Tamaaa imewaponza viongozi uchwara kama hawajaelimika ndio basi tena
@anithawidambe754317 күн бұрын
VIONGOZI WA COSTAR NDYWALIOMHARIBU LAMECK LAWI. VIONGOZI KM HAWA HAWAFAI KUWA KWENYE MPIRA.
@kassidpandu86617 күн бұрын
Ni ushauri mbaya kutoka kwa GSM tuu ndie kawapoteza
@davismuzahula90717 күн бұрын
Binafsi nilimshangaa sana msemaji wa Azam, badala ya kutengeneza mazingira ya kupata mashabiki wa Simba CAFL yeye akaanza vijembe. Angetumia vizuri fursa ya Simba kuikosa Champions league ili apate saport ya mashabiki wa SIMBA😊😊
@Cristiano.UR12317 күн бұрын
Mtaka yote kwa pupa 🤣🤣
@maliadii482917 күн бұрын
Mbona pyiramid haina mashabiki na wanaweza azam hawajiwexi we waambie kukamia yanga na mauno😂😂