KINACHOENDELEA KWENYE MAJI YA MSUKA PEMBA BAADA YA TAMKO LA SERIKALI | SASA NI HATUA KWA VITENDO 1

  Рет қаралды 17,989

AFYA ONLINE TV

AFYA ONLINE TV

Жыл бұрын

Karibu katika Channel yetu maalum ya Afya Online tv inayosimamiwa na Kitengo cha Elimu ya Afya kupitia Wizara ya Afya Zanzbar kwa lengo la ili kutoa taarifa, habari, vipindi na matukio mbali mbali ya kiafya kutoka visiwani Zanzibar.
Jiunge nasi kwa kusubscribe katika channel yetu hii ili uwe wa kwanza kupata habari zetu na matukio ya kila siku.
#afyaonline #afyatv #afyaonlinetv #zanzibar #wizarayaafyazanzibar

Пікірлер: 49
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Жыл бұрын
Hawa wa cemia wetu wabongo SI ndio hawahawa walioletewa sampuli za mapapai na miwa wakapima wakasema Zina corona .mmh mi siwaamini hata kidogo
@fathiyaAli-lw6zt
@fathiyaAli-lw6zt Жыл бұрын
Kama kweli mnatjali wananchi wenu mngeshusha vitu Bei mana njaa imeenea
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Safi sana mkuu wa wilaya hao jamaa waliodai kuwa maji yanaponesha matapeli tu hao wizi watupu,,Ndio tuna shangaa, maji yaliyo na ubora ni maji peke yk ya ZAM ZAM yanatokana Nabii Ibrahim tena makka sio Pemba, watu matapeli, tena wameshaibiwa watu hapo sana tu
@Jempustate
@Jempustate Жыл бұрын
Tapeli unamjuwa rafiki yangu, angalau kwa sura tu?
@fatmarashid0005
@fatmarashid0005 Жыл бұрын
Hamna lolote mnajidai tu mnajitia kujua kumbe hamna lolote mwazo si mlienda kuchunguza mkasema maji yanafaa na yapo salama muogopeni m.mungu jamani na mnasema hayafai mbona hata nyinyi mumebeba maduma au mnatiya michanga kwenye madumu hayo wacheni kujiona viongozi Hana lolote mlilonalo na maana sote tunamtegemea allah pekeake na nyinyi hivo vibri venu vina mwisho wake
@KhatibSilima-li5gz
@KhatibSilima-li5gz Жыл бұрын
Ww dada yngu usitudanganye mavi yawatu hayawez kuichafuw bahar , mbon husem watu wachimba visim apo apo pana nashimo y vyoo , maji watu wanakunywa leo mavi ypo kwenye mkadaa yachafuwe maji yanayo chemka n bahar ipo apo apo
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
imefika wakati Basi Serikali ingeanza kuchunguza maji yote tunayokunywa mitaani kwani asilimia kubwa tunatumia maji kutoka kwenye visima vyetu ambavyo maji yake hayajapimwa
@saidabdala4980
@saidabdala4980 Жыл бұрын
SEREKALI nendeni kwa jecha mkamwambiye kuhusu matekeo ya UCHAGUZI😂😂😂😂😂. Wananchi wanaishi tu lakini hawana haja na SEREKALI ya kishenzi CCM
@maulidali7657
@maulidali7657 Жыл бұрын
Sisi tunamuamini mingi ndie alieumba vyote si waziri afya ina Allah
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 Жыл бұрын
Hayo mavi yaliyo chafua hayo maji nani kanya?
@alkhuzairytune
@alkhuzairytune Жыл бұрын
Enhe
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 Жыл бұрын
Hapo mwanzo mliposema maji hayana madhara yeyote mlikukwa mpo usingizini?
@othmanjafar5277
@othmanjafar5277 Жыл бұрын
Serikali yetu bado sana hamuwezi kushindana na alie umba dunia
@seifmkaranga9281
@seifmkaranga9281 Жыл бұрын
Jama hii ni neema Allah katuletea nakama yanamarazi nani kaathirika kupitia hayo maji acheni choyoo
@IkiDede-gw6ls
@IkiDede-gw6ls Жыл бұрын
Muwa kumanina mbona dawa za kihuni mnatuletea tele
@rayasuleiman5205
@rayasuleiman5205 Жыл бұрын
Tuambien nicmgonjwa gani aleletwa kwenye hsptl zenu smbae kadhuriwa naayo maji.....madawa yakulevya yanaathir jamii ck hd ck nawala hamutafuti njia yakuyazuwia.....tuachn tunywe Alhamdulillah yanatusaidia
@azizams5721
@azizams5721 Жыл бұрын
Mumeona watu wananufaika hamna lolote wapumbavu
@aliiissa1052
@aliiissa1052 Жыл бұрын
Nyie watu wacheni ukaidi maji bosi wa chama chenu mazurui kasema hayafai mnang,ang,nia nini
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Serekali gani tukufu Kwan mashfu ayo mhuu Bado hujasema mwenyenzi muungu hafundishwi wangapi mliwapitia walo kunywa hayo maji mkapata udhibitisho yakua hayatibu ndo mkachukua hatuja hiyo mbona Sheria zimekua ngumu
@SeekerMaulid
@SeekerMaulid Жыл бұрын
Nani aliedhurika mpaka mnazuia ivyo
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Hayo maji watu wamekunjwa kabla watu hawakuwa wengi sema serkal yetu ndo ilivo
@SaadaMasoud-vu5uo
@SaadaMasoud-vu5uo Жыл бұрын
Tutajieni madhara yaliyomo kwenye hayo maji
@siyahrukun5626
@siyahrukun5626 Жыл бұрын
Kuna wagonjwa wangapi wa kipindupindu mpaka sasa walioko hospital?
@maulidali7657
@maulidali7657 Жыл бұрын
Kweli kama mnatupenda tushushieni magharama ya kila mahali
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 Жыл бұрын
Umenena Mzee😂😂😂😂
@abuumarathon6261
@abuumarathon6261 Жыл бұрын
Lengo lao hao walikuw wanataka hayo maji wayasimamie wao na wayauze ila hawakufanikuw
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Elimu inahitajika
@alimakame5645
@alimakame5645 Жыл бұрын
Jamani waacheni wananchi wafanye wanachokiamini. Haiwi Mavi ya Watu wa Nabii Nuhu yaliwatibu Maradhi Yao
@allymuu3664
@allymuu3664 Жыл бұрын
Uhakik wana lao hao hawasem
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Жыл бұрын
Hamna llt nyy . Mnataka mupate sababu yakuua watu tuu nyy
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Жыл бұрын
Hivo wanapokufa hao wananchi hivo kuna hasara kwenu si waachieni wanywe
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 Жыл бұрын
Wataalam wenu walijaribiwa kwa kupelekewa sample za mapapai wakasema zinacorona!!!
@ismailsaid2038
@ismailsaid2038 Жыл бұрын
ndi ndo nyie watabiri waongo anae panga mungu pekee
@azizams5721
@azizams5721 Жыл бұрын
Kwakua mutakosa hela hospital muogopeni mungu nyie maji yanatoka chini ya radhi yanamaradhi semeni ukweli
@brytonmnyama6562
@brytonmnyama6562 Жыл бұрын
mbwa ww unacema serikal tukufu tn
@saidyssaley1509
@saidyssaley1509 Жыл бұрын
Jamani Viongozi Acheni Roho Mbaya 😢😢😢😢 na Roho za kichawi Mumeona WANANCHI wanapenda na makosa pesa za wagonjwa Mahospital leo munaleta propaganda za wazungu kwenye jambo faida kulitia sumu ili wakate tamaa wasitumie tena 😢😢😢 madhali naamini serekali hii sehemu wanataka kuafanya sehemu ya utalii 😂😂😂 baadae chezea njaa
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 Жыл бұрын
Niwaongo hao mahasidi tuu kwasababu kama yanamadhara kama wanavyo dai nimangapi yenye madhara lakini wanayasimamia? Mbona sigara na vilevi pia vinamadhara natena wanajua wazi naubaya wake mpaka maradhi yauvutaji sigara anadhurika hadi asievuta kwamoshi tuu wasigara nawanajua mbona hawakatazi zisiingizwe? Nikwasababu nibiashara wanapate hela ndio maana Hata hayo madawa ya hospitali nayo yanamadhara makubwa ktk afya yawaandamu tena wanajua vyema mbona hawakatazi? Nikwasababu nibiashara yao Sasa kama watu wanaendelea kutumia hayo maji kwavile imegumdulika kua nisababu yamtu kupona maradhi yake nawengi wametoa ushuhuda wameona biashara yao yakuuza madawa itapoteza soko hivyo nilazima wazuie waje nakila hila nahio ndio kawaida ya hasidi
@HassanMbaruk-nv6ub
@HassanMbaruk-nv6ub Жыл бұрын
Hamna lolote waachieni wananchi wanufaike hamna utaalam wowote.
@nabillkhamis8188
@nabillkhamis8188 Жыл бұрын
Wachen unafiki maji yana faa mumeona hafaidiki na kitu serikal tu
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 Жыл бұрын
Sikweki
@othmanjafar5277
@othmanjafar5277 Жыл бұрын
Hawana lolote wanaona hawatopata pesa za wagonjwa
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 Жыл бұрын
Subhanallah twenzetuni tu.
@maryammamu5178
@maryammamu5178 Жыл бұрын
Yan nyie munajifanya munanguvu simuwache wanao amin waendelee kutumia munatak Kuwapa ma paste wafanye ni ya upako 😔
@abuumarathon6261
@abuumarathon6261 Жыл бұрын
Yan hapa kiukweli serekali ilikuw washapanga kupata pesa hapa ila wameshindwa kupata pesa ndio wanataka watu wasishote
@abuumarathon6261
@abuumarathon6261 Жыл бұрын
Yan kiukweli hii ni rehem ya allah na wewe dada unaroho mbaya sana
@Quez-rh7jy
@Quez-rh7jy Жыл бұрын
Baba ye2 kipenz che2 mh abeid karume alisema hiii ni nchi ya siasa
@fatmamakame1153
@fatmamakame1153 Жыл бұрын
Nyinyi ni wanafki mpaka kiama umeona wapi kiambukizi baharini subhana allah munazirisha ukosefu waakili na elimu nasamaki pia msile mnachekesha nyie
Maji ya Msuka  Part 2   March 2023.
3:20
Pemba one
Рет қаралды 14 М.
ANGALIA HALI YA PEMBA ILIVYO SASA BAADA YA CORONA KUINGIA
6:20
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 6 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,2 МЛН
DAKTAR DHAMANA MBUZINI ATOA UFAFANUZI
4:07
AFYA ONLINE TV
Рет қаралды 362
BABU ROHO KUTOKA PEMBA AWATAJA PANYA RODI
10:41
RVS Online Tv
Рет қаралды 6 М.
KWA HALI HII PEMBA HAISTAHIKI KUA MASIKINI.
3:58
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,9 М.
WAFANYA KAZI WA SERIKALI PEMBA WATOLEWA UVIVU
4:58
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
MKURUGENZI KINGA ATOA SOMO KWA WANANCHI WA UHOLANZI
6:49
AFYA ONLINE TV
Рет қаралды 80
WANA NCHI PEMBA WATUMA SALAMU KWA RAIS MWINYI
9:29
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.