Paul Makonda alivyomalizana na mgogoro wa ardhi wa Mzee Sumaye na Wananchi

  Рет қаралды 642,489

Millard Ayo

Millard Ayo

8 жыл бұрын

Jan 29 2016 Kikao kilichoandaliwa na mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kusuluisha mgogoro wa ardhi Mabwepande kati ya Wananchi na mwenye shamba waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye

Пікірлер: 160
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 ай бұрын
Makonda hapa alikuwa kijana sana❤piga kazi sasa mkuu wa mkoa Arusha sasa 2024
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 жыл бұрын
Huyu mama hana adabu!! Huyo ni waziri mkuu mstaafu, mpeni heshima yake hata kama ameamia upinzani !!
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 3 жыл бұрын
Tatizo ni upinzani siyo sili
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 6 жыл бұрын
Huyo mama mwehu tu mbona wapo wenye maeneo makubwa zaidi ya sumaye hasemi aache siasa zake
@Blessedhopefamily
@Blessedhopefamily 7 жыл бұрын
unajua kuna baadhi ya watu wanazungumza tu ilimradi waonekane mtandaoni. kila kitu kina utaratibu wake, mara nyingi nasema mwanadamu ni mwema wakati wa mema tu, ni kiumbe hatari sana kwani huweza babaikia jambo ambalo hata halimhusu na wala halijui, sasa ona haya waliohoji wengine, ndg yangu ali ali, yaani eti huyo sumaye mwizi amezoea kuiba. yaani unamtusi waziri wako mstaafu kisa Dc ambaye ana malengo huenda sawasawa na mstaafu. watanzania tuache kushabikia kila jambo, sasa mnaona hata DC mwenyewe amejibu kisaikolojia, acheni usiasa watz hata JPM amesema hapa kazi tu, acheni haya, mnaudhi.safi sana Makonda
@zakayomepuyinywe1400
@zakayomepuyinywe1400 8 жыл бұрын
conglaturations Millard Ayo kwa kutuhabarisha!keep it up!
@anthonykusita7102
@anthonykusita7102 7 жыл бұрын
heshima yako mh. makondo. piga kazi tunakubari kazi yako.
@f.a6043
@f.a6043 4 жыл бұрын
Makonda safi hapo Mh.RC umeongea vizuri Mkuu Ubarikiwe sana
@nyanda427
@nyanda427 8 жыл бұрын
nimekuwa nikimfuatilia sana DC Makonda juu ya utendaji wake; nadhani hekima anayo huyu ni kiongozi safi anaweza kazi. Pia nadhani raia hawajamtendea haki Mzee Sumaye
@azahally9216
@azahally9216 7 жыл бұрын
Nyanda Mlanzi upo sahihi
@japhetkyando8822
@japhetkyando8822 7 жыл бұрын
Nyanda Mlanzi ww. Ndolijinga kumsifu makonda
@Wabriged
@Wabriged 6 жыл бұрын
+azah ally ni4lo
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Viongozi wastaafu walizakilishwa Sana awamu ya 5 ilaaniwe
@user-hh9ey2tx5m
@user-hh9ey2tx5m 5 ай бұрын
Pole naona huna cha kusema
@RamadhanKitama
@RamadhanKitama Ай бұрын
Ulaaniwe ww pamoja na kizazi chako.
@santusmiyonjo9676
@santusmiyonjo9676 7 жыл бұрын
kazi nzuri kwa maendeleo ya nchi yetu
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq 5 ай бұрын
Mwenye kipaji cha uongozi siku zote Mungu anamjalia Poul Makonda wewe ni Kiongozi mwenye Busara kubwa sana Ndugu yangu. Ubarikiwe siku zote.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 5 ай бұрын
Tatizo anakashfa nyingi ambazo zinamfanya asikubaliwe na wananchi wengi
@johnnsabimana245
@johnnsabimana245 2 жыл бұрын
Don’t mess with these old folks😂😂 they’ve got BARZ( tukiruhusu uvamizi wanaovamia watavaamiwa😂😂😂😂)
@geraldmmass7627
@geraldmmass7627 7 жыл бұрын
Herman mkalilo ujumbe wako umetumia maneno ya busara sana wakujifunza atajifunza
@kelvinngoda7114
@kelvinngoda7114 6 жыл бұрын
Pole sana muheshimiwa wakuachie haki yako
@stevenmamba2464
@stevenmamba2464 8 жыл бұрын
Safi sana
@labandauson515
@labandauson515 7 жыл бұрын
Nimeipenda
@mercymichael799
@mercymichael799 8 жыл бұрын
Sijaona point ya uyo mama zaidi ya kutumika kisiasa chafu
@erickmchaa4746
@erickmchaa4746 7 жыл бұрын
mercy michael www.SitA
@radhiyaoman2543
@radhiyaoman2543 4 жыл бұрын
Huyo mama gana heshima kwasababu huwezi ongea vileza mbele ya mtuhumiwa
@PetroKapama
@PetroKapama 3 ай бұрын
Hapana , tawala za nyumba mlifanya mambo na kutatua shida za wanachi Kwa matakwa yenu,kuweni wa haki mmefanya madudu mengi sana
@donpablo2651
@donpablo2651 8 жыл бұрын
safi sana makonda una hekima sana respect
@khadijamalifedha5862
@khadijamalifedha5862 8 жыл бұрын
asante kwa habari kaka millard
@kulwajames855
@kulwajames855 7 жыл бұрын
jimama zima akil amna
@radhiambwana2026
@radhiambwana2026 4 жыл бұрын
Makonda anatosha kwakweli ! Tujifunze kuongoza Nchi kwakufuata sheria.
@vizdag1
@vizdag1 8 жыл бұрын
Good work, Millard Ayo
@j.jjonas8455
@j.jjonas8455 5 жыл бұрын
mmh
@carendaniel6117
@carendaniel6117 7 жыл бұрын
kwahiyo mtu hatakiwi kuchimba kisima chake?kisa yeye ni waziri? ni uwamuzi wake kutoa au kutokutoa kwani ni haki yake,kuhusu shule hospital atajengaje yeye na pesa zake?iyo ni kazi ya serikali.
@richardcleophace9932
@richardcleophace9932 8 жыл бұрын
Mr Paul Christian Maconda hongera kk kwa kazi nzur
@aliali189
@aliali189 8 жыл бұрын
snaye awachie wananch eneo we miaka ningap hujajenga chuo mbona anababaika jaman mwez mkubwa huyo eneo likikaa miaka zaid ya mitano bla maendereo wapewe watu wajenge
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Kubakwa watu kwenye eneo sio tiketi ya kuvamia eneo ,kama kweli mlikuwa na Nia njema simngechukua mapanga mkafyeka ili kutoa vichaka😂😂😂roho mbaya tu,nyinyi hao hao vijijini kwenu mna MAENEO makubwa lkn Serikali ikitaka hata barabara tu mnagoma na kutaka fidia
@ramadhanimagomba1586
@ramadhanimagomba1586 7 жыл бұрын
mmmh!
@mwakasegeshukuru3720
@mwakasegeshukuru3720 6 жыл бұрын
upo vzr sn makonda
@alven5202
@alven5202 5 жыл бұрын
Hawa ndo akina mama huruma,suala LA maji na aridhi limeingiliaje,afu mbona mashamba ya mkapa hamyasemi,mgodi wa kiwira umeibiwa na mzee hakuna chochote walichofanyiwa hao viongozi
@loatalothi8784
@loatalothi8784 8 жыл бұрын
Hekima ni ishara nzuri ya uongozi,maneno ya uchochezi haukupelekei kuwa kiongozi mtetezi.
@nghoshamlyabope2105
@nghoshamlyabope2105 7 жыл бұрын
Loata Lothi . iij
@aronminja9661
@aronminja9661 5 жыл бұрын
Uko sawa mstaafu waziri mkuu
@blessbenson7366
@blessbenson7366 8 жыл бұрын
hapa kazi tu
@juliusalistidnguvumali5161
@juliusalistidnguvumali5161 7 жыл бұрын
mmmm
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
hii ndo athari ya mwanamke kuwa kiongozi. hahahahaha et hapa kazi tuu. jamani kuchonganisha huko tena mama yetu sio vizuri.
@nasibushedlak5418
@nasibushedlak5418 5 жыл бұрын
Ali kaba
@bonabonala5559
@bonabonala5559 5 ай бұрын
mpeni haki yake sumay acheni ujinga nyiee sindio ccm??? mmewawezesha viongozi wa ccm??
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Mwendazake alikua hajui uongozi na kuwazalilisha wastaafu
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 5 ай бұрын
Mama Yako alijua kuongoza kulikonmwenda zake
@kharidyblauda7046
@kharidyblauda7046 7 жыл бұрын
heee chezea wa mama wew!!!?
@christinashirima2238
@christinashirima2238 2 жыл бұрын
Huyo Mama sijui DC sijui
@idrisajuma9314
@idrisajuma9314 Жыл бұрын
Sumayai anakili sana anasema hvi wakina mama wanao bakwa jawabu nikuvamia eneo
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 жыл бұрын
Mh mstafu usiwe na wasi mbona wengi tumepata maeneo kibao ,kila mtu anaangalia eneo kulingana na uwezo wake na sii kuvamia maeneo ya wengine,wengi tumeingia dar na tumekuta watu wanamaeneo makubwa na hatujavamia tumenunu kwa haohao wenye maeneo makubwa,hao wanaovamia shamba ndohaohao wanamafunzo mabaya hatawatotowao wanapiga ngetA mtaani
@maxwelllubambe3817
@maxwelllubambe3817 6 жыл бұрын
dc kaongea point. Kwanza huyo mama alieongea aache chuki wangeenda kumwambia hayo matatizo kabla kwa upendo wangepata suluhu Zuri Tu.
@bonigrey9623
@bonigrey9623 5 жыл бұрын
Makonda hapo uko sahihi sana bila kuegemea upande wowote
@nyandamisana3630
@nyandamisana3630 10 ай бұрын
Najikumbusha Enzi za makonda
@oyay2821
@oyay2821 8 жыл бұрын
huyu makonda atakuja kuwa raisi wa Tz
@hamiscosmas4667
@hamiscosmas4667 7 жыл бұрын
hamna
@rahhiwilliam8147
@rahhiwilliam8147 8 жыл бұрын
mheshimiwa jambo zuri sana hilo
@isackmodestus5935
@isackmodestus5935 6 жыл бұрын
Rahhi William
@samwelnaal7952
@samwelnaal7952 8 жыл бұрын
unjust way can't be used to get the right
@hamiscosmas4667
@hamiscosmas4667 7 жыл бұрын
washamba sana hao akina mama
@aizackdidas9792
@aizackdidas9792 7 жыл бұрын
makonda safi umenena
@t33pelos77
@t33pelos77 7 жыл бұрын
akuna zahanati akuna shule ya msingi we unataka kujenga chuo mbona unashangaza watu ata icho kisima inawezekana kilikua kinahatalisha maisha ya watt ndio maana wakatia mawe
@hamadali5062
@hamadali5062 5 жыл бұрын
Mimi nawapenda Sana hawa viongozi watanzania waliopita na walikuwapo katika ngazi. Hawana ubaguzi wa dini hawana ubaguzi wa rangi wala hawana ubaguzi wa kabila. Hii ndio siasa inabidi watanzania wairingie
@edinaluoga7019
@edinaluoga7019 5 жыл бұрын
Aheshimiwe kuwa chama pizan cyo tatizo huy niwazir mbona hatuna heshima hiv
@stanleyfocas8250
@stanleyfocas8250 5 жыл бұрын
Uyu mama simwelewi
@augustinoambrose9969
@augustinoambrose9969 7 жыл бұрын
nomaaaa
@victorkisilu6383
@victorkisilu6383 7 жыл бұрын
Wamama tafuteni mali yenu, acheni kuvamia mali ya watu.
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
makonda kila siku mimi nasema ukijaaliwa uzima baada ya magufuli ugombee urais.
@heremensiliapawe155
@heremensiliapawe155 6 жыл бұрын
tetetete
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Kwanini umiliki Ardhi yote hiyo ekari zote wananchi wateseke kisa wewe ULIKUWA WAZIRI MKUU MAKURUNGE HIVYO HIVYO ACHIA ARDHI WANYONGE WACHUKUE HIYO ARDHI WAJENGE FISADI MKUBWA WEWE
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 2 жыл бұрын
Clouds nao walijaribu kumsafisha sabaya..
@waziripazi3401
@waziripazi3401 8 жыл бұрын
uyo mama anaongea vitu ambavyo akiambiwa atoe ushaidi atatoa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni shamba la mweshomiwa kwa ishaidi na nyaraka anazo pia
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
Waziri Pazi mjinga hyo mama ana mihemuko na sifa za kijinga
@labandauson515
@labandauson515 7 жыл бұрын
Yuko xawa
@lamecksilayo5689
@lamecksilayo5689 2 жыл бұрын
Mama tahira kwelll umenunua eneo sumaye akupe arithi?? Tz nchiyangu nakupenda Ila huyo mama ni mpuuz tuuuu
@jamalmmoja1277
@jamalmmoja1277 5 жыл бұрын
Uitwe kwa sababu ipi kuwa na imani mzee wagaiye kidogo wenzio baba
@pamelacharles2352
@pamelacharles2352 7 жыл бұрын
mshenz huyu sumaye kumbe mnajijua mliokuwa na maeneo makubwa acheni kujimilikisha maeneo uendi nayo mbinguni unaacha duniani muongo umenunuaicho kiwanja si umejimilikisha mpo wengi mtakufa mtaacha duniani
@frederickmpale7309
@frederickmpale7309 7 жыл бұрын
Pamela Charles uuuuuuuhhhh
@parimenamasamu1777
@parimenamasamu1777 7 жыл бұрын
n
@ibrahimally7506
@ibrahimally7506 8 жыл бұрын
this is an insult to former PM, wananchi hawana hoja ni wahuni na majangiri kama wahuni wengine, yaani mimi hata nisingejisumbua kuwasikiliza, ningeenda zangu mahakamani....upuuzi huu hauvumiliki'
@erickmchaa4746
@erickmchaa4746 7 жыл бұрын
Ibrahim Ally www,sita
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 3 жыл бұрын
Ukihamia upinzani tayari umekua adui
@bintirashidantybaby8146
@bintirashidantybaby8146 7 жыл бұрын
kisima kinaweza jazwa mawe sababu ya hasra ya wananchi kama haki haitendeki Alaf unajenga chuo kikuu wakat primary hakuna hehehehe mtanyoka tu
@dastanherman.kingdicetv1840
@dastanherman.kingdicetv1840 6 жыл бұрын
Binti Rashid Antybaby vvv
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
Binti Rashid Antybaby haki ipi km anamiliki kihalali?
@DerickDanieli-cg4uf
@DerickDanieli-cg4uf 4 ай бұрын
Sawa
@zuwenasalim38
@zuwenasalim38 7 жыл бұрын
ungekuwa unawapa maji wasingejaza mawe mzee
@sabrinaislam4200
@sabrinaislam4200 4 жыл бұрын
Mnagombea ardhi KM mtaishi milele duniani
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 ай бұрын
Acheni haki ya mtuu itabaki ya mtuu,mali ya mheshimiwa ubaki kuwa yale
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 5 жыл бұрын
Ukiona umefika level ya juu ya madaraka then unakuja nyanyashwa na vinyangalika ujuwe wewe ni Tatizo
@gtmalanga6953
@gtmalanga6953 2 жыл бұрын
Huyu Diwani mpuuz sana,anazungumza vitu kishabiki tena kwa dharau eti hapa kazi tu,malengo yake amdharilishe Mh sumaye,yaan ni mpuuz sana,kumilik aridhi siyo dhambi,wanabakwa so suluhisho ni hilo?
@mlimilachannel3047
@mlimilachannel3047 8 жыл бұрын
HAPA KAZI TU HAIWEZI KUWA APPLIED HAPO, UTAKUWA NI USHETANI,MWACHIENI ARDHI YAKE, MNAPIGA KELELE, WATU KAWAIDA YENU KUKODOLEA MACHO MALI ZA WATU, KISA HAMNA CHENU, TUMIENI KIDOGO MLICHONACHO MUNGU ATAWABARIKIA, ACHENI UVIVU WA KUFIKIRI
@mybrain8940
@mybrain8940 2 жыл бұрын
Kudadeki kwahiyo tufyeke mapori yote watu wasibakwe😂😂😂
@leilasaid3623
@leilasaid3623 Жыл бұрын
Viogozi nyie mtakuja kuulizwa siku ya qiyama
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Viongozi wastaafu walizalilishwa San na awamu ya 5 wametumwa na mwendaze
@wagadugu7224
@wagadugu7224 2 жыл бұрын
Unajua baazi ya vichwa vya magufuli vipo vzuri
@ommyregga5829
@ommyregga5829 Жыл бұрын
Sumaye fisadiiiiii katuriaaaaaa
@josephlorri431
@josephlorri431 27 күн бұрын
Thibitisha hoja yako.. acha hisia na mihemuko
@MohamedHassan-zc5bl
@MohamedHassan-zc5bl 7 жыл бұрын
kila mtu ana nafasi kwa wakati wake makonda upo juu
@dezruh
@dezruh 6 жыл бұрын
Mhe Makonda umesema vyema , hongera sana kwa hekima!
@emmanueldeus1542
@emmanueldeus1542 6 жыл бұрын
Napita tu
@abubakaryvan7093
@abubakaryvan7093 7 жыл бұрын
yaan hyo mama anaongea pumb xnaa
@hamismindika7513
@hamismindika7513 7 жыл бұрын
Hilo tatizo la kisiasa nac vingine
@harithwhite589
@harithwhite589 7 жыл бұрын
hivi wakina mama wakibakwa jawabu ni kuvamia eneo?
@marreymaster9308
@marreymaster9308 5 жыл бұрын
Hyo mama ypo sahihi kabsa hyo mr 0 kipindi akiwa waziri mkuu alkuwa fala
@abdallahelbali4200
@abdallahelbali4200 5 жыл бұрын
Marrey Master kila mvamizi naye huvamiwa. Kama Sumaye anamiliki ardhi kihalali kuna shida gani? Alivyokua waziri mkuu alifanya kazi nzuri.
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 жыл бұрын
Fanyeni kazi mnunue yakwenu acheni kupenda vyabure nyie baadhi wananchi wa magwepande waulizen wenzenu waliotangulia maeneo hayo walivamia?kama ni mwombeni apende mwenyi na sii kwalazima,hapo kijijin wote mnafanyiana kama mnavyomfanyia msafu?shetan gani kawadanganya kuwa serekali ya Mh JPm inashiriki ktk unyang'anyi?
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 6 жыл бұрын
We waachie au utayapeleka wapi
@omegaamir908
@omegaamir908 6 жыл бұрын
Duh tatizo ujinga unatuharibu wa Tanzania... Asa huyo mama kapewa uongozi na nani kiwanja cha mtu anataka apewe ajenge zahanati hahahahaaaaaaaa pumbavu sana anataka kuchota maji kwa mheshimiwa au sio hahahaaaaaa foolish sumaye weka chuo bhn na zahanati iwe ya wanachuo pekee wanadhani wewe serikal
@MariaCassian-ys7pt
@MariaCassian-ys7pt 3 ай бұрын
Hebu kuwa naadabu wewe mama kwa muheshimiwa sumaye hatakama ameamia upinzani kumbuka hisani alipokuwa madarakani acheni uharamia
@victoryteodory2750
@victoryteodory2750 7 жыл бұрын
"
@nachaone5983
@nachaone5983 7 жыл бұрын
kisanga
@modestalois2535
@modestalois2535 2 жыл бұрын
Acheni umbea,kwa hiyo msaada ni lazima? Pumbavu kabisa ninyi nyumbu wa Kinondo
@sazafsuma7542
@sazafsuma7542 7 жыл бұрын
kwanza huyo mama anabakwa kwake sio kwenye shamba lako sumae
@Teksani
@Teksani 8 жыл бұрын
Huyo mama pamoja na kuongea kwa uchungu, sijaona point alioyo isema yenye msimamo mzuri
@sallykanze
@sallykanze 8 жыл бұрын
Mama ameongea vizuri Sana kwa Sababu huyu mstaafu nae anaongea upuuzi kwa Sababu amekwisha staafu na hajafanya kitu chochote kwa wananchi
@wilhelmibaganisa1635
@wilhelmibaganisa1635 8 жыл бұрын
jefason kingy ww kanyaboya kweli,
@sallykanze
@sallykanze 8 жыл бұрын
+WILHELM IBAGANISA kanyaboya ni ww kwani waanza matusi na sidhani Kama nimekutaja kwa hii comment kisha njoo na hekma Sana
@libuimshamu2401
@libuimshamu2401 8 жыл бұрын
huyo mama hajaenda akiambiwa arudie tena maneno yake ataweza .makonda nae ataongea nini wakati cheo kapewa janat2
@libuimshamu2401
@libuimshamu2401 8 жыл бұрын
huyo mama hajaenda akiambiwa arudie tena maneno yake ataweza .makonda nae ataongea nini wakati cheo kapewa janat2
@machinjashabani1518
@machinjashabani1518 5 жыл бұрын
Dada acha unafikiri?
@jackisonijackisoni6715
@jackisonijackisoni6715 5 жыл бұрын
Makonda nakukubali sana
@eddomgaya5059
@eddomgaya5059 2 жыл бұрын
Arudi Tena mh makonda
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Huyo aliwanyima hata Makurunge maji huyo siyo kiongozi mzuri ksbisa Sumsye
@josephlorri431
@josephlorri431 27 күн бұрын
Ni jukumu la serikali inayochukua kodi kuleta huduma za jamii sio Sumaye
@jumamakuri3218
@jumamakuri3218 7 жыл бұрын
Sumaye kachunge ng'ombe acha kuwadhulumu wananchi ardhi yao we huna mamlaka ya kuwagawia ardhi wananchi usituletee story huna jipya.
@mwajumashabanihamis8575
@mwajumashabanihamis8575 6 жыл бұрын
Juma Makuri
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@ofalirichardi9786
@ofalirichardi9786 Жыл бұрын
Ongeaga poit naww
@makalanimau4649
@makalanimau4649 6 жыл бұрын
mama unachuki binafsi
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
umeongea vizuri Nakonda tena kwa nidhamu kubwa kwa Mzee Sumaye
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Diamond Platnumz ft Rayvanny - Salome (Traditional Official Music video)
3:31
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
Smart thief😳 لص ذكي…
0:19
MARYA & AMINE
Рет қаралды 76 МЛН
He doesn’t like illusions
0:17
V.A. show / Магика
Рет қаралды 13 МЛН
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор #cat #топ
0:33
Лайки Like
Рет қаралды 4,1 МЛН