Kisima_Lugulu_Official Video 2022

  Рет қаралды 903,775

Kisima Majabala

Kisima Majabala

Күн бұрын

Пікірлер: 249
@BakaryAlly-i1z
@BakaryAlly-i1z 6 күн бұрын
Kisima is the GREAT OF ALL TIME (GOAT) Hauna mpinzani keep it brother
@AugustinoBadada
@AugustinoBadada 10 күн бұрын
Ase waatu wana vitu vizuri vituko vya kweli ni financial uwekezaji kisima yuko kikazi zaidi
@AugustinoBadada
@AugustinoBadada 10 күн бұрын
Jeshi la kisima iko siriazi🎉🎉🎉
@maswadigitaltv
@maswadigitaltv Жыл бұрын
Leo hii nyimbo nimeisikiliza mara kumi jamani nimegundua huyu mwamba ni fundi Sana na nyimbo zake zinaujumbe mkubwa sana
@SistusMasota
@SistusMasota Жыл бұрын
Kaiimba vizuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@damianocostantine9042
@damianocostantine9042 2 жыл бұрын
Ila me sio mpenzi wa nyimbo hizi za kisukuma ila kisima napenda kusikiliza nyimbo zako hasa lugulu na nzuki, yaan huwa naziludia mara mbili mbili nazipenda sana
@ELIYAYOHANA-pc3jx
@ELIYAYOHANA-pc3jx Жыл бұрын
😂😂
@mogendingonde1800
@mogendingonde1800 Жыл бұрын
Lëë l
@mogendingonde1800
@mogendingonde1800 Жыл бұрын
Kjlyjykjty7ph0o9jk noo ph lëë 9kk
@TheonasSylivanus-t2l
@TheonasSylivanus-t2l 4 ай бұрын
Ni mm mtupu🎉🎉
@vekazapinambueja4704
@vekazapinambueja4704 11 ай бұрын
Cook Africa and let the world like it!!! Amazing voice, dance and the band!
@raphaelkwilasa9680
@raphaelkwilasa9680 2 жыл бұрын
Sana kaka pambana kudumiasha Mila zetu nakuelewa sana
@samwelzakayo3596
@samwelzakayo3596 2 жыл бұрын
Kisima nimeirewa sana hii kazi bora sana god bless u
@MalimaChamba
@MalimaChamba Ай бұрын
Unajua sana nyimbo iko na miaka miwili na iko fire usife moyo pmbna unajua
@LeonardMugema
@LeonardMugema Жыл бұрын
Hongera kjana ongeza bidiii.na kalugha kataifa uwe unachanganyia ili nawale wote wakupendao wakuelewe mapemaaa
@Everythingisok360
@Everythingisok360 Жыл бұрын
Hao ma dancer wanauwa mamae,😅
@RederbergEstates
@RederbergEstates Жыл бұрын
From Zim but this music is the best
@MalimiMayala-e8s
@MalimiMayala-e8s 5 ай бұрын
Mimi malimi mayala npo morogoro ngerengere kata ya tununguo nishabiki wako kindakindaki napenda sana nyimbo zako mungu akipenda ufike kwa Kijiji chetu upige shoo
@amosnaqbarxanaabddallah2730
@amosnaqbarxanaabddallah2730 Жыл бұрын
Nakubar Sana brooo chapa kazi maana kazi unaijua
@melesianamussa6851
@melesianamussa6851 2 жыл бұрын
Ahsante kaka kwa kuendeleza tamadun zetu nakuelewa sana bro
@CosmicWorld2024
@CosmicWorld2024 2 жыл бұрын
Let me try to translate some parts:- Lugulu = Mountain Nalimlugulu hi gulya = I am in the top of the mountain. Nīkī nabō nī ng'holo ndo = and they have a little spirit. Leka akanigo kababūne = Let the burden be upon them. Wa hambile hi tale īmbīyū = He has planted the seed on the rock. Jitūzwa, Najikong'onhe = they will not spring up, let me pick them up Nitanage hungwe ya mala soni = Call me an eagle who has no shame. Īgwipīga mpaga na makune = It will fight even with chicks. Lumbagi iki nabi wa mudini = Thanks, because I have been religious. Iki Nashiga iyene = I am left alone Verse 1:- Nali ndulu nazugwa masangu = I am a Cowpea cooked in a mix(Traditional food mix with Maize and Cowpeas). Magogo na magogo hapila = logs and logs I was alive. Kasuka unitula hiza = Kasuka kept me well.
@sterkleeu6692
@sterkleeu6692 2 жыл бұрын
Wow. Thank you vey much for your kindness. Now I can enjoy the sound, the dance and the meaning. God bless you.
@sterkleeu6692
@sterkleeu6692 2 жыл бұрын
Our languages are so exciting. I have picked "hungwe" the eagle. In Shona hungwe is a fish eagle. "Soni" - in Ndebele there is "nhloni" and in Venda there is "shoni". Both have to do with shame. Leka is "rega" in Shona. This is fantastic.
@masumbukodaud7244
@masumbukodaud7244 2 жыл бұрын
Usajiri simba
@br.luckieafrica9233
@br.luckieafrica9233 2 жыл бұрын
Asante sana
@mzalendoonlinemedia7170
@mzalendoonlinemedia7170 2 жыл бұрын
Igete Wagema chiza, umejaribu vizuri, you tried good. All Africans we are bantu people speaking let enjoy our culture. We are One Africans 😃🙏
@eugeniaritte9771
@eugeniaritte9771 2 жыл бұрын
Wimbo mkali sana mwanang uko mliman kweli sio utani
@EnoceMajige
@EnoceMajige Жыл бұрын
Asee lugulu,nzuki,shilatu,shikome na kundi kaka ulipiga penyewe hongera sana
@abelbufumbe790
@abelbufumbe790 2 жыл бұрын
Mwaka huu mbona hatar ngoma juu ya ngoma respect for you my king watching from comoros 🇰🇲🇰🇲 najivunia kuwa msukuma
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Thanks
@saidinawaja5813
@saidinawaja5813 2 жыл бұрын
Kazi mzuri congratulations
@jilalagenhinje7167
@jilalagenhinje7167 2 жыл бұрын
Oy haki ya mungu umejaaliwa kipaji Komaa palepale tutaendelea kukusaport kwa sababu unatupa kile tulichokuwa tumengojea Migera piga kazi mkono wako tumeukubari Peace for u
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Thanks
@rizicksimonmapindaigembe177
@rizicksimonmapindaigembe177 2 жыл бұрын
Hii ndio maana ya asili big up brother, Lugulu$$$$$
@charleskuzenza1597
@charleskuzenza1597 2 жыл бұрын
Hongera kisima media kwa nyimbo nzuri
@raphaelylukwajasaguda-yp6bq
@raphaelylukwajasaguda-yp6bq Жыл бұрын
Kisima jamaangu umenivuta kwa nyimbo zako Sana endelea kutufulahisha mashabiki zako
@maigecharles301
@maigecharles301 Жыл бұрын
Gesima baba ulesawa gete nkoy ivi ogikalaga hale SINKOY naitogwagwa sana elimbo lenile lileswa gete nkoy
@priscajackson240
@priscajackson240 Жыл бұрын
Hongera kijana kisima nyimbo zako mzuri sana
@Stanislauskolady
@Stanislauskolady 11 ай бұрын
Fungwe yamala soni 🤠🤠🤠🤠
@CharlesMasorwa
@CharlesMasorwa 9 ай бұрын
Endeleza Utamaduni wetu. Haujachuja bado piga Kazi. Charles Masolwa Mabona.
@DalawidaEmmanuel
@DalawidaEmmanuel 2 жыл бұрын
Safii sana aisee🔥
@nestor384
@nestor384 2 жыл бұрын
The second lyrical artist after Shilunguja in the history of the culture. Asante sana Kisima nyimbo zako Lugulu na Nzuki zinakufanya kuwa msanii mtunzi na mwimbaji mahiri Anayejua vizuri kuueneza utamaduni wetu wa kisukuma. The true defender of the culture🙏🏻💪🏻
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 2 жыл бұрын
Safi nimeshauza nakuuza hiyo nyimbo ilikuwa Kama nimeisubiria
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Asante
@pendomsety3736
@pendomsety3736 2 жыл бұрын
Unatisha sana kaka nikiwa geita kasamwa nainjoyi sana hasa kwa huu wimbo na ule wa esiter noma sana kijana
@japhetmalongo2592
@japhetmalongo2592 2 жыл бұрын
Saluti kwako kisima,unajua kupangilia misitali%%%%%
@saimonjumapili-of1zu
@saimonjumapili-of1zu Жыл бұрын
bro kazi nzuri saan mungu akutanguriee
@AngelMakala-sz5gu
@AngelMakala-sz5gu 9 ай бұрын
bhahambile hitale mbiyu jituzwa najikonhone ❤❤❤❤ mwasukuma wenzangu
@KulwaTanzania
@KulwaTanzania Жыл бұрын
Wasukuma oyeeeee Kwan tunapenda kudumisha yet asil
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 2 жыл бұрын
Nakubali Msanii Wa Asili Unatoa ngoma Zilizo enda shule.
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Asante
@boydzgyambo5988
@boydzgyambo5988 Жыл бұрын
From zambia,this is good vibes well coordinated thanks brothers
@littlebloom6910
@littlebloom6910 9 ай бұрын
Kaka nazielewa sana nyimbo zako mabulu dar es salaam kigamboni kibada kiziza - geita bukoli ntono
@munisolamatengu4256
@munisolamatengu4256 2 жыл бұрын
I'm from ECM house in the Zambezi region, after acquainting with the translation I realised how power the musical item is. Keep up the good work brother.
@kiharaluca8431
@kiharaluca8431 Жыл бұрын
Hatamimi niko moshi ila. Nakiupi
@farajamwakabungu6201
@farajamwakabungu6201 2 жыл бұрын
Nakukubali sana bwana Kisima,Mungu na akubariki sana kwa kipaji,,nyimbo zako Kali sana hadi najikuta nacheza hata kama natembea,,Hongera sana Kijana Pamoja .
@wellingtonxolani531
@wellingtonxolani531 2 жыл бұрын
Good African work my brother,you deserve international platform
@yohanamathias6326
@yohanamathias6326 2 жыл бұрын
Lugulu aka mountain
@PatrickMutuku-tg1dv
@PatrickMutuku-tg1dv 6 ай бұрын
Twende nalo kisima,haapo xawa!!
@mussamatondo-w3h
@mussamatondo-w3h 11 күн бұрын
Kama umetoboa wakat umeanza nakuona japo nilikuwa bado mdogo naamini ata mm nakuja kutoboa kwa namna yoyote
@rizicksimonmapindaigembe177
@rizicksimonmapindaigembe177 2 жыл бұрын
Hii ndio maana ya asili,, big up brother #Lugulu$$
@RicsMasandikaArs
@RicsMasandikaArs 2 жыл бұрын
Huu wimbo ni nambari moja katika hit zenu nyingi! Midundo na uchezaji vimepangika murua.......
@abdallahmttunze6556
@abdallahmttunze6556 2 жыл бұрын
Mwana wa mbiti nangh'we mbiti.Makoye ga mbiti inhale.
@lahimumhelela2551
@lahimumhelela2551 2 жыл бұрын
Kaka unatishaaa sanaaa we ni 💕💕💕
@khamisthomastambi7262
@khamisthomastambi7262 2 жыл бұрын
Una kipaji kikubwa sana kaka piga kazi sisi mashabiki tuna imani na wewe Mungu abariki kazi yako.
@Everythingisok360
@Everythingisok360 Жыл бұрын
Hiii nyimbo inapigwa sana hapa shinyanga hadi nmetokea kuitafuta niskize vizur 🤣
@magadulaSebastian
@magadulaSebastian 7 ай бұрын
Mluguluu naielewa sana
@awadhiathumanimakereketa115
@awadhiathumanimakereketa115 6 ай бұрын
👍
@kakolaonlinetv7272
@kakolaonlinetv7272 2 жыл бұрын
Makini Sana tungo za kuishi hogera Sana kwa kipaji hiki💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@juselinodacruz905
@juselinodacruz905 2 жыл бұрын
Aqui do Brasil eu gosto muito do trabalho de vcs muito Lindo
@stephenmukaabya8442
@stephenmukaabya8442 2 жыл бұрын
Such rich culture,! No wonder certain entities spend sleepless nights plotting to destroy us to no avail! We are energy indestructible however! Bravo! Happy new year our brothers and sisters!
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Thanks a lot
@wilchersoncirlher7735
@wilchersoncirlher7735 Жыл бұрын
Eu amo as garotas que danssao, o rebolado delas e lindo eu amo as seis dancarinas a gordinha e chou de bola e a mais alta e muito linda e danca no ritimo sertinho eu amo muito a mais alta
@wilchersoncirlher7735
@wilchersoncirlher7735 Жыл бұрын
Negao voce tambem e chou cantando gosto de ver voce cantando voce e fera!!!!!!!
@Julius_Lugwisher
@Julius_Lugwisher 2 жыл бұрын
U deserve to be a greatest singer 😎😎✔️
@alhassankamama7881
@alhassankamama7881 2 жыл бұрын
Good job guys God bless Africa from Sierra Leone
@ras.gerzel
@ras.gerzel 4 ай бұрын
Africa the first
@MabanzaMayunga
@MabanzaMayunga 8 ай бұрын
Unyama mwingi😮😮
@nyandajr
@nyandajr 2 жыл бұрын
Umefanya jambo jema sana kuwa na chanel yako mashabiki zako hatupati shida tena subscribers chaneli ya kisima tusapoti kipaji chake
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Asante
@kideboy01
@kideboy01 2 жыл бұрын
ndekubhona ong'wise hongera bhabha tulaga nemo
@fredylume1963
@fredylume1963 2 жыл бұрын
Brother akitoka budagara unafata ww namba 2
@immamziwanda6108
@immamziwanda6108 Жыл бұрын
Kisima eng'ana olelanga ngosha amembo gako Galina malange
@elizabethhashimu
@elizabethhashimu 3 ай бұрын
🎉🎉kishushu
@BiancaElizabeth-my8jb
@BiancaElizabeth-my8jb 7 ай бұрын
Sanaaaaaaaaa
@awadhiathumanimakereketa115
@awadhiathumanimakereketa115 7 ай бұрын
Musc asilia uko san👍👍👍
@fredylume1963
@fredylume1963 2 жыл бұрын
Kisima hii ndo nilikuwa naisubili Sasa hii nyimbo ni Moto
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@josephzakalia
@josephzakalia 5 ай бұрын
Nakubal san kicma
@robartmalale459
@robartmalale459 2 жыл бұрын
Mjukuu wa mwanamalonde
@GreysonMagige
@GreysonMagige Жыл бұрын
jamaa yuko vizuri😢
@bhudagalamwanamalonja9582
@bhudagalamwanamalonja9582 2 жыл бұрын
Sukuma hatari sana ( mhulugulu)
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Asante kaka sumbuko
@mayaya-tv3959
@mayaya-tv3959 2 жыл бұрын
Good work kisima.
@winfridawilliam2622
@winfridawilliam2622 2 жыл бұрын
Nakukubali,sana kisima mom napatika morogoro
@BarakaMkala-qy2yq
@BarakaMkala-qy2yq Жыл бұрын
Kishushu we ni ninoma okhukhaya
@joelkahuya6719
@joelkahuya6719 2 жыл бұрын
Niliisubir sana ahsante
@gilya7508
@gilya7508 2 жыл бұрын
Kaka we ni mkubwa
@amossayi9530
@amossayi9530 2 жыл бұрын
Sfisan skunying sna 2nasubira
@josephndekele3586
@josephndekele3586 2 жыл бұрын
Pamoja sana sisi mashabiki wako tunaendelea kuzipokea nyimbo zako kwa shangwe kubwa sana. Hongera sana.
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
Asante
@shiyumbiezekiel5044
@shiyumbiezekiel5044 2 жыл бұрын
Imetisha ilikuwa imesubiriwa kwa hamuu
@edwardmethuselaa5848
@edwardmethuselaa5848 2 жыл бұрын
Safi sana kisima
@Isaks-nl9te
@Isaks-nl9te Жыл бұрын
Nakukubali san majabara
@salumyusuph6612
@salumyusuph6612 2 жыл бұрын
Kazi nzuli sana nkwingwa napenda sana kazi za nyumbani
@PaulBusiga
@PaulBusiga Жыл бұрын
Kisima minamkubali mkali wakisikuba
@janethsuleiman8684
@janethsuleiman8684 5 ай бұрын
Sana ndg❤
@NgunoSangano-w9s
@NgunoSangano-w9s 2 ай бұрын
Nice👍
@lucasbusagara192
@lucasbusagara192 2 жыл бұрын
Bhalashila sana ila elekisima mmumo koya duhu nivunjie midomo from isole kwa mzee cosms b unamaxhabiki xn leta xhow t
@samwelringson
@samwelringson Ай бұрын
❤❤😂😂
@mabvutochimkondenji910
@mabvutochimkondenji910 2 жыл бұрын
Zili boo 👍
@josephkntiga9955
@josephkntiga9955 2 жыл бұрын
Hapa umetisha mkubwa
@johnmasanja1413
@johnmasanja1413 2 жыл бұрын
Nakukubar San mwamba Big up sanaaaaa
@victoriajosephat5236
@victoriajosephat5236 2 жыл бұрын
Keep it up 💛
@thomguy2766
@thomguy2766 2 жыл бұрын
Huwa nafagilia Sana unachokifany blaza ,na wish cku moja uninyanyue blaza na Mimi pia huwa naimba
@Mahenyamediatz5381
@Mahenyamediatz5381 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana kaka
@HassanWilson-f7q
@HassanWilson-f7q 3 ай бұрын
Lugulu❤
@khamisthomastambi7262
@khamisthomastambi7262 2 жыл бұрын
Mm nyimbo yangu ya mwaka huu nzuki tisha sana
@felamonkingwa3360
@felamonkingwa3360 2 жыл бұрын
hongera uko juu
@dottopeter3187
@dottopeter3187 2 жыл бұрын
Nyaaanda majabalaaaa
@mariselisendi3532
@mariselisendi3532 2 жыл бұрын
Nyakabaya
@sterkleeu6692
@sterkleeu6692 2 жыл бұрын
I'm from Zimbabwe and I'm enjoying your beat guys. Keep it up. How can I have the interpreted lyrics?
@CosmicWorld2024
@CosmicWorld2024 2 жыл бұрын
Let me try to translate some parts:- Lugulu = Mountain Nalimlugulu hi gulya = I am in the top of mountain. Nīkī nabō nī ng'holo ndo = and they have a little spirit. Leka akanigo kababūne = Let the burden upon them.
@CosmicWorld2024
@CosmicWorld2024 2 жыл бұрын
Wa hambile hi tale īmbīyū = He planted the seed on the rock. Jitūzwa, Najikong'onhe = they will not spring up, let me pick them up
@CosmicWorld2024
@CosmicWorld2024 2 жыл бұрын
Nitanage hungwe ya mala soni = Call me an eagle who has no shame. Īgwipīga mpaga na makune = It will fight even with chicks. Lumbagi iki nabi wa mudini = Thanks, because I have been religious. Iki Nashiga iyene = I am left alone
@CosmicWorld2024
@CosmicWorld2024 2 жыл бұрын
Verse 1:- Nali ndulu nazugwa masangu = I am a Cowpea cooked in a mix(Traditional food mix with Maize and Cowpeas). Magogo na magogo hapila = logs and logs I was alive. Kasuka unitula hiza = Kasuka kept me well.
@rooneyasilitv7939
@rooneyasilitv7939 2 жыл бұрын
Pamoja Kiongozi
@nyererejunior7217
@nyererejunior7217 2 жыл бұрын
safi sana kisima nakupata sana
@emmanuelondoua5358
@emmanuelondoua5358 Жыл бұрын
Beautiful and good back ground
@eliyachaeliyacha2015
@eliyachaeliyacha2015 2 жыл бұрын
Safi nyanda majabala. Nale Arusha lakini kazi zako naziona sana piga kazi kaka
@richardtozoupungue552
@richardtozoupungue552 2 жыл бұрын
Video ya ngolo nayenyewe tunaisubilia kaka juma tatu tulitalajia kuiona ila hatujaiona.
@kisimamajabala135
@kisimamajabala135 2 жыл бұрын
@@richardtozoupungue552 utaiona
@sapulanecarlosbucha507
@sapulanecarlosbucha507 8 ай бұрын
Love This song
KISIMA _SHIKOME OFFICIAL VIDEO 4K
15:24
Kisima Majabala
Рет қаралды 603 М.
Kisima_Selina-Officail Video 2022
15:18
Kisima Majabala
Рет қаралды 611 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Bahati Bugalama - Shida |Official video
13:51
Makula Studios
Рет қаралды 614 М.
KISIMA MAJABALA BHAZUNIJE PART 2 PROD • TOPHER INC 2024
10:19
W_Konk_Tm
Рет қаралды 167 М.
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 455 М.
Kisima_Nzuki_Official Video_2022
9:21
Kisima Majabala
Рет қаралды 4,5 МЛН
Ghetto Kids - Lingala(Ugandan Dance ) Afro Dance
4:24
Triplets Ghetto Kids
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nyasuba  - Odongo Swagg (Official Music Video) sms skiza 5439079 to 811
15:11
Kisima_Ng'wanankanda Official Video 4k
15:52
Kisima Majabala
Рет қаралды 382 М.
Limbu luchagula x Mayiku sayi ft Shule_Zilipendwa_Official Video 4K
10:33