Sasa dili lenu limefeli ulikabidhiwa familia ili kuitunza na sio kubomoa unataka utuambie kua wewe hukuwahi katika maisha yako kufanya dhambi wewe sio mzazi ndio maana una kaza lakini kwa ushauuli wangu wewe hustahili kuvaa viatu vya mama na baba wa yohana lakini huwezi kumhukumu mtu kwa kumuangalia tu acha fitina na kuisambalatisha familia wewe unaweza kuisambalatisha hii familia wewe
@JoyceEmanuel-o5q2 ай бұрын
Sasa ant wee umewahi ona wap mtu akatafutiwa mke hahaha imekula kwako ndoa tunayo na tunatamba nae kaa kwa kutulia😂😂😂😂😂
@HalimaJuma-q6g2 ай бұрын
😂😂😂😂
@NeliaDaniel-h9s2 ай бұрын
wewe haujawahi kukosea na pia wewe ni mwanamke tembea chini juu yatakuludia na siku hizi hakuna cha mjini wa kijijini Mungu akusamehe
@HawaYahya-h8t2 ай бұрын
Kabisaaa
@AgnesMathew-u7h2 ай бұрын
Mmh shangàzi Kama shangàzi ... Je akija kumuoa hyo unaye mtaka afa akajakubadilika utasemaje😢
@Sr.MartinaNyoni-k2l2 ай бұрын
Wee shangazi badilika
@RahelDavid-z1k2 ай бұрын
Sasa ukoo ndo unaoa au kijana mmh😢😢 huyu anayake tu
@OlipaMsemwa2 ай бұрын
Mshamba sana huyu shangazi unaoa mke Ili akalime kijijini, kweli shangazi msimfuate Bado mshamba ndoa ni ya watu wawili , anayetakiwa kuishi nae ameamua kumsamehe ,yohana anakufahamu ndo maana hakukufikishia wewe kijijini mke wake , angalia wanao wamekamilika , Kwa ufupi huyu kwenye familia ni eneo lenye mgogoro haki za binadamu mshuhulikieni huyu kwanza mshamba alishamdanganya kuwa mwanangu atakuoa hivyo yohana kuwa makini ye alitafutiwa mme?
@HawaYahya-h8t2 ай бұрын
Swali zuri saaaana mtangazaji 😂😂😂😂😂😂ye hana mtoto wa kiume akamuozeshaa huyo mwanamke wa kijijini.....punguza mdomo shangazi
@AminaJuma-r4y2 ай бұрын
Karine ya sasa hivi kunamtu anatafutiwa mwanaume au mwanamke 😂😂 wewe mama unagubu za ubinafusi sana mchango wa harusi ujatoa ila gubu kama lote😏😏😏😏🤔kwani nyinyi kabila gani
@emmanuelrutaihwa65452 ай бұрын
Wacha waoane bwana mradi yohana karidhia. Achana na mawazo ya kale eti shangazi. Recho kakiri kosa yohana kamsamehe na ndo mwenye uamuzi.
@BsbdvDbdbvd2 ай бұрын
Japokuwa wewe ndio mkubwa wa familia lkn unavyofanya sivyo.hakuna asiekosea kosa ni kurudia kosa.nakusia yohana umrudie mke wako recho.mwenyezi mungu Yuko pamoja na nyinyi.usiogope maneno ya shangazi.
Ndowa utok mbinguni kwani mkewakijijini awezi kuwa namwanaume
@ShakiraEdward-z2t2 ай бұрын
kwani ww ujawahi kukosa kma mwanamke at uyo wakijijini pia anaweza kukosa zaidi ya hayo
@HawaYahya-h8t2 ай бұрын
We shangazi mdomo huo leo kwa mwenzako kesho kwakooo huwenda leo ukasema hayo maneno kesho ya kakutokea kwa mwanaoo na km so mwanao ktk familia hiyo ilowazungukaa na huwenda likawa kubwa zaidi ya hilii......dunia duwaraa....wanadamu tumeumbiwa makosa tunamkosea mungu mangapi na yuwatusamehee sembuse sisi wanadamu! Ingekuwa ni watu wakutenda makosa kisha pale pale mungu amchukuwa mja wake sizan ht km wewe shangazi ungekwepo duniani sahizi.....na jambo linalo mpendeza mungu kwa mja wake anapokosewa akasamee ni daraja kubwaa kwa mungu lau ungejuwa😢😢😢
@SuzanaMonary-fn6fm2 ай бұрын
Shangaaaa!! pita hivi kwani we ndo umempenda Recho? Acha roho mbaya nyoooo
Hiyo kumsomesha haikuhusu.na pesa sio yako .wewe ni shangazi tu mtafutie mwanao sio mtoto wa kaka yako huna jipya
@neemaraphael87322 ай бұрын
W unamenda ili iweje?acha ushamba yohana usimwache recho ni chaguo lako wakikikni ni chaguo la aunt yanko
@SafinaNdunguru2 ай бұрын
mambo ya kizamani eti oo , shangazi!! shangazi!!
@ZenaZena-vx2ee2 ай бұрын
Sawa kakosea binti rakini sio kuwaraum wazazi wabinti unakosea shanganzi ww ni mtoto wakike
@RoseAloyce-g2t2 ай бұрын
Sasa kama wewe umempenda wa kijijini na yohana kapenda recho wewe shangazi unahakil kabisa kama wew ume vutiwa na wa kijijini kwa nini usimpe mwanao wakumza paka upe yohana acha ujingu mana wewe siyo mungu
@mwanamkeshujaabongoflavama71802 ай бұрын
Mashangazi badilikeni , mnakua mna roho mbaya wengi wenu
@MissMadamoman2 ай бұрын
Wewe shangazi mchawi watu wamependana was he yohana mludishe mkeo mungu atakulipa
@teedullah57082 ай бұрын
Kwenda huko kwani hujui kusamehe
@auriliamushi40922 ай бұрын
Wewe mmwenye maadili utamuona usoni nyoo
@MariamuMkufya2 ай бұрын
He shangaz wa ajabu kweli
@SabinaKassera-cq9lb2 ай бұрын
Wew kijana mrundie mke wko
@Blessedboi80192 ай бұрын
Huyu ni malaya roho chafu ibilisi. Mbona yy alizaa na mpwa wangu?
@RosiHas2 ай бұрын
Huyu ni mchawi kabisa ibilisi roho chafu haikosi hata anamroga yohana aachane na recho.shetani mchafu Shangai wewe
Wewe pia bado mtoto nashangaa unajitia uzee kisaumeamua kuwa mchawi kajinyonge tuachie Dunia imekupita
@auriliamushi40922 ай бұрын
Keshaoa achitemi
@auriliamushi40922 ай бұрын
Kwani yohana ana sh ngapi mara kafata hela hela hakuna hela itakayo Rudi
@amosessau70652 ай бұрын
Wee mshagazi kunanyuma geuka hudaeda kumalizia uzeehewako utamagalije hoyo biti
@henrynjovu91472 ай бұрын
Kama Shangazi ungekuwa na hoja ya amuache kwa ajili ya maadili tu tungekuelewa. Ila unapoingiza na suala la kumlazimisha aoe Kijijini mwanamke unayempenda wewe, unaharibu Sana naonekana una jambo Lako. Wewe nnani umchagulie mtu mke? Nani kakwambia Mme wako anapendwa na ukoo? Mbona unye Hadi Leo?au wewe nani alikuchagulia mume?
@AishaAisha-u1q2 ай бұрын
Shangai anarchy mbaya uyoo
@MaryhaikaMosha-w7g2 ай бұрын
Huna akili kabisa saivi nana wa kuchanguliwa mke
@AminaJuma-r4y2 ай бұрын
Huyo wa kijijini mpe mume wako ama kaka yako baba yake yoana toa ujinga wako yani umepauka balaa 😂😂😂😂
@veronicaJoseph-jl8lz2 ай бұрын
Huyu shangazi nimuchawi umeona nn uchawi tu mungu atasimama na lecho
@ElizabethMaghimbi2 ай бұрын
Una kasoro nyingi we shangazi
@KajalaJenny2 ай бұрын
Ivi uyu mshangazi kaolewa naye kweli 😅😅mbn anaongeya sana ndoa tunayo natunatamb nayo we kaaah utuliye mana awachaguliyanaki mke upo
@fatimaharoun-np8uv2 ай бұрын
Ovyooo kwan unaenda kulala nae ww ata useme humtaki😅😅😅
@NabiiMkuupdYohana79742 ай бұрын
Natamani ungekuwa shangazi yangu ningekukomesha
@KagemloSebastian2 ай бұрын
Mtangazaji pigp kwako kweli uyo wa kijijini aamtafutie mwanae
@NabiiMkuupdYohana79742 ай бұрын
Kwani huyo shangazi ana tatizo gani na maisha ya watu au yeye ndio mharibifu namba moja
@magdalenamoffat48352 ай бұрын
MShangazi Waache Waoanee hayo yamekwishapita Au Wewe ndie uliyefanya wakapata matatizo Hapo hakuna Laana hapo nina imani shida ipo kwako Shangazi.Kama were Uligombana na WiFi Zako walikunyanyasa usilipize Ubaya Ubwela.Hakuna ndoa itakayo dumu kama hiyo kwani tayari darasa wamesoma Mtihani wa Ndoa Acha hizo Mshangazi.Yohana Kanye Soda Ntalipa
@GodfreyMolel2 ай бұрын
We mwanamke wacha roho mbaya je angekua ni msichana wako amefanya hivyo wacha yohana ajicuagulie huyo msichano wa kijijini mpeleke kwa mumeo awe mke mwenza kama umempenda halafu usipoenda kwake we ndio una uhai potelea mbali mungu akuondolee hiyo chafu una lako jambo na huyo msichana wa kijijini uje umfanye mtumwa Mimi na yoha hatumtaki basi huyo tumeamua
@TabuMudi2 ай бұрын
Shangazi wewe kuwa muelewa mwache Yohana afanye maamuzi yake siku hizi hakuna mwanamke wa mjini wala wa shamba waache una roho mbaya Rachel usirudishe hiyo mahari na yeye si amekutumia? Mwacheni kwani wewe ndio unamuoa Yohana usichaguliwe mke bwana pambana bwana. Huyu shangazi yako ana mdomo sana
@MethodkifokaMethodkifoka2 ай бұрын
Daah shangaz mutu hataki unafiki 😅😅😅😅😅,,
@restitutaolomi35152 ай бұрын
Ebu vaa kiatu angekuwa mwanao wa kumzaa usingemsameheee
@AmriSabiti2 ай бұрын
Shangazi Yuko sahihi lakini Mwanamke wa kijijini siwezi mimi 😂😂😂😂😂
@foibebakunda60382 ай бұрын
Mimi nacho ona uyo mdada wa kijijini wanasaindiana kuwanga maana huyu mamdogo anafanana mchawi 😮
@mzalendomzalendo25672 ай бұрын
Kijijini clash mjini,
@carolinemariki40292 ай бұрын
Mtangazaji kabla ya mahojiano tujue kwanza kama huyo shangazi ameolewa
@avelinabaluhya28042 ай бұрын
Sijui,lakini kuolewa wa hivyo 😂😂😂 na akijakuolewa atafanyiwa vibweka kama hivyo hivyo
@OLIVERKOMBA-p8f2 ай бұрын
Huyu ndo mchawi wa hii ndoa
@AmAm-xt1og2 ай бұрын
Shangazi mnafki huyo wivu inamsumbua
@carolinemariki40292 ай бұрын
Kwa ujinga wake anaenda kudai mahari . Angenikuta Mimi hata kwangu asingekanyaga.. angeona rangi zote
@DominicaLucas2 ай бұрын
Tunaomba namba za yohana jmnii
@SamiraseifAlfan-ph4ke2 ай бұрын
We ndo unaoa jmn muacheni mtt
@namungolubala17882 ай бұрын
HUYO UNAYEMPENDA NJO MCHAWI MWENZAKO HATA AKIOANA NAYOHANA HAWATAISHI KWASABABU MTU HACHAGULIWE MKE SHAME ON YOU😢😢😢
@emmanuelsenga45362 ай бұрын
Shangazi akae kimya,kwanza Hana mume ndio maana anasema hivyo Hana maana mwambie akae kimya yeye sio Mungu.
@JumaKitutu-t4s2 ай бұрын
Aisee huyu shangazi ni ana tabia za ushari. Hakuna mkamilifu Panapoingia heri muikalibishe
@TwahaBakari-zh5mm2 ай бұрын
Siamini kama umekabidhiwa Familia maana inaonekana mchawi kabisaa
@SijahMuombo2 ай бұрын
Shangazi punguza hasira mapenz ayaingiliwi
@avelinabaluhya28042 ай бұрын
Huyo shangazi ni mcharuko sana sijui kama yeye mwenyewe ana familia,hana hata hekima,kwani kuoa ni kwa kikundi au ni mtu binafsi,anaongea pumba tu
@aishaHussein-cx4ho2 ай бұрын
Kampe mwanao uyo wakijijini bikizeee
@avelinabaluhya28042 ай бұрын
We shangazi inaonekana unawezakuwa mchawi wewe🤣🤣🤣🤣 khaaa roho gani hiyo?inawezekana huyo ndiye aliyefanya dili na rasta huyu 😂😂😂😂😂
@AngelChino-v8f2 ай бұрын
Hangeludi mwanao kulima nalafu yeye hangefata kukaa shamba
@AminaDudu2 ай бұрын
We mshangazi kaakwa kutulia ban 😂😂😂😂😂 watoto wasasahiv hawachaguliwi mke😂😂😂 alafu acha matuc kutukana wenzako mbona ata wewe.huweleweki❤❤❤
@TwahaBakari-zh5mm2 ай бұрын
Wewe mchawi kwakifipi
@MissMadamoman2 ай бұрын
Asiingilie mapezi ya watu nenda kalim ukppp
@IreneJonas-w6p2 ай бұрын
Naww nimzazi usifanye hivo kiukweli dada anampenda mme wake
@marryngaiza20612 ай бұрын
Acha hizo! Huyu Yohana sio mtt wako, mtafutie mwanao wa kumzaa mke, na mahali hukutoa wewe
@loner_wolf2 ай бұрын
Shangaz anamasilahi yke juu ya Yohana Mbatizaji ...... how comes utafutie mtu mwenza maisha haya ...? Pumbavu kbsa , uchawi unaanzaga hiv hiv wivu na kutamani vya watu .
@dr.kiyabomikenghomange42372 ай бұрын
Wewe shangazi huyo binti wa kijijini atakuwa mke wako wewe au mke wa Yohana? Wewe ulichaguliwa mume wa kukuoa? Huyo binti wa kijijini akija mjini akarimbuka utasema je!!
@aminakombeloicy19592 ай бұрын
We shangazi acha roho chafu, fyuu🧐
@MissMadamoman2 ай бұрын
Uyo mwanamke wa kiiji akiwa mjanja atamtoloka
@aishaHussein-cx4ho2 ай бұрын
Kwani ameoa mke au tractor 🚜😂😂😂😂😂😂😂
@WinfridaMayala2 ай бұрын
Huyu nikichaa kayakologa kijijini mtoto wakiume umlazimishe we vipi
@ZawadiKasekwa-mm4vu2 ай бұрын
Shangaz ana mambo ya kale ya kutafutiana wachumba
@HanifaShabani-dr3dq2 ай бұрын
Huna jipya mushangazi
@NJUVALEHERBALMEDICINESHOP2 ай бұрын
SHANGAZI HANA POITI USO WAKE TU ANAONEKANA MCHAWI MKUBWA SANA KILICHOPO HUYO MSICHANA WA KIJIJIN NI MCHAWI MWEZIE
@HawaYahya-h8t2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂msamehe bureeeeeeeeee
@LOYCEEMMANUEL-b6z2 ай бұрын
Huyuu mshangazi vipii kama unataka mtakatifuu kamtafute mbinguni puuuup