Mama Mzazi wa aliyepigwa na mume hadi akauawa Dodoma aeleza alivyomuonya mkwewe

  Рет қаралды 393,921

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Kufuatia kifo cha Aisha Ramadhani anayedaiwa kuuwawa kwa kupigwa na mumewe hapa jijini Dodoma jambo lillopelekea kifo chake Mwananchi Digital imefika nyumbani kwa mama yake mzazi eneo la Changombe jijini hapa na kukutana na mama Mzazi wa aisha ambaye anaeleza namna ambavyo mwanae alikubwa na Masaibu hayo.

Пікірлер: 1 000
@sultankivumbi9255
@sultankivumbi9255 2 жыл бұрын
Pole sana mama mkwe kwauchungu ila dada zetu mkiona wanaume wastaili hii mue mnajiengua mapema msing'ang'anie
@tnerdaniel6198
@tnerdaniel6198 2 жыл бұрын
Sijui wanang'ang'ania nini kwa mwanaume wa kupiga unakubali kupigwa kweli
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 6 ай бұрын
Kweli kabisa sisi kina mama tunayatafuta. Mtu anakutimua eti unagoma kuondoka. Kwamba ukigoma ndo atakupenda au? Sometime mtu ashapata kimada huko anaona unamzingua. Bora utoke tu maisha yanatafutwa upya. Pia shida yetu tukiachika tuba mbwembwe sana...akikuacha hata kama maisha yamekunyookea basi tulia usitake kumrusha roho badala utulie tu uendelee na maisha yako kimyakimya. Ndo maana wengine wanakuja kuumizwa hata baada ya kuachana
@HafswatKomboza
@HafswatKomboza 4 ай бұрын
Tusihadaike na mali za waume watuoao.rizki atoae ni Mungu tusikate tamaa wakati twaishi
@sharifajuma9945
@sharifajuma9945 3 ай бұрын
@@tnerdaniel6198 tuteme mate chini wanaume wengine ni mtihan omba usikutane nao unaondoka kwenu wanakufata juu juu tena wanakubeba mmi ndoa yang ilikuw kama uyo mdada unarud nyumban unakuta nyumba imezingirwa na Watu wenye mitutu unabebwa kama gaid ukiend sehem husika kuripot amna kitu wanafany ndiy kwanz unaanza kutukanwa na kuambiw mkorof ni wewe achen ndoa izi mpk kupata talak yang ikanibid nifanye fujo mahakaman ili nifungwe
@SophiaMbogo-p1k
@SophiaMbogo-p1k 3 ай бұрын
​@@tnerdaniel6198❤ , , , , .. ., ..,.,. . ..... 😊pp
@zikenims6167
@zikenims6167 2 жыл бұрын
Pole sana mama mimi nisingeenda uko ningezika kwangu mwanangu
@janeamsara4845
@janeamsara4845 2 жыл бұрын
Mama anang'ang'ania mke wa ndoa ndio maana kakubali wakati mine was ndoa ndio kamuua😱😱😭😭
@EnessiSosten-i8x
@EnessiSosten-i8x 10 ай бұрын
Kazi sanaa
@RhodaMlowe
@RhodaMlowe 7 ай бұрын
kaabiiisaaaa
@HawaHusen-l2s
@HawaHusen-l2s 7 ай бұрын
Poleni sana huyo mwanaume nae aueawe iliajuwe kifo cha klazimishwa kinavouma mungu amlaze mahali pema poleni wafiwa mungu awape subraa
@Stellahaule-ik4bk
@Stellahaule-ik4bk 7 ай бұрын
Uyomwanaume nayy anyongwetu
@IreneManollo
@IreneManollo 6 ай бұрын
😢T😢t😢😢ttt😢😢ttt😢t😢😢t😢😢t😢t😢😢​@@Stellahaule-ik4bk
@MumuNgeti
@MumuNgeti 5 ай бұрын
Iyo mbwa inyongwe pole cn mama mungu akutie nguvu
@shahashaha6269
@shahashaha6269 2 жыл бұрын
Kuna cha kujifunza hapa wanawake wenzangu tujifunze hapa kuanzia mume Hadi family zetu innallilah wainalillah rajiun 😥
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani pole mama mungu akutiye nguvu
@mustorytellermullah2737
@mustorytellermullah2737 2 жыл бұрын
Asee pole Sana mama,wanaume wenzangu Kama tume shindwa kukaa na watoto wa watu tusi wa tese kiivo jamani daah 😢
@tinageofrey9361
@tinageofrey9361 2 жыл бұрын
Njoo uniowe wewe kaka,maneno kuntu
@gracegeorge9140
@gracegeorge9140 2 жыл бұрын
Pole mama ulichukulia enzi zenu kwa sass cluhusu mkwe kumpiga mwanangu
@venerandahhayuma4341
@venerandahhayuma4341 Жыл бұрын
Njoo nioe sasahivi bila hata mahari
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 2 жыл бұрын
Hivi niulize wenzangu mshawahi sikia mwanamke kamuua mume wke au kampiga mume wke!!!so kwanini kila kukicha sisi wanaume tunawapiga wanawake wetu ambao wanatuzalia watoto na kutujengea familia mpaka tunaitwa baba Fulani na tunawafanyia vtendo vya kinyama hadi kuwauwaa dah I say SUBHANNALLAH THUMMA SUBHANNALLAH InshaaAllah MUNGU amalaze mahali pema peponi na amsamehe dhambi zke za siri na dhahiri yaaa Rabbal aaalamin..
@joycemluga1125
@joycemluga1125 2 жыл бұрын
Point
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Swalii gumuilo daaadaa😭
@mwazanimnyamani8493
@mwazanimnyamani8493 2 жыл бұрын
Tunakoelekea kila mtu ataishi maisha yake sioni haja ya kuolewa mana kaolewa ni shida wanawake tunateseka sana na mwisho wetu ni ulemavu na kifo
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 жыл бұрын
Wapo!!
@kifubayusuph8741
@kifubayusuph8741 2 жыл бұрын
jirekebisheni mama anasema arifata era ya marejesho kwa shoga yake maisha gani ayo
@lilianhermenegild7175
@lilianhermenegild7175 2 жыл бұрын
Pole sana mama lakini ulikua unauwezo wa kumsaidia mwanao tangia uliposikia kweny simu akilalamika ananiua, ungepiga simu police wakatangulia wewe ukifanya utaratibu wa kuelekea eneo la tukio. Pole Sana dear, Mwanamke mwenzangu, mwanaume akishanyanyua mkono Kwa Mara ya kwanza akakupiga usipochukua hatua basi ndo itakua mchezo wake na mwishowe atakumaliza kabisaa. Run girls run for your life.
@janeamsara4845
@janeamsara4845 2 жыл бұрын
Yaani sehemu anaishi mama na mtoto alipokua anaishi nauli ya pikipiki Ni 2000,very sad indeed
@neemahusseinrajabu8913
@neemahusseinrajabu8913 2 жыл бұрын
Mama umli nao umekimbia hapo yupoyupo tu
@MwanaishaKarata
@MwanaishaKarata 7 ай бұрын
ile ya Arusha ya juzi huja sikia mama kamua mume wake 😢
@MrishoSamueli
@MrishoSamueli 7 ай бұрын
Naile ya kumkata mwana mume uume haujawahi sikia😂😂
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 7 ай бұрын
Polisi wangesema gari haina mafuta polisi gani
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 2 жыл бұрын
Kitu kinachoniudhi Kwa wamama , ni kutokujali, mwanao anakuja Kila mara amepigwa Bado unamruhusu kurudi Kwa mume . Kweli wamama wanabidi kujitambuwa , labda tunaweza kuokoa maisha ya mabinti zetu ,huyu amekufa Kwa uzembe .rip
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 2 жыл бұрын
Muda mwingine unakuta mtoto mwenyewe king'ang'anizi wanapigana anarudi kwao baadae akipigiwa cm tuu na mume akiambiwa nakupenda baasi awezi sikiliza tena mzazi tusiwalaumu wazazi jani
@fanenchimbi6721
@fanenchimbi6721 2 жыл бұрын
Wazazi tufike mahali tusishauri mtoto kurudi kwa mwanaume anayepiga,huwa hawaachi.Maana anakuwa keshazoea kumgeuza ngoma.
@MajidHiliza
@MajidHiliza 4 ай бұрын
?😅z!1!+qe!W-w​@@fanenchimbi6721
@MwanaishaMande
@MwanaishaMande 4 ай бұрын
Huyu mama simuelewi
@getrudermassawe5499
@getrudermassawe5499 4 ай бұрын
Acha tu sasa sijui ni mila fikiria amemwachilia hata akiwa maututi
@naomisamsoni1040
@naomisamsoni1040 2 жыл бұрын
Dah.! Mama Kuna mahali alizembea, pole sana
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 жыл бұрын
Yote hayo bado tu mulimruhusu arudi kwa huyo mshenzi mulikosea kumuacha wakati mifano tele ya ukatili wa wanawake ishatokea dah ila poleni sana
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 2 жыл бұрын
Mi sijauelewa huyu mam ktk uuguzaj na kudeal na hlo jambo
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 7 ай бұрын
@@ablashaffy2860 mama kakosea wapi,alikuwa anajalibu kulea ndoa
@Kimware-kb1yb
@Kimware-kb1yb 7 ай бұрын
Labuda na huu mama itakuwa alikuwa amechokwa na mwanae Ety unaona dariri bado tu unarudixha kwa mkwe
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 7 ай бұрын
Kabila gani
@estherhamis
@estherhamis 2 жыл бұрын
Pole sana mama Kwa kuondokewa na mwanao pole Kwa watoto wa marehemu pia Kwa kuondokewa na mama Yao. Mungu awape faraja kuu mioyoni mwenu
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 2 жыл бұрын
Ila wameshindwa mtoto kuita majilani jamani kweli
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 жыл бұрын
Wanaume wamekuwa wanyamamwitu! Nakupenda nakupenda nyingii, na makosa wafanye wao tukifanya sisi ni kifo tu! Sasa bora na sisi tuwauwe tu Aaah! Imekuwa hatari bora uishi katikati ya pori utaamka Asubuhi! Kuliko hizi ndoa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Sista tatizo nyinyi SASA hivi huwa hampendi mtu mnapenda alicho nacho yaani Mali,mwanaume akiwa Fara mnamuona boya,SASA vumilieni iyo Hali
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513 sio wanawake woote wanao taka mali. Wengine tunawaokota wanaume majalalani tunawaogesha wakisha nga’ara ndio wanakuwa majeuri siku hizi wanawake tuna pambana
@zainabmohammed6700
@zainabmohammed6700 2 жыл бұрын
Ndo muchukuwe maamuz y kuuwa au mbon nyiny mnatuletea wanawak ndan wanawak tunavumilia,,,,jichungeni
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
@@ummySheikh72 ilA ndio inahuzunisha,huyo dada Yule wa geita nae kapigwa visu,,
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
@@zainabmohammed6700 SASA madam unakuta mtu amekuoa Kwa pesa zake na sio mapenzi yaliyoko Dani ya moyo,pesa zake ndio zilizo Fanya kwenu akubaliwe,haraka ,Kwa hiyo kama pesa zake anauwezo kufanya lolote,
@belinamartini1768
@belinamartini1768 2 жыл бұрын
Pole mama, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
@elizabethmassawe694
@elizabethmassawe694 2 жыл бұрын
Pole saana mama ,ungefanya kitu pale ulipopigiwa cm,jiran yangu Aisha mungu akupumzishe salama.r.i.p
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 2 жыл бұрын
Yaaan kumbe hata ndani haingii af unamuita Mkwe mkwe gan? Pumbafu wazaz tuachee kuwalazimisha watoto wao kwa wanaume, sio lazima
@getrudermassawe5499
@getrudermassawe5499 4 ай бұрын
Yaani ufahamu tunatofautiana maana mtoto alipiga simu mara ya pili tena akamwambia baba anaendelea kumpiga mama na sijui kama ana mpango wa kukupigia pale angeomba msaada wa majiran kadhaa wakachukua usafiri wa haraka kama bodaboda wakawahi
@JJ4ZA
@JJ4ZA 2 жыл бұрын
Mwanaume kumpiga mwanamke ni kitendo cha woga kabisa na kinyama. Mwanaume ni mlinzi kwa mwanamke. Kama umeshindwa kuishi nae achana nae kwa wema. Tafadhali ukiona dalili za mwanamke yeyote kunyanyaswa na mwanaume toa taarifa kwa mamlaka mapema kwa usaidizi. Majirani msifumbie macho vitendo hivi vya kikatili.
@reginasigera4204
@reginasigera4204 2 жыл бұрын
Kabisaa abdalah Yani mwanaume tatizo lake kijishusha ndo tatizo mwanaume hataki kujishusha
@ashrafseif9460
@ashrafseif9460 2 жыл бұрын
Polen jjaman
@judithkiramweni7135
@judithkiramweni7135 2 жыл бұрын
Mama mzembe sana unapigiwa simu hutaki kwenda , mwanao kapigwa mara nyingi huripoti popote na unazidi kubembeleza mkwelima 😭😭😭😭😭😭😭 nimeudhika sana mamaaa mzembeee sanaaa
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 2 жыл бұрын
Sijawahi kuona mama wa ajabu kama huyu
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
Halafu kama hana uchungu,au mimi naona vby.
@jeskahaule2867
@jeskahaule2867 2 жыл бұрын
Alichoniboa ni mzembe huyu mama maana walikuwa wanampigia cm lengo asaidie Tena yeye anakaa kimya Wenda huyo Pita angeshaonywa Wenda hata mauaji yasingetokea
@ezirabatu2734
@ezirabatu2734 2 жыл бұрын
Wewe mama mm nilijua unaishi mkoa mwingine kumbemlikua jilani nimekuchukia kbs ww mwanamke
@husnamtitiko9312
@husnamtitiko9312 2 жыл бұрын
@@ezirabatu2734 inaonekana huyo pita ana pesa na pesa ndo alifanya fimbo ya kuwachapia hiyo family na kuwadharau 😭😭😭
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 2 жыл бұрын
Pole Sana Mama ila kuna uzembe umefanyika ulipigiwa cm kua anapigwa hukuja..amejitahidi amefika hadi kwako mkamrudisha kwa huyo katili badala ya kumtibu, haya umeenda kwake umemkuta na hali mbaya badala ya kumpeleka hospital mkaanza kubishana ukamsikiliza huyo mkalala hadi mauti ikamkuta.. daah pumzika kwa amani mbele yako nyuma yetu inaumiza mnooo🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭
@salmaChituta
@salmaChituta 7 ай бұрын
Jamani siyo wa mama wote mm yamisha nikuta nikatoroka kurd homu mume kanitatiriya wazazi wakamwambiya binti atoki sijarud nimepata mume aritaka kunihuwa siku hiyo nirivyo toka baci mungu ali,kuwa pamoja nami
@joycemluga1125
@joycemluga1125 2 жыл бұрын
Mama samahani umechangia kwa kiasi kifo cha mwanao simulizi yako imeonyesha wewe ni dhaifu ulikua unapata Nini kwa uyo pita ndoa ni mapanga na fimbo pole kwani serikali ulikua huioni mama?
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 2 жыл бұрын
Point
@heriethmuta2903
@heriethmuta2903 2 жыл бұрын
Kajengewa hiyo nyumba. Wamama tuache tamaa ya mali
@tonymwalanya3027
@tonymwalanya3027 2 жыл бұрын
Uyo mama nimchawi kamtoto kafara iyo nisababu mongo mkubwa yeye na uyo mtoto wake mungine wawongo wAkubwa sikiya upuzi wake. Mke
@prosmacharius7074
@prosmacharius7074 2 жыл бұрын
Hakika.bora anyamaze tu.mtoto umemzaa mwenyewe anakulalamikia kila akija kwako bado huchukui hatua??eti Sina la kukusaidia
@rosendile8235
@rosendile8235 2 жыл бұрын
Mama yetu mpendwa anatisha kwa kweli ndoa ni maelewano ikishindikana ni vema kurudi nyumbani kupumzika kwa muda. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@agnesssimon3976
@agnesssimon3976 2 жыл бұрын
Ninawalaumu Sana ninyi ndugu za marehemu,Sasa amekufa ni faida gani umepata wewe mama?
@alimwangabula5060
@alimwangabula5060 2 жыл бұрын
Wanawake wanakufa kwaajili yawatoto jamani nani kama mama poleni wafiwaa
@Kidotii
@Kidotii 3 ай бұрын
Hutakiwi kufa kwa ajili ya watoto wako unatakiwa kuishi kwa ajili ya watoto wako, toka kwenye manyanyaso!
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 2 жыл бұрын
Daaa jamani pole Sana mama kwa kumpoteza mwanao mpendwa hakika ni huzuni kubwa 😭😭Hii Tanzania yetu imeshakuwa ni nchi ya mauaji sas hivi kila mtu anajiamulia tu kuua ,kuua siku hizi imekuwa ni kawaida tu mauaji yamekuwa too much.Mungu tusaidie tuondolee roho ya umwagaji wa damu.R.I.P
@neemakrekamoo4789
@neemakrekamoo4789 2 жыл бұрын
Mama Kuna mahali amefeli sana jamani...Yani mwanao kapigwa kiasi anashindwa kuhema unamkabidhi Kwa huyo shetani??huyo Pita yeye Mungu???Yani uzembe wa mzazi umechangia sana sn...hatakama mtoto Hana baba...bado serikali IPO...kwanini usingpeleka akajifiche hospitali yoyote tuu...kwanini msingemuweka huyo jasusi ndani huko mtoto mkamtibuu...aah so sad anavyoelezea huyu mama utafikiri si mamake mzazi....anamuigopa Peter utadhani Mungu....maneno hayambadilishi mtu hata siku moja...
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Hii familia inaonekana haina ushirikiano kuanzia kwa mama hadi kwa watoto wake
@mariandamu7379
@mariandamu7379 7 ай бұрын
Kivip
@salhafilms
@salhafilms 3 ай бұрын
Kabisa Yan Kwanza hawahurumiani
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia 3 ай бұрын
Kweli kabisa.
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 2 жыл бұрын
Ila akina mama wa kitanzania tufike mahali pa mabadiliko. Mwanao anafanyiwa vituko vyote hivyo mmekaa kimya na mnamruhusu kurudi akiwa na maalama ya kipigo mpaka siku anakufa kweli???? Tutaendelea kutoa ushuhuda hadi lini? Kwa nini hatua hazikuchukuliwa mapema? Huyu Peter yuko juu ya Sheria? Mlishindwa hata kutoa taarifa polisi?
@ipyanamwaipaja3720
@ipyanamwaipaja3720 7 ай бұрын
umeona amepoteza mwane kwa uzembe kabisa
@christinakiula3743
@christinakiula3743 6 ай бұрын
Eeee Mungu tusaidie tunapopita katika hali ngumu tupe wepesi katika jina la Yesu.
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 6 ай бұрын
Wakati mwingine hata dada zetu pia hawataki kuondoka kwa wanaume hasa wenye unafuu wa maisha bila kujali mateso wanayopitia
@JulianaCelestine-o1f
@JulianaCelestine-o1f 7 ай бұрын
Huyo Peter atakuwa anavuta bangi. Mama pole sana Mwenyezi Mungu ampokee kwake mbinguni
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Ndugu yupo Sentro Mama sikitikia mwanao usikubali kurubuniwa na yeyote. Kwa nini usingemshauri mwanao aondoke tu na kama alikuwa anamfanyia hayo kwa nini msingemshitaki siku nyingi ona sasa kamuua mwanao .Hasara kwako ulikosea sana Mama pole sana
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Kbsa ,alifanyiwa ukatili siku nyingi
@AdiliMkonge
@AdiliMkonge 4 ай бұрын
pole sana mamangu mungu akutie nguvu mungu ampumzishe aisha salama
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Mama ulikosea kumuacha arudi 😭😭rest in peace sister watoto jamani
@Kidotii
@Kidotii 3 ай бұрын
Mama ni mtu mzima hizo purukushan haziwez
@nobertinavictorian9592
@nobertinavictorian9592 4 ай бұрын
Pole sana mama. Nia yako ya kumrudisha haikuwa mbaya. Ila ndoa si kifo jamaniii. Kitu kikikataa achana nacho ili maisha mengine yaendeleee😢
@tabuomary1016
@tabuomary1016 2 жыл бұрын
Pole Sana mama. Hawa wanaume siku hizi tuanatakiwa tuwaelewe, na ukae mbali na mume Kama tabia zake hazieleweki. Kujifanya unatunza ndoa ndio hivyo mauti yanakukuta. Mume ana tabia za ajabu , kipigo kwanini usiondoke !? Innalillah wainnailayh rajiun.
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 2 жыл бұрын
kweli kabisa
@nameloidd5241
@nameloidd5241 2 жыл бұрын
Hii tabia ya kuambiana vumilia vumilia hii ndio mwisho wake mtanisamehee mimi siwezi,sasa watoto watoto leo unawaacha bora ungekuwa nao bila huyo mume
@telesiakaovera4381
@telesiakaovera4381 2 жыл бұрын
Ningekuwa Mimi ndo mama huyo mke huyo pita angekomaa
@Moto1234-jl5ti
@Moto1234-jl5ti 3 ай бұрын
Mama pore sana ampumzishe kwaaman namwanga wa mirere umuangazie apumunzike Kwa amani amna❤
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Pole sana mama yangu mumgu amrehem wajina wangu 🤔😭😭😭 huyu mmewe afie jela in shaaj🤗😭
@njuka3515
@njuka3515 2 жыл бұрын
hachukuliwi hatua yoyote na ataendelea kuishi tu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@njuka3515 saahii yuko ndan😥🤗
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Pengine uyo mama anali,siku inaletwa posa ndie wakwanza kupokea,na kuuliza mkwe anafanya kazi,kaambiwa ana mabiashara yake makubwaa. Magari ya kutembelea,manyumba ya kupangisha,,,tuvumilieni na yabadae yanapo tokea
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513labda
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513 mungu atusa8die waja wake 🤗🤗
@FloraMpunza
@FloraMpunza 4 ай бұрын
Pole sana mama. Mungu amhukum huyo pitar kwa alichokifanya.
@marcominja8850
@marcominja8850 2 жыл бұрын
Pole sana mama, hao majirani nao ni wazembe sana mtu mnakaaje kimya mwanamke anashambuliwa hadi kifo, mnashindwa hata kuvunja mlango na kumshikisha adabu huyo bwana.?
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 2 жыл бұрын
Ni mjeshi. Hawamuwezi.
@rosejoseph2093
@rosejoseph2093 2 жыл бұрын
Kuna geti kubwa
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs 7 ай бұрын
Poleni Sana wapendwa. Kwa Kuondokewa na mtoto wenu na watoto Kuondokewa na mama Yao mungu amsamehe makosa yake kwa kweli haya marejesho ni tatizo mkubwa Sana kwenye nchi zetu za ki Africa yani ndowa zinavunjika maisha WA watu yanaharibika na mwengine Kama hivyo wanasababishiwa mauwaji watoto wanayumba majumbani kwa kukosa male I bora ya Mama mana mama kutwa yuko resi na marejesho hii ni vita baridi kwa kweli
@umiy1971
@umiy1971 2 жыл бұрын
Anaonekana alipata majiraha ya kuvuja damu ndani kwa ndani, mungemuwahisha matibabu pengine angekuwa hai . Na sie wanawake basi ushashikiwa mpaka panga na mwanaume huyo bado umeng’ang’ania hapo tu.
@AngelaLyimo-d7x
@AngelaLyimo-d7x 5 ай бұрын
😢😢mwanaume kama shetani
@veronicaamsi8280
@veronicaamsi8280 5 ай бұрын
Nimeumia sana kumbe hatujui wanaume wengine jmn machozi yangu Mungu aone mkiona hivo vitu ondoka Dada angu ondoka mdogo Wangu kimbia jamii itusaidie,,,,, uwiiii hao watoto wake,, Mungu wape familia faraja....
@hamisaabdulhamid529
@hamisaabdulhamid529 2 жыл бұрын
Mtoto kaja nyumbani hoi mnamrudisha tena kwahuyo shetani mmh pole sana
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 2 жыл бұрын
ALIKOSEA SANA KUMRUDISHA
@dotnathalazaro472
@dotnathalazaro472 2 жыл бұрын
Nahis huyo baba alikua ndo tegemez ndo mana walikua hawana sauti
@RhodaMlowe
@RhodaMlowe 7 ай бұрын
Yaani hapo ndio nimechoka eti anarudi kwake wapi kama ingekuwa kwake angepigwa hivyo . Hata huo msiba nisingeruhisu ukafanyike huko WA nini sasa. Wakati ndg Yao anaishi na mtt WA watu manyanyasi hivyo INA hawakuwa wanajua eti mkewe WA ndoa msiba ukawe kwake weweeee never
@RhodaMlowe
@RhodaMlowe 7 ай бұрын
​@@dotnathalazaro472hata Nyumbani alikuwa hawaachii pesa ya matumizi wanawe utegemezi huo UPI!! Ni mkatili tuu
@mwajumakudema5840
@mwajumakudema5840 7 ай бұрын
Duh hao ndugu wa mume ni wajanja wanatengeneza mazingira ili ionekane huyo mume hausiki moja kwa moja na hicho kifo,, Yani kosa kubwa hapo mama ni kuamua kukaa na mtoto bila kumpeleka hosp ,,,,huko hosp general sijui hosp gan iliompokea huyo mtu amepigwa na kujeruhiwa mlitibu na pf3 kma ndio basi marehemu atapata haki yake na kma sio hapo uwezekano mkubwa marehm akakosa haki yake . Japo marehemu aliripot police lakini uwezekano mkubwa hapo RB ya marehemu isiunganishwe moja kw moja na sababu ya kifo chake ili kumsaidia mtuhumiwa ,,marehemu hana Haki😭 mungu awakuze watoto na amsameh mama yao
@mwitamahende4394
@mwitamahende4394 6 ай бұрын
Pole Sana mama, ungechukua tahadhari mapema, Lakini marejesho ni tatizo lingine linalosumbua na kuhatarisha ndoa zetu
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 жыл бұрын
Dah wanawake tunatesekaaaa jaman pole sana mama inasikitisha sana Mungu wangu tusaidie
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Tesekeni tu c mnataka ndoa
@PetrolinaSipriani
@PetrolinaSipriani 7 ай бұрын
Polen sana jaman mungu atulinde siss Wanawake
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
Pole Sana mama Ila kwanini alivyotoka hospital akarudi Tena kwa mumewee yani vipigo ivyooo
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 7 ай бұрын
Karudi kwasababu ya mumewe ndio tunavyojidanganya eti ndoa mavi
@GetlidaMsongole
@GetlidaMsongole 3 ай бұрын
Pole mama angu kwayote hao mungu akusaidie tu
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 2 жыл бұрын
pole mama yngu hii tabia imekuwa sugu kwa wanaume
@emmanuelmuchunguzi45
@emmanuelmuchunguzi45 2 жыл бұрын
Ni kweli Kama unamchoka mtoto wa mutu mwambie aludi kwao mrejeshe kwao mtt wa mtu
@AngelSevelin
@AngelSevelin 7 ай бұрын
Jaman polen sana mungu awatie nguv awape faraja tena
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
Story yako inasikitisha sana…. Mmefanya uzembe wa hali ya juu sana😭😭
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 2 жыл бұрын
Yani mno
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
Uzembe mkubwa
@nsumburoote2486
@nsumburoote2486 2 жыл бұрын
Eti Hata kupeleka hospital wangeweza kuokoa maisha yake
@mariakabonga2
@mariakabonga2 2 жыл бұрын
wakati mwingine panahitaji maamuzi magumu jirani zangu pole sana mama
@marthaswai1185
@marthaswai1185 2 жыл бұрын
Ukisikia binti yako anapigwana mume,mshauri akimbie kabla ya kifo.Pepo la kipigo lipo kazini.
@getrudermassawe5499
@getrudermassawe5499 4 ай бұрын
Pole sana mama Pita aliona upole wa hii familia ndo maana aliwaburuza anavyotaka mpaka ameua mke jamani Nashauri wanawake wasivumilie vipigo ingawa watoto wanaumiza sana na wazazi tukiona watoto wetu wa kike wanapitia mateso ya namna hii tusiwashinikize kurudi kwa waume kisa ndoa halali hamna haja ya kuhatarisha maisha yao huyo Peter ni mnyama hafai poleni sana familia na watoto sipati picha hawa watoto huu unyama walioshuhudia
@salomejohn7963
@salomejohn7963 7 ай бұрын
huyu mama mzazi amechangia mtoto wake kupoteza maisha hivi mtoto wako amekuja Yuko hoi halafu unakubari anarudi tena kwamwanaume bado hajapona
@evertheobald1811
@evertheobald1811 5 ай бұрын
Yaani huenda umaskini nao unachangia aiseeee!😭😭
@MagrethKimalala
@MagrethKimalala 3 ай бұрын
Pole sana mama tumuombee dada etu apumzike kwa Amani
@letciamapunda8428
@letciamapunda8428 2 жыл бұрын
Wanawake wenzangu mwanaume akisumbua achananae angalia maisha mengine
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 7 ай бұрын
Bahati Bukuku akisema wanasema muhuni😂😂 ukifa wafa pekeako
@JuliethMathias
@JuliethMathias 6 ай бұрын
Pole sana mam mungu ailaze roho yamalehem mahar pema. Peponi
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Ee Mungu baba tusaidie jamn 😭😭😭😭😭Pole Sana Mama
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 2 жыл бұрын
Tatizo ni maisha ya dhambi kwa wanandoa!
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 2 жыл бұрын
Polesana Mama,poleni sisi wamama wotee tunaopatwa namajanga ktk uzaziwetu,Polemchungaji Kiula mtaniwangu,Watoto wetu wakike hawapisalama.
@carinamatt1031
@carinamatt1031 2 жыл бұрын
Huyo alikuwa na mwanamke mahali
@japhetchristopher8209
@japhetchristopher8209 2 жыл бұрын
Jamani Inauma mama Mzee Mtt mdogo kakatiliwa maisha Yake Peter Mungu anakuona pole saana Familia bifu kwa watt
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Yesu wangu ntakaa mwenyewe tu hawa wapumbavu sitaki hata kuwasikia
@simplyfay5308
@simplyfay5308 2 жыл бұрын
Me too Mungu anisamrhe km natenda dhambi🙌
@fredrickymuxhy668
@fredrickymuxhy668 2 жыл бұрын
Wew mama pia mbaya kwa nin usimpeleke siku zote mpaka alale kwako siku zote hizo
@yaelijoseph8742
@yaelijoseph8742 2 жыл бұрын
Mimi jamani lawama nazitupia serikali, kwàsababu hata ukienda kushtaki wanawasikiliza wanaume nakutulaumu sisi wanawake 😭😭😭na ndicho kinachopelekea tunauawa kila Siku 🤷🤷🤷🤷
@reginasigera4204
@reginasigera4204 2 жыл бұрын
Nime muelewa mama anacho zungumza Hawa wanaume Hawa eeee mungu anisimamie
@gracegeorge4848
@gracegeorge4848 Жыл бұрын
Namshkuru mungu sjawah pata mwanaume wa kunipiga na haitatokea...ntamkata korodani mamae zake
@oldavidasemu2420
@oldavidasemu2420 2 жыл бұрын
Maaaaa pole sana
@FaridiKaoneka-e4u
@FaridiKaoneka-e4u 2 ай бұрын
pole mama sio vizuri ni koss kubwa
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 2 жыл бұрын
Yaani mtoto wako kauliwa Bado unawapa wanazika wao eti kisa kafunga ndoa duuu mama sijakuelewa 😭😭😭😭😭😭😭
@veronicajulius6741
@veronicajulius6741 2 жыл бұрын
Mama mpole hajakutana na wamama waliopinda uyo mwanaume mama kashazeeka na ni mpole hawezi ata jinsi ya kutetea kitu nmeumia Sana jmn kwanza mwanae kaja kaumia afu alikua anamwambia apande kwenye gari Tena warud nyumbn sa cjui alichkulia kawaida
@mossihassani2828
@mossihassani2828 5 ай бұрын
Poleni sana jamani😢😢😢😢
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 2 жыл бұрын
Huyo mother nae aache unafki, Inaonekana huyo mtoto wake kapigwa sana tu kila sku afu hachukui hatua, Siangemshauri mtoto wake mapema aachane na huyo mwanaume! Mi siwezi kukubali mtoto wangu nilie mzaa akanyanyaswa! Nitasimama imara kujua ukweli! Siwezi!
@tnerdaniel6198
@tnerdaniel6198 2 жыл бұрын
Ila mama anaongea kama hajaguswa anatuumiza watazamaji Wazazi waambie watoto wao wasivumilie vipigo
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 5 ай бұрын
Mimi mwemyewe nimemshangaa mwanae analia kakaa naye anatoa macho kodoooo kha huu ni ujinga gani aliona nao huyu mama ..mwanamke mwenzangu nimeshindws kumwelewa
@JanualKafulu
@JanualKafulu 5 ай бұрын
Poleee Sana wanandugu
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 7 ай бұрын
Atakuwa aliumizwa figo na damu ikaganda ndani
@deusdedit789
@deusdedit789 2 жыл бұрын
Eti vidonda vya tumbo Si vimetokana na mateso ma kumbuka mateso mama yangu alio pitia 🙌🙌🙌🙌🚶‍♀️
@rayanamrsshariff5777
@rayanamrsshariff5777 2 жыл бұрын
Mama hukufanya wajubu wako maelezo yako meoesi Sana ,mtu yupo hoi mnakaa nae tu
@mwaget0815
@mwaget0815 2 жыл бұрын
Umeonaeee... yaani mtu anaugulia yeye anamuangalia tu, angemuwaisha hosp kesi baadae
@jasminiIssa-y2q
@jasminiIssa-y2q 3 ай бұрын
Pole sana mama pita auwawe na yy watoto 😭😭😭😭
@arafahhh5574
@arafahhh5574 2 жыл бұрын
Mama ana roho nzuri saana
@zeldakahitwa7509
@zeldakahitwa7509 7 ай бұрын
Sijaipenda roho yake ya kurudisha tena huko msiba!!, huyo mke wa ndoa kwiyo??
@RAMADHANIMAONA
@RAMADHANIMAONA 6 ай бұрын
Wee mama mm unanitibuwa nyongoo loo inaniuma sana tena pita kamuuwa mtt wako tena bado unarud kwapita kulia msiba wamwanao siku elewi ndo kuvurigwa au atakama ume vurugwa ww ndo mvurugwe wote toweni msiba kwapita zilaeli tu huyo mwenyewe upo beba msba wamwanao hastailihuyo kupewa heshima yoyote muuwaj mkubwa huyo
@nyangigenyabitwano1180
@nyangigenyabitwano1180 2 жыл бұрын
Mi mwanaume hanipig hata siku moja, kofi tu naondoka zangu mie , watoto wataishi tu kwani nikifa wataishije
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙌
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Sijaelewa kwann watu wavumilivu kiasi hicho cjui ndio sifa
@husnamadai7052
@husnamadai7052 2 жыл бұрын
Sijaelewa kwann watu wavumilivu kiasi hicho cjui ndio sifa
@happymlowe497
@happymlowe497 2 жыл бұрын
Ndugu mshukulu mungu huyu mama alikuwa akiludi kwao anaenda kumpigia hukohuko isitoshe hata pale mtaani watu tunamuogopa
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 2 жыл бұрын
Wewe ni mimi kabisa siku atamke tu nitakupiga atoniona tena nitaama ata mkowa
@ShabaaniHicuburundi
@ShabaaniHicuburundi Жыл бұрын
Poleni sana mama yangu mimi nimwanaume lakini uyo mwanaume niwaku uwawa nayeye hafayi ndowawo tukanishaga wana ume
@colletatesha5265
@colletatesha5265 2 жыл бұрын
Pole mama mungu akupe nguvu na akupe uvumilivu
@SophiaPetersamwel
@SophiaPetersamwel 6 ай бұрын
Pole sana jaman mungu awatie nguvu
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 2 жыл бұрын
Wallahi wabillahi watallahi i say wanawake wameumbwa na moyo wa subraaa na huruma pia INSHAAALLAH MUNGU AWABARIKI WANAWAKE WOOTE DUNIANI NA AWAJAALI KHERI MAISHANI MWAO PAMOJA NA AKINA MAMA ZETU....
@peragiaisdol3804
@peragiaisdol3804 2 жыл бұрын
Amina 🙏
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 7 ай бұрын
Mama unahekima sana mungu atuhurumie wanawake tunakufa ili kutunza stara ya ndoa na kulea watt wetu
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Asanteni kwa kumkamata mtuhumiwa kwakweli shelia ifate mkondo wake.hasila hasala
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 2 жыл бұрын
Utafikili huna uchungu poleni sana family Mungu awatie nguvu
@miaerny6609
@miaerny6609 2 жыл бұрын
Naona sababu ni mtu mzima sana!
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 2 жыл бұрын
Mama mzembe kwelii,Yani mtoto wako 😳anapigwa unashindwa kuenda kuangaliya mtoto wako,unasubiri arudi mwenyewe,😭😭😭wewe mama mtu mzima mzembe Sana 😭😭 umeniudhi 😭 hiyo familia yenu ya kizembe Sana😭😭Yani munapigiwa mtu munamuacha kea Ajili ya ATI mume wake
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 2 жыл бұрын
Uzembe kweli
@hellenchristopher2417
@hellenchristopher2417 2 жыл бұрын
Huyu pita aliizoea hii familia
@janeamsara4845
@janeamsara4845 2 жыл бұрын
Uzembe wa hali ya juu,wakati chidachi na Changombe pikipiki 2000 mtoto anasema anakufa yeye anasubiri apigiwe simu,cha pili badala ya kuwahi hospitali wanamlaza kwenyekochi,duh! Huzuni aisee:-P😭😭😭
@mariamsindano1953
@mariamsindano1953 2 жыл бұрын
Hata sielewi, mume ndio nini
@gladnesskweka9699
@gladnesskweka9699 7 ай бұрын
Huyu mama anakera haoni hata aibu kuhadithia ety anamuomba ety baba usimpige yaan anambembeleza
@LovenessBarnaba
@LovenessBarnaba 5 ай бұрын
😭😭jmn daaaaah!!
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Dodoma sasa ivi inamatukio jamani
@IsayaKanuya
@IsayaKanuya 6 ай бұрын
Polen sana mama kwa uchungu mkubwa Mungu awatie nguvu
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Yani Wanawake tutamalizika kwajili ya Wanaume, Wanaume, Wanaume mkiona mmewachoka wakezenu wapeni talaka warudi makwao
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 жыл бұрын
Umeongea point
@MerinaGuntram
@MerinaGuntram 5 ай бұрын
Huyo mwanaume alikuwa na jambo lake, pole sana mamaangu, mungu akupe wepes
@WinifridgozbatGozbat
@WinifridgozbatGozbat 3 ай бұрын
Pole sana
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭.. Nilipitia kipigo watu walijua nimekufa mungu wa ajabu ni hai mwananyamala hospital mungu awabarki
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 2 жыл бұрын
Ndo uondoke mapema mara ya pili huamki!💃💃💃
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 2 жыл бұрын
Mie kipingo siwezi himili ak ndo maana nilijiengua mapema wallah 😭😭😭
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 2 жыл бұрын
Me akishaaa subutu tu kunishikia fimbo basi tena me na yeye
@EnessiSosten-i8x
@EnessiSosten-i8x 10 ай бұрын
Poleeee
@esterromanus6213
@esterromanus6213 2 жыл бұрын
Poleni sana achukuliwe hatua
@leilasaid3623
@leilasaid3623 2 жыл бұрын
Mama samia suluh hasan twakuomba mama angalia masuala haya yachukulie hatua jamn mama hivi ni vitendo vibaya vimekithir kwenye ich yetu wanaume kwa sasa tunawaogopa sana mam yetu😥😥😥😥😥
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 2 жыл бұрын
Hatua tuchukue sie wenyewe umeona Kuna Shari jiepushe hili swala hatua huchukuliwa baada ya maafa ndio jeshi linafata Ila Moto huanzia chini na unaona kabisa hapa mwsho mbaya km Mali zinatafutwa Ile kunga'nga'nia ooh watoto wangu Mali tumechuma wote MTU kakupiga na panga visa vidgvidgo kupigwa kila uchao hela haachi bado tu
@Wingu-c7h
@Wingu-c7h 6 ай бұрын
Ni mtihani mkubwa sana Mungu akupe nguvu Mama Angu na poleni saaana na Mungu atakulipia kwa yote aliyotendewa mwanao😭😭😭
@halimasul6018
@halimasul6018 2 жыл бұрын
Sema wazaz MDA mwingn tuwe na maamuz mlipo pataa taarifa mar moja mbili kwann msiende huko...tatz linapotokea tusilichukulie kirahs bhnaaa
@nyamburanyaega1990
@nyamburanyaega1990 2 жыл бұрын
Kabsaaa inauma mzazi anasema vumilia uvumilie kifo kinakuja
@zainabmohammed6700
@zainabmohammed6700 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa matokeo yote ayo bdo t anasem avumilie t dah mam pole lkni ulipaswa kuchukuw hatuw y kumsaidia bint yako ,,,,hukuwez kumsaidia n uyo peter alikuw anamfanyia kusud akijuw mke han msaaada wowote jman wazaz tujielew haw wanaum sku izi wametufanya km magogo kitu kidogo wanatuuuwa
@piuactress1493
@piuactress1493 6 ай бұрын
Poleni😢😢😢
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 2 жыл бұрын
Wanawake bado hawajajielewa umepigwa hoi bado unarudi kwako, mtu kapigwa hata Kituo cha polisi hamna, lazima tujielewe wanawake hali imekuwa mbaya
@ZaitunSeif
@ZaitunSeif 7 ай бұрын
Poleni familia mungu awatunze
@esthermuthoni3763
@esthermuthoni3763 2 жыл бұрын
Pole sana mama. Huyo bwana mnyama. mungu amuhukumu
@fatnayusuph7810
@fatnayusuph7810 5 ай бұрын
Tunaambiwaga tuvumilie umepigwa unarudishwa tena kwa aliekupiga😢😢
@salhafilms
@salhafilms 3 ай бұрын
Hao ndo wazazi watu Yan mm nilimwambia mama Niue Tu ila sirudi Kwa Yule shetan
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Kufeni tu c ving'ang'anizi wa ndoa na bado
@evertheobald1811
@evertheobald1811 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
MAMA MKWE  ADAIWA KUFARIKI  AKISULUHISHA NDOA YA MWANAYE, MTOTO AJERUHIWA
13:47
Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa
14:23
Mwananchi Digital
Рет қаралды 67 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
HUYU MWANAMKE MCHAWI KANASA
8:39
Steve Mweusi
Рет қаралды 383 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1,5 МЛН
Elon Musk says Department of Education no longer ‘exists’
9:09
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.