Kwanza anza kujua maana ya dini hlf ndo utaona tofauti yake,labla kwa kukusaidia tu,maana ya dini ni mfumo kamili wa maisha,jiulize,ibada za waislam na wakristo sawa,muamara wa kibiashara,jinsi inavyoelekeza uislam na ukristo sawa,kwenye Uislam kuna zaka na sadaka na mengi,itikadi,kabla ya kula na baada kuna dua,kuingia choosing,jinsi ya kutembea,yani maisha yote kwa ujumla so tofauti ni kubwa mno
@MankoWeitala-pe7miАй бұрын
Vizuli unajuwa
@JocktanWilfred-j7iАй бұрын
Mda mwingi sioni utofaut wa uislam na ukristo naona n dini moja ila nafurahishwa sana na mawaidha