KIMEUMANA! MZEE AMTAJA KIGWANGWALA KWENYE MGOGORO WA ARDHI, MAKONDA AMBANANISHA MKURUGENZI...

  Рет қаралды 102,108

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Жыл бұрын
Nchi ilikuwa imepooza asante Mungu wa Mbinguni tunamuona Magu ndani ya Makonda Mungu Baba akufunike kwa Damu ya Yesu
@hassanmasuke5078
@hassanmasuke5078 Жыл бұрын
Kazi imeanza namuona magufuri ndani yako✊✊✊
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Жыл бұрын
Jamani ihi ni bahati sana kijana kama huyu makonda anafanya kazi nzuli sana ongela sana mungu akubaliki sana
@jumakikoti5961
@jumakikoti5961 Жыл бұрын
Makonda tuludishie Ally happy Iringaa aishugulikia sana mambo ardhii
@barryrioba3934
@barryrioba3934 Жыл бұрын
MAKONDA Asante Kwa Kazi Nzuri Unayoifanya Ya Kutetea Wanyonge. Hakika Tunajiskia Kama Ni MAGUFULI Amerudi Tena. MAKONDA Piga Kazi, Songa Mbele Usiogope Kwasababu Sisi Wananchi Wengi Wa Kawaida Tuko Nyuma Yako 💪💪💪
@denispeter1520
@denispeter1520 Жыл бұрын
Ongera Sana Makonda Naona Nyenendo za Magufuli Kbsa
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 9 ай бұрын
Nitaamini ikiendelea hivi baada ya uchaguzi😢😢
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Piga kazi makonda usiogope kipindi cha kuteka baraka hichi,jeshi la malaika lipo upande wako🙏💪
@annamashauri7421
@annamashauri7421 Жыл бұрын
😭😭😭 nalia kwa furaha makonda mungu akubariki kwa kazi nzuri
@ShanelMbunga
@ShanelMbunga Жыл бұрын
Kumbe wananchi wanashida Sana
@NathanChuma-cz2vb
@NathanChuma-cz2vb Жыл бұрын
Mzimu wa ANKO😄👆
@beatricekyamani7792
@beatricekyamani7792 Жыл бұрын
Mungu akulinde Mh. Paul Makonda.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Safi sana wahuni sana hawa.hawatoi hati ili mtu afe wauze
@dorcasjonathan9793
@dorcasjonathan9793 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde kiongozi ila viongozi wengine mnachakujifunza mm Niko farasani
@kilogreek4050
@kilogreek4050 Жыл бұрын
MAKONDA mimi napenda sana Utendaji wa kazi yako kama baba hayat jpm
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h Жыл бұрын
Mungu akubariki makonda mungu ibariki tanzania
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
Namuona jpm ndani yako brooo, chapa kazzzzzz
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Inauma sana Mzee kama huyu MASKINI ,kunyang'anya watu ARDHI ni jambo baya sana Serikali chukuweni hatua Kwa wale wote wanaoshiriki kufanya haya mambo ya dhulma ,hasa hawa wakubwa ndio wanaoshiriki hii dhulma ,hawa ndio watu wanaoichafua sana serikali
@newchemchem5251
@newchemchem5251 9 ай бұрын
Vifurushi vya intranet jamaniiiiiiiii8iiiii hasa Vodacom wanatuibia hata ukiwapigia hawataki maelezo waziri wa mawasiliano lione hilo wananchi tunateseka muheshimiwa hatuwaelewi kabisa
@manifestationmastermindset6518
@manifestationmastermindset6518 Жыл бұрын
Mungu akusimamie Makonda .Sali sana...kuna watu hawapendi unavyofanya..Kama waliweza kung'oa mti na kuupoteza..hawatashindwa kukata matawi yake. Mungu akusimamie
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Changamsha nchi baba makonda
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 9 ай бұрын
Kijana mdogo, jasiri mwenye upeo mkubwa....Makonda Mungu azidi kukulinda wewe ni mtumishi wa Mungu aliye hai
@TAUSISHABANI-ie2lh
@TAUSISHABANI-ie2lh Жыл бұрын
Makonda karibu na singida tembelea Andi kwenye mgodi washanta aliopo mangonyi sambaru wazawa atupewi ajira na situnata kazi ilitubadilishe maishayetu
@yohanakinyunyi
@yohanakinyunyi Жыл бұрын
Hongera Makonda ubarikiwe sana
@aishaally8315
@aishaally8315 Жыл бұрын
Allah akujaalie na akulinde nimejikuta nalia kwa Hindi unavyowatetea hao wazee Yan Mungu akuweke inshaallah
@alfredmhana235
@alfredmhana235 Жыл бұрын
Kazi imeanza mugu atusaidi inchi irudi kwenye mstari
@MaliamDeusi
@MaliamDeusi 11 ай бұрын
Ee mungu Asante kwakutuinulia makonda mlinde
@frashconnect.1
@frashconnect.1 Жыл бұрын
Mkuu wa Mkoa yupo, wakuu wa Wilaya wapo, hii ni somo kwao. Hii inaonesha kuna shida kama hiz nying hawafanyii kazi.
@fadhilichawemba137
@fadhilichawemba137 10 ай бұрын
Ama kweli mungu ni mwema
@TAUSISHABANI-ie2lh
@TAUSISHABANI-ie2lh Жыл бұрын
Makonda. Nimejisika faraja sana wewe kurudi madarakani ,na jihikama magufuri amerudi katika Dunia hii🤗🤗🤗🤗🤗 ninafurahi sana Nakuombe Mungu🙏🙏🙏Akupereke juu ,zaidi navyotaka mimi,
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Жыл бұрын
Mh, Makonda wewe ni mtetezi wa wananchi wetu hongereni sana
@richardhezron2588
@richardhezron2588 10 ай бұрын
Makonda ni mtu safi husimamia ukweli nini kifanyike ana utashi wa kuelewa nani muongo na nani mkweli kiukweli shida za wananchi nizuruma za viongozi kutokua waadilifu
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 Жыл бұрын
MAKONDA HOYEEE TUPO NA WEWE BABA PAMBANA NAO M,MUNGU YUPO NA WEWE INSHAALLAH..
@DenisMafie-lc7io
@DenisMafie-lc7io 10 ай бұрын
Makonda ongera sana wananchi wana shida sana tusaidie
@GeorgeKikube
@GeorgeKikube Жыл бұрын
Yes huyu ni babu yangu kabsa hakika
@sikudhankhalfan
@sikudhankhalfan Жыл бұрын
huwa wala siwapendi kazi ya kupiga kelele bungeni kuzulumu wanyonge ndio mana mnakufa vibay
@NesphorycharlesMalando-dq2qc
@NesphorycharlesMalando-dq2qc Жыл бұрын
Dah kijana toka mbiguni!!
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 Жыл бұрын
Aisee!! Hii tamu sana.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Ningemshauri Raisi badala ya kusafiri kila kukicha angejitahidi kupita kila Vitongoji kusikiliza kero za wananchi, maana watendaji wa nchi hii yetu wamelewa madaraka wala rushwa nchi imekuwa mbaya mno .Hawafanyi kazi ni uwizi mtupu na anatakiwa kufukuza kazi kuwajibisha wezi sio kujenga mazoea
@saimonsonda5023
@saimonsonda5023 Жыл бұрын
Makonda tutakupenda bule maana wananchi hawana pa kusemea
@LomodoTz
@LomodoTz Жыл бұрын
Mrithi wa mzee magu 🔥
@CharlesMadondo
@CharlesMadondo Жыл бұрын
Nasema tn mama Samia fundi kumleta mwamba
@Worldunite
@Worldunite 10 ай бұрын
Makonda, endeleza mapambano aliyoanzisha hayati JPM, Mungu akupe nguvu
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb Жыл бұрын
Mngu tunashukulu kutupa mtu mwenye moyo mpana na mtenda hak
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 Жыл бұрын
Nilichogundua wananchi wanamalalamiko mengi sana Makonda upo sawa sana kusikiliza wananchi.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Mpaka mwisho wa Dunia malalamiko yatakuwa pale pale. Hayataisha
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps Жыл бұрын
Mtu akiharibu fukuzeni kazi sio kuwahamishia sehemu nyingine hapo ndo watu tunasemaga mnalindana
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 10 ай бұрын
Unaharibu hadhi ya Kofia Nyau wewe kudhulumu wanyonge 😢😢
@RomanRoman-im9yn
@RomanRoman-im9yn 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 yaan dhulma tuuu!!
@susananyasani6526
@susananyasani6526 10 ай бұрын
Maongezi mazuri kutoka kwa Mheshimiwa Makonda Wazee waliijenga Tansania toka Kerne iliyopita leo wapewe haki yao
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Wasije muuwa tuu huyu makonda wetuuu
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Жыл бұрын
Usiseme hivyo mdomo huumba tumfunike kwa Damu ya Yesu
@BarakaMadale
@BarakaMadale Жыл бұрын
Kama CCM Mngekuwa mnafanya kazi kwa njia hii hakuma mpinani angewapinga. Kumbe mnajua la kutufanyia halafu mnafanya kinyume chake.Tangu mtu wa Mungu John Pombe Magufuli alale. mmekiuka na kuwa waasi wa wazi. sasa hivi mnamuweka mbele Makonda kama ngao ya kujihami msiondoke madarakani. Hamuwei na mtaondoka. Kama ni CCM kubaki madarakani Labda ni kila kiongozi ALIYEKO MADARAKANI anaondoka na Timu mpya ije . WENGINE WOTE MMEOZA MNANUKA. Rafiki yangu makonda wewe ni mwema. lakini hao VIONGOZI unaowasaidia hamna kitu hata wewe baada ya kuwaokoa watakugeuka tu. ni wasaliti siku zote. Tumia fursa hii kujenga jina lako kisha wageuke. tunataka watu kama wewe WAWE SEHEMU YA UONGOZI WA nchi hii. Mungu wa mbinguni akujalie. jilinde tu maana baada ya kumaliza kazi yao ya kufukia mashimo waliyoyachimba wakutupa shimoni.
@PendiNzota
@PendiNzota Жыл бұрын
Hakika
@PastorEsngorowil
@PastorEsngorowil Жыл бұрын
Mandalizi ya 24 na 25 ya uchuguzi ndugu yangu ila kama watafanya hivi hata baada ya uchaguzi Mkuu ujao hakika itakuwa vema but nimapema sana kuwaamini Hawa watu ndugu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 9 ай бұрын
Uko sahihi kabisa ndugu yangu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 10 ай бұрын
Hivi kumbe wananchi wanateseka hivi
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
KTK SWALA GUMU SANA NA MAKONDA KALIRUKIA NI SWALA LA MIGOGORO YA ARIDHI KIKMETE MWENYEWE ALIKIRI NI GUMU
@Worldunite
@Worldunite 10 ай бұрын
Control namba kapewa jana baada ya kujua makonda atakuja?
@tamimuhamidu6788
@tamimuhamidu6788 Жыл бұрын
Kimeumana
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
Chama Cha CCM kinaandaa Mazingiraaa ya 2025 😄😄😄😄
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Akiendelea hivi, kuna hatihati ya chama KUJILAUMU.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Waongo hawa huwezi mpa kontroo nama ya kiwanja mtu mwingine sio kweli wanataka kumdhulumu tu mzee wawatu angalia misula ilivyo wavimba kwa utapeli
@MakilinDausi-x2t
@MakilinDausi-x2t Жыл бұрын
Mawaziri hawana kazi kabisa
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
After JPM no one like makonda
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Жыл бұрын
Kwa kazi unayoifanya inakufaa.ifanye nchi nzima
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 Жыл бұрын
BABA NAKUOMBA MWAMBIE MAMA SAMIA AKUTFUTIE WENGINE KAMA WEWE NAZANI TANZANIA ITARUDI KTK HESHIMA YAKE KUWATOLOMEZA WAFISADI WALA NCHI HII ITKUWA MWISHO WAO WAFISADI NA WATOTO ZAOO..
@susananyasani6526
@susananyasani6526 8 ай бұрын
Huu ndio Utawa Bora kutoka kwa Mheshimiwa Makonda
@AibaSaidy-jz3xs
@AibaSaidy-jz3xs Жыл бұрын
Hii nchii Ina watu Wana matatizo makubwa mnoo hawana pakusemea,Waala mtu wa kuwasaidia.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Majukumu ya muenezi ndy haya?
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Wanzania wanatabu nyingi wanataka viongozi wenye sauti za mamlaka
@nungulalyaga
@nungulalyaga Жыл бұрын
hiyooo
@JumanneRamadhan
@JumanneRamadhan Жыл бұрын
Mheshimiwa makonda ss wabongo niwaoga alafu niwanafki pia tunarohombaya,hatuchelewi kugeukana,hata hao unaowaseidia hawatachelewa kukusaliti,(KUA MAKINI)
@georgemwambanga2420
@georgemwambanga2420 Жыл бұрын
Matangazo yamezidi
@Worldunite
@Worldunite 10 ай бұрын
Makonda nakuombea miaka ijayo baada ya rais samia utie nia ya kugombea urais
@alphadreammedia
@alphadreammedia Жыл бұрын
Kimeumana kweli 😅😅😅
@hellenakabakama-nz1cw
@hellenakabakama-nz1cw 9 ай бұрын
Kweri kaka umemuenzi magufuri ubarikiwe
@alfredpaulmombury2893
@alfredpaulmombury2893 Жыл бұрын
Mbona si wananchi wengi wamevalishwa kijani?
@enockngohel5737
@enockngohel5737 Жыл бұрын
Mwakani uchaguzi serikali za mitaa wamejipanga kutuvuruga Ila hawataweza
@MikidadiMahumbi
@MikidadiMahumbi 9 ай бұрын
Anachofanya makonda nikuwaumbua viongozi ambao sio wadilifu sasa rais ndio ataamua
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Siku nikipata nafasi ya uongozi watakiona cha mtema kuni wizi utapeli majangili yamejaa kila mahali
@joycekalago532
@joycekalago532 10 ай бұрын
Yombaga namhala😂😂😂😂
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Nchi hii ina dhuluma sana dawa ni kuangamiza wahuni wote majizi ya kila namna
@Ayubu-zy5xk
@Ayubu-zy5xk 10 ай бұрын
😅 1:15
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 10 ай бұрын
Inaonyesha mzee kapigwa hakuna shule yeyote mwaka 1938 shule za kulipia za watu binafi
@OshalsCompany-de1tb
@OshalsCompany-de1tb 9 ай бұрын
makonda unatufanya tujihisi tupo na magufuli wakati hatunae
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Жыл бұрын
Kiukweli tuache mzaha Makonda anafanya kazi yaukweli
@JembekaliEmmanuel-fi7gb
@JembekaliEmmanuel-fi7gb Жыл бұрын
Hivi ndivyo mnavyopaswa kutuhudumia.
@ShaDrohd
@ShaDrohd Жыл бұрын
Mumsaidie huyo mzee. Kigwangala amenyang'anya wazee wengi ardhi hapa Tanzania. Kuna familia huko Mvomero imeumizwa na Hamis Kigwangala kwa kunyang'anywa ardhi. Kesi za Kigwangala ni nyingi huko Mvomero. Kama na Mwanza amefika basi aangaliwe saana huyu Hamis Kigwangala
@frankchilumba5953
@frankchilumba5953 Жыл бұрын
Uyu makonda abaki nafasi iyo iyo kwasababu anasemea kila chocho
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Lakini waTanzania mkumbuke huyu ni KIONGOZI CHAMANI SI SERIKALINI.
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j Жыл бұрын
Watu wanalalamikia ccm ndio chama tawala hao watu wamepolwa na wztumishi wanao ongozwa na serikali ipi.
@Gwenoboy
@Gwenoboy Жыл бұрын
Makonda nmkombozi
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 10 ай бұрын
Kivuli cha magu kwa makonda
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf Жыл бұрын
Ilemela ni watata saana Ardhi tumelipia hati mwaka wa nne hatujapata hati tusaidieni jamani kumeoza toka yupo mabula ilikuwa ni shida
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Makonda namkubali
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh Жыл бұрын
Hakuna anyewafuatalia sasa wataachaje kuwaumiza wanyonge.
@LiquidMatejoe
@LiquidMatejoe Жыл бұрын
Hiii nchii. Mbovu san.
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
wanambabaishaaaa huyu mzee wanampakazia wanawake WACHUNGUZWEEEE
@augustinemagesa5743
@augustinemagesa5743 Жыл бұрын
Unajiuliza kwa nini huyu jamaa asiwe waziri mkuu??? Dadeq mwendokas utafanya kaz usiku na mchana
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 Жыл бұрын
Akiingia kweny serekali mdomo unaziba
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
​@@hassangasaba4565Labda sio msukuma
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 Жыл бұрын
Pali pooza sana sasa kumekucha weeee
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Жыл бұрын
Magufuli hajafa hajatuacha peke yetu bali ametupa msaidizi ndio Makonda
@charlesmgala5646
@charlesmgala5646 Жыл бұрын
Comet
@redpromediat.o.tstrongteam1679
@redpromediat.o.tstrongteam1679 Жыл бұрын
2938?
@LearnwithMadamnaomi
@LearnwithMadamnaomi Жыл бұрын
Kuna mtu kavuta mdomo😂 nimeona lazma mfanye makonda kasema, ila KAKA YANGU ANGALIA HAT IZ ZINATOLEWA SIJUI JIWE MALIPO YAKE NIYAHALALI
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Жыл бұрын
Mwizi mkubwa kazi kusema mo mwizi kumbe wewe kigwangwara ndiyo dhurumati.
@kavulatikivurunzi
@kavulatikivurunzi Жыл бұрын
Usilipe kisasi
@josephjohn6783
@josephjohn6783 Жыл бұрын
Malonda hoyeee
@ngwalitcha1655
@ngwalitcha1655 Жыл бұрын
Wananchi mnadanganywa ccm itaendelea kuwapa umasikini t na unyonge
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Rekibisheni kwanza Ya ndani Ya chama chenu kabla ya kunyooshea kidole ccm
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Жыл бұрын
Bado hujasema
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 15 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 169 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 28 МЛН
CITIZEN NIPASHE - DECEMBER 02, 2024
21:52
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 37 М.
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
"Nashangaa MAKONDA kushangaa UTEKAJI!" - Gerald Hando
4:49
Wasafi Media
Рет қаралды 24 М.
💥ФЕЙГІН повернувся із СУДЖИ і шокував заявою
36:27
Телеканал Прямий
Рет қаралды 276 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 169 МЛН