@ntegrity277
@ntegrity277 8 ай бұрын
Huko kunyongana mtanyongana CCM TUPU mkumbuke hakuna wapinzani
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 8 ай бұрын
Jamani CCM utawala bora upi watu wafungwa
@joojombi2341
@joojombi2341 8 ай бұрын
Miaka mingi leo ndo mmeshtukia?????
@zainabwage4658
@zainabwage4658 8 ай бұрын
Yaan apo bd 😂😂😂
@joojombi2341
@joojombi2341 8 ай бұрын
Miaka yote mlikua mnajua wanaiba mlikaa kimyaa mmeshidwa kupitisha sheria wabadhilifu wa fedha hawachukuliwi hatua. Wizi utaendelea tu kila siku
@ntegrity277
@ntegrity277 8 ай бұрын
Madhara ya kuwa CCM TUPU! HAKUNA TU DU LISSU, HAKUNA ZITTO, HAKUNA MNYIKA WALA MBOWE WALA LIPUMBA SASA WAPIGAJI MAANA 2025 NI UCHAGUZI DUH!
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x 8 ай бұрын
Wanafik
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН