Mungu akubariki sana Nazerine Juma. Je umeelewa somo la leo? Kama una swali karibu uulize hapa. Mwl & Mwb Olenjolai
@elishayohana28962 жыл бұрын
Ahsante sana kwa legacy hii mwl.May lord's favor be with you
@tanzaniaonlineo-levelsecsc2 жыл бұрын
Kwanza ninamshukuru Mungu kwa Neema yake juu yangu. Ninakushukuru sana Elisha kwa kujifunza Neno la Mungu pamoja nasi. Hicho ni kipindi cha 1 mpaka sasa kuna mfululizo wa somo hilo vipindi 7 kwenye channel hii. Neema ya Bwana wetu na Pendo la Mungu Baba liwe pamoja nawe...
@baobabsecondar1872 жыл бұрын
Mwalimu wangu nikiwa A level
@tanzaniaonlineo-levelsecsc2 жыл бұрын
Karibu sana mwanafunzi wangu. Nimekufundisha mkoa gani? Nikumbushe jina lako na shule. Unajishughulisha na nini kwa sasa? Nipigie/Tuma SMS kwa namba 0759745331. Mwl&Mhd Olenjolai
@oman7982 жыл бұрын
AMINA ubalikiwe
@tanzaniaonlineo-levelsecsc2 жыл бұрын
Amina Om. Mungu wangu akubariki Roho&mwili wako sawa na Kumbukumbu 28:1-13.
@EngSALAHOT232 жыл бұрын
Nice Olenjolai. 👏
@tanzaniaonlineo-levelsecsc2 жыл бұрын
Thank you very much Engineer Victor Salahot for your congrats. May God bless you aboundantly...
@mathiashabineza74622 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa masomo mazuri. Swali : Je? Naweza pata biblia ya kisawhili cha Tanzania ambayo imeandikwa na chama cha Biblia cha Tanzania tu. Ninayo ambayo imeandikwa na chama cha Biblia cha Kenya ila nahisi kwamba kiswahili hiki si halisi. Ikiwa naweza kupata nitanunua tafadhari . Ahsanti.
@tanzaniaonlineo-levelsecsc2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mathias? Ndiyo unaweza kuipata Biblia ya kiswahili cha Tanzania. Karibu sana. Tuma SMS ya uhitaji wako 0759745331. Nitakutumia mkoa wowote wa Tanzania. YOSHUA 1:8