"NINGEKUWA na PISTO SIJUI INGEKUAJE" - MZEE ATISHIA MBELE YA NAIBU WAZIRI, AMUAMRISHA KUBOMOA NYUMBA

  Рет қаралды 62,012

Wasafi Media

Wasafi Media

4 ай бұрын

"NINGEKUWA na PISTO SIJUI INGEKUAJE" - MZEE ATISHIA MBELE YA NAIBU WAZIRI, AMUAMRISHA KUBOMOA NYUMBA
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 145
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 4 ай бұрын
Unajua mtu unaweza ukamwona kama kachanganyikiwa vile!! Lkn sio hivo!! Hiyo ni jazba, afu siku ukidhulumiwa ww ndo utajua huyu mzee alikuwa akimaanisha nini. Dhuluma ni mbaya sana wapendwa.
@goodramamwanyombo6756
@goodramamwanyombo6756 4 ай бұрын
hongera my.pinda kwa busara na hekima ulizonazo kwa maamuzi haya
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 4 ай бұрын
Unaweza kuona kama kachanganyikiwa ila Dhulma anajua kama watu wote wanajua anadhulumiwa na wanashindwa kutoa maamuz., ila apunguze jazba kidogo
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
mtu unatafuta haki mpaka unakua kama kichaaa au wananchi waanze kuuwa hawa viongozi ambao sio waadilifu maana inaumiza sana RIP RAMA
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 4 ай бұрын
Mm namkubali huyu jamaa na kama hujawahi ibiwa kiwanja unaweza usimuelewe na Shakur Mungu kwa hilo
@azizakitele9165
@azizakitele9165 4 ай бұрын
Busara na hekima kubwa sana umetumia MH.WAZIRI Allah akulinde na akuongoze.AMIIN.
@Mwigaa95
@Mwigaa95 4 ай бұрын
Ila pinda ana kalama ya uongozi ana stahili maua 🎉 yake 🫡🫡🫡🫡👏🏻👏🏻
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 3 ай бұрын
Mimi nipo nchi gani jamani? Kwani Jery Slaa nae siwaziri kamili wa ardhi? Na huyu pinda nae ni waziri wa nini?
@zephrinekanga4554
@zephrinekanga4554 4 ай бұрын
Mh Pinda kweli wewe ni kiongozi na una masikio na Busara kwa sana uko sawa kabisa na Mzee wako, mi nakutabiria utafika mbali sana. Endelea hivyo na Mungu akusimamie
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 4 ай бұрын
Jamani watu wamwogope Mungu
@drbendentist8687
@drbendentist8687 4 ай бұрын
Aliyesikia sauti ya Mzee Pinda agonge like hapa , daaah kumbe Baba angekuwa Kada na Mimi ningekuwa wizara ya utalii nikale maisha mbele 😅😅😂😂
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 ай бұрын
Mkitumaliza sisi baadaye mtamalizana wenyewe hii imeenda
@erickchigome9910
@erickchigome9910 3 ай бұрын
Mh Pinda hongera sana kwa busara nyingi
@tukuyufm
@tukuyufm 4 ай бұрын
People are frustrated at all God save this nation.
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZAWATU WANYONGE
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Abcheni kauli mbovu someni madini kwa huyu mzee huyu ni mpiganaji hakubali kushindwa ,
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Ni kweli
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 4 ай бұрын
Mmmh
@Kidotii
@Kidotii 3 ай бұрын
Daah
@akidajulius1581
@akidajulius1581 4 ай бұрын
HUYU mzee ukimchumbia bint yake alafu kama hukumalizia mahali ya bint yake, ni bola utafute nchi ya kuishi
@mswahili6247
@mswahili6247 4 ай бұрын
😂😂😂
@piusgadau6328
@piusgadau6328 4 ай бұрын
Hahahahaah
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 4 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 4 ай бұрын
Mhhhh?. "Mahali" ni kitu gani? "Bola" ni nini?😊
@DM_15
@DM_15 3 ай бұрын
Ukidhurumiwa haki uliopambania kwajasho au hakiyako ya urithi. Ndio utamuelewahuyu mzee nikama amechanganyikiwa, subiri likukute
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 4 ай бұрын
Mzee kavulugwa kweli
@noeljuvenalmunishi75
@noeljuvenalmunishi75 4 ай бұрын
Ni kweli Mzee huenda kazulumiwa lkn approach aliyotumia ya kijazba ni mbaya. Mh Pinda Yuko na ustahimilivu mkubwa sana. Hongera sana Mh Pinda, lkn ongeza ukali kdg
@alvinkulasare148
@alvinkulasare148 4 ай бұрын
Huyu amedhulumia wazi wazi. Wewe uwezi vaa hiko kiatu chake. Kikubwa nikimshukuru Waziri kwa hekima na busara amezitumia vema sana.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
Wameshamvuruga ataachaje kuongea kwa jazba Ni haki yake kukasirika na hasira haimtambui mtu ilimradi upo kwenye haki Nani asiejua hiloo
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 4 ай бұрын
Nawapongeza wizara ya aridhi kwa kazi nzuri
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Mh
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Wewe ulielimika mbona umejificha acha unafiki
@mwafrika78
@mwafrika78 4 ай бұрын
Anatakiwa apatiwe mtu wa saikolojia
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Anaemtukana huyu mzee hajitambui na roho za ujambazi na kushabikia dhuluma
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Hujui kiswahili mkutano unavurugwaje acha kushabikia dhuluma
@Godisable4281
@Godisable4281 4 ай бұрын
Kama hujawahi kutapeliwa unaweza kuona kuwa kavurugwa, kuitafuta haki iliyoporwa ni changamoto
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Yes
@omarabubakar191
@omarabubakar191 3 ай бұрын
Wazir Pinda Muungwana sn sn sn Mpk kapitiliza
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 4 ай бұрын
Huyu Mzee anaakili kama mmi ningekuwa na pisito sijui ingekuwajeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 ай бұрын
Ndio maan huwa anashindwa kusaidiwa mara zote .. Nizamu lazima iwepo hata kama umeibiwa vipi.. mzee namuona kama mara yatatu ivi analalamika likin inabidi wajitahid walifanyie kazi apew naye haki yake🎉
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
RF4 ni Rebuild Rrconconstion.Reform Resielience
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 ай бұрын
Ccm haiwezi kushindwa. Matatizo waliyoyasababisha nchi nzima ni makubwa mno. Watu wamepoteza viungo, maisha nk. Watu Wateja wa jazba nchi nzima. Nchi nzima. Mmefunga masikio. Mfumo mzima wa serikali umeoza. Si kila mtu anaweza kuja kwako. Mfumo ni mbovu sana. Mamillioni ya watu.
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Sasa mtu mwenye Baba ana hadhi je wewe ulie zaliwa Baa Baba utamjua kweli
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 3 ай бұрын
Na ni walewale tz hadi tufe woooooooote ianze mpya
@user-mm6fe9vz2p
@user-mm6fe9vz2p 4 ай бұрын
Kuweni making nihaohao wezi wa rasilimali zataifa hili kwani madai kwenye majukwaa yakisiasa haki ni mahakani hizo ni polojo
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 4 ай бұрын
Kwani si Makonda alipita nchi nzima kumaliza matatizo? Mbona hili hakulitatua?. CCM jifunzeni kuwa nchi hii ina hali mbaya. Tatueni sasa matatizo. Wawekeni magerezani na ikibidi wanyongeni hawa maofisa wanaochezea hii nchi. Tungeni sheria kali waohope hawa waovu.
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 3 ай бұрын
Kwa wasiomfahamu ........kwa wanaomfahamu.........😂😂😂
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 4 ай бұрын
HUYU SIO YULE WA MWANZA KWELI?
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 ай бұрын
Lukuvi alimpuuza namkumbuka
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 4 ай бұрын
Aliwahi shindana na Lukuvi.Ni.msumnbufu na mjuaji ni rahisi sana kupoteza vya maana
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 4 ай бұрын
@@RenaldaZeramula Yeha.Jamaa limwambia eti anafahamiana na JPM atamweleza.Lukuvi akamjibu kamwambie
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 4 ай бұрын
Huyumzee siyo anaeneza propaganda kweli
@allyomary2271
@allyomary2271 4 ай бұрын
Huyu mzee huenda anakitu kinamsumbua maana simuelewi kila kiongozi akifika hapo anazungumza hilo hilo jambo inamaana serikali haioni au mzee analalama kwa mihemko?
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Huyu ajielewi kujieleza ni haki ya Raia na umbile la binadamu uwezi kulibadili concentrate madini anayotoa
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Kutoa maoni kujieleza kutetea haki zako ni haki kisheria watu hata kujitetea kujua haki zao hawajui
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 ай бұрын
Huyu baba apewe mauwa yake,anawafukugua akili waliowengi
@EdgarKimutai
@EdgarKimutai 3 ай бұрын
Ata hapa kenya wizara ya ardhi ni wezi
@petersynto2043
@petersynto2043 3 ай бұрын
Nilikuwa siamini Kama bado tuna viongozi wavumilivu Kama wewe mh Pinda aisee unabusara sana hakika mheshimiwa rais hakukosea kukupa uwaziri nikili wazi huo uvumilivu hata Mimi sina wewe ipo siku utakuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili uko vzr
@makungamapalala7982
@makungamapalala7982 4 ай бұрын
Abubakar namkubali sana
@alvinkulasare148
@alvinkulasare148 4 ай бұрын
Safi sana Mh.Pinda
@davidmziray2048
@davidmziray2048 4 ай бұрын
Katika kipindi nchi tangu uhuru kupindi hichi imepitia kipindi kigumu sana
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 4 ай бұрын
Eti Angekua na pisto
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 ай бұрын
Huyu dish lilichezaga longtime
@simonwenceslaus3745
@simonwenceslaus3745 4 ай бұрын
Yupo vzr Sema haaamini km haki ake ataipata na watu walio enda shule kidogo wakizrumiwa huwa wanapgawa
@ChristerShao
@ChristerShao 4 ай бұрын
Hiyo kampeni au?
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 ай бұрын
Ukimwona mwananchi anahangaika, kuna..... nukuu
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 4 ай бұрын
Changamoto kubwa sana
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 3 ай бұрын
HATA SISI WAFANYAKAZI BOT TUMESHINDA ILA TUMEDHULUMIWA HAKI YA AJIRA WATU 560 1993
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 4 ай бұрын
Punguza jaziba mzee upate haki yako
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Dhuluma mbaya saana
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 4 ай бұрын
Huyu jamaa anaeneza propaganda simuamini this is typically game.nilimuona kwenye mkutano wa makonda like comedy ivyi
@zanzibamjimpya17
@zanzibamjimpya17 4 ай бұрын
ukiona hivyo ujue kila akilalamika hapati haki yake hapa kuna mawili huyo aliyemdhulum ni kiongozi selikarini au anapesa anasumbua wezake
@benny4345
@benny4345 4 ай бұрын
Four R nne ndo vitu gani
@hamzalema1051
@hamzalema1051 3 ай бұрын
Pinda hii wizara ngumu kwako.
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 4 ай бұрын
Vizuri kama chega tutajua
@nehemia397
@nehemia397 3 ай бұрын
duuuhh!!
@abuahmed5734
@abuahmed5734 2 ай бұрын
Shida ya huyu kelele nyingi
@bakarially253
@bakarially253 2 ай бұрын
Kama msomi kama huyu anasumbuliwa je yule mama wa kazuramimba ambaye hana shule?
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Shule ndogo mdomo mchafu mkutano unavurugwa wapi, matapeli na yenyewe eti yanatoa hoja
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 4 ай бұрын
Uyu mzee huenda akawa ana haki lkn jazba litamuaribia
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 ай бұрын
kudhulumiwa mali lazima uchizi kabisa
@eliadaniel216
@eliadaniel216 4 ай бұрын
Huyu mzee c ndo yule alipeleka malalamiko kwa makonda wamsaidie aisee
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Mbona mnasema approach ulishaona wapi msiba uko usoni keako halafu wewe unacheka, huzuni lazima hutokea
@rofacoltanzania589
@rofacoltanzania589 4 ай бұрын
Huyu ni Pinda mazima hata usoni
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 4 ай бұрын
Mzee Yuko full documents alichokosa ni pisito tuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂awamwageee ubongoooooo😂😂😂😂😂
@josephkasainey2903
@josephkasainey2903 4 ай бұрын
Oyaaa😂😂
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 4 ай бұрын
@@josephkasainey2903 oyaaa
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 ай бұрын
Huyu kila mkutano yupo
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju 4 ай бұрын
Sasa kama bado hajapata haki yake kwanini apumzike lazima adai chake
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 4 ай бұрын
😂😂😂aise😅😅
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 3 ай бұрын
Pinda kawa kijana jmn heeee
@petrojacob6070
@petrojacob6070 4 ай бұрын
Huyu ni mtoto wa Mizengo Pinda?
@ABBASIKANDULU-kl8zc
@ABBASIKANDULU-kl8zc 4 ай бұрын
Ndio ni mtoto wake Mzee pindaa
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 4 ай бұрын
Wamefanana hadi voice
@ZakayoReuben-ow9tz
@ZakayoReuben-ow9tz 4 ай бұрын
Ni mdogo wake
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 3 ай бұрын
sio mtoto wake ni mdogo wake
@thomassenga2526
@thomassenga2526 3 ай бұрын
Mdogo wake ni mbunge wetu wa Jimbo la kavuu katavi
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Kutaja Baba ni heshima sasa wewe mtoto wa Baa utamtaja nani
@rofacoltanzania589
@rofacoltanzania589 4 ай бұрын
Huyu Mzee amevurugwa na maisha, sasa hv amekuwa kichaa
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 4 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Je ulishawahi kusikia amekopa Buku kwako basi kiherere ni wewe kihadi
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Kuadi siku zote ana Aibu
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 4 ай бұрын
Nchi ina watu dhuruma sana
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Saana
@davidmziray2048
@davidmziray2048 4 ай бұрын
Hakuna kitu chochote cha maana nchi imefanya tuko busy ni ihefu
@robertphilip385
@robertphilip385 4 ай бұрын
Nikaida ya wateule wa ccm kuzarau amri ya mahakama
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 4 ай бұрын
uko sawa kabisa
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Acha kushabikia majizi mnakula nao
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 ай бұрын
Mbona huyu mzee hana adabu. Hata heshima kwa mamlaka hana. Kwanza kikazi hatuitani kwa majina. Pinda ni Waziri yeye anamwita kwa jina. Tena si kwamba anaongea bali anafoka. Huyu mzee ana matatizo. Anataka kutumia mabavu kujipatia haki. Waziri usitishwe na kelele za huyu mzee wewe fuata sheria tu.
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 4 ай бұрын
Wewe hueleweki......Mheshimiwa Waziri yuko hapo na hajachukia,wewe unatoa Tuhuma ukiwa wapi?
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Wewe ndie una Adabu maana uelewi kinachozungumzwa, acheni ukuadi kwa matapeli wa Ardhi tafuteni jasho
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Kwani ni dhambi kuheshimu mali za baba yako, mali zinapoachea na wazee wetu tuzitupe ziwani kweli ukiacha watoto bila maadili hudharau wazazi wao, mdharau mzazi ni mtu mwenye laana
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 4 ай бұрын
Huyu mzee kavurugwa na anajaziba aise.mh.pinda apewe ulinzi.
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 4 ай бұрын
Huyu mzee nilimuona bar kabla hajaja hapo kwaiyo msishangae kabusti akili😅😅
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 4 ай бұрын
itakuwa nawewe umegenga kwenye kiwanja chake
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 4 ай бұрын
@@user-jc8el6je5e 🤣🤣
@mohamedigilala
@mohamedigilala 4 ай бұрын
Acha ujinga huyo mzee azimio kirevi
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Unasema kwa sababu wewe ni mwizi wanakupa mhao
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Utapeli unamwisho
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Mtu mzima kutoa hoja za husuda ebu jitafakari
@mathewungani9724
@mathewungani9724 4 ай бұрын
Pinda Jr
@daslamonline4665
@daslamonline4665 4 ай бұрын
Kadata kimtindo
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 4 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Jambazi tapeli hawezi kukuelewa
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 4 ай бұрын
Nchi hii mtu unatafuta haki unakuwa kama kichaa
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Vaa kiatu chake,ndio utaelewa
@namangabruno-xh3kp
@namangabruno-xh3kp 3 ай бұрын
Mwisho unakata tamaa unajipiga chuma Yaani unaenda kwa Baba mbinguni
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 4 ай бұрын
sasa najiuliza hizi kliniki zina nguvu zaid ya mahakama?kama ndio hivo basi tumekwisha,badala ya viongozi kupambana ili kuzinyoosha mahakama,wao wanapambana kuzidhalilisha.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 ай бұрын
R four nne😂
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 4 ай бұрын
Huwezi kumiliki maumbile ya kila mtu hata vidole havilingani
@rogersiddy
@rogersiddy 4 ай бұрын
Huyu mzee hajielewi inaonekana yeye ndo tatizo mwenye kutambua huna kosa huwa mtulivu kwa kujiamini kuwa sina wasi wasi juu ya hili ila uyo mzee mhh hapana
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Whatever statement you state, he will never turn to bow to to seek for even a penny, but judge yourself are you really one the famous con man in our country
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 4 ай бұрын
baba baba babangu kwanini usijisimamie mwenyewe miaka 40 baada ya baba yako kufa bado unataja jina la baba kujenga hoja zako shame on you ndio maana unasafa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 ай бұрын
BANGI MBAYA😅😅😅😅
@moriscollins4494
@moriscollins4494 4 ай бұрын
Kubwa zima linataja mali za baba badara ya kutafuta mali zake fala kweli
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 4 ай бұрын
Kwahiyo aache mali ya baba yake ipoteee yani sisi wabongo
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 3 ай бұрын
Atakuwa mmoja ya wapigaji huyu😂😂😂😂Eti mali za baba yake ulitaka akuachie uzimiliki wewe.Kwani wewe ni zako?
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn 3 ай бұрын
Yote haya ni matapeli hayajui hata Baba yake mtoto wa Baa akiingia mjini tegemea majibu haya
@Hamy1109
@Hamy1109 4 ай бұрын
Huyu mzee anavuruga mkutano wa Naibu Waziri. Hakuna askari hapo wamtimue?
@samwelnaal7952
@samwelnaal7952 4 ай бұрын
This man is not mentaly okay. He might have some issues with the Municipality but He missed the good way of presenting it to the authorities. He is mannerless He is arrogant He is indisciplined He is a shame at His age
@akimmbwego797
@akimmbwego797 4 ай бұрын
USIOMBE YAKUKUTE, WATU WANADHURUMIWA NJE NJE NA MSAADA HAKUNA🥹🙌🏻 AAACHWE AONGEE WATU WEMA WASIKIE LABDA ATASAIDIWA📌
@ishengomanelson
@ishengomanelson 4 ай бұрын
Huyu Mzee hakuwahi elimika.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 50 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН