KIPOZEO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAJUMBE WA BAKWATA BAADA YA KUTEULIWA NA MUFT CHEO KIZITO, KOROGWE,2024

  Рет қаралды 17,018

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

5 ай бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 42
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 5 ай бұрын
Salimu gwao jitahidi katika kazi zako...mfano hapa hata sauti haiwiliki
@Saidy-mpoma
@Saidy-mpoma 5 ай бұрын
INSHAALLHAH Allah akujaalie maisha marefu muft wetu
@selemaniyabbi5942
@selemaniyabbi5942 5 ай бұрын
Mashaallah kazi nzur ila tujitahd ubora wa sauti bado siyo mzur kwenye hizi video
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 5 ай бұрын
Bakwata hii nimpango st Nyerere hakuna kitu hapa waislamu kwahapa kunshida kubwano uislamu umedorora
@user-ox1md2jx9o
@user-ox1md2jx9o 5 ай бұрын
Assalamu Alaykum,ebu Heshimu mufti,mungu ndio upeana uongozi
@AbdulKadirYoweriMahmud
@AbdulKadirYoweriMahmud 5 ай бұрын
Dua ya sheikh isha wafikia wenye hasadi roho mbaya mwenyezi mungu awape kazi yakufanya😂😂😂😂
@mbwnanyuki-gg1ot
@mbwnanyuki-gg1ot 5 ай бұрын
Namuelewa sana
@hanspop6961
@hanspop6961 5 ай бұрын
Mashallah! Ashukuriwe Allah Mwingi wa Rehma Allah Akuhifadhi Mufti wetu
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 5 ай бұрын
sauti mbaya sana inaumiza masikio
@salimually5716
@salimually5716 4 ай бұрын
Naomba kufahamu je vile vyeti tulivyopewa baada ya kufanyiwa majaribio na taasisi yetu ya darulmaarifa havitamb buliwi tena nikweki?
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 5 ай бұрын
Muft endelea kuunganisha watu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 5 ай бұрын
Abuu hashim jamaa zako wote maghurafiii Halafu unawatukana watu wa sunna
@alimwawema9932
@alimwawema9932 5 ай бұрын
Hiyo sio dalili. Mtume Nuuh mke wake na mtoto wake watakuwa motoni. Mifano ni mengi. Ukiwa huna elimu nyamaza.
@AffectionateFood-rz5sv
@AffectionateFood-rz5sv 5 ай бұрын
Roho mbaya na choyo hakifai ktk uislam Kwan wewe siyo ndugu yake mufti? Au siyo miongoni mwa waislamu? Mufti endelea kuunganisha waislam
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 5 ай бұрын
MNAOSHUT NA KUEDIT TUJITAHIDI KIDOGO KWENYE SAUTI,,AU MM KIZIWI LABDA
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 5 ай бұрын
Sheikh Comedian
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
Kungetakiwa kuwe na uchaguzi kila baada ya kipindi Fulani, sio kufanya cheo cha milele mpaka kufa
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 5 ай бұрын
Ukiweka uchaguzi ni siasa tena na kutakua na fitna sana katika dini ndio maana kwenye nafasi hizo kunafanyika uteuzi na sio uchaguzi
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 ай бұрын
@@matataoneproduction5355 kwa kweli, kampeni zitaingia msikitini.
@mokitaa8750
@mokitaa8750 5 ай бұрын
sauti mbovu
@AbdulKadirYoweriMahmud
@AbdulKadirYoweriMahmud 5 ай бұрын
Alhamdulillah nayo ni sauti❤❤
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 5 ай бұрын
Yani mufti kaweka nduguzqke watupu
@Chemba67
@Chemba67 5 ай бұрын
🙄🙄
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
Kama amefanya hivyo amekosea sana
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 5 ай бұрын
Muislam ni ndugu wa Muislam mwenzake
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 5 ай бұрын
Mfano nani na nani hao ndugu zakee.!?
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 5 ай бұрын
alicjozungumza sheikh Kipozeo hata sijasikia hata kidogo
@AbdulKadirYoweriMahmud
@AbdulKadirYoweriMahmud 5 ай бұрын
Rudia tena😂😂😂
@user-uw8pg9ju5s
@user-uw8pg9ju5s 5 ай бұрын
Hapa ndio tunapofeli waislam natuna Libya zaidi ya ghului
@user-uw8pg9ju5s
@user-uw8pg9ju5s 5 ай бұрын
Natuna jipya
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 5 ай бұрын
Kipozeo ni mtu mzima hovyo hana mshipa wa aibu ana manen ya hovyo hana hekima
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
Amekukosea wapi?
@user-su7np6sn7s
@user-su7np6sn7s 5 ай бұрын
Wewe mwenyewe pia huna hekima soma ufike kama kipozea Kwahiyo mufti Na kipozeo pia Ni ndugu?
@user-su7np6sn7s
@user-su7np6sn7s 5 ай бұрын
Mbona wapo masheikh wenu pia wanamambo ovyo Tu hawana haibu pia au umemuona kipozeo Tu Hizo Husda sasa
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 5 ай бұрын
@@user-su7np6sn7s kuonekana ktk tv ndo kufika ,??kuna masheikh wakubwa matunda yanaonekana mitaan..huyo mtu mzima wa mizigo na commed
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 5 ай бұрын
@@jumakapilima7295 sipendi maneno yake ya shombo ya kimtaani
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 126 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
TRUTH: Is Raila a CONMAN?
17:58
Herman Manyora
Рет қаралды 23 М.
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
UJIO WA MTUME MPYA MBAGALA PRO MAZINGE AMCHANA
14:23
arkas online tv
Рет қаралды 15 М.
Shekh Kipozeo Kamfungukia WEMA SEPETU Bila Uoga
16:37
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 337 М.
#LIVE BUSATI LA MTORO NA SHEIKH HAMID  JONGO 12/04/2023
1:54:13
ZBC2 Zanzibar Broadcasting Cooperation II
Рет қаралды 1,5 М.