KIMENUKA; MCHUNGAJI HANANJA AFICHUA YOTE YA TB JOSHUA, WAKRISTO WAMEPAGAWA NIGERIA IMESIMAMA YOTE ..

  Рет қаралды 141,444

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 420
@robertnkyalu3241
@robertnkyalu3241 8 ай бұрын
Kuanzia Leo nakuita Dr Hananja Hekima zako wengi hawana Big up!! babu yangu Kwa majibu yaliyojaa hekima ndani yake
@maliproductiontv5708
@maliproductiontv5708 8 ай бұрын
Nakuunga mkono atunukiwe na vyuo
@rahabuibrahim5324
@rahabuibrahim5324 8 ай бұрын
Huyu mzee tuna hazina aisee nilimchukulia rahiss kumbeeee duuuu dhahabuu kuliko watu naowajua kanibariki sana
@wiza2309
@wiza2309 8 ай бұрын
Mch Hananja ana Neno, ndiyo maana anaweza kujibu kila aina ya swali kwa Neno, wengibwetu hatuna Neno ila tuna maneno, ni kelele tu kwa jamii na mbele za Mungu. Mungu ambariki sana kwa kazi hii ya kufundisha kupitia mitandao, ni kazi njema na inawafikia watu wengi zaidi walio Wakristo na wasio Wakristo wote tunasikia Neno la Mungu kwa usahihi
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 8 ай бұрын
Asante sana mutumishi wa Bwana kwa ujumbe muzuri, karibu tena kwetu IOWA, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 8 ай бұрын
Mchungaji nimekupenda sana Mungu akuweke na akupe maisha marefu na tusiitafute laana Kwa kuongelea vitu ambavo havipo kama wanaweza wapambane na walio hai
@josephmandelapenet4587
@josephmandelapenet4587 8 ай бұрын
This Man was an extraordinary he shook the world when he was alive and still shaking when he is dead
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 8 ай бұрын
Exactly 💯
@annastaziamwakasege1366
@annastaziamwakasege1366 8 ай бұрын
Very true
@jbm6309
@jbm6309 8 ай бұрын
He was a true man of God
@Theinspector21
@Theinspector21 8 ай бұрын
He was a high level witch doctor. Even Hitler did the same.
@leahmollel6589
@leahmollel6589 8 ай бұрын
Mch Hananja Mungu akibariki sana! Wewe ni hazina kubwaaa👏👏👏🙏🙏🙏
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Hananja ni mchungaji mwenye uwezo mzuri wa kusimamia kweli ya Neno la Mungu
@salomemwambindo8181
@salomemwambindo8181 8 ай бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana kwa hekima yako. Ninakukubali baba.
@aminakupila3079
@aminakupila3079 8 ай бұрын
Tb Joshua is true man of GOD nimefadika sana ktk maombi hadi sasa. He told us before his death watch and pray 🤲🙏🙏🙏
@sweetlisious
@sweetlisious 8 ай бұрын
walidhani wataharibu ukristo ..ukristo utasimama kama Mungu alivyotupa imani
@petermbise
@petermbise 8 ай бұрын
Mchungaji Hananja nafurahia majibu yako yakiçhungaji Mungu akupe Hekima yakutoa majibu.
@themaestro-24
@themaestro-24 8 ай бұрын
Mwanangu alipokea uponyaji 2016.Na mimi nilipokea blessing nyingi mimi na familia yangu.YOTE YANAYOSEMWA NI UONGO .HAO WALIFUKUZWA KANISANI KW UTOVU WA NIDHAMU.MAAJENTI WA SHETANI.
@brendajulius2995
@brendajulius2995 8 ай бұрын
Kwani waganga hawaponyi wala kubariki ?? Ndugu chunga sana yule mwovu asikupokonye
@daphnemasogange7353
@daphnemasogange7353 8 ай бұрын
T b Joshua was a true sevant of God, we miss you our father
@dancanmwamafupa6806
@dancanmwamafupa6806 8 ай бұрын
Mungu ndiye ajuae usimsemee kwa mengi tutaona na tabia ya mtu si kuonekana unahubir tabia ya mtu ni pale anapokuwa peke yake kila binadamu ni mtumishi wa mungu jukumu la binadamu kuumbwa ni kumtumikia muumba wake
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 8 ай бұрын
Asante sana baba kwaufafanuzi mzuri, jamani mtaraniwa kusema vibaya watumishi wa bwana. Mungu tusamehe.
@Electricalmechanicaltanzania
@Electricalmechanicaltanzania 8 ай бұрын
Laiti kama TB joshua angekua Mzungu basi hio documentary ingekua ya masia wa Karne hii. Moja kati ya mkakati uliopo nikuopress the african Superiority. TB a was great Man of God.
@sweetlisious
@sweetlisious 8 ай бұрын
TB Joshua alikuwa anapinga ushoga na juzi papa aliongea kuhalalisha ushoga wameona makanisa ya kilokole mengi yamepinga sasa wameona wapitie njia ya kuchafua ulokole na wameshindwa.
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 8 ай бұрын
Kweli Kabisa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 ай бұрын
Yes, na mkakati mwingine ni kuua Imani ya kikristo! Hapa wala hoja sio tbjoshua
@apostle_AngazaGN
@apostle_AngazaGN 8 ай бұрын
uko sahihi kabisa,mtu mweusi awe chini kufuta legacy yake kabisa
@godson.gidion7338
@godson.gidion7338 8 ай бұрын
Mchungaji wetu,ni Yesu Kristo, Haya yoooote ni kuchafuana,Wapeleke huko Ushoga wao,kwani Mchungaji wetu Hananja, Yupo sawasawa, Yaani sijui hao wanaojitokeza kumchafua Mtu ambaye tayari ni Marehemu ATI inawasaidia nini ?
@TinaNicolaus
@TinaNicolaus 8 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Una maneno ya hekima na busara sana.
@sweetlisious
@sweetlisious 8 ай бұрын
Hananja una akili sana kwa kusimama na ukristo Mungu akubariki.
@nestasanga8433
@nestasanga8433 8 ай бұрын
Umenena mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana,wanapigana na imani Yetu Ili kuzika ukristo na Imani zetu,hawataweza
@mauajuma3762
@mauajuma3762 8 ай бұрын
Asantee Baba Mchungaji kwa Hekima zako,wengi tungejua hivi
@Teulesmwaseba
@Teulesmwaseba 8 ай бұрын
Ukiona vizuri hizi ni roho chafu zilizotumwa kushambulia watumishi wa MUNGU na kuwachafua,lengo ni kushambulia watu imani zao wasimwamwini MUNGU na YESU ili wasiabudu MUNGU, shetani awapate vizuri,..ni vita ya kiroho hii, na nyakati za mwisho hizi watumishi wengi wa MUNGU wanafedheheshwa na kudharirishwa sana..imani ya YESU inashambuliwa sana..
@MasawefamilyTv
@MasawefamilyTv 8 ай бұрын
This man be protected for all costs ❤
@patrickagri185
@patrickagri185 8 ай бұрын
Thank you baba umenena vyema, Mungu akubaliki
@SHELLAAUSI
@SHELLAAUSI 8 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji Ananja kwa hekima ya Kiungu
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 8 ай бұрын
Amen Amen neno dokilakitu baba ubarikiwe Sana mtumishi
@noeldismas7340
@noeldismas7340 8 ай бұрын
Dr. Hananja, umebarikiwa na hekima kubwa, Mungu akubariki mnoo, endelea kuelimisha jamii
@maryamsuleiman1509
@maryamsuleiman1509 8 ай бұрын
Asante sana Baba
@gwizalandkingaru6732
@gwizalandkingaru6732 8 ай бұрын
Hao wote ni watu wa mungu ndio maana ukweli wa kanisa unauchambua vilivyo na mwisho watu wanawatengenezea kesi kwa ukweli wao wa kumtangaza mungu
@dorcasmasinde7349
@dorcasmasinde7349 8 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu kwa majibu ya hekima kama ya mfalme Suleiman mungu na akubariki sana.
@anza-amenndossa4403
@anza-amenndossa4403 8 ай бұрын
Hawa wote wanaomsema vibaya TB Joshua ni Wafuasi wa MPINGA KRISTO
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
Ukihangalia vizuri hili ni boom lililotengenezwa ili kuharibu u kristo maana ingekua kweli lwanini hawakusema mapema watu wote hao amekosa hata mumoja wakutoa siri kweli Mungu atupe uelevu wa kiroho Ameeeeeen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 hii ni vita ya kiroho pia ni kazi ya shetani tuwe makini sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@daslamonline4665
@daslamonline4665 8 ай бұрын
Kwa hiyo hata Mackenzie angekufa mngekanusha kwanini yeye Tu wamekufa wangapi wasafi hatukusikia ya hivyo 👉 Acha watu wajue aliyo Fanya nyuma ya bible usafi WA ulimi sio usafi wa nafsi,,
@SALOMEMWAILENGE
@SALOMEMWAILENGE 8 ай бұрын
Mungu akubariki mch Hananja
@Sifam634
@Sifam634 8 ай бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kukubariki mutumishi
@gasparpeter4049
@gasparpeter4049 8 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Kwakweli wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli na msema kweli.
@osianamwabuka2321
@osianamwabuka2321 8 ай бұрын
Hao ni mawakala wanatafuta kupotosha kanisa la Mungu,sio wakristo wala wanafunzi wa yesu kweli
@loemaangelo8779
@loemaangelo8779 8 ай бұрын
Mungu akuweke muda mrefu ili uendelefe kutuelimisha nakutufundisha hekima mungu awe pamoja nawe daima
@EzbonKashaga-u8m
@EzbonKashaga-u8m 8 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji,Maombi yangu kwako...uanzishe mahubiri ya mtandaoni..ili wengi tupate kulijua Neno la Mungu kweli..na kweli ituweke huru
@OmegaDelta-z6t
@OmegaDelta-z6t 8 ай бұрын
Jamani jamani watanzania acheni kuwachafua watumishi wa Mungu
@gracesylvester3717
@gracesylvester3717 8 ай бұрын
TB JOSHUA 😘😘😘😘 NI PRACTICALLY YESU MWENYEW NDANI YA MWILI WA MWANADAM..
@brendajulius2995
@brendajulius2995 8 ай бұрын
Weee Acha makufuru khaaaa😮
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 8 ай бұрын
Well said Mchungaji.
@janetkiewo351
@janetkiewo351 8 ай бұрын
Walimsema Bwana Yesu ubaya wa kila namna yeye akiwa mti mbichi watamwachaje T.B. Joshua? Shetani anatafuta kulipa kisasi alikanyagwa sana na T.B. Jishua. Hakuna jipya. Bwana Yesu aliwaasa wanafunzi wake kuhusu haya haya! Mungu ailaze pahali pema roho ya T.B. Joshua.
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 8 ай бұрын
Alikuwa wakala wa shetani
@goldmansun5859
@goldmansun5859 8 ай бұрын
​@@paschalsafari9747yesu alikuwa wakala wa shetani?duuh wew kwel duuh, rudi kuzimu muda wenu bado haujafika
@lellovenance5702
@lellovenance5702 8 ай бұрын
Watu walitishwa waliogopa kufa alikuwa na pawa haya yule aliyemfata akiwa anajirekodi mbona alijikataa tena mbona ni kikundi cha watu, lakin yesu alionya watakuja watatumia jina lake vibaya
@goldmansun5859
@goldmansun5859 8 ай бұрын
@@lellovenance5702 hivi wew kwa akil zako mtu anabakwa mara tatu, wanafunz wak weng tu wanapinga hiyo ishu, tb Joshua alishaingia kweny ugomv na media na magharib alipokuwa against ushoga bro, tatizo lilianzia hapo, fuatilia, Yesu mwenyew katukanwa na kasingiziwa mengi, soma talmud utajua, matunda ya tb Joshua meng ni mema, hta nafundisho yak,nafikir tujikite kweny mazur maana mengi sana achana kusuport huu uongo, pawa gan wew mbele ya bbc
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 8 ай бұрын
Siku za mwisho zinaambatana na watu wenye tabia hizi zinazoendelea hakuna jipya mtumishi.
@jaotetv6308
@jaotetv6308 7 ай бұрын
Pastor unahekima sana Mungu akuzidishe zaidi.
@elizabethkitundu1936
@elizabethkitundu1936 8 ай бұрын
Neno la Mungu litaendelea kusimama hata kama TB Joshua amelala,walijua kanisa lake litafungwa kwavile yeye hayupo ndio kwanza mafuriko ya watu kutoka pande zote za dunia na hakuna anayewezakuvunja kazi hii!
@mohamedmkumbwa
@mohamedmkumbwa 8 ай бұрын
True..Mchungaji Hananja..
@abubakaldismasdismasdismas7
@abubakaldismasdismasdismas7 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji. Hekima uliyo ionyesha ni ya kipekee. T.B Joshua aliwahi kusema kwamba "Midomo ya watumishi wa Mungu ina mamlaka ya na mamlaka hiyo ni kujenga na wala sio kubomoa"
@joshuaalsel5828
@joshuaalsel5828 8 ай бұрын
Maombi yakusimanga, umeniuwa na cheko. Pasta Mungu akubariki
@gerkombo6512
@gerkombo6512 8 ай бұрын
HANANJA THE GREAT!
@nyanchokachacha9954
@nyanchokachacha9954 8 ай бұрын
Umenena vizuri Mchungaji HANANJA
@rosemneney3244
@rosemneney3244 8 ай бұрын
Huyu mchungaji au chawa wa wasanii hovyo kabisa
@lightnessmushi8137
@lightnessmushi8137 8 ай бұрын
We ndo feki
@leahmollel6589
@leahmollel6589 8 ай бұрын
Nawaza tuu kwa sauti! Haya yanayosemwa kuhusu mtumishi huyu Joshua hivi kwa wazungu kwao hayapoo! Waafrika na wakristo Mungu atupe jicho la tatu😭🙏
@angle3600
@angle3600 8 ай бұрын
Nimecheka nimecheka hapo pa watumishi kuhaha,utadhani mganga kaona msekule😂😅
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 8 ай бұрын
BBC waongo Sana wanachonganisha dini na WAUMINI
@esthersongambele3497
@esthersongambele3497 7 ай бұрын
Uko sahihi wachonganishi Sana, wanataka tuharibikiwe na Mungu wetu ni mwema Sana hatarihusu hayo juu yetu
@jeaninekabano9190
@jeaninekabano9190 8 ай бұрын
Huu ni upinzani wa ukristu wa wazi na Huduma ya T B Joshua Mama Evelyn T B Joshua Mungu atamtumia kwa kiwango cha juu yatapita tuu Wakristo kuweni macho ❤
@PhilomenaStephern
@PhilomenaStephern 8 ай бұрын
NI NJIA YA MPINGA KRISTO. WANACHAFUA WATU WA MUNGU ILI KONDOO WATAWANYIKE. NA WATUMISHI WENGINE WASUBIRI YAMETABIRIWA NA WAKRISTO WENGINE MAMBO YANAWAIJIA OMBENI SANA MAMBO YAMEANZA MTAONA NA MTASIKIA MENGI. TUOMBE SANA SANA WAKRISTOTUKO VITANI TUOMBE SANA.
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 8 ай бұрын
Wakristi wajihadhari sana, kwa maana wanashambuliwa kuua Ikristu Bilaa kujijua, 1. Mata T.B Joshua, 2. Mara Mwamposa 3. Mara Papa Francis anapakaziwa hivi, tofaiti kabisa na maneno aliyosema Hizo ni mbinu, amkeni wakristu
@NeemaWilliam-n7t
@NeemaWilliam-n7t 8 ай бұрын
Kwakweli baba yangu nakushuru kwa hekima Mungu aliyokupa barikiwa kwa ufafanuzi na hekima iliyotukuka Mungu akutunze na akupe hekima iliyo ya juu sana
@emmanuelthomas4967
@emmanuelthomas4967 8 ай бұрын
Wewe mtumishi wa MUNGU kweli, wafundishe wachungaji wanaofundisha uganga badala ya NENO. Barikiwa sana Baba.
@neemambunda2004
@neemambunda2004 8 ай бұрын
Heshima yangu kwako mtumishi
@JuniorLameck-ek5es
@JuniorLameck-ek5es 3 ай бұрын
Mzee nakukubali sana
@berthamushi6891
@berthamushi6891 8 ай бұрын
Mtumishi Mungu Akubariki maana Mungu amekufunulia mambo Makuu tena roho hizo zipo nyingi mno za kuwasema watumishi ila kwa ambaye ameshatangulia mbele za haki ni kwamba wanataka kupunguza Nguvu ya Ukristo ili wafanye mambo wanayoyataka.
@marinemodest1798
@marinemodest1798 8 ай бұрын
Barikiwa Mch. Barikiwa sana
@josephosborne3072
@josephosborne3072 Ай бұрын
Intelligent man
@DeusMbalamwezi-h7t
@DeusMbalamwezi-h7t 8 ай бұрын
Nashukuru kwa hekimayako Mzee wetu ❤
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 8 ай бұрын
Ubarikiwe mchunganyi kwa hekima kubwa
@mercylema8327
@mercylema8327 8 ай бұрын
Ubarikiwe Mch umesema ukweli Binadamu wengine hawaonagi mema ni kutafuta mabaya tu
@laninjeje8290
@laninjeje8290 8 ай бұрын
Na huu ujinga upo kwa Pascal Casian na kikosi kazi, kila siku ni stori za Freemason na kutukana wachungaji wengine😂😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 8 ай бұрын
Mjinga yule Kila mtumishi kwake ni freemason.. unajua simwelewagi.. 😊😊
@anitavictoire1212
@anitavictoire1212 8 ай бұрын
Nakuamini Ka Bisa
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
Asante Asante baba kabisa, Hiyo ni roho ya wivu.
@oswardmwakalobo7031
@oswardmwakalobo7031 8 ай бұрын
Nakukubar sana
@danielmushi5755
@danielmushi5755 8 ай бұрын
Hao wanaosema kuhusu TBJOSHUA ni waovu mno ,mie nilifika Kanisani kwake,nilikutanaye naye ,aliniombea na nilipona.Lengo la hawa wahuni ni kupinga Ukristo.
@speciozakaloli
@speciozakaloli 8 ай бұрын
Wivu tu unawasimbua
@ip_header
@ip_header 8 ай бұрын
Well said 👏
@macharosandra9467
@macharosandra9467 8 ай бұрын
T.B Joshua alinipinga sana ushoga,.. ndio maana wanamchafua
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 8 ай бұрын
Kweli ukigusa ushoga watakula na wewe saani moja
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Ila huyu Baba nampenda sanaaa
@tinertv1382
@tinertv1382 8 ай бұрын
Kabisa mtumishi wache wamseme mimi sitanyanyua mdomo nilipokea uponyaji
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 8 ай бұрын
Tupo pamoja na mm nilipokea Uponyaji ambao madaktar bingwa walishindwa
@stellahebenezer6729
@stellahebenezer6729 8 ай бұрын
Mchungaji hatujaharibikiwa kwa kwenda kule. Mimi nilikwenda kule kwa ajili ya uponyaji nilipona. Na kiwango cha imani kilipanda. Mtumishi yeyote wa ukweli wa Mungu aliye hai lazima apitie hayo yote. Accussations, intimidations, etc. Kama aliyopitia Bwana Yesu. Hiyo vita ni ya ukristo sio ya TB Joshua. Wanataka kuanzisha dini moja dunia nzima, sasa laxima watafute mbinu za kuwapata waumini. Na wenye imani haba na wale walio kuwa affected na vita hivi watapatikana. Prophet TBJoshua ni nabii wa ukweli wa Mungu. Na amevuna nafsi nyingi sana dunia nzima kwa Yesu Kristo.Sasa zile nafsi zilizovunwa ndio tatizo. ZilitakiwA kubaki kwa shetani. Sio vita ya TB Joshua ni vita against ukristo.
@otaibonny8835
@otaibonny8835 8 ай бұрын
Wewe bora kujitolewa kwa hio kiza, hakuna kitu cha Bure kutoka shetani… najua walioenda huku na baada waliongezeka bahati mbaya.. usidanganywe huyu alikuwa mchawi mkubwa kabisa.
@lankemeleji2158
@lankemeleji2158 8 ай бұрын
Umenena ukweli...
@davidbochela1441
@davidbochela1441 8 ай бұрын
Ukiona mtu haoni shida kudhihaki jambo asilojua basi Hilo sio hali ya kawaida​@@otaibonny8835
@mwameposanga2973
@mwameposanga2973 8 ай бұрын
Ameni
@MbangulaTungaliwe
@MbangulaTungaliwe 7 ай бұрын
Mnakuwa chawa mpaka katika ishu za TB
@oliviawakaba5649
@oliviawakaba5649 8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu barikiwa sana.
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 8 ай бұрын
Baba mwenye hekima ambaye namsikiliza ❤
@rosepodi4127
@rosepodi4127 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Ameen I love this pastor ❤❤
@allythabiti8150
@allythabiti8150 8 ай бұрын
Polen wakristo kuchafuliwa ila BBC wangempumzisha marehemu maana wanamsakama saana
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 8 ай бұрын
Hawatusumbui hawa BBC maana tumeishawajua lengo lao ni kueneza ushoga na usagaji
@h.jrugashaula1296
@h.jrugashaula1296 8 ай бұрын
Mzee amezungumza kwa hekima sana
@judicalosika7642
@judicalosika7642 8 ай бұрын
Una AKILI SANA Mch. HANANJA. UNASEMA KWELI KABISA KABISA.
@aishanelly2026
@aishanelly2026 8 ай бұрын
Jmani achani maneno..Africa acheni kurubuniwa Ukiristo wet ahuuu wapi Africa!,,, waanatafuta kuendeleza ushoga Africa Mtafuteni Yesu wetu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🧚🏿🧚🏿🧚🏿
@stellahzacharia8743
@stellahzacharia8743 8 ай бұрын
Waseme wasemavyo wamepungukiwa na maono mnao msema mtumishi wa Mungu hali hayupo mlikuwa wapi akiwa hai wanao msema vibaya ninyi wenyewe siku yenu ipo mtasemwa na mtatoa hesabu wachumia matumbo mnakazi yeye kamaliza je ya kwenu mmeyaficha
@MaryPamela
@MaryPamela 8 ай бұрын
Asante kwa hekima yako.
@enesskatiti3818
@enesskatiti3818 8 ай бұрын
Mch huyo mwanamke atubu vinginevyo ana laana kwa kumchafua marehemu joshua
@francismbotomrutu2784
@francismbotomrutu2784 8 ай бұрын
TBJOSHUA alikuwa hakika Mtumishi wa Mungu. BBC imetoa Uongo mkubwa ulioongonzwa Bisola mwanamke wa Roho ya Jezabeli. Sasa ukweli unatoka uongo unajitenga.
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 8 ай бұрын
Ukichunguza mamilioni ya wanawake waliokua wakimuendea TB joshua atawabaka wangapi au alikua na nguvu za kiume za kiwango gani.hamna binadamu wa hivyo nafsi inakinai chakula au kinywaji hata kiwe kizuri kwa kiwango gani.kwa umaarufu cheo haiba na pesa aliyokua nayo mchungaji hakuna mwanamke yeyote ambae angeombwa akachomoa.Ukiwa na pesa hata ukiwa na sura mbaya unaonekana HB mtanashati.labda wambake wao.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 8 ай бұрын
😅😅 umeongea point nzuri Sana 😊
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 8 ай бұрын
Yani Watu wa Africa tunasumbuliwa vitu 3 Umaskini,Ujinga na Fikra hasi. Yani Hawa watu wa BBC uwa nawaita Bible Bandit Church Uwa Ni shirika la Shetani ambao wanasubiri watumishi wa Mungu hasa wa Kiafrica wenye uwezo mkubwa kuliko wao kiroho wafe au wawaue ndo wake na documentary za kuingiza pesa nyingi izo pesa wamewekeza kwa waafrica tena ili wazidi kuwachafua wenzao. Angalia Hawa ndio wanaoeneza ushoga kwa Kasi Africa kwa pesa alafu angalia mashoga walikuwa wakienda kwa TB Joshua kufunguliwa na wengi hasa wa kutoka Africa kusini walihacha ushoga. Ilikuwa Ni Vita ya away Wa BBC naTB Joshua. Angalia vijana wakiislam waliohacha kupambana na chi zao waliofunzwa na magharibi ugaidi.Alafu bado eti Ni wachunguzi. ?😊N😊😊
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 8 ай бұрын
Wapuuzi kweli
@mwanobruno
@mwanobruno 8 ай бұрын
Hakika Hawa watu wanaibua makaburi Kama waliuona anawatesa au anawbaka walitakiwa wamwendee na kumwambia
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 8 ай бұрын
Sasa BBC hawahawa wanaotetea ushoga wana nini la maana la kutwambia bwana!!!!
@joycekashalaba3575
@joycekashalaba3575 8 ай бұрын
Asante mchungaji Mungu azidi kukubariki
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 8 ай бұрын
Hekima za mchungaji Hananja
@vukoni1
@vukoni1 8 ай бұрын
😂😂😂😂 Kila mtu ayingiye uwanjoni ku ingiza goli.... Ubadiliko ya sauti ni kujifanya kama mtu amesha jua bibilia tayari... Uwo mahojiano ni hatari kwa wadanganyifu ya ulimwengu ya leo... Baadhi ya walewanao uwezo la kudangaya Kwa ajili ya kutendea biashara neno ya mwenyezi mungu, wakae stareh siku ya ukumu. Shukurani zaidi Mchungaji
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤much love
@FaustinKihambaSaragulwa
@FaustinKihambaSaragulwa 8 ай бұрын
mtumishi uko vzr baba
@WillywiliamkihongossKihongoss
@WillywiliamkihongossKihongoss 7 ай бұрын
Uko vzur mchungaji weka nambazako tukutumie sadaka wafundishe wakristu wenzetu
@vibetz9991
@vibetz9991 8 ай бұрын
Huu ni moja ya mchakato wa kudhoofisha imani ya ukristo duniani ili agenda ya shetani ipate nafasi,,,,Ndo mana papa mwenyewe amebariki ushoga,,,,Lengo imani ya kweli ya ukristo ife,,,,,Kumtangaza Tb joshua kwa kiasi hicho manaake Wakristo wasiamini watumishi wao wa mungu kabisa
@ApolloniaMwinula
@ApolloniaMwinula Ай бұрын
Ntashangaa sana,hivi n nn mtu ameshakufa,SS inatusaidia nn hata alitenda machafu! Mtafutege kazi za kufanya!
@sadamkhamis9043
@sadamkhamis9043 8 ай бұрын
Nakubali mzee sio mnafki kabisa unaongeaga ukweli.😅
@BonifaceMaPunda-r5l
@BonifaceMaPunda-r5l 6 ай бұрын
👍
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 ай бұрын
Ni juhudi za makusudi kuchafua Ukristo Yesu alishatupa angalizo kuwa tutakuwa na wapinzani wa Kristo
@anethmapima3901
@anethmapima3901 8 ай бұрын
Walidhani kulala kwa TB Joshua kanisa litakosa nguvu sasa wanaona huduma inaendelea.
@geffdepoet5974
@geffdepoet5974 8 ай бұрын
Huyu anajua,,barikiwa sana
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
Asante baba umenena vema.
@faithe4063
@faithe4063 8 ай бұрын
Nampenda huyu pastor, ni kwa nini waongelee marehemu waache apumsike kwa Amani Yesu ndiye atahukumu
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 87 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,4 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA ATOA TAMKO
13:46
JN Media
Рет қаралды 218 М.
THAMANI YA MWANAUME IKO KWENYE MAENEO HAYA HAPA  MCH HANANJA
30:47
#MarriageRealLifeTalk | Rinazon Ministry
Рет қаралды 253 М.
MCHUNGAJI HANANJA AMUONYA ZUMARIDI KWENDA MBINGUNI NA KUMDHIHAKI MUNGU
17:57
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 24 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН