KINACHOMTESA MAKONDA HIKI..........................................

  Рет қаралды 34,824

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@BenMahende
@BenMahende 8 ай бұрын
makonda ni noma. Angepewa hata uwaziri tu
@godwinmasoud7180
@godwinmasoud7180 8 ай бұрын
Makonda yupo vizuri sana aiseeeh kuliko wakuu wa mikoa wote.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 8 ай бұрын
Anawazidi hata Mawaziri
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 8 ай бұрын
Makonda Ana akili Sana, Kapewa shule na watu wazalendo JPM & SAMWEL SITTA
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 8 ай бұрын
Ni Sawa kabisa hapo ni kumwombea Hekima namna ya kuwasiliana na college wake
@brezhnevthadey7368
@brezhnevthadey7368 8 ай бұрын
Jamaa we kitenge humpend makonda habari mbaya kumuhusu unazishadadia tokea alipokua hajateuliwa sio vizuri Mungu hapend sisii Watanzania tunaiman na tunamkubali kuzid
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 8 ай бұрын
Makonda for everyone
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 8 ай бұрын
Mnavyoongea tu ishara ya kuonyesha makonda kawazidi kila kitu hata mpige debe vip wananchi wa Tanzania wanamkubali kuliko kiongozi yeyote Hilo aminini
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 8 ай бұрын
Hawa wote wanaongea ili kujipendekeza na ndo kinachotuua wa Tz ila makonda ni mtu na nusu
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 8 ай бұрын
Tumuombee Nabii Makonda ili tufike nchi ya ahadi🙏
@HassanHassan-dk5db
@HassanHassan-dk5db 8 ай бұрын
Timu ya Good morning hapo Wasafi nakukubalini Sana kiukweli mpo vizur sana mungu akubarikini nyote,,tusisahau kuwa binadamu si wakamilifu Ila MPO vizur sana
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 8 ай бұрын
Kitenge mstuone ss ni mapoyoyo makonda kasema mawazili wanaotuma watu kumkashifu rais anawajua swali kamati imemuita adhibitishe uwez kuwambia kama nyinyi kamat mna mkono mref ndo mdhibitishe kama makonda hana ushaidi wa kile alichosema apo asubili uluma tu
@saidifadhil7397
@saidifadhil7397 8 ай бұрын
Pppppppp⁰😊pp😊
@sambulugu9988
@sambulugu9988 8 ай бұрын
😅😅😅 Makonda ni noma!
@ekisuka1
@ekisuka1 8 ай бұрын
Tunawahitaji Makonda wengi, na nyota ya Makonda haishikiki, angalia Mwenezi aliyewekwa hatoshelei.
@chibudenga8977
@chibudenga8977 8 ай бұрын
Huna akili wewe
@ekisuka1
@ekisuka1 8 ай бұрын
@@chibudenga8977 umetoroka lini milembe?
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 8 ай бұрын
Kwanza Ata Sijui Anaongelea nn Huyo Mwenezi maana Sujawahi Ata Kumsikiliza
@musakihama7205
@musakihama7205 8 ай бұрын
​@@chibudenga8977wewe ukijiangalia unahisi unazo?
@MeleziaTaliye
@MeleziaTaliye 7 ай бұрын
Naomba apewe mkoa wa KIGOMA Naamini ataunyoosha vzr
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 8 ай бұрын
Kitenge ni chawa, hapendi kazi ya wazalendo
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 8 ай бұрын
Makonda ni Jembe sana, ukweli utabaki kuwa ukweli huwezi ukamshinikiza ataje hadharani kiasi hicho, yupo sahihi.
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 8 ай бұрын
Siii ataje tu. Si alisema mpka J.matatu atawataja.
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 8 ай бұрын
Maulid kitenge Gerald hando Zembwela Hii ni foward kali sana kwenye ukurasa wa Magazeti
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 8 ай бұрын
Yaani Kama Kipindi Cha Barcelona MSN Messi Suarez Neymar
@sadammaker4540
@sadammaker4540 8 ай бұрын
Hamna habari nyingine mkitoa makonda kila Leo
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 8 ай бұрын
Hata msome magezeti Kwa nguvu vip makonda anaakili nyinyi hapo muunganishe hayo mavichwa yenu hammfikii
@MbaruMax
@MbaruMax 8 ай бұрын
Mungu yuko upande wa makonda
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
❤❤❤❤👍👍👍👍
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Hawa washenzi kila siku makonda
@timetravellor5367
@timetravellor5367 8 ай бұрын
Aombewe Dua maana hii game sio simple
@mburuumbe5659
@mburuumbe5659 8 ай бұрын
Nyie jamaa hatari sana 😂😂😂😂😂
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 8 ай бұрын
Hawa jamaa, wangevaa madila yangewapendezaje!!
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 8 ай бұрын
Wapo kazini
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 8 ай бұрын
Hao wa maadili ndo walengwa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Yao hawayasemi kutwa makonda hilo li kitenge shenzi saaana linatumiwa na kundi flani
@godblesshudson1564
@godblesshudson1564 8 ай бұрын
Wangevaa madira tuone, wanachezaje 😂😂😂
@albertvalentino130
@albertvalentino130 7 ай бұрын
Hiyo inaitwa " kampa kampa tena "
@Habibu-hy9sk
@Habibu-hy9sk 8 ай бұрын
Na wewe @user acha kuboronga kiswahili kabla hujamrukia Makonda.
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 8 ай бұрын
Suh
@SaidiMkome
@SaidiMkome 8 ай бұрын
Sema kitenge inshu ya makonda uwaga unakuwa na furaha wwe Yani umpendi wazi wazi wwe sinch
@broka_genius3615
@broka_genius3615 8 ай бұрын
😂😂 acha tu
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 8 ай бұрын
Chuki sana uyo chawa
@DanielShikiwe
@DanielShikiwe 8 ай бұрын
Kanani li uhalisi mimi ni mwa ccm ila. Kumutowa malonda na kumuwika bibi ambaye hata ushawishi mi simo malimu sana mama umuwaha nini acha aishauri sioss
@feliciankazimoto8888
@feliciankazimoto8888 8 ай бұрын
Lugha gani hii?
@njechele646
@njechele646 8 ай бұрын
😂​@@feliciankazimoto8888
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 8 ай бұрын
​@@feliciankazimoto8888😂😂😂you Ndugu Yangu mtihani sana
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 8 ай бұрын
Wewe Sio Mtanzania
@johnmmasa
@johnmmasa 8 ай бұрын
​@@feliciankazimoto8888😅😅 Itakua kweli ni lugha nyingine hii Sio kiswahili kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 110 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 373 М.
MAKONDA ALIVYOIBUA MADUDU MRADI WA ZAHANATI LEREMETA LONGIDO
36:38
Mboto awatoa machozi waalikwa
8:06
Azam TV
Рет қаралды 188 М.