KIMENUKA; MAMA WA BIBI HARUSI WA SIKU ATOA ONYO KALI KWA SHANGAZI NA BWANAHARUSI WA SIKU KISA HIRIZI

  Рет қаралды 3,468

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
HUYU MADAM M.MDOGO MSTALABU SANA MINADAMU MUELEWA MUNGU AKUBALIKINI MUIMU MAOMBI MUONGEZE AMEEN NIPO PAMOJA NA NYINYI 🙏
@emmanuelsenga4536
@emmanuelsenga4536 2 ай бұрын
Yohana na Recho,fungeni na mwombeni Mungu,hao wanacheza na Mungu
@MarryKimaro-m9k
@MarryKimaro-m9k 2 ай бұрын
Uchawi una mwisho na wataumbuka Sana Yohana asimwache mkewe Bali waende kwenye maombi Mungu haujawahi kushindwa
@RizikiMakayaShabani
@RizikiMakayaShabani 2 ай бұрын
Mimi nili wahambiye kama wale niwachawi niliwaona mapema sana kbs mke wa yohana nimcha mungu awatapata kumuhuwa yohana sasa asira zote nikwe mke wa yohana kwaiyo tusaidiyane kuwaombeya 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🙏🙏
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies 2 ай бұрын
Kweli mama ukisha muweka mungu utaona miujiza mungu hashidwea mungu ni mungu jamani
@Matilda-q4k
@Matilda-q4k 2 ай бұрын
Pengine ni vitisho tutu vya wachawi na isiwe ndg za Yohana .Muaminini Mungu tuu na acheni mitandao,watu wa Mungu hatuamini uchawi
@SaidiBatungwanayo
@SaidiBatungwanayo 2 ай бұрын
Abari zenu uko hamjambo mweote tunawafatiliya sana tupo south Africa cape town mama lecho polenisana zidi kuomba mungu sana yatakwisha dunia tunapita tu na mamdogo na shangazi mungu anawaona
@HappynessNyagawa
@HappynessNyagawa 2 ай бұрын
Ampe Yesu maisha yake Yesu ni kila kitu ni zaidi ya uchawi.
@Ax-xpress
@Ax-xpress 2 ай бұрын
Mtoto wenu alilikoroga mwenyewe..hapo hakuna maisha ni usumbufu tu...
@TabuMudi
@TabuMudi 2 ай бұрын
Mama pole kikubwa nendeni kwa pasta mpige maombi au nendeni kwa shehe fanyeni dua na mfanye halalbadiri mbayana mshitakieni mungu yeyote atakaewagusa.Yohana changamka kama mnakaa nyumba moja hameni mkapange.mambo yakikuta utaujua ulozi mungu alisema jisaidie nami ni kusaidie.
@OlipaMsemwa
@OlipaMsemwa 2 ай бұрын
Mama maombi tu hivyo ni vitisho tu ombeni sana msiteteleke mkamruhusu shetani, chini ya jua hakuna anayemshinda mungu Wala aliyejuuya ya mamlaka ya mungu omba omba omba mungu ameandaa jibu lako usiku wa leo
@HurumaKyakajumba
@HurumaKyakajumba 2 ай бұрын
Mama Rechol Acha kuomgea mengi nyamaza kimya. Watashindwa. Kaa kimya.
@magdalenachissanga9564
@magdalenachissanga9564 2 ай бұрын
Zaburi 35:1-9 Isay 54:17
@upendoshirima1704
@upendoshirima1704 2 ай бұрын
Usiogope hiyo ni vitisho tu amini Mungu ataondoa yote kichwa ni hofu tu pengn Mungu ashamjalia ujauzto hiyo hali itakaa sawa vitisho vya chura tu hivyo dada ukiwa na Mungu ivyo ni mbwembwe tu uogope ita watumishi choma iyo irz sio ni kukutirn hofu kumbuka recho slikua na kujitathimini sana ilo ni tatixo la kisaikolojia tu rmbu rudin Kwa Mungu hkn kitachomdhuru jaman ht mtu anaeza tupa uchafu tu kwakua alishakua na hofu ili aongeze hofu indorn hofu
@FerkBrayan
@FerkBrayan 2 ай бұрын
Dunia kunameng nduguyang siy wazur
@hozamussa89
@hozamussa89 2 ай бұрын
Ni majaribu tu na yatapita. Kuweni wastahimilivu
@JamilaNyakibali
@JamilaNyakibali 2 ай бұрын
Mamdogo. Pole. Ila. Mungu. Akimshindi. Kitu. Chini. Ya. Jua
@Matilda-q4k
@Matilda-q4k 2 ай бұрын
Salini Zaburi 64 kila siku,Yeremia 33:3
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 2 ай бұрын
Yohana haame karibu na hiyo familia yake akae mbali nao
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
ALIYEAHIDI KWENDA KULOGA NA KUSEMA UCHAWI HATA WAO WANAWEZA NI YULE MAMA MDOGO MAKOPE cio SHANGAZI NI BABA .😅
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 2 ай бұрын
Ira ushauli wangu Nibola tu ungemutoako binti yako, kama na baba ake yohana ameungana nao hao ndugu zake apo ndo imehalibika kabisa, ndoa hailazimishwi,
@dollarmedia7730
@dollarmedia7730 2 ай бұрын
Duuuu hii familia inapitia magumu sanaaa
@AliyaAbdallah-f5q
@AliyaAbdallah-f5q 2 ай бұрын
Wewe mama wa recho using"ang"anie ndoa angalia mwanao kama mzazi ndoa nimauwa tu
@neemaraphael8732
@neemaraphael8732 2 ай бұрын
Ma mdgo ongeza maombi tu ndowa hiyo itakaa sawa
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Kwahyo Familia ya Yohana inatawaliwa na usingz wa mjomba wake yohana ?😅😅😅😅😅 kuna uzembe hii family mama chukuwa mwanao atapata mume strong . Ndoa inavunjika according to BIBLE kumbukumbu la torati 24:1 . Lkn mwanaume ndio anaacha mkewe cio shangazi na mama mdogo 😅😅😅
@SaidHamad-d3n
@SaidHamad-d3n 2 ай бұрын
Wacheni kuect ujinga na uongo mtupu hamuoni hata aibu waking wakubwa na mwandishi wenu huyo aliekuwa hana kazi
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Huyo Yohana ana Baba kweli au anamdoli ? Kimsingi Baba ndio mwenye maamuzi ktk familia yake , sasa Baba kama yupo kwanini majukumu yake yapokwe na shangazi na mama mdogo ? Mjinga wa kwanza ni Mzee wa Yohana , kisha Mama wa Yohana baadaye Yohana mwenyewe ...... hii story kila siku why ? Ningekuwa mimi ndio baba yke Yohana hao wadandia mambo ya watu mbona wangeshangaa ! Kwanza ningewaambia waje kwa mama mkwe wa Yohana waombe radhi kwa kuleta fujo kwa watu au wasionekane kwangu wala kwa mwanangu . SITAZAMI TENA HIZI CLIP ZENU ZA KIPUMBAVU
@AdelinaCharles-oy9ug
@AdelinaCharles-oy9ug 2 ай бұрын
Mama mdogo mm naomba tufanye mchakato tuwalipe milioni mbili recho atoke huko japo mme anampenda ajikaze atazoea inauma sana😢
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 2 ай бұрын
Ira ushauli wangu Nibola tu ungemutoako binti yako, kama na baba ake yohana ameungana nao hao ndugu zake apo ndo imehalibika kabisa, ndoa hailazimishwi,
Which team will win? Team Joy or Team Gumball?! 🤔
00:29
BigSchool
Рет қаралды 15 МЛН
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 60 МЛН
QISADA JAMAAL IYO LUBNAA!!@sawdamqaalib
58:32
Sawda Qaalib
Рет қаралды 56 М.
Kobci Maankaga "Mowduuc Muhiim ah" 🧠  !
17:58
Najmi
Рет қаралды 7 М.
Waa kuma Sadaam Xuseen?? 🤔
28:40
Muxsin Bashir
Рет қаралды 10 М.