"ASIPO KULIPA ANARUDI KWAO "MZEE AMCHONGEA MKURUGENZI KWA MAKONDA ADAI ZAIDI YA MILIONI 60

  Рет қаралды 40,592

Millard Ayo

Millard Ayo

6 ай бұрын

Пікірлер: 57
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 6 ай бұрын
Magufuli alijizaa kabisa hapa hongera sana makonda
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 6 ай бұрын
Dah nakukubali sana m h makonda
@gewatv
@gewatv 6 ай бұрын
Sometimes makonda huwa nakukubali Sana, yani Kati ya vitu nisivyovipenda ni huo upumbavu wa baadhi ya viongozi kujifanya miungu watu. Keep it up Makonda 😮
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 ай бұрын
Kaka makonda nakuelewa sana, njoo na huku kigoma Kuna madudu mengi, njoo utusaidie.
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 6 ай бұрын
Yeah! Kazi nzuri makonda mungu akubariki sana.Ila unafaa kuwa waziri mkuu au waziri wa ujenzi.unauzalendo furani .big up!
@reenesa
@reenesa 6 ай бұрын
Mimi sina Chama, lkn kwa hili KUDO MAKONDA!!👏🏾👏🏾👍🏾
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 6 ай бұрын
Kwa nini hawi raisi uyuu😂😂😂
@biwakambagwa4041
@biwakambagwa4041 6 ай бұрын
Hongera sana kwa kaz nzr sema tuu nchi hii ni kubwa halaf watu wa supple hiyo mko wachache,Naomba kwa uwezo wa mnyazi Mungu uendelee na kasi hiyo ili pengine Heshima ya Chama iwe Mantained,,,Tunakushukuru kiongoz kwa kaz nzr
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 6 ай бұрын
Asante makonda nakupendea kwa Hilo mungu akulinde
@arafahhh5574
@arafahhh5574 6 ай бұрын
Hajamchongea ila ashtakia apate haki yake
@user-oz1mh4li3q
@user-oz1mh4li3q 6 ай бұрын
Tunakupenda sana makonda toka ukiwa mkuu wa mkoa wa dar -es- salaam
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 6 ай бұрын
Unampenda ww usi2seme sisi wote
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
Toka lini mwislam akampenda mkristo mna chuki mnoooo sasa kuna upumbavu mwingi mmefyata​@@KassimAlly-xp4dz
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
Dar imekuwa kichaka makonda aliiwezea
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 6 ай бұрын
Kwa Uweza wa MUNGU uishi miaka mingi Makonda na siku zako zitimie
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 6 ай бұрын
Tena walipe na riba ni ushenzi
@user-ch9lp4kn7x
@user-ch9lp4kn7x 5 ай бұрын
Tunakuomba uje morogoro makonda manyanyaso zidi ya idaraya maji unajaza form mwakamzima uletewi mlejesho mungu amekuteu mtetezi wa wanyonge tunakuoma makonda uje morogoro
@user-it6pm4rh8s
@user-it6pm4rh8s 6 ай бұрын
Hata hamishwa ataondokaaa superb statement
@devangandhl2255
@devangandhl2255 6 ай бұрын
Mheshimiwa .hayo yapo tu kila kona nchini kwetu. Inahitaji wizara ya kusimamia madeni ya ndani .hao watendaji wanajifanya miungu watu.wafanyabiashara nao wakipata mchepuko ni wabaya lakini ikiwa wizara itasidia kuwasimamia
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 6 ай бұрын
Hakika Makonda anaenda vizuri pale panapo tokea mtu kuonewa
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 6 ай бұрын
Mueshimiwa makonda wafundishe kazi Alha akufanyie wepesi inshallah uwe kiongozi bola
@mwigambachristopher1976
@mwigambachristopher1976 6 ай бұрын
Kiukweli Chagueni viongozi wanaojielewa huyo mkurugenzi hatoshi kabisa ,furusha tu.
@Gdjn974
@Gdjn974 5 ай бұрын
Afadhar sasa maana wanajisahau hawa mbwa
@joelyngomuo7441
@joelyngomuo7441 6 ай бұрын
Asante Sana makonda
@daslamonline4665
@daslamonline4665 6 ай бұрын
Dogo chuma Sana,
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 5 ай бұрын
Hatar sana
@stephanomgonda3054
@stephanomgonda3054 6 ай бұрын
Mwamba uyuu apaaa
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 6 ай бұрын
Mkurunguzenz kaishaliwa kichwa 😀😀😀safi sana makonda
@hawakiza6067
@hawakiza6067 6 ай бұрын
Kaka Makonda urais unakuhusu
@user-ch9lp4kn7x
@user-ch9lp4kn7x 5 ай бұрын
Mtetezi wa wanyonge tunakuomba morogoro
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 6 ай бұрын
💪💪💪💪💪
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 6 ай бұрын
Makonda mauwa yako babaa ilove u buree gombea bc ubunge mtu wangu
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 6 ай бұрын
Safi sana makonda
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 6 ай бұрын
Makonda mauwa yako babaa ilove u buree
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 6 ай бұрын
ni kweli
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 6 ай бұрын
uyo mkurugenzi hovyo sans
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Hhiii ni shida kwakwelii
@NepporSabith
@NepporSabith 6 ай бұрын
Hakika kazi ipo
@raurentkorosso2014
@raurentkorosso2014 6 ай бұрын
Pm uko vizur wasaidie watu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
Wakurugenzi saa hivi wanakula mnoooo pesa huwaambiii kitu Samia alikosea saaana kurudisha pesa kwa wakurugenzi MAGUFULI alilitambua akapeleka pesa sehemu husika
@milanzitv1256
@milanzitv1256 6 ай бұрын
Ok
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 ай бұрын
Hauna baya katibu wa itikadi,uenezi na mafunzo ccm taifa.dumu kaka dumu milele.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Duuu ni shida
@user-dw1um8rc2w
@user-dw1um8rc2w 6 ай бұрын
Komesha awo makonda
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 6 ай бұрын
😭🤲🤲🇧🇮
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 6 ай бұрын
Makonda sisi tunataka majibu
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 6 ай бұрын
Asafisana makonda
@SamweliMwalyungu-du5ln
@SamweliMwalyungu-du5ln 6 ай бұрын
Makonda ww ndo rais
@broka_genius3615
@broka_genius3615 6 ай бұрын
😂😂
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Ilo ni jembe letu rais ajaee dadikii
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 6 ай бұрын
Kwani Makonda ni mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya au ninani mbn anajipa cheo cha km rais
@mwashilindicommandos6390
@mwashilindicommandos6390 6 ай бұрын
Mbona jibu jepesi tu ndo CHAMA kilicho na dola
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 6 ай бұрын
MWACHE AMSAIDIE WANANCHI YUKO VIZURI.AU UNAKISAC NAE?MI NAMKUBALI.JEMBE HILO WATU WANADAI HAKI ZAO HAWAPEWI ACHA AWASAIDIE WANANCHI TUNAONYANYASWA.
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 6 ай бұрын
@@mwashilindicommandos6390 😃😃😃😃
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 6 ай бұрын
@@user-hd5bg8qw1b hakuna lolote wenye wananyanyasika wanalia wenyewe mafuriko jana tabata yaani acheni tu hii Tanzania yetu hiii aaaaaa basi tu
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 6 ай бұрын
Uyo ndo Makonda a.k.a zero brain yy hachagui anaongea tu
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
BOSS TANROAD AJICHANGANYA KWA MAKONDA, ASHINDWA KUJIELEZA AKOSEA
12:23
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН