Masha Allah kheir ujumbe mzito kucheka hakufai . Allah amjaalie shariffu izudin alwy afya njema na umri mrefu ni mtu muhim sana
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Allahuma Amin kwa sote
@mrishongwikwi6448Ай бұрын
Kama ingekuwa kule kwenye siasa tungesema mang'weng'we wote wapo hapo. Mashaallah kikao kimependeza na kimefana hasa Allah awalipe kila la kheri.
@neemaahmada2619Ай бұрын
Aamin inshallah Allah awalipe kheri nyingi zaidi duniani na akhera
@Twahamwela-ch5lzАй бұрын
Subhnallah maneno mazito sana allah akubarik sheikh
@YahayaIdarusi-tf8dyАй бұрын
Maashaallah Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri
@NassibUkashaАй бұрын
Mashallah ujumbe mzito Sana huu
@abdallahsaid8157Ай бұрын
MashaAllah!!!
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
SubhanaAllah
@jimjam-xg7rvАй бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@SaumuNajmaАй бұрын
Viongozi wetu wadini wana masuulia mazito kulingana na jamii na kizazi tulicho nacho Allah awape hikima na utulivu juu ya kuelimisha ummah wa mtume wetu Mohamed (s.a.w)
@aly_asgarАй бұрын
Kila mmoja ni masulia ni jukumu la kila muislam kutangaza dini ya Allah ata ikiwa kwa uchache.
@latifanyari8912Ай бұрын
Subhannallah😢
@khadijaabbas5988Ай бұрын
Mashallhwa Mashallhwa barakalwauuuf
@victorterry227Ай бұрын
Masha-allah.
@MymunaUlayaАй бұрын
Asante shekhe
@AbubakaryAlly-oq6sfАй бұрын
Mashaallah
@paulremigiuspaul3293Ай бұрын
Ma Shaa Allah
@AliAme-m3iАй бұрын
Mashallah sheikh nafaidika nawew
@officialnuhu8163Ай бұрын
Subhanallah😢
@WaziriQaadiriyАй бұрын
Màashaallah
@RashidJuma-rl4djАй бұрын
❤❤❤
@SharifaOman-bf1bnАй бұрын
Hadithi nzuri. 😂😂 mashaallah
@hamadrashid5140Ай бұрын
Bachu ashapata clip ya kuradd hapo Kuhusu huyo alielala kaburini na akaulizwa na malaika na hali ya kuwa hajafa.😅😅
@fistonnibigira167Ай бұрын
🙆♂️🙆♂️❤️❤️
@HawaYahya-h8tАй бұрын
Maneno mazito سبحان الله وبحمده سبحان الله العظيم
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
AaaminaYaarabi
@daslamonline4665Ай бұрын
Nilijua sheikh lazima anivunje mbavu😂😂😂
@MuislamuАй бұрын
Wacheni urongo visa va kupanga za juha kalulu..eti mtu hai aijiwa na malaika ...daaah mwisho hio ...ni hizo bangi ..
@NtakarutimanaHassan-q9lАй бұрын
Ma sheikh ubwabwa
@selemanally2038Ай бұрын
wewe huli ubwabwa mjinga wa fikra
@Nature-xe7luАй бұрын
izudin joker wa mombasa akija tnz anakuwa sheikhe
@asmakomora4839Ай бұрын
𝕁𝕒𝕫𝕫𝕒𝕜𝕒𝕒𝕝𝕝𝕒𝕙𝕦𝕜𝕙𝕒𝕚𝕣𝕪
@Twahamwela-ch5lzАй бұрын
Sasa haya ndo mawaiza ya kuzungumza ktk maulidi mawaiza mazuri
@muradmohammed6559Ай бұрын
Salaaala mtu hajafa amelala tu ameulizwa maswali na Munkar na Nakir.....Doh hii kali watu wa maulidi
@mohamedtsopa2987Ай бұрын
Soma babu sayidna omar n malaika wa kaburini hiwari yao
@hassanisihaka910Ай бұрын
Sikiliza vizuri acha masihara na Papara amesema Askari police bwana Hiyo unayoleta Ni Fitina
@nassermohamed6174Ай бұрын
Tatizo lenu kubwa mnafundishwa chuki Badala ya kufundishwa dini! Msikilize Sheikh Izzudin anazungumza nini...Acha chuki