No video

KISHIMBA aendeleza hoja zake konki Bungeni ''anajua sana aise, lazima utamkubali''

  Рет қаралды 37,147

Gilly Bonny Tv

Gilly Bonny Tv

2 жыл бұрын

Karibu Gilly Bonny Online Tv Channel ambayo imesajiliwa TCRA kwa ajili ya kukuletea habari kubwa za kisiasa, kijamii, kiuchumi na matukio yote muhimu yanazojiri Tanzania na nje ya Nchi kwa wakati sahihi kila siku:
Kama bado huja-Subscribe tafadhali hakikisha unafanya hivyo muda huu kisha bofya kengele ya Notification ili kuwa wa kwanza kupata taarifa na habari zote tunazoziweka kila wakati.
Ku-Subscribe bofya hapa- / @gillybonnytv
Instagram tunapatikana @ / gillybonny_gilbert
Facebook page tunapatikana @ Gilly Bonny Online Tv
Wasiliana nasi kwa email -gillybonny1991@gmail.com
unaweza pia kutuma habari yako kwa email- gillybonny1991@gmail.com
Karibu sana Gilly Bonny Online Tv

Пікірлер: 53
@GillyBonnyTv
@GillyBonnyTv 2 жыл бұрын
TOA MAONI YAKO HAPA NI MUHIMU SANA
@damianoadam1041
@damianoadam1041 2 жыл бұрын
Naomba likes za Professor Kishimba.very smart and real
@georgeanthony9075
@georgeanthony9075 2 жыл бұрын
Tunahitaji viongozi wengine wawe mfano kwa huyu MBUNGE. Safi Sana.
@mgesimarwa702
@mgesimarwa702 2 жыл бұрын
Huyu ndiye mbunge aliyetumwa kusemea wananchi watanzania, siyo wa kahama Tu, binafsi napenda hoja zake mara nyingi ni hoja za msingi
@kinondoni4668
@kinondoni4668 2 жыл бұрын
Akikusomesha mwanae.mnaingia mkataba wa deni.ukimalizia masomo ukumbuke kuna deni la mkata . Ni kiboko ananyoosha reli.
@dangsonspiter5068
@dangsonspiter5068 2 жыл бұрын
Mh. KISHIMBA wewe unamawazo na akili zaidi ya ma PROFESA,hongera sana serikali imsikilize mawazo yake mazuri sana.
@shaabanadamu5522
@shaabanadamu5522 Жыл бұрын
Professor Jumanne Kishimba 👏
@robertkagudu9937
@robertkagudu9937 2 жыл бұрын
kishimba wew tegemeo kanda ya ziwa unamaarifa mengi sana ya kusaidia taifa la tz maana hali ya maisha huku kijiji ni nguvu sana bati
@imaamgharithauri1059
@imaamgharithauri1059 2 жыл бұрын
Ila naamini wapo watu wengi ndoto zao zimekufa kabisa kwasababu ya haki ya elimu hatimaye lazima watakua na mawazo hasi zidi ya Serikali na jamii kwa ujumla inakosa maendeleo kwa wakati Muheshiwa Raisi kwa nafasi yako liangalie hili kwa makini Sana na utusaidie tuweze kua raia wenye uzalendo na upendo wa nchi na ujasiri wa kuleta maendeleo
@Lo-33
@Lo-33 2 жыл бұрын
Very creativity man DA aah!
@NgoshaMsukuma-xg8mq
@NgoshaMsukuma-xg8mq 4 ай бұрын
Huyu professor kishimba anaipambanania sana inshu ya elimu apewe tu uwadhili wa elemu tunaamini atafanya vizuri sana
@imaamgharithauri1059
@imaamgharithauri1059 2 жыл бұрын
Namshikuru Mungu kwa nafasi aliyonipa nalima na naishi vizuri na nachangia pato kubwa kwa Serikali na naipenda Sana nchi yangu Tanzania
@blysonjoseph80
@blysonjoseph80 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa apewe kipindi kwenye radio hata tbc awe anatoa somo Kila cku angalau
@fadyshaby8320
@fadyshaby8320 2 жыл бұрын
Yaan kwa kusema hili tuu.....nmekukubareeeeeee
@fjafrica62
@fjafrica62 2 жыл бұрын
Pamoja sana mkuu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
yuko..sawa... ogopa mtu ambaye hajaenda shule kwa kiwango kikubwa lakini ametafuta mali na ameajili wasomi kibao.... hekma...busara...
@imaamgharithauri1059
@imaamgharithauri1059 2 жыл бұрын
Muheshimiwa Mbunge maneno yako na hoja zako ni sahihi mm binafsi nilikua mwanafunzi Bora wa pili Zanzibar katika mitihani ya Fll 2006 lkn Cha kushangaza FlV 2008 tulifutiwa matokea watu 11 na kila tulipojaribu kurudia mitihani hatukupata kitu hatimaye tukaishia kuuza duka na kulima mpaka leo
@NgoshaMsukuma-xg8mq
@NgoshaMsukuma-xg8mq 4 ай бұрын
Afaa sana kupewa widhara ya elimu.
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 2 жыл бұрын
Hamia Kanda ya kati uko vizuri
@medlucas5686
@medlucas5686 2 жыл бұрын
Asante mzee nakuelewa Sana
@tatutoba9883
@tatutoba9883 2 жыл бұрын
Namkubali Sana huyu mbunge ana hekima kubwa
@veronicambilinyi3854
@veronicambilinyi3854 2 жыл бұрын
Duh! Watu wema kama hawa wanamaisha mafupi aisee
@gidyonmshani5259
@gidyonmshani5259 2 жыл бұрын
Mh pr kishimba 2025 njoo ugombee ubunge kwetu mkoa wa Mbeya Jimbo la kyela,,
@jeraldkaegele6485
@jeraldkaegele6485 2 жыл бұрын
Wise knowledge
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 2 жыл бұрын
Swala la kufuta mtihani umeongea point sana
@amiribakari2528
@amiribakari2528 2 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais me naomba mtizame huyu mzee kwa jicho la tatu..anaakili ya ziada
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 2 жыл бұрын
Siku yaqiyama Kunamambo mazito sana
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@salminiissa71
@salminiissa71 2 жыл бұрын
Kweli umetumwa nawananchi
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 жыл бұрын
Kwann lakin mtu Kama huyu asipewa wizara tuone hii akili aki tutakuwa Kama China watu Kama hawa ni zawadi
@denismayunga4594
@denismayunga4594 2 жыл бұрын
Siku zote kaka yangu hujawahi kosema, pia wewe ni jirani yangu wa jimbo upande wa Kata ya Puni shy dc na Isaka khm msp.
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
huyu jamaa ana akili Sana, ni utaratibu tu wa hayo mabati
@kudraahmad5670
@kudraahmad5670 2 жыл бұрын
Akili kubwa mh kishimba
@nardinmohamed226
@nardinmohamed226 2 жыл бұрын
Akili kubwa
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 2 жыл бұрын
Kishimba nikiboko,
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 жыл бұрын
Safi sana mbunge Kishimba
@mgesimarwa702
@mgesimarwa702 2 жыл бұрын
Si sahihi kabisa
@briansancedo9336
@briansancedo9336 2 жыл бұрын
Huo ndio ukweli anao ongea professor kishimba
@jamessteven5293
@jamessteven5293 2 жыл бұрын
Watu kama hawa ni wachache sana, alafu wana mpuuzia tu huyu mbunge kaongea point sana
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Huyu mbunge baada ya kuongelea mafuta na yeye hajui kama mafuta bei iko juu,
@richardfocus5859
@richardfocus5859 2 жыл бұрын
Sawa mawazo kuntu
@emmanuelyjohn3555
@emmanuelyjohn3555 2 жыл бұрын
Huyu mbunge ana mafunuo makubwa
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 2 жыл бұрын
Selikali hii yaurithi haiwajui wananchi wanyonge
@ffanklleopord5998
@ffanklleopord5998 2 жыл бұрын
Nimekuelewa
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 жыл бұрын
Shida hapo selekali wanachukulia kama kichekesho tu wakati kishimba kaongea vitu vysmaana kweli kwahawa wataalam hawawezi kufikilia kubuni njia rahisi kwawananchi wenyekipato chachini
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 2 жыл бұрын
Kishimba hoyeeee yaani kwanini huyu Baba asiwe waziri ana akili za ukweli nampendaga anaongea ukweli mtupu nakupenda Sana ukichangia mada nakauka mbavu Kwa kucheka maana ni kweli
@imaamgharithauri1059
@imaamgharithauri1059 2 жыл бұрын
Kwahakika roho iliniuma Sana kwasababu nilisoma kwa bidii Sana ktk mazingira magumu mno lkn Serikali hata haikufiri au kufanya hata uchunguzi kwakweli wizara ya elimu inakazi kubwa ya kuangalia haki za wanafunzi coz nchi inapoteza watu muhimu Sana ktk ujenzi wa taifa hakuna anayejua Nani atakua na wazifa gani baadae
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 2 жыл бұрын
Pole sana kaka yangu ni katika changamoto habari yako ndogo na umeandika kwa ufupi sana ila maudhui yake yamenisisimua sana
@priscampagama9939
@priscampagama9939 2 жыл бұрын
Fact
@silvesterdamas8469
@silvesterdamas8469 2 жыл бұрын
Mzee uko sawa kabisaa.
@mgesimarwa702
@mgesimarwa702 2 жыл бұрын
Mh, kishimba anastahili zaidi ya ubunge, sema Tu , nchi hii ina longolongo nyingi, kusema ukweli anaongea mambo ya msingi, Sana kwa taifa hili
@johnleonard4835
@johnleonard4835 2 жыл бұрын
Kishimba kunywa soda ninakuja kulipa popote ulipo
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 260 М.
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 31 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,7 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН