HIZI NI SURA 3 UKIZISOMA UTAISHI KIFALME | UTAPATA RIZIKI KIWEPESI, UTAKACHO KIFANYA KITAFANIKIWA

  Рет қаралды 121,888

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 109
@azizhassan1827
@azizhassan1827 Жыл бұрын
MaaShaaAllah... Alhamdulillah Kuwa kwenye dini yenye kheir nyingi🤲🏿... Allahu Akbar
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 6 ай бұрын
shukrani sana MOLA AKUTANGULIE SHEIKH WALID
@jumabakary
@jumabakary Жыл бұрын
Alhamdulillah alladhii jaalnaa ala ddiinil ilslaam🙏
@mariamkombo2010
@mariamkombo2010 Жыл бұрын
Alhamdulillah Jazakallah kheir Sheikh kwa ukumbusho. Allahu Akbar
@mwakoromamwanamgeni5420
@mwakoromamwanamgeni5420 Жыл бұрын
Swadaqta sheikh yani mm nisiposoma hizi sura tatu naona kuna kitu kimepungua mwilini 😊 but mimi husoma kabla kulala sijui nisawa naomba jawabu waislamu all the way from Mombasa Kenya
@ShaniaKing-o5d
@ShaniaKing-o5d 14 күн бұрын
Ni vizuri bila kusahau qulsyu
@madrasatulmujtabahschool3676
@madrasatulmujtabahschool3676 Жыл бұрын
Mara hii kweli Mufti ameteuwa sheikh wa Mkoa jazakallah kheir
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Nakupenda sana sheik Walid kwa ajili ya Allah.
@PAZI_TV
@PAZI_TV Жыл бұрын
Hakika nakubaliana na sheikh kila ninapokuwa nataka pesa nikiisoma hii sura huwa napata pesa bila kujua Kama ningepata
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Maa shaa ALLah
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Hamie wallahi nikweli na pia uwe na imani ya dini wallahi unapata uwe na nia nzuri tu mie kama sijasoma najiskia tafrani wallahi Qur-aan tamu wallahi
@halimamohamed8667
@halimamohamed8667 Жыл бұрын
Kwa hiyo ww mpaka uwe na shidda ndio unakumbuka kusoma
@MwanamisiJey
@MwanamisiJey Ай бұрын
AllahuAkibarr Allah akulipe kila kheri sheikh wetu❤❤❤❤❤
@kizboytz6501
@kizboytz6501 Жыл бұрын
Alhamdulilah shekh Allah akulipe kila la khery nimezisoma Jana Surat yasin waqia Leo nmepata pesa nimeshkuru skutegemea
@HashmirMohaamad
@HashmirMohaamad Жыл бұрын
Swala ya jamaa or
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik, shukran
@hajramsham8031
@hajramsham8031 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheykh
@halimaeliasndyakowaa
@halimaeliasndyakowaa Жыл бұрын
Amina
@ishakaali9335
@ishakaali9335 Жыл бұрын
Never miss sh wangu niukweli mtupu unapata wepesi bila kutarajia
@kassimali1477
@kassimali1477 Жыл бұрын
Shukran Shekh Walid
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah 👍 shukran sana Sheikh 😟 Allah atufanyie wepesi katika Maisha yetu 🤲🤲🥰🥰
@DjumaHalima-iq6cx
@DjumaHalima-iq6cx Жыл бұрын
Mansha Allah tunashkur skeikh wetu Allah akuifadhi vyema
@nadiaalnamaani9603
@nadiaalnamaani9603 Жыл бұрын
Kweli kabisa sheikh shukran saana jazaka Allah kheiri
@mamkubwaashura8096
@mamkubwaashura8096 Жыл бұрын
Shukran Allah akujaze kheir
@MariamSalum-by3jh
@MariamSalum-by3jh Жыл бұрын
Ma Sha Allaah akulipe kheree
@barwani890
@barwani890 Жыл бұрын
Allah akbar mungo akure kila la kheir
@hidayakhamis936
@hidayakhamis936 Жыл бұрын
Tunakuelewa sana shekh Walid
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 Жыл бұрын
Allah akulinde na akujaalie kila la kher
@muhammadmagtuf714
@muhammadmagtuf714 Жыл бұрын
Kwa kweli sheikh quran ni tamu ukiijua nashkuru Allah kuijua yote khutba zako nazikubali mashaallah tabaraka Allah ❤jazaka allahu kheir
@anushkabarvat3924
@anushkabarvat3924 Жыл бұрын
Ni kweli quran ukiipenda nayo inakupenda ila ukiiacha wallah 😢
@nadiaharoon9648
@nadiaharoon9648 Жыл бұрын
Swadakita shiekh Allahu ya razaqu
@mohamedswaleh9616
@mohamedswaleh9616 Жыл бұрын
JazakaAllah kheyr sheikh
@maryamsalum1795
@maryamsalum1795 Жыл бұрын
Ma sha Allah sh
@mudykaila7437
@mudykaila7437 Жыл бұрын
Shukrani lak ya amir
@nayeemn9275
@nayeemn9275 Жыл бұрын
Mashaa Allah nikweli.
@AbdurahimIsaac
@AbdurahimIsaac 15 күн бұрын
Amiin my
@amonaamona3816
@amonaamona3816 Жыл бұрын
Mashaallah mungu atuwezese
@dallatode8295
@dallatode8295 Жыл бұрын
Ma sha Allah al ustadh 👍👏👏👏👏👏👏
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 Жыл бұрын
Shukran sana sheikh
@dallatode8295
@dallatode8295 Жыл бұрын
Jazzahkallah kheir ya al ustadh
@abilahirufai8269
@abilahirufai8269 Жыл бұрын
Asaante sheikh kwa darsa zur
@FatumaHaji-s1h
@FatumaHaji-s1h 11 ай бұрын
Maa shaa Allah❤
@momapessa
@momapessa Жыл бұрын
Mashaaallah
@mohammedmshiraz75
@mohammedmshiraz75 Жыл бұрын
Naaaam sheikh walid alhad
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 Жыл бұрын
MashaAllah Allah atuongoze
@abedkarume9088
@abedkarume9088 Жыл бұрын
Jazaq Allahu kheiran
@bilalihussein-dg8dp
@bilalihussein-dg8dp Жыл бұрын
Allah akuzidishie umri sheikh tuendelee kuka supu hii ya elimu .
@PrincessMwasiti-kj8wn
@PrincessMwasiti-kj8wn Жыл бұрын
Mashaallah sheikhe
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
JazakaAllah
@hemedijuma4099
@hemedijuma4099 Жыл бұрын
Alhamdulillaahi, Walid Alhadi Omar ni mmoja tu
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
Kweli sheikh
@RahmaBakari-jo8jd
@RahmaBakari-jo8jd 4 ай бұрын
Maashallah
@afric01
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Jazakallah kheir 🙏
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 4 ай бұрын
MashaLLAH
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Allahu akibari
@halimaeliasndyakowaa
@halimaeliasndyakowaa Жыл бұрын
Tunaomba nasi mwenyenzi.mungu atufanyie wepesi
@zenaibrahim437
@zenaibrahim437 Жыл бұрын
shurn sheikh walid kwa darsa
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 Жыл бұрын
Allah amripe
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
Haqun Sheikh Walid
@chidchidmkole5341
@chidchidmkole5341 Жыл бұрын
Ningekua na uwezo ningeend kusoma kwa huyu sheh
@amalsaleh1072
@amalsaleh1072 Жыл бұрын
🤝
@masoudabdallah4645
@masoudabdallah4645 Жыл бұрын
Subhanallah
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Manene yako ni kweli kabisa shekhe wangu
@ninononi3674
@ninononi3674 Жыл бұрын
Msemo wa baba yako nikweli 👍
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Kabisa kuraani tam wallah Sijui kwanini
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Жыл бұрын
Kweli Quraan ukiiwacha inakuacha..
@hanaalsiabi2821
@hanaalsiabi2821 Жыл бұрын
Mashaallah
@florencenuru4687
@florencenuru4687 Жыл бұрын
Mmi ni mkristo waeza nisomea nipate wateja kwa biashara yangu
@laylahasshim827
@laylahasshim827 Жыл бұрын
Shekhe mm nilisilimu lkn sijui kusoma Quran 😢😢ila napenda nijue
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Tafuta mtu akufundishe
@saifal-maskariy55
@saifal-maskariy55 Жыл бұрын
Tafuta watu wa karibu wakufundishe dada , uko wapi kwani..?
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Karibu sana dada kwenye dini ya uislam. Mungu akuwezeshe uweze kusoma Qur' an Insha-allah
@laylahasshim827
@laylahasshim827 Жыл бұрын
​@@saifal-maskariy55 niko Tanga
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 Жыл бұрын
Je kuckiliza inafaa km hujui kusomaa
@rukaiyahally593
@rukaiyahally593 Жыл бұрын
Yote uyasemayo shekhe wangu yana ukweli ndani yake, qur_an tamu san ukiijua
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Ukiiacha nayo inakuacha
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Swadakta
@anusiatakomba5856
@anusiatakomba5856 Жыл бұрын
Mimi nimebadiri din kwasasa ni mwez nimeuona ila siwezi kunuiza
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Karibu dada kwenye dini ya kweli. Mungu akuwekee wepesi ktk mambo yako Insha-allah.
@mlindofaheem5874
@mlindofaheem5874 Жыл бұрын
Karibu sana ktk dini ya haki. Kunuiza hauna haja ya kutamka nia hutoka moyoni chukulia mfano upo mwenyewe na unataka kwenda sehemu fulani muda wa baadae kimaana hapo tayari ushaweka nia haliyakuwa wala hujatamka kwhyo ukienda utakuwa umetimiza nia na kama hujaenda utakuwa hujatimiza nia uliyoweka. Kwahyo huna haja ya kutammka
@JafariSalum-ev3zv
@JafariSalum-ev3zv Жыл бұрын
Nia ipo moyoni, silazima mpaka utamke.
@JafariSalum-ev3zv
@JafariSalum-ev3zv Жыл бұрын
Nia ipo moyoni silazma mpaka utamke kwa ulimi.
@ramadhanihemba
@ramadhanihemba Жыл бұрын
Sheikh na dua ya kufaulu mitihani ya shule ni ipi?
@ahmadziggy2714
@ahmadziggy2714 Жыл бұрын
Maneno ya sio kuwa na ukweli hayo... Wa Tz muna mambo!!
@aishanchinice8097
@aishanchinice8097 Жыл бұрын
Aslm alykm warahamatullah wabaraqat shekh mm mwanamke naitaji kufuturisha jamaa zangu huu mwezi wa ramadhani vipi nafanya ili nisiye nje ya Ibadan?
@amirygomba6866
@amirygomba6866 Жыл бұрын
Unafanya ili iwe nin
@khallmismasoud24
@khallmismasoud24 Жыл бұрын
Njoo nkufahamishe ukhty
@fatumachasama6284
@fatumachasama6284 Жыл бұрын
Jazzakallahery!! Shekhe he kama huifaham surat yassin, inakuwaje ?? Kama mja hukujaaliwa kufikia masahaf, umeishia Juzuu Ama tu? Msaada
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 Жыл бұрын
Fanya jitihada ujifunze
@alexmwinyi3107
@alexmwinyi3107 Жыл бұрын
Kwenye Maelezo Hapa Uwe Unatuwekea Sura izo kwa Tusioelewa Kwa kusema Kwa Maneno tunayakuta....
@imaadzahoorchichkar6516
@imaadzahoorchichkar6516 Жыл бұрын
Soma hz sura 3 : Surah Yasin, surah Waqiah, surah Mulk.. Karibu kwenye Uisalamu Kaka😊
@salehejumaa6238
@salehejumaa6238 Жыл бұрын
Hii Crip naichukuaje iwe kweny jaman msaada Ndugu zangu
@beckooh
@beckooh Жыл бұрын
Bado waihitaji au?
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Nani aiyeipokea hadiyth hiyo kuwa Surattul Yaasiyn kuwa ni moyo wa Qur'an.?Na ni hadiyth namba ngapi katika Bukhari na Muslim
@zulfajuma3115
@zulfajuma3115 Жыл бұрын
Hapo Kwa kwanza nisawa ni moyo wa Quran,lkn kusema husomewa maiti ???? Sio authentic hadith
@mussamtupa
@mussamtupa Жыл бұрын
Mm nikisoma Surati Yaa Sini na Surati Alwaqia ndio mitihani inazidi famiria itaumwa njaa ndio ita picha hidi Mpaka nachanganyikiwa Ila siachi kusoma wallah. Ila siachi
@maralsaally4253
@maralsaally4253 Жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi inshaaAllah
@halimamohamed8667
@halimamohamed8667 Жыл бұрын
Leta istighfar thn soma
@mwanamisiswaleh1876
@mwanamisiswaleh1876 Жыл бұрын
Pengine Mungu amekunusuru Na Jambo jengine kubwa kuliko la rizki
@samiyabakari3671
@samiyabakari3671 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@mussamtupa
@mussamtupa Жыл бұрын
​@@maralsaally4253 in shaAllah
@halimapwagu3091
@halimapwagu3091 Жыл бұрын
Mashaallah
@ramadhanihemba
@ramadhanihemba Жыл бұрын
Jamani, na dua ya kufaulu mitihani ya shule ni ipi?
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 125 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
UKIYAFANYA MAMBO HAYA UNAKUWA TAJIRI | SHEIKH OTHMAN MICHAEL
53:41
QIBLATEIN ONLINE
Рет қаралды 100 М.
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Mponda Media
Рет қаралды 573 М.