Mzee alianza kwa kutaka kua serious mwishoe ameshindwaa amerud kwenye comedy😁😁
@robertmakuukabwali94884 жыл бұрын
Kingwendu huo ndiyo mtazamo wangu pia.big it up uongozi ya diamond.
@kandakembazu55764 жыл бұрын
Mzee waraha duniani asema ukweli mtupu 😂😂
@zulfaathumanmashanllahmaya60824 жыл бұрын
😂😂🤣😅😅 raha kweli Dunian love you kingwendu
@mwenyembiozakenyingisana41054 жыл бұрын
Mzee mwenye points na hekima.Afrika ni ileile tu ya kuzungumzana na kufustiliana maisha.Watu hawana Kazi za kufanya. Love from +254
@kimwagasheikh3014 жыл бұрын
Kiukweli kabisa nimempenda kingwendu kajibu maswali yote vizuri watu waache kuchonganisha watu
@suhelaphilipp1344 жыл бұрын
Kingwendu is more than right and all what his talking about it's true. Big up diamond
@easyk94334 жыл бұрын
I'm a congolese living in America and I know Kingwendu is the legend. And I respect his honesty. Big up my brothers African let us lift each other. One love.
@alibatula97734 жыл бұрын
Hae
@easyk94334 жыл бұрын
@@alibatula9773 Hi
@LA-ml1xr4 жыл бұрын
@@easyk9433 which state are you in
@easyk94334 жыл бұрын
@@LA-ml1xr I'm in Scottsdale Arizona
@LA-ml1xr4 жыл бұрын
@@easyk9433 Am in Missouri
@specialvideos19564 жыл бұрын
Wise words.you are ok to answer questions.big up kingwendu.
@Ba638284 жыл бұрын
My take is Kingwendu anakiri kama tunavokiri wote kua Mond ni mnyenyekevu - humble and generous.
@jeremiahmhulula35154 жыл бұрын
Nandy alipoteza nafasi hii ya collaboration na Mopao, Mopao aliipenda sana Kivuruge lakini yeye yuko busy sana na Billnas
@KoreanDramaMoviesKiswahili4 жыл бұрын
Fata links hapo pia subscribe ili upate season mpya kali kwama Dj wa kali wa Tanzanian mzima kzbin.info/door/tQsL5T6a-rPp8za_YmVyuQ
@saidmnene29874 жыл бұрын
Kingwendu ninekukubali Sana Simba atabaki kuwa Simba na ngedele atabaki kuwa ngedele
@gervaismayabizmasmith18954 жыл бұрын
Mimi ni mwana Congokishansa...kweli na kubali Mzee kingwendu ila anachanganya watu saana. Tunataka tukimusikia tena. Aaachane na mambo ya siasa a focus kwenye comedy. #Kingwendu,koffi olomide,Diamond collabo2021😍
@fethmsuya39744 жыл бұрын
Kingwendu poit uko vizuri sana hujangata maneno
@franciskyombo42894 жыл бұрын
Safi xana kingwendu king atabaki kuwa king.
@amirabdalah45334 жыл бұрын
Let graa mopao jmn anajua sana mond kaza blaza unajua sana kwa bongo hakuna kama ww ila wajinga wanakukandia wanakuonea wivu blaza ukimaliza toa korabo na Snoopy dogy
@mweenejoetam45044 жыл бұрын
Wangu mambo yako hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana hapana unachukwa unaweka no twambie kingwendu miziki hii ya kuweka inashauli au je sana miziki ya alikiba afadhali miziki hiyo
@omarykijogoo92164 жыл бұрын
daah kingwendu bhana unaongea fact sana na kasimu koko
Monde ana adabu Sana na penda kuwa ana na Kofi tuna penda daiomond Sana karibu Congo Tanzania ❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ayubsamwel84084 жыл бұрын
Anaye amini kua simba sio mjeur hana roho mbya nakadhalika tukutane hapa simba africa juuuuuu
@rojasjonas64514 жыл бұрын
Kingwendu 4life💪💪💪
@williammbewe16754 жыл бұрын
Simba siomchezo,, PTV tz unatupatia habasafi,,,
@kiizamaliki13284 жыл бұрын
Wakina fabrigas wakina bela wakina freregola fally pupa.
@johnkanyika64164 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@frolakabanda69654 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaa
@adbashtv67014 жыл бұрын
Sijutii mb zangu mana kingwendu umeongea point tupu
@Thewhiteclassic37174 жыл бұрын
Diamond uyo anajuwa siri yake mwenyewe dunia iyi mambo mengi,wangapi kama yeye walishafunikwa na udondo juya vitu vyakubebabeba.wakina kanumba ndo gisi walikuja ivyo sio ndo ikafichuka.miaka yake inaend ivyo,yetu macho tu
@hamedabashir94 жыл бұрын
Huyu sio mtangazaji jmn limutu linahusinda sn jmn
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Ila likingwendu linaongea point sana
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
Acha usenge we mtoto eti likingwendu🤣🤣🤣🤣🤣
@fmmamboniaugust8jubikeeout124 жыл бұрын
@@wazirmlogi7532 Ni kweli waziri
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
@@fmmamboniaugust8jubikeeout12 yaah ni kweli kbs
@dawdahewabora77884 жыл бұрын
Kingwendu 💪👍
@kigosigo82634 жыл бұрын
Simba washa moto nyani atabak kuwa nyani mondi baba Lao🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nasrihussein42934 жыл бұрын
Utabaki kushindwa lol 254
@zimudaniel40014 жыл бұрын
Kumbe kingwendu sio chiz kama nlvyokua najua
@sylviawamoya35354 жыл бұрын
Hyo advert n ndefuuu nkt
@asifiwemsafiriasivete50364 жыл бұрын
Asante
@japhetnzunda994 жыл бұрын
Kofi hamwwzi kumkuta wala kumgusa mtaenderea kumuomba awaongezee umarufu yeye hawezi kuwaita nyinyi bado Sana kofi juuuuuuuu juuuuuuuuu sanaaaaaa
@alibatula97734 жыл бұрын
Simbaaa oyeee simbaaa hamwezi simba
@nancymohamedy76724 жыл бұрын
Hahaaaa ngedere na nyani
@millyjames33154 жыл бұрын
Chuki mchukieni raha yake mpatieni hahahah
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Simba kiboko
@netzclan93364 жыл бұрын
kingwendu na simbaa wamuace kweli waende shambani nawenyewe 🤣😎
@isaackela78794 жыл бұрын
Yaani mwaona kabisa Diamond ana uwezo kweli wa kumfunika Koffi olomide kabisa?...ama ni kiki mwatafta tu...
@joyjilien54324 жыл бұрын
Ni wa nyoko hao
@zabronnkoy49084 жыл бұрын
Kwanza hata ule wimbo jamaa kaupamba sana
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Nakweli kofi ni hatali
@yessekompanyi76504 жыл бұрын
Il a parlé un mot en français ce gar kiekiekieeee. Je pense que c'était un bon conseil que Diamond se fraye une porte dans les pays francophones. courage
@tumabhay85764 жыл бұрын
Ukweli utabaki kua ni ukweli daima. Nyoka atabaki kua nyoka daima na chatu atabaki kua chatu to. Hahahahaaaaaa. LOVE YOU SO MUCH MONDI.
@mweenejoetam45044 жыл бұрын
Kingwendu acha uwongo diamond anaimba miziki ya kututukana ki miziki unachukuwa unaweka ni kutukana sana wewe unashabikia mambo mabaa wakati we ni mtu muzima acha wewe kingwendu miziki haina ushauli kabisa kamwe
@mussandikumana35614 жыл бұрын
Uyu mtangazaji yuko bure kbs eti Kiba anatetemeka kwa Koffi kuja kufanya collabo na Diamond iyo ni biashara yao wanafanya wala 👑 ausiki Koffi ni mfanya biashara ata weye kama unapesa zako unaweza kwenda kumleta saa yoyote
@maishacenter-eastafricatv39764 жыл бұрын
Très bien comprendre🤣
@donatiennsianganing10644 жыл бұрын
Resume un peu pour nous qui parlons français 😅 please 🙏
@amanibenjamini96374 жыл бұрын
Simbaaaaaaa! Unaniudhi tu uko ccm
@onesmoandrea90664 жыл бұрын
Naukitaka unenepe shabikia mzik simba mpira simba
@wivinemwamini91104 жыл бұрын
Diamond tangu mbere angepataguo yakufanana kama arimufuni kabisa
@madooog60674 жыл бұрын
Kikwendu bwana skuizi umekuwa Sana yani umetulia mapepe umepoteya wapi
@chiefkaitaba.m.94664 жыл бұрын
Kingwendu 😁😁
@GnR29444 жыл бұрын
Ww mtangazaj ni *tuntufyeee* ww kila ukihoji lzma ugusie uchawiii....uchaw umekukaa san