Umerudi vyema Jamal April nakupata vyema kbs toka 🇹🇿 like 20 jamn km umekubali ujio wa the story book
@kingpin25113 жыл бұрын
Nipewe Like za The Only Professor We Have In Africa
@oscarsabin35613 жыл бұрын
Leo nimeflai sana imanijenga sana kwenye imani yangu amen tunamsubira bwana yesu kisto amen
@mwarabumbarak43423 жыл бұрын
Huyo unaye msubiri mwisho atakukana. Luka 13:25-28 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako; 26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu. 27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu. 28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.
@samuelmuhina31863 жыл бұрын
Usimsikilize m2 yeyote iwe Mimi huyu Jamal na hata wasomi.....muombe Mungu akutie maarifa ya kumjua....Soma neno mwenyewe
@Pro_Hacker992 жыл бұрын
@@mwarabumbarak4342 maandiko ya kwenye kitabu Cha biblia na ata Qur'an ni mazito Sana, hayana tafsiri sisisi yaan hayatafsiriwi Moja kwa moja kama yalivyoandikwa, yahitaji akili ya Iman ili kujua nn kinachokusudiwa kwenye andiko....mfano ww sheikh hapo umetafsiri Moja kwa moja Yan umenukuu na kichwani umeweka kama ilivyo......muache mtu na Iman yake
@denismugisha2 Жыл бұрын
Jina la BWANA huandikwa kwa herufi kubwa
@stanleymathenge3257 Жыл бұрын
Mimi utazama nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 jina langu ni Stanley mathenge ❤ mnipee likes 🎉🎉🎉
@winniethuo973610 ай бұрын
Wīmwega mŭndŭ Mathenge. Haya ni magumu sana sijui wewe umefikishwa na hizi habari mbali mbali za hali na mali na mengineo ya Kiroho.
@daisynyerere573010 ай бұрын
Haya tumekupea
@stanleymathenge325710 ай бұрын
@@daisynyerere5730 thanks
@stanleymathenge325710 ай бұрын
@@winniethuo9736 nekwega muno Winnie
@johnlahai-loy26017 ай бұрын
15:08
@samuelmweipongwe1403 жыл бұрын
Watu ni wavivu wa kufikiri na ni wavivu wa kujituma kuyajua mambo. Ufunuo wa Yohana 11:19 [19]Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
@vivianoforo47603 жыл бұрын
Walokuwa wanamgonja Jamal kwa hamu gonga like twende pamoja.
@isaackmboma723 жыл бұрын
Sija amini yanikama Jamal kaludi I'm so happy
@mwiguluzabron14143 жыл бұрын
Nmemsubiri sanaa
@njoylee2253 жыл бұрын
@@isaackmboma72 J
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Sjaamini kumckia Jamal again jmn ninakupenda Sana Jamal km washkaji zangu waliolike
@aminaathuman29173 жыл бұрын
We miss you Professor Jamal
@thearphaxadstv3 жыл бұрын
nimeishi kuombea the storybook kurejea na ama kweli maombi yangu ni ya hakika SIJAFELI😍😍✔
@@nissarhussein4887 ama kweli unadhihirisha ulemavu wa ubongo wako samahani maombi yangu kama hayakupendezi omba yako
@fredyefd81163 жыл бұрын
@@nissarhussein4887 fikra zako cyo zetu shugulika na yako
@chiefmahucha68473 жыл бұрын
@@nissarhussein4887 kwa hiyo unajaribu kutuaminisha nini sasa kwa mfano...? Kwamba wewe tangu uzaliwe hujawahi ombea chochote wala mtu yeyote chini ya jua tofauti na wazazio sio..?
@anastaziamruma37753 жыл бұрын
Hatimaye kipindi changu pendwa 💕💕💕kimerudi 🙏
@abukhaulatibrahim75213 жыл бұрын
Hichi ndio kipindi pekee ninachofuatilia wasafi. Hongera sana Jamal, hongereni Wasafi Media
@peterkipuzi27003 жыл бұрын
Huwa kipo muda gani,na siku gani
@bettymwasa10793 ай бұрын
Hivi huwa kinarushwa lini na saa ngapi??
@evancepatrice11143 жыл бұрын
Dah ahsante sana wasafi media kusema kweli wasafi ni media iliokuja kupindua radio zingine watasubili sana
@LilfourEmpire Жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with looove
@antonynyerere43473 жыл бұрын
Jamali April....hongera sana unatufanya tujue mambo ya siri sana ya dunian mungu na azidi kukubariki kaka yang binafsi nakupenda sana
@vivianoforo47603 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu pekee ndiye mjuzi. Sio yote tunatakiwa kuyajua mengine ni kumuachia mwenyezi Mungu pekee Asante Jamal
@lujenjejr36283 жыл бұрын
Wazungu walitupiga tu na hadithi zao ili watukoloni...
@swagatdebracy64473 жыл бұрын
Imeandikwa yachunguzeni maandiko tena ikaandikwa usimuache elimu aendezake.
@allymajeba42113 жыл бұрын
JJ
@seasonepisode33283 жыл бұрын
@@lujenjejr3628 ukifa utaelewa tuuu kila ndimi itakiri
@lujenjejr36283 жыл бұрын
@@seasonepisode3328 nani alikifa akawaambia kua huko kila ndimi zinakiri...
@hassanyussuph44073 жыл бұрын
Jamal unafanya kazi kubwa sana kutengeneza thestorybook kazi nzuri sanaa
@boscomtani10063 жыл бұрын
Jamal April a.k.a. Jamal Mustapha a.k.a. Professor unajua sana, nikiona the Story Book Umeandaa na kusimulia najua kwamba hicho ni kitu makini kilichofanyiwa utafiti wa kutosha na kuwasilisha kwa ustadi wa kuvutia kwa njia ya simulizi. Hakika wewe ni tunu kwa taifa, dunia na ulimwengu. Ubarikiwe.
@JuliethAron-x4x5 ай бұрын
Ahsant sana ndug Jamal kwa story nzur naomba utusaidie kujua historia ya bustani ya heden
@ommymbalikila40343 жыл бұрын
Leo nmekuwa wa Kwanza jamani like zenu ata 50
@m.jbluesea27113 жыл бұрын
Kbisa kzbin.info/www/bejne/b4esf5SEd6affLc
@nissarhussein48873 жыл бұрын
M acha ushamba na ww kbisa ndo nn huelewek fala ww
@ommymbalikila40343 жыл бұрын
@@nissarhussein4887 kwani umelazimishwa kukoment c ukaushe tu
@KAKAKUONATV3 жыл бұрын
Hoja ya dini na dini
@msafirizakayo539 Жыл бұрын
Uko vizuri
@alphahappy35013 жыл бұрын
Hapa sawa sasa, sio storybook inapotea mpaka tunataka kuchanganyikiwa.
@doricekadushi39243 жыл бұрын
😁😁
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Usihofu sanduku lipo soma maandiko haya. Bibilia ni jibu "yenye chetezo cha dhahabu, na sanduku la agano lililofunikwa kwa dhahabu pande zote, mlimokuwa na kopo la dhahabu lenye ile mana, na ile fimbo ya Haruni iliyochipuka, na vile vibao vya agano; Waebrania 9:4 Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana." Ufunuo wa Yohana 11:19
@raymondjohn37986 ай бұрын
Kihistoria sanduku la agano lilipotea kule lilipokua lakini lipo Ethiopia sehemu moja ambapo ndio Malkia wa Sheba alipokuwa anatokea,katika mji wa Axum.
@annastaciangau90043 жыл бұрын
Jamal april pamoja na the story book mungu akubariki zaidi kwa bidii yako ya kutuelimisha, karibu tena na tena kwa story zako zenye mafunzo mazuri siku zote
@frankkondo51983 жыл бұрын
Wewe unatakia upewe p.hd ya heshima
@neemamiruho20963 жыл бұрын
@@frankkondo5198 qqqqqqq
@neemamiruho20963 жыл бұрын
♧
@johnsonkatembo72073 жыл бұрын
Story book nashuku rusana Mimi naichi Congo ila nakufata vizurisana n'a kulomba namba yako ya WhatsApp
@ahmedabdirustu21933 жыл бұрын
A2
@willywox50403 жыл бұрын
My brother from another mother! tulikumis san kaka 🙏
@aishwiihbeauty9912 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰. Nakupenda ww
@officialprincebaro69833 жыл бұрын
The story book huwa inatusaidia kujuwa na kutaka kufatiliya jambo.. Nakubali Mzee wa zamaniiiiiiii Zamani sana Welcome
@geraldlyimo28593 жыл бұрын
Neno la Mungu ni taamu
@ledamussa303 жыл бұрын
Sanaa
@VailethMinja-o8z24 күн бұрын
Mnoooo
@barakawabuge52853 жыл бұрын
Toka kenya kila siku naingia you tube kuangalia kama the storybook ipo.. Nashukuru umerudi baba
@simondangote32453 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia kuwa na ww unamsubiri yesu na unaamini atarudi cku ya mwisho asante sana professor kwa kuwafungua wenzko ambao awahamini kwl hyo kuhsu kurudi kwa mwana wa Adam, YESU
@murshidjamshid67583 жыл бұрын
Yesu atarudi sio kwamba hakuna muislamu asiye tambua kua hatarudi. Ila sisi na nyinyi tunakinzana issa/yesu hakufa kabla ya kupaishwa kwake kwenda mbinguni Wala issa/yesu si MUNGU kama msemavyo. Wala MUNGU -hana utatu mtakatifu (hapana)
@ruqayissa42072 жыл бұрын
Na issa hakusulubiwa mapimbi hawa
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Achana na wanaodhani ati majini yaliwahi kushirikishwa kumjengea Mungu hekalu takatifu.na sanduku la agano likawekwa katika hekalu hilo na Mungu ati akalitumia sanduku la agano kuzungumza na Waana wa Isrsel! Mungu na majini wapi na wapi? Jini na patakatifu pa Mungu ni wapi na wapi Jamani wanadamu Yesu aliwahi kusema " enyi kizazi cha nyoka........". Tumchagulie Mungu maneno jamani.
@allymanjano6983 жыл бұрын
Aise umeifanya siku iishe vizur,nakubar kamanda👍👍
@royalityjunior2103 жыл бұрын
We kaka story Yan tanguh nimeanza kuangaliah story book nafanya poa kwene somo la history munguh akubalikih maanah sikuh hizih imani yanguh pia imekuah Long life to you
@thobiasmgimwa67943 жыл бұрын
Asante #the storybook imekuwa ikinisaidia kujuwa mengi Sana duniani
@suzanaissa31463 жыл бұрын
Mungu akuzidishie maradufu.
@thabitiajibu44043 жыл бұрын
WCB4life kimeludi tena kipindi changu pendwa @the story book tujuane hapa wote tunaopend the story book like k10
@cleverofficial55003 жыл бұрын
Kabisa kaka
@pungopungo4112 ай бұрын
Jamari Mungu akupiganie unatula raha wewe ni pasuapasu na Yesu akija hatakuacha bigup jamal
@godfreymtazama45813 жыл бұрын
Daaah proffersor nilikuwa nasubiri simulizi zako kwa hamu maana nimemaliza zote kuzifatilia as historian
@Paplick93 жыл бұрын
Jamal April the master miind professor una akili sana weka like apa
@nissarhussein48873 жыл бұрын
Zinakusaidia nn izo like
@Paplick93 жыл бұрын
@@nissarhussein4887 ata nikikujibu inakusaidia nini wewe
@123228793 жыл бұрын
Muache uvivu wabongo,muwe mnafuatilia vitu youtube na google kama yeye.Unamsifia kwa kukutafsiria!
@ldguo37023 жыл бұрын
Sanduku laagano liko D.R.Congo ,maana ndo inci inautajiri mingi pia umaskini kwasababu ya vita
@asaa32193 жыл бұрын
Aziji bure hizi story tujifunzeni kitu guys 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@margaretmahege7948 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Jamal
@impixelmusictz30443 жыл бұрын
Kaz nzur kak endelea kutuelimisha
@bettybetty87173 жыл бұрын
Thanks for coming back @Jamal
@husseinhincha18463 жыл бұрын
Karibuni ktk UISLAM dini pekee ambayo kitabu chake kimehifadhiwa chote vichwani mwa wengi
@lakasid38603 жыл бұрын
Yesu anakuja kuhukumu ulimwengu na kuchukua watu wake..
@husseinhincha18463 жыл бұрын
Yesu ni mtume yeye ashafikisha yake na mtume Muhammad peace be upon them and jesus ndo mtume wa mwisho hukumu ni yakwake pekee mungu mmoja tu
@farajajoseph29713 жыл бұрын
Nilikua nime miss makala zako, punguza ukimya kaka mkubwa tunakukubari sana The Story Book utabakia kua juu wengine wakasome
@naomimelissa-sq1gi2 күн бұрын
simulizi nzuri sana
@midoboytz22483 жыл бұрын
Jaman April alikuwa kimy San Kama ulikuwa una mmic Kama mim gonga like
@prayerchamber16003 жыл бұрын
Dini ya kweli ni roho yako... Kuwepo kwa lugha tofauti duniani ni mipango ya Mungu pia kuwepo kwa imani tofauti ya dini ni mipango yake...
@shabanishila39613 жыл бұрын
Wewe kweli msomi, ahsantee kwa the story book
@stevewanga9573 жыл бұрын
Israel Mbali na upendo kutoka Kwa Mungu mpka Leo wanampinga Mwenyezi Mungu ...wanazidi kumkufuru Mungu ....
@nkomyajohn42713 жыл бұрын
Jamal April PROFESSOR, nakubali Sana , Good story
@florancebidogo43103 жыл бұрын
Big up sana Professor Jamal,Mungu akulinde siku zote
@HusseniHashim6 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kutupa ushuhuda Jamari nitafutie stori ya kisa cha wakristo na waislam hata kdog jinsi ilivyo kua
@millionairejeffreysunofbez37663 жыл бұрын
Huwezi kwenda kwa Mungu ila kwa njia yake yy Yesu Kristo, ...bas subirn sana aje kusema mala ya pili kuwa yy ndiye njia ya kweli na uzima juu
@hemedysaidy9723 жыл бұрын
i like it the story books ningepend jamal wakup tuzo unanifanya nifatilie vitu kwa uwangalifu
@kingnoebamikwa3733 жыл бұрын
Umemaliza bwana jamal. Tume miss kipindi boss wangu nilitafuta nipingiye CEO Platnumz ju ya ufafanuzi zaidi
@m.jbluesea27113 жыл бұрын
😂😂😂kzbin.info/www/bejne/b4esf5SEd6affLc
@annamalingi18553 жыл бұрын
Yesu akija hakuna wakati wakujirekebisha.
@idungaphotostudio35763 жыл бұрын
Hongera sana jamal unafanya kazi nzuri sana sijuti kukufahamu kaka tunasubiria tena kwa mara nyingine the story book
@mapalwa-online-tv3 жыл бұрын
Tupe Mambo jamal nilikuwa nimemic Sana the story book
@venzotiger17923 жыл бұрын
Mungu ndie muumbaji wa kila kitu"i love your story jamaly"
@gabrielmethod40333 жыл бұрын
Hakuna anayeweza kuharibu tabia ya Mungu ,maana Mungu ni pendo ,na pendo ndio utimilifu wa Sheria,so kama Mungu ni pendo basi amri zote zinazungumzia upendo ,na wote tutahukumiwa kwa amri hizo za upendo , kwa maana hiyo lazima hizi amri ziwe kwake yeye Muumba wa mbingu Soma ufunuo 11:19
@jembe343 жыл бұрын
Ulikua wapi mwanangu napenda story zako sana lakini ngepeenda ue unafululiza ukimya wa muda mrefu unapoteza washabiki pia napenda nkushauri soma sana quran ina hadith nyingi sana za mambo ya kale mfano ni wale vijana wa pangoni waloishi miaka mingi sana wakiwa wamelala bila kujua wao wakajua wamelala usiku mmoja tu pia kuna habari za watu wa adi wakubwa wenye nguvu sana
@dismasjack57552 жыл бұрын
Sio siri nakufatilia sana naumekuwa sehem ya kutufafanulia mambo mbal mbl nakujiamn respect bro
@eliaalex81183 жыл бұрын
Tuletee story ya bustani ya eden iko wapi mpaka sasa hivi
@mosesmoses14293 жыл бұрын
Hongera Sana kijana kwakuwafumbua wenge the story book
@mg_og41853 жыл бұрын
Nakubalii san the story book🔥🔥🔥
@raminsaid89213 жыл бұрын
Mama
@paulandrew73013 жыл бұрын
Hakuna haja watu kuulizana sanduku la agano liko wapi kwa sasa kwani sanduku la agano lilikuwa ni kivuli cha Yesu Kristo kwani hayo mawe yenye amri kumi yalikuwa yakimwakilisha Yesu Kristo ambaye ni Neno LA Mungu, mana inayotajwa kuwemo kwenye sanduku la agano ilikuwa ikimwakilisha Yesu ambaye ndiye chakula kitokacho juu na hata hiyo fimbo ya haruni kuhani ilikuwa inamwakilisha Yesu Kristo aliyekuja kama kuhani mkuu hivyo kama jinsi ambavyo wana wa Israeli walivyokuwa wakitazama sanduku la agano kama ushindi na wokovu wao hatuna budi watu wa ncha zote za dunia kuelekeza macho Yetu kwa Yesu Kristo ili tupate kupona kwani Yeye ndiye njia ya kweli na uzima.
@ibrahkadabrah70013 жыл бұрын
Kama unasikiliza huku unasoma comment gonga like twende sawa WCB 4 Life
@nissarhussein48873 жыл бұрын
Zinakusaidia nn izo like acha ujinga tafuta ela sio like
@RukaraSaruvatori-xd6dj2 ай бұрын
@@nissarhussein4887😊😊😊
@RukaraSaruvatori-xd6dj2 ай бұрын
@@nissarhussein4887😊😊😊😊😊😊😊😊
@RukaraSaruvatori-xd6dj2 ай бұрын
@@nissarhussein4887😊😊😊😊
@r14kgroup683 жыл бұрын
Jamar Happ umenena nami niliwahi jiuliza
@nzisakasau82343 жыл бұрын
Finally story book is back 👏👏👏👏👏congrats Jamal April
@selfaakinyi78243 жыл бұрын
Kumbe uko uku pia my dear
@nzisakasau82343 жыл бұрын
@@selfaakinyi7824 🤣kabisaa
@asmaomary18803 жыл бұрын
@@nzisakasau8234 ,🙄😉🙄
@selfaakinyi78243 жыл бұрын
@@nzisakasau8234 i knew you at milele FM all the plat form za Jalango.
@nzisakasau82343 жыл бұрын
@@selfaakinyi7824 woow 😊
@ireneassey7533 жыл бұрын
Tusubir yesuu akirud tutajua yote...AMEN
@hamdanmrisho46063 жыл бұрын
Mambo
@ireneassey7533 жыл бұрын
@@hamdanmrisho4606 powa
@dorcaskarago28763 жыл бұрын
Akirudi atasema na watakatifu watu walio mpenda na kumwamini Mungu
@nurdinhussein Жыл бұрын
Leo wa kwanza naombeni like zangu
@rehemafredrick77943 жыл бұрын
Asante kwa story book Jamal
@disantojevnco27183 жыл бұрын
Hi I am watching from Buguruni city centre Tz Dar
@user-donna3 жыл бұрын
Haliwezi Kuwa mecca...sanduku la Agano ni kitu cha muhimu kwa Mwenyezi Mungu, Yahweh, Mungu Wa Isreali na pia kwa Wayahudi, ninavyo kwa nguvu za mwenyezi Mungu, angetaka wanadamu waifukue ile sanduku ama Wajue pahali ipo, angekubali na wangelifukua kitamboo Lkn kwa uwezo wake bado halijajulikana pahali ipo, na ninavyo kusudia iwapo Mungu mwenyewe angelichukua ilo sanduku akaipeleka kwake Mbuguni
@jacquesmmassa55893 жыл бұрын
Mda mrefu kidogo kaka tulikuwa tume ku miss kweli
@veronicadaniel11223 жыл бұрын
Amina hakika pengine lilipalizwa hivo akirudi mwana wa Adam atatuambia wanae mungu atufanye tuyashuhuudie hayo
@rehmydee283 жыл бұрын
Thankful Professor we had missed this.Love from Kenya
@twenzetumbuganitanzania12603 жыл бұрын
Daah!! Nimekuwa wa mwisho ku view....🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍
@davidmaisely74873 жыл бұрын
Ndugu zangu wakristo tuwe makini na kumuomba Roho mtakatifu usikivu juu ya hizi simulizi zilizopo kwenye kitabu chetu
@sylvesterlosuru98263 жыл бұрын
The man is always correcting the Bible...kidogo Judah Leo amri kumi na naona Mzee cjui tusifuate bible
@mrchazzy65513 жыл бұрын
Amina tumungojee bwana wetu yesu kristo tu
@harunaramadhani77643 жыл бұрын
Mwisho Leo nmetoka kumkumbuka professor Jamar na the story book yake, welcome back chief
@pendooscar93223 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kutuletea story nzuli nimejikuta nikitaman Sana kujua biblia kuliko kitu kingine
@enessisosten29763 жыл бұрын
Kama mm
@haafidhaboubakary30973 жыл бұрын
Our beloved have back again
@sophianzali68183 жыл бұрын
Itakuw mungu alilichukua sanduku lake weee !!!!
@Mr.Breakdown3 жыл бұрын
Tunaombq na story ya bustani ya Eden
@mbonayobabyjoe Жыл бұрын
thanks for this information is correct and necessary
@amanibwire44233 жыл бұрын
Ntaanza kulipia wasafi sasa hichi ni kipindi pekee nakipenda
@harmonitz99643 жыл бұрын
Dini safi ni kutenda mema
@martinchabi30293 жыл бұрын
Waooh naipenda saaana hii story jaman🥰🥰❤
@eliasturwa98583 жыл бұрын
Safi bro tupe na historia ya mathehebu
@tawaloharuna48853 жыл бұрын
Am really glad for storybook to back on air..........
@mourineblessed32454 ай бұрын
You deserve a crown 👑 professor, your analysis is top notch
@jamesmachibya65323 жыл бұрын
Miss this a lot. Safi sana Jamal
@m.jbluesea27113 жыл бұрын
Kbisa kzbin.info/www/bejne/b4esf5SEd6affLc
@Kipngetich-KE Жыл бұрын
Wakati wangu mingi natumia kwa story book Jamal April i love you bro
@esthernyinza91233 жыл бұрын
Your stories always give me goosebumps much love from 254 kenya
@ramadhaniramadhaniridhiwan69753 жыл бұрын
unakipaji kikubwa sana mbali naelimu yako
@christinejave19232 жыл бұрын
Welcome back jamaaaaaaal
@fredKiprop-vt8bz Жыл бұрын
I love his stories
@jodcikuru16633 жыл бұрын
Sema uyu jamaa ana marifa kwelikweli...Mungu akubari kbs
@biabaroger93603 жыл бұрын
Aisee kaka Jamal April mimi ni Fans wako mkubwa sana lakini nataka utupe story ya ukweli uchimbaji wa Kifo cha Magufuli
@stanleywalker67083 жыл бұрын
Msimulizi jamal april the wisdom man!
@mc_mrope3 жыл бұрын
I really appreciate Professor Jamal🎓
@amoskinyonyi44583 жыл бұрын
Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana. Ufunuo 11: 19
@johnkishiwa89043 жыл бұрын
Hatimaye the story book hewani tena woooow
@nevasonwiston54943 жыл бұрын
For sure Mr Jamal unadeserve kuitwa na kuwa PROFESSOR.
@joycekathambi30723 жыл бұрын
May the lord bless you
@kitumainiluc89523 жыл бұрын
Hongera sana wasafi media. Nawapenda sana kabisa! Mutujulishe majina 99 za MWENYEZI MUNGU kama zilizo na maana zake.
@monicabh16682 жыл бұрын
Pole ndugu 😢unaamini na kuomba usichokijua.Mungu aliye hai na wakweli hana majina 99 ...jina lake ni moja tuu na ni JEHOVAH.
@emmanuelanthony34963 жыл бұрын
Ngoja na mimi ni comment tu niongeze comment
@stivejdamosjd18573 жыл бұрын
Jamali baki kuandika nakala tu. Ila kuhus kusimria abaki mtiga abdalah. Ww hii fani ya kusimria hauiwezi. Yaan sauti yako hamati kabsa kumshawishi mtu kuskilizika The story book. Kwa ushaur wangu Tena na Tena Murudishe mtiga abdalah abaki hapo hapo kwenye kusimria. Naamin ushaur wangu utaufanyia kazi.. Asante