KIMEUMANA! ASKARI WAGOMBANA WENYEWE Kwa WENYEWE Katikati ya JIJI, Tazama KILICHOTOKEA...

  Рет қаралды 186,720

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

KIMEUMANA! ASKARI WAGOMBANA WENYEWE Kwa WENYEWE Katikati ya JIJI, Tazama KILICHOTOKEA...
TAHARUKI Imezuka jijini Dar es salaam baada ya askari mmoja aliyekuwa amevalia mavazi ya kiraia kuwasimamisha askari waliokuwa wakiendesha gari binafsi kwenye barabara maalaumu ya magari yaendayo kasi na kuwahoji kwanini wanafanya hivyo kinyume na sheria...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 380
@chaptvmedia6621
@chaptvmedia6621 3 жыл бұрын
Sema kimeumana 😆😆😆
@stemarcely7493
@stemarcely7493 3 жыл бұрын
Kwa kweli KIMEUMANAAAA....😂😂
@peragiaisdor6315
@peragiaisdor6315 3 жыл бұрын
Kimeumaanaaaaaa
@mgasa_tz5527
@mgasa_tz5527 3 жыл бұрын
Kimeumanaa🤣🤣🤣
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Kimeumana
@halisientertainment6489
@halisientertainment6489 3 жыл бұрын
Kimeumana
@marafikistation
@marafikistation 3 жыл бұрын
Wewe ndio mwandishi unaetakiwa Tanzania ya leo BIG UP SANAA☑️
@charlesmponzi1597
@charlesmponzi1597 3 жыл бұрын
Gabi Safi Kaka umeiva sana
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Saana tu
@kessyantoy6223
@kessyantoy6223 3 жыл бұрын
ANA HAKI KUWEKA SHERIA SAWA, KWA MUJIBU WA UTENDAJI KAZI NA SHERI, SAFI SANA OFISA
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
Hongereni Global hongera askari mpambania HAKI Allah akuongoze
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
SAFI SANA GLOBAL HASA HUYU MTANGAZAJI
@japhetiurassa7434
@japhetiurassa7434 3 жыл бұрын
Muandishi upo makini sana njo nipe sawadi yako
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Nimekupenda bureee wewe askari ,umetumia hki kbisa Ndio mambo anayokataa mama samia hyo.Nakusema mnakosa weredi mnaabisha jeshi lapolice
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Vijana tusipoheshimiana katika Kazi zetu mtakuwa mnajivunjiaga Heshima wenyewe
@MahmoudMohamed-ct8no
@MahmoudMohamed-ct8no 3 жыл бұрын
Mwandishi wa global Tv online umetisha kabisa nawaangalia from France 🇫🇷🇫🇷🇫🇷 safi sana
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Safi sana 🙏🙏🙏🙏 🇹🇿 Tanzania yetu sote 🔨 nao walipishwe faine Sheria Kama ni msumeno Basi nao walipishwe
@johnsonnade7476
@johnsonnade7476 3 жыл бұрын
Askari huyo yupo sahihi no one above the low
@masalsamwelmasal2255
@masalsamwelmasal2255 3 жыл бұрын
Af sio low ni law
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 3 жыл бұрын
Dah kweli tanzania nchi yangu vichwa vya mwendawazimu ila hongera mwandishi wa global umejitahd sana
@rozina2161
@rozina2161 Жыл бұрын
Nimependa huyo mtangazaji alivyomjibu huyo askari niko kazini. Kama wewe much. Love. From kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@calvinb68
@calvinb68 3 жыл бұрын
We mwandishi umetisha sana na waandish kama nyie ndo tunaowataka bg up bro
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Muosha Huoshwa Sawa Sawa,Ahsante Gaby kwa Taarifa.
@barkatkhan6300
@barkatkhan6300 3 жыл бұрын
Big up sanaaaa mtangazaji hakika umetumia taaluma yako inavyotakiwa... Congratulations utafika mbali...mtangazaji jasiri sana. Wote wangekuwa hivyo haki za Raia zingeheshjmiwa
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 3 жыл бұрын
Na bado wametenda kosa mbele ya camera, wamegeuza gari lao kwenye kwenye Zebra Crossing. Sijui huwa wana fundishwa nini shuleni.
@asumahanassoro7588
@asumahanassoro7588 3 жыл бұрын
Mwandishi nimekuelewa sn😂😂😂😂😂
@allyally7248
@allyally7248 3 жыл бұрын
Kama mimi
@salimkidelah6360
@salimkidelah6360 3 жыл бұрын
Nmependa unavyojiamini kwenye kaz yko muhandishi wa habari hongera aisee
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 3 жыл бұрын
Hii Safi kabisa vimeumana
@masaidaniel919
@masaidaniel919 3 жыл бұрын
Hongera mtangazaji unafaa na upo kazini
@kondobanaah1372
@kondobanaah1372 3 жыл бұрын
MAGUFULI KAACHA VICHWA
@solomonichisaye8767
@solomonichisaye8767 3 жыл бұрын
Eti twende nikakulipe🤣🤣🤣
@saidrunas1414
@saidrunas1414 3 жыл бұрын
Jamaa yopo sahii
@vituskabula4770
@vituskabula4770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂bigup mwandishi wa habari
@lansonmlehele7248
@lansonmlehele7248 3 жыл бұрын
Safi Sana Askari uliyevaa kiraia akuna mtu ambaye yuko juu ya sheria
@zainakuzenza759
@zainakuzenza759 3 жыл бұрын
Big up askari unayepambania haki yako na mwandishi bila kusahau mchango wa ma Samia kuruhusu waandishi wasibugudhiwe
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Safi sana
@edwintouches
@edwintouches 3 жыл бұрын
Eti NTAPASUA SIMU...Why? SMH
@frankmwajombe177
@frankmwajombe177 3 жыл бұрын
Duh umetisha sana ndugu muandishi
@erastonyonierastonyoni1193
@erastonyonierastonyoni1193 3 жыл бұрын
Mtangazaji sijui nikupe nin dah
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Apandishwe jeo mzalendo
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
Ila Mwandishi anajielewa sana, mtu yupo kazini kama wewe, halafu unamtishia wakati uhuru wa habari ni haki ya kikatiba
@onesmojohnny2172
@onesmojohnny2172 3 жыл бұрын
Safi sana askari mzalendo
@feisalissa3009
@feisalissa3009 3 жыл бұрын
Hongera global tv 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ellymshana1168
@ellymshana1168 3 жыл бұрын
Gaby Mtanzania💪💪💪
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 3 жыл бұрын
Hongera sana mtangazaji..
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Huyu ndo mtangazj ss anaejuw kazi yake ppt Anasubut,!! Mungu akupe maish maref 🙏🙏🙏
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 3 жыл бұрын
Nakuona amani kwenye kazi zako
@jumaalhamid5242
@jumaalhamid5242 3 жыл бұрын
safi sana mkuki kw nguruwe kw bnaadam mchungu
@hammerQ954
@hammerQ954 3 жыл бұрын
big up Gabby mtz 👏👏👏👏
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 жыл бұрын
Saf Sana Kaka nikweli haki itendeke
@jasminegabriel4247
@jasminegabriel4247 3 жыл бұрын
Duh kweli hatari
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Iyo ni tamu Sana uyo Askari kiboko anatisha
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 3 жыл бұрын
Safi sana afande bg up
@mwigakatumpula9817
@mwigakatumpula9817 3 жыл бұрын
Hatimae nazi imeliwa na juwa 🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@kelvinyondani2644
@kelvinyondani2644 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Kimeumana 🤣🤣🤣
@Noreen-gd6js
@Noreen-gd6js 3 жыл бұрын
Safi sanaaaa komesha hao
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 3 жыл бұрын
Huyu Muandishi wa habari ni jasiri,siyo mbabaishaji,yaani kitu ni live,sababu ya huyo Afande ni za msingi
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 3 жыл бұрын
Mkuki kwa nguruwe kwa.binadamu nchungu. Wengi hao askari hutumia mwendo kasi vilevile magari yaserikali hata madereva wanaondesha wake za wakubwa.wanaachwa wanajua humo hakuna fine wala hicho kiru
@brownmkana8975
@brownmkana8975 3 жыл бұрын
nimeipenda sana hiyo DEMO
@malimbwikombo2177
@malimbwikombo2177 2 жыл бұрын
Mwandishi..... Hongera
@graveengrave2936
@graveengrave2936 3 жыл бұрын
Hongeraa kaka tunakupataaa
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 3 жыл бұрын
R.i.p jpm tutaona mengi sana
@kilimileally4866
@kilimileally4866 3 жыл бұрын
Big up mtangazaji
@Noreen-gd6js
@Noreen-gd6js 3 жыл бұрын
Safi sanaaaa komesha
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 3 жыл бұрын
Kimeumana !! Hata yeye yuko kazini Kama wewe.
@DMteCh-xs2jo
@DMteCh-xs2jo 3 жыл бұрын
Wakazie tu walipe
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 жыл бұрын
Chuma. Kwa chuma 🔥🔥🔥🔥
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Haki sawa kwa kila MTU na sheria ni msumeno
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Sasa asakri nje kama anawi kazi itakuaanje? Moja anamakosa 🤣🤣
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 жыл бұрын
Sheria ifuate mkondo wake.
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 3 жыл бұрын
Bbara ya mwendokasi imekua dili
@athumanijuma8899
@athumanijuma8899 Жыл бұрын
Ongera snaa Maandishi uko Poa Sana Gabriel
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 жыл бұрын
Hapo sawa,ukisikia haki sawa ndo hiyo,lazima alipe ili twende Sawa,kutii sheria bila kupendelea
@bashiruhassan7310
@bashiruhassan7310 3 жыл бұрын
Huyu mtangazaji apewe sifa hawa ndo tunawataka sio kz kuwaoji mijitu ya ajabu ajabu mambo amby hayana msingi wowote💪💪
@josephleveri5604
@josephleveri5604 Жыл бұрын
Safi sana
@malataogtz2080
@malataogtz2080 3 жыл бұрын
Et zima kamera mpuuz kwel huyo akili hana..... Hongera mwandishi uko vizur
@fleythevoiceofficall5314
@fleythevoiceofficall5314 3 жыл бұрын
Ngoja nifumbe mdomo wangu🤐🤐🤐🤐🤐mambo ya watuuuuuuu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Kweli Kabisa Sio Sawa Atua Zichukuliwe Nao Walipe
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 жыл бұрын
Usiombee mwandishi apate nafasi, "Tupo kazini kama wewe"
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@davidlukumay2226
@davidlukumay2226 Жыл бұрын
Vizuri sana ,na Mimi piah ninacho kijuaga vizuri Askari na police hawapatani
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 жыл бұрын
Hii ni aibu kubwa sana🤔🤔 Najiuliza kama angekuwa maguful huyu askar leo alikuwa hana kazi nabado anatishia waandishi wa habari. Duuh mh samia chukua hatua. Kama huna cheo huna chakusema
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 3 жыл бұрын
Ana hakii kwani mwanzo alijuwa ni laia uwezii ata ww kuchukuliwa video kilais tuu iko ivyoo ata mim piaaa
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
@@ramsikhamis7083 kwnn usichukuliwe wkt unafanya makosa?kisa ww ni askar
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 3 жыл бұрын
Walipe fain
@madmer1614
@madmer1614 3 жыл бұрын
Huyo askar yupo sahihi Sana ingekua nikipindi cha doctor maguful angepandishwa cheo lkn kwa wakat huu wata mtia ndani na kumshusha cheo
@mwadhinjuma8883
@mwadhinjuma8883 3 жыл бұрын
Safi Sana usikubali nawwe fanya hivo wakalipetu
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 Жыл бұрын
Nyoka big up uko sahihi kamanda
@moenove3815
@moenove3815 3 жыл бұрын
ubaya ubaya 😂🙌🙌🙌
@TheNichym
@TheNichym 3 жыл бұрын
Apandishwe cheo huyo askari. Ameonesha umma namna polisi trafiki wanavyoonea wengine kwa makosa ambayo hata wao wanayatenda tena waziwazi. Apandishwe cheo huyo aliyevaa kiraia
@ambakisyejeremia4204
@ambakisyejeremia4204 3 жыл бұрын
Naugana na ww
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
Ni kweli Ila hapa pana tatizo kwa mujibu wa sharia ukamataji wa makosa ya barabarani anaekamata lazima awe na amevaa uniform zozote za uaskari
@othmanshabani5856
@othmanshabani5856 3 жыл бұрын
Hapana askari yoyote ana haki ya kumkamata mhalifu mahali popote maana jukum la askari sio mpaka awe na uniform kwani kitambulisho ndicho kinachomtambulisha
@allymadunda7931
@allymadunda7931 3 жыл бұрын
Uhuru wa media ndo huu.hongera suluhu hasan
@umojawawatanzania3813
@umojawawatanzania3813 3 жыл бұрын
Enzi za MAGUFULI huyu angepandishwa cheo.
@ramlamburi9743
@ramlamburi9743 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@ramlamburi9743 ENZI YA MAGUFULI HII HABARI USINGEIONA UMEONA RAHA YA UHURU WA WA ANDISHI MAMA SAMIA OYEEEE MALIKIA WETU WA AFRICA.
@alishai4328
@alishai4328 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 Oyeeee!!!
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 usingeiona kwasababu hata muandishi anajuwa akiirusha kunamtu atakosa kazi
@maikodaudi6918
@maikodaudi6918 3 жыл бұрын
Hiyo ndio faida ya Uhuru wa vyombo vya habari
@daviusyakobo3053
@daviusyakobo3053 3 жыл бұрын
Hahahaha!!! Hap ndipo amejichngnya
@mwinyimsellem2689
@mwinyimsellem2689 Жыл бұрын
lakini yule askari mwenye ile gari ni jeuri, kwani hata baada ya kuambiwa kosa lake bado amerudia tena kupita kwenye barabara ile ile anatuhumiwa amefanya kosa. Awajibishwe tu
@tatukapilimba4535
@tatukapilimba4535 3 жыл бұрын
MWANDISHI SAFI SAAAANA...NA AFANDE SAFIIIIIIIII SANAAAA KWA KUKAMATA HAO...KAZI NZURI
@sethkivuyo3342
@sethkivuyo3342 3 жыл бұрын
Askari police wa tz wanafanya kazi kwa mazoea.. wakiwa kwenye unifom utamuona na picpic bila kofa ngumu gari bila kufunga mkanda.. wapingwe lockup ili wajitambue
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Askari hana maadili ndio tatzo la kuajiri walevi ktk kazi nyeti, sasa wewe ulipita na gari la kiraia na ulikuwa na uniform au ulikuwa kiraia? Na wao umewakamata wakipita ktk mwendo kasi wakiwa na uniform au kiraia? Kwasababu wakuwa na uniform inamaana wapo kazini na kazi yao ni full emergency. Sasa ugomvi wa nini hapo,
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Sema kimeumana
@michaelmaige6879
@michaelmaige6879 3 жыл бұрын
Safi kabisa 😂😂😂🤣🤣🤣
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 3 жыл бұрын
Kimeumana kweli
@aimew.5515
@aimew.5515 Жыл бұрын
💓💓💓💓💓
@aristidrichardmrema536
@aristidrichardmrema536 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kimeumana kweli
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
Hatari
@allymohamed2724
@allymohamed2724 Жыл бұрын
TATIZO KUBWA TANZANIA YETU LEO NI NIDHAMU TU BASI. UNAPOZUNGUMZA RUSHWA UWE NA USHAHIDI. ASKARI NI MTUMISHI WA UMMA. KIJESHI LAZIMA UTII AMRI KISHA UTALALAMIKA KTK KITENGO HUSIKA. MWANDISHI WEWE SIO KAMANDA WA KITENGO JESHI. NA HUWEZI KUJUA SHUGHULI ZA ASKARI WAWAPO KAZINI.
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Жыл бұрын
Kwasasa nitakua naishabikia globo . Maana imempata mundishi tunaemtaka.
@jumamembe6822
@jumamembe6822 3 жыл бұрын
Hakunaga askr wa hvoooo kama askr kwa askr mnazozanabele ya raia hakuna askr hapoooo
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 3 жыл бұрын
Ushenzii huu piaa ndham mbovuu aisee
@user-np4di2lg5u
@user-np4di2lg5u 3 ай бұрын
Tanzania eeeeee nchi yangu eeeeee
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Mm nchi yangu inanishangaza sana haswa kwamarais wanapo pitishwa namagar Yao barabarani hujiuliza kwann wanapitishwa mbio sana na Sheria wamezitunga wao
@user-qy6kt5bb2w
@user-qy6kt5bb2w 5 ай бұрын
Vipi tena tz tunairudisha nyuma mbona vp unataka tuwe kama kongo kweli ivi policy wenyewe ku wenyewe wana papana wao nje ingekuwa sisi wenye ichi ingekuwa nje?
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Mi nishawahi kuwaambia sheria zote za kibinadam wamewekewa maboya makapuku walala hoi sio wale wenye mamlaka.
@hizamp1827
@hizamp1827 Жыл бұрын
Wmeshiva pesa za mama
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 2 жыл бұрын
Iliishaje hii?
@user-zy5ru7pu9m
@user-zy5ru7pu9m 5 ай бұрын
Ilikuwa sjafaham. Ila nilipoifaham nimeona uyo askar asonauniform yuko sahihi !!!
@ExavelMapunda
@ExavelMapunda 9 ай бұрын
Askali kuvunja Shelia wanaona ni haki yao, walimkata mwenzao na yeye amewakamata kwa kosa lilelile,
WAVAMIA NA KUMUUWA MLINZI WA  ASKARI J.K.U SHELI YA MAFUTA TUNGUU
5:38
Bin Nyange Media
Рет қаралды 16 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
#Mzeewaupako | AKILI YA UTAJIRI | Mchungaji Antony Lusekelo
58:05
Mzee wa upako
Рет қаралды 12 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН