Kinachoendelea Saudi Arabia Tumwachie Mungu?_ Sheikh Abubakar Chalamila

  Рет қаралды 9,625

AL-AQSA MEDIA ONLINE

AL-AQSA MEDIA ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 149
@ALLYPENGO-l3f
@ALLYPENGO-l3f 4 ай бұрын
She. Mungu akuhifadhi. Umeongea ukwel mtupu. 😢😢😢😢😢😢😢😢
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 ай бұрын
Ahsante sheikh
@RashidiFuko
@RashidiFuko 4 ай бұрын
Sahiii ukweli tunapotea sana
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 4 ай бұрын
Subhaanallah!!!..
@msamgunda7684
@msamgunda7684 4 ай бұрын
Shekhe mashaallah.wap ninaweza kupata mawaidha ya huyu shekhe zaid?
@al-aqsamediaonline1489
@al-aqsamediaonline1489 4 ай бұрын
Jina lake Sheikh Abubakar Chalamila. Yupo Iringa Mjini
@salehmussa9371
@salehmussa9371 4 ай бұрын
Waislam wenyewe tu tumefeli . Tusilaumu watu wengine, Walioshirikiana na Uengereza na Ulaya kuivunja Dola ya kiislam ni Waislam tena Waarabu wa Saudiarabia,Tunisia,Misri nawengine kisa tu Khalifa ni Mturuki. So kilichobaki iokoe nafsi yako na unaowamiliki na moto. Mpaka nusra ya Allah itakapokuja.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Apandacho mtu atavuna, uislam ulienea Ktk maeneo mengi kwa njia ya mauaji makubwa,tushukuru Mungu nchi za kiislam hazina nguvu kubwa ya kijeshi maana mngelazimisha dunia nzima kusikimu
@Stream_A937
@Stream_A937 4 ай бұрын
@@FridayMwassa wacha weee. Nonsense. If that was the case then there wouldn't have been christians and others left long time ago. For your info, the amount of evil being spread worldwide from Christian quarters is mind boggling. Africa been raped beyond recognition and still used like a toilet paper. Tell me more please. Look at who's talking
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 4 ай бұрын
Tatizo la WAISLAM kila tatizo lao wanatafuta mchawi… utasikia “tunafitinishwa…” mara “wanatugawa…” pambaneni na hali yenu. Saudia wameshachoka wanaendelea na maisha!
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
Nasikia yule prince ali-shaleft dini kitambo.
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Huu msikiti wa Kitanzini-Iringa?
@al-aqsamediaonline1489
@al-aqsamediaonline1489 4 ай бұрын
Ndiyo
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 4 ай бұрын
Miji mitukufu ni miwili huko kwingine ni jiografia tu waache wayafanye hayo watakutsna na Allah muda sio mrefu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Hivi huyu allah wenu aliwahi kufanya lipi ambalo linaweza kushangaza kama alivyofanya Mungu wa Israel aliyegawa Bahari,aliyeumba mbingu na nchi na kila kitu ndani yake
@Sobo740
@Sobo740 4 ай бұрын
Mungu wa islael ww mtz anakuhux nn
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 ай бұрын
@@FridayMwassa wewe shenzi nini? sikulaumu sana kwa sababu wewe ni kafiritayari. Hata kunya kwako kama M'mungu hataki hutoi mavi yako unabaki nayo tumboni na kukimbia hospital. Wacha kashfa zako za kipumbavu.
@YaziduIddy
@YaziduIddy 4 ай бұрын
​@@FridayMwassahuyo Alie Fanya bahari ikawa njia ndo tunae mwamini ss waislam ambaya ni Allah
@RahimMauliD-c3v
@RahimMauliD-c3v 4 ай бұрын
​@@FridayMwassaNgoja siku ambayo atakayoitoa roho yako ndo utajua kafanya nn na nn
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 4 ай бұрын
Tunapoelekea Allah tu ndio atusaidie maana sio kwema kbs😢
@al-aqsamediaonline1489
@al-aqsamediaonline1489 2 ай бұрын
Allah atunusuru
@marobaraka
@marobaraka 4 ай бұрын
Hawez Allah kuitetea dini. 😢😢😢
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 ай бұрын
Wewe mhehe unawasikitikia wa saudia wanavyo ishi maisha yao
@ShafighuShabani
@ShafighuShabani 4 ай бұрын
Shekh unacho sema nikweli Allah akulipe sana umegusa mahala pajuu sana pia Allah akuongezee elimu maana mtume kasema قال رسول لله اخرج اليهود ونصاري في جزيرت العرب .. متقف عليه
@AbdillahMnubi-vx8qx
@AbdillahMnubi-vx8qx 4 ай бұрын
nduguzangu mtume muhamad alisema nime wachiya mambo mawili nayo ni quran na sunah na wala sio saudi achaneni nayo kila kitu allah amesha kadiriya sisi tuta ondoka hapa duniyani kwahiyo tusijisahau tuka sahau yale ya muhimu
@FahmiNassor
@FahmiNassor 4 ай бұрын
Hao viongozi wa kiarabu wote ni vibaraka wa marekani na uingereza na yote hayo wanapelekeshwa na hayo mataifa mawili na wao kauli hawana juu ya hao mabwana zao nayote hayo ni kulindwa juu ya utawala wao hayo uliyo yaona baada ya miaka mitano yataingia kila kona ya nchi nzima hiyo
@marobaraka
@marobaraka 4 ай бұрын
Bia kuuzwa ndio dhambi kuu. dhambi zngne hazfanyk huko Saudia?
@AshrafKashukali
@AshrafKashukali 4 ай бұрын
Mimi natazama sana tv za saudiarabia km Al hadath nk lkn wanawake wanaotangaza habari wanazuiwa hata kuvaa ushungi .unaskia mtu anakwambia tuwaige wao.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 ай бұрын
Ukiwaiga utakua umepotea na ni hasara kwako. Kiigizo chema ni mtume na wake zake no more
@msamgunda7684
@msamgunda7684 4 ай бұрын
Ni lipi jina la huyu shekhe?asante
@al-aqsamediaonline1489
@al-aqsamediaonline1489 4 ай бұрын
Sheikh Abubakar Chalamila
@NasmaFaraji
@NasmaFaraji 4 ай бұрын
Chalamila ,yupo iringa huyu shekh
@realwood3983
@realwood3983 4 ай бұрын
Kuna shida gani mtu kusalli kwa lugha yake anayoifahamu.????
@Sheba4651
@Sheba4651 4 ай бұрын
Kusali kwa lugha moja kuna faida zake, mimi nishaenda nchi karibu kumi, hata Malawi nilipoenda huko kiswahili hawajui, ila sikua na shida wakati wa sala.
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 4 ай бұрын
Masalafy wanaumia sana ukitaja uovu wa Suudia sijuwi kwanini 🤣🤣 yaani wanaumia sana nawengi wao mpaka hutoa matusi
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 4 ай бұрын
Kwani hayo unayo yazungumza hapa Tanzania hayaja halalishwa nanyny ndio makadhi tena rais nimuislaam wazir mkuu nimuislaam mufti yupo nyny makaadhi mupo angalieni makosa yenu ndio mutakayo ulizwa hamuto ulizwa yasaudia hata sisi waislam watanzania tunakwazika namnayo yafanya yaufisadi kinyume nasheria yadini yakiislaam
@gilbertnikas
@gilbertnikas 4 ай бұрын
kwani tz ni nchi ya kiislam?
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 4 ай бұрын
@@gilbertnikas kwahiyo Kama xyo nchi yakiislaam ndio hatutoulizwa uovu wetu xku yakiama
@walker-96
@walker-96 4 ай бұрын
Dini umeletewa na waarabu leo unajifanya ww ndio uunaijuwa sana.... Ni zimetengebezwa
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 4 ай бұрын
Tumekuwa wepesi sana kuilaumu Saudia...kana kwamba sisi tunaishi katika maisha yao,Hv tunajua ni yapi yanayowasibu Viongozi wa Saudia?! Sisi kama Waislam wa Tz,tumeufanyia nini Uislam...?! Tujiulize swali hili Kusoma hatutaki...ila kushupalia mambo ni wazuri sana Tumuogopeni sana Allah
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 ай бұрын
Wewe kwa hiyo tz yako ndio ifanane na saudia? Tz serikali yao haina dini. Hebu usifananishe vitu haviendani kihistoria
@ahmedmohamed-rm9jn
@ahmedmohamed-rm9jn 4 ай бұрын
@@mwawekomiuda9779hiyo Ni kisingizio tu, Hakuna aliyewazuia waislamu na haswa wazazi waweke nguvu Elimu ta Dini kwa watoto wao hadi waende Al-azhar na Medina Kuendeleza Elimu ya Juu ya Uislamu ili warudi na Kupeleka Uislamu kila Kona Ya Tanzania, bali wamekubali hali yao ya leo iliyoandaliwa na Nyerere na Kanisa Katoliki. Tumefanywa Waislamu wapofu wanaowaza tu Kuishi kula na kusomesha elimu ya kidunya Tu, kushabikia dini bila elimu na Mwishowe kusubiri miujiza ya Mungu ifanyike
@AshrafKashukali
@AshrafKashukali 4 ай бұрын
Nyinyi ndo mnasema kila kitu tuwafuate Saudia ,mara mwezi mara Arafa nk siku nyingine mtatuambia tuanze ku dance na kunywa pombe kwasababu saudia wanakunywa .
@kishetimzula-wv6ms
@kishetimzula-wv6ms 4 ай бұрын
Ww kama unaona saudia hawafai fata hukojamaica au Italia nan atakuzuia
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 ай бұрын
Sheikh umeongea Ukweli mtupu. Ni aibu kwa kweli, ukiangalia suala la Radi kwa Masheikh ni shida.
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
DINI HII SIO UNASWARA WALA UYAHUDI DINI HII SHERIA YAKE LUGHA NI MOJA TU KIARABU NA NDIO LUGHA YA PEPONI NI SHARTI KILA MUUMIN AJITAHIDI AJIFUNZE LUGHA YETU HII ADHIM ILI ASIISHI UISLAM WAKE KINYONGE
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Kumbe Mungu anaongea kiarabu,haya ni maajabu.je vitabu vilivyotangulia kabla ya Quran vilikuwa lugha gani,huyu mud alikuja kuharibu dunia na kuwapoteza watu ndiyo maana tabia na matendo yake ni aibu hata kusema alikuwa mtume wa Mungu
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
@@FridayMwassa FUNGA DOMO LAKO KUFARI WEE FIL NAR JAHANAM KHALIDINA FIHIA ABADAN, huna unalolijua mbinguni lugha ni moja tu IBLIS WE, manabii wote walikuwa wanaongea lahaja tu za kiarabu ukitaka kuthibitisha hilo nenda katafute kama kuna lugha inaitwa KIYAHUDI, tafuta kama hao wayahudi au wana waisrail walishawahi kuwa na lugha yao na maandishi yao binafsi hapo ndo utajua huwezi kukiepuka kiarabu,
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
@@FridayMwassa pia tafuta bwana wako yesu alikuwa anaongea lugha gani? je ni kiyahudi au ipo nyingine? na kwa lugha hiyo si aliweza kuisoma ZABUR iliyoandikwa zamani? pia jiulize ZABUR iliandikwa kwa lugha gani? mbona ZABUR imetungwa chapter zake kupitia ALPHABET ZA KIARABU? kumbe hata DAUD alikuwa anaongea mojawapo tu ya lahaja za KIARABU na YESU nae alikuwa anaongea lugha hiyo hiyo ndio maana alikuwa akiishika ZABUR aliweza kuisoma na kuielewa, upo hadi hapo KUFARI WEWEE?
@josephcharo1356
@josephcharo1356 4 ай бұрын
​@@d15355 Kama kweli mungu anaongea kiarabu pekee, mbona basi kaumba lugha zaidi ya a million duniani?
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 4 ай бұрын
​@@d15355mfarisayo acha uwongo 🤣🤣🤣🤣 iliandikwa kiebrani muongo kweli kweli kitabu kilicho tumia kiarubu ni iyo Quran yako tu
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 ай бұрын
Ni nchi yao wacha wafanye kama wanavyotaka wao
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 4 ай бұрын
Uislam sio timu ya mpira mzee .
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 ай бұрын
MASHIA NA FITNA,MASHIA WAONGO KAMA IBLISI!!
@MikelSitoe
@MikelSitoe 4 ай бұрын
Lakini Maxia hao ni wa linzi Sasa wa Dini ya kislamu, koriko wa Saudia, wenye ku kabiziwa dini
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Huna akili wewe, badala ya kuunganisha warming wewe ndo unakuwa iblisi unayeleta fitna. Laiti ungewajua mashia walivyo na msimamo, huko kwao iran gakuna pombe,kamari,mziki wala pombe,lakini nyie mawahhabi huko kwenu saudia mmeruhusu pombe,mziki,malimbwende,kamari na maasia mengine
@khamisswalehe
@khamisswalehe 4 ай бұрын
nina shida ya namba za sheikh wa hii mada kuna mambo ntaka nijue na nimwambie
@gisthevictorperiod.9763
@gisthevictorperiod.9763 4 ай бұрын
Mwambie kwa hapa kwanza itakapomkolea Sheikh mwenyewe atakupa number zake za cm hebu jaribu.
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
Kumbe Muhammad aliwafukuza wayahudi huko Arabia!!? 😢
@msamgunda7684
@msamgunda7684 4 ай бұрын
Ndio.walikuwa ndio chanzo cha vita za mara kwa mara.walikuwa wanasababisha matatizo mengi sana.kama walnavyofanya hawa wa leo.unaweza kufuatilia historia yao zaid.
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 4 ай бұрын
Mtakwenda kuulizwa kutokana na huo uongo wenu
@ramiakassim3802
@ramiakassim3802 4 ай бұрын
Daawa salafiya ndio daawa ya haqii
@faridfrefre35
@faridfrefre35 4 ай бұрын
Kabisa
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Kakuongopea nani?
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
​@@faridfrefre35kabisa kitu gani?
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
Kama mungu wako hataki useme nae kwa lugha yako huyo sio Mungu.
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 4 ай бұрын
Hawa majamaa wanajidanganyaga sana,,yaan ni kati ya dinin ambayo hulindwa kwa uongo kuliko dini zote,,eti kiarabu lugha ya peponi,,kwa hiyo mtu asiye jua kiarabu ataenda kuongea nini pepon?? Au anapewa kichwa cha mwarabu
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
@@jamesloshilunye414 🤣🤣🤣🤣🤣..balaa kaka
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 4 ай бұрын
Halafu wengi wao hata hicho kiarabu hawajui. Sijui wataongeje na huyo mungu wao.
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
@@deven.oauditx7547 🥲
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Hapajaandikwa popote kuwa ni lazima ujue lugha ya kiarabu, bali kwa sie waislamu ni lazima tunaposwali surah zisomwe kwa lugha iliyotumika ndani ya Qur'an
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
Kwa nini mwenyewe allah asiitetee dini yake!?
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
Allah hawezi kuwajibu na sababu ni kwamba matusi haya hajatukanwa na mungu wenu bali wafuasi wake tu hiyo ni jukumu letu sisi wafuasi wa Allah swt kujibu kwa niaba yake kama nyie mlimvyomtukana kwa niaba ya mizimu yenu hiyo mnayoiabudu
@raymrash
@raymrash 4 ай бұрын
@@d15355 kwa hiyo hawezi kuitetea dini aliyoileta mwenyewe mpaka ninyi!? Kwa hiyo ninyi mnamsaidia Yeye!??
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
UISLAM NI ELIMU NDIO MAANA MNAAMBIWA MSOMESHE MADRASA WATOTO WENU SASAWEWE HATA DUA TU HUJUI MAANA YAKE? DINI HII HAIPOKEWI KIBUBUSA TU LAZIMA MSOME HAKUNA WAISLAM JINA NA KAMA WAPO NDIO HAO WASIO NA MISIMAMO WE HATA RABBANA ATINA FIL DUNYA HASSANAT HUJUI MAANA YAKE? KICHEKESHO HICHO
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
@@hamzamussa7081 na maanisha kwamba huwezi kuwa muislam kamili kama hujui vile vitu ya vya msingi kama maana ya dua kwani dua ni shida zako unamuomba mola akusaidie sasa kama hujui kile unachokiomba unategemea kitu gani hapo? ukiomba upewe mabaya huku ukidhani unajiombea mema hapo itakuje? mola wako akupe hiko ulichokitamka tu hata kama hujui ulichokiomba? ndio maana muislam unatakiwa asome dini tangu mtoto hata ukishakuwa mkubwa unaelewa kila kitu na kwa waliopitwa udogoni warudi darasani wakasome dini yao
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Mbona wewe umesoma lakini tamaa zimekujaa,kusoma na kumtii Mungu havina uhusiano wowote
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 ай бұрын
Tatizo sio Sunni au Shia kwenye msahafu hakuna hivi vitu. Tatizo ni uongozi, pesa na siasa. Wazungu wasiokuwa na imani wanajua kabisa kuwa Makka ikigeuka basi mtazamo wao uko njiani kutimia.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Mtasingizia wazungu kwa ujinga wenu wenyewe
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 ай бұрын
@@FridayMwassa Mzalendo Wazungu wema wao upo juu juu tu kwa ndani ni watu wabaya sana kwa kile wanachokiita maslahi yao. Wanafiki, wagombanishaji na mara zote hugombanisha aidha watu, nchi na nchi au mataifa kwa njia ya rushwa au vitisho. Utake usitake hawa watu tunaishi nao lakini undani wao una utata mwingi. Nimeoa Mzungu, naishi nao na najua ninachokisema
@marobaraka
@marobaraka 4 ай бұрын
Maana si muwafundishe madrasa alafu mnafel kuna sababu gan kila kabila lina lugha yake na uislam udai hyo ni lugha ya Mungu ni ajabu. Kwann tusingeongea lugha moja ya Allah kiarabu ww unaongeaje kiswahili??? Haha kiswahili usiongee
@msabahaali758
@msabahaali758 4 ай бұрын
je nchi zetu zina nini
@Sheba4651
@Sheba4651 4 ай бұрын
Sisi ndio hao tumejaa madanguro, na mabaa, sinza kila nyumba baa
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 4 ай бұрын
Mim sikatai anachosema lakin Anakusudia nn huyu Hizbi. Kama kuitweza Serikali ya Saudia bali Ni Makosa hili analofanya. Huwez kuwa mtu wa Sunna Then ukasema hayo. Sisi tunaamini ile ndio nchi pekee ya Tawhidi kwa sasa na Lau wakikengeuka Basi watapokonywa.Acheni Ukhawaaariji na fikra za Kisufi. Hayo yanayofanyika hayafanyiki Ktk Al haramaini.
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Ach kufuata mukumbo wa kiwahhabi na kiswallafi wa kisaudia hapa, unawatetea nini wasaudia wewe??? Kwani aliyekudanganya kuwa wasaudia ndo wataingia peponi ni nani???
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 4 ай бұрын
@@Worldunite Wahabi maanake nn???Ukishindwa kunifasiria kwa mujib wa Lugha Na Qaaaida ya kiistwilaahi.basi utakuwa Mjinga.
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 4 ай бұрын
@@Worldunite mada sio saudia kuingia peponi kuwa makini !?hayo unayosema Sio hoja kwani Nipe ww mfano wa Nchi Yako ambayo Watu wake wanaenda peponi? Lakin SiS Tunaamini Nchi ile ni nchi ya Tawheed na Aqida ya Ahlisunnat waljamaa Na Allah Anaendelea kuihifadh hakuna mfno.Wanajitahid sana sana Pamoja kuwa wanateleza ktk baadh ya mambo.Lakn sisi hatuna shaka na Manhaj yao. Ww ipende Iran kwan ndio ndugu zenu.
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
@@أبوفيصل-د3ش wewe mwahhabi usipojitambua utakuwa mjinga pia
@al-aqsamediaonline1489
@al-aqsamediaonline1489 18 күн бұрын
Tumdhanie kheri
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 4 ай бұрын
Mh sheikh dakika kumi na tatu hujaongea aya wsla hadith hata moja. Kuna wenye fasaha zaidi yako na hawaongei hadith wal aya. Wajinga ndio wanawakubali hao ambao hawana maandiko
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 4 ай бұрын
Wewe kilichokuuma ninini hapo?
@MohamedMkwepu
@MohamedMkwepu 4 ай бұрын
WACHA UWONGO WEWE NDUGU KAA CHINI USOME DINI WEWE HIZBI
@d15355
@d15355 4 ай бұрын
MAWAHABI KWISHA KAZI BWANA WAO MBS KASHAWAKATAA SASA WAMEBAKI YATIMA NDO MAANA URUGU ZIMEPUNGUA KIDOGO HUKU KWETU
@ahmedmohamed-rm9jn
@ahmedmohamed-rm9jn 4 ай бұрын
144. Na Muhammad hakuwa ila ni Mtume tu. Wamekwisha pita kabla yake Mitume. Je, akifa au akauwawa ndiyo mtageuka mrudi nyuma? Na atakaye geuka akarudi nyuma huyo hatamdhuru kitu Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mung atawalipa wanao mshukuru. Hiyo ndio Aya aliyoisoma Abubakar baada ya kifo ya mtume(s.a.w). Kwa hiyo hii dini ya Allah, na Allah ni muweza katika kutimiza mambo yake. Pili Masalafi au mawahabi unavyowaita sio kwamba hawakosoi makosa ya watawala wa nchi za kiislamu, bali wao wanafuata Sunna ya mtume ya Kututoka Twa’aa na kupinga kiongozi hata kama yeye ni mdhulumu. Kwa hayo ushabiki na hisia ya mawahabu na wengine tuache, tutazame mambo Open minded. Tanbihi: waliowaita Masalafi mawahabi kwanza ni mashia, na kuilaumu Msimamo wa Hanbali kama imeanza kwa Imam mihammad bin Abdulwahab, bali haijaanza ila aliuhuisha elimu pale Saudia pindi walitoka sunna na kuwa watu wa kufuata mauliyaa! hakika hakuna mategemezi isipokuwa kwa Allah
@abakibibi9917
@abakibibi9917 4 ай бұрын
LETE USHAHIDI HIZO BAA NA UKUMBI UNAOFANYWA MASHINDANO Y A MISI UPO WAPI NA MASHINDANO YALIFANYIKA LININNA MSHINDI ALIKUWA NANI MPIRA UPO WAZI INAONEKANA HAYO MENGINE YANATAJWA LAKINI HAYAONEKANI .HAO WANAOSWALI KWA LUGHA YAO PIA WAMEFUNDISHWA NA SAUDIA HUNA MADA UNACHANGANYA MAMBO KATIKA MAELEZO YAKO
@Sobo740
@Sobo740 4 ай бұрын
Ww ndio upo mwisho kweli mbs anaibadil saudia mdogo mdogo
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
Usitake uletewe ushahidi Google mwenyewe uone disco parties,halloween
@abakibibi9917
@abakibibi9917 4 ай бұрын
@@abdab8466 Gugo haikosei huyo mzungumzaji kuna haja gani ya kuzungumza muda wote angetuambia turudi kwenye gugo
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
@@abakibibi9917 wengine hawajui Google,
@ramiakassim3802
@ramiakassim3802 4 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu mjinga unapotosha watu
@fadhilaalmaani8148
@fadhilaalmaani8148 4 ай бұрын
Mimi nashangaa kuona waislam mpaka leo wameuhushisha uislam na Saudi Arabia, nnachojua ni kuwa Saudi Arabia ni dola km zilivo dola nyengine duniani na kuingia Makkah na Madina kwenye hiyo dola haina maana ya kuwa tuitizame km kwamba ndio kitovu cha uislam, hasa ukizingatia huo uislam wenyewe ulikataliwa huko Makkah enzi za Mtume nae alituletea cc bara la Africa na hakusema masahaba wende china au Yemeni au hata maeneo jirani na bara arab. Maimamu wa nne ni nani ni mtu wa Saudi Arabia, (wala hata mmoja) hata mnapotosha ati waoman waliuleta uislam bara Africa wakati historia zao wanasema waliukuta uislam mwambao wa Africa wao wakauendeleza bara, Waislam wa Afrika Mashariki uislam tuliletewa na Mtume kabla ya kuingia hata madina acheni propadanda za kuihusisha Suudia na uislam Asante .
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
Ni lazima tuhusishe uislamu na saudia,kibla chiko huko,uislamu ulianza huko,mtume alietuletea Dini atoka huko,
@fadhilaalmaani8148
@fadhilaalmaani8148 4 ай бұрын
@@abdab8466 kibla changu ni Makkah na si Saudi Arabia
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
@@fadhilaalmaani8148 haya tafuta passport ilioandikwa Makkah usafiri nayo hajj
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
@@fadhilaalmaani8148 huko makka unakosema ni kibla chako ,pia kumeanzishwa ma disco
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
@@fadhilaalmaani8148 Jeddah na makka ni karibu,Jeddah ma disco hutoshi
@pharesmbavu3040
@pharesmbavu3040 4 ай бұрын
Wewe hii Tanzania yako iko sawa? Na wewe umechukua hatua gani? Unadhani Allah ataenda kukuuliza kuhusu Saudia au hii nchi yako?
@baryus7
@baryus7 4 ай бұрын
من هذا الكلام ما هو كذب صريح ، اتق الله يا رجل.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 4 ай бұрын
Ndiyo Sheikh Muhammad alifanya kosa kuwafukuza Wayahudi Kwa kusingizio Cha Wahay kutoka Kwa Mwenyezi Mungu!! Muhammad Mwenyewe alikuwa mkimbizi kule Madina!
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 4 ай бұрын
Unalaana
@salehmussa9371
@salehmussa9371 4 ай бұрын
Bro nakushauri heshimu Viongozi wa Dini zawatu hatakama wewe huamini,huo ndio uungwana,Sababu hata usipo heshimu haibadilishi kitu sana2 wewe utatambulika kuwa wewe simuelewa. Hivyo tu bro.
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 4 ай бұрын
Akuwa mkimbizi kule madina Alienda kusaidia wenyeji walikuwa wamezubaa wayaudi wakashika njia kuu za uchumi SSW akafungua soko kubwa akawambia wasinunue vitu kw mayaudi na ikawa hivo wayaudi wakaondoka kwa sbb watu hawakununua bidhaa kwao
@ahmedmohamed-rm9jn
@ahmedmohamed-rm9jn 4 ай бұрын
@@LastdayJesu4153sio sahihi, Elimu ndogo saana. Mtume SAW alikimbia Madhila ya Qureish na kupokelewa na watu wa madina, hence mtume hakbaliwi kwao, kwa hiyo akaunda dolla pale Madina, wayahudi walikuwa minority na matokeo ya Hijra ilikuwa Kubwa kuliko wayahudi, Tishio Kubwa kwa uislamu ulikuwa Qureisha hata baada ya miaka Mingi katika madina.
@khamisswalehe
@khamisswalehe 4 ай бұрын
​@@ahmedmohamed-rm9jn kaka huyu kafiri ningekua karibu nae angenitambua vizuri na skufichi yale mambo yakina osman bey yanaashiria kuunganisha dola moja chini ya khalifa hapa leo ndio nimepata ufumbuzi lakin shekh hajazungumza ni kias gan mbinu zilizotumika kuangahsha dola ya kiislau ntamana kupata namba za shekh
Maswali Na Majibu | Hukumu Ya Ndoa Na Talaka | Kadhi Abubakar Chalamila
15:14
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 3,4 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 6 М.
Mambo Matatu Yanayoangamiza na Matatu Yanayoponya | Sheikh Salim Sazi
28:42
Watu hawa hawafai kuongoza Misikiti. Sh. Kipozeo
51:56
OBA Online tv
Рет қаралды 84 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:57